Hilo ndiyo dharau ya wa Africa atupendani ndiyo maana Bara lenyewe limebaki nyuma hatuna ubunifu . Huyo jamaa aliekubaguwa bila Shaka Mr mshanna umeshaelewa kasumba ya mwafrika hata huku bongo ni wabaguzi mtu akifika levo fulani hata kutupa mawazo kama yako ni wachoyo. Mungu akubariki kaka.
Hiyo ni Atlanta Mkuu Kuna Waafrica na black Americans Wengi Sana, kiufupi newyork,Chicago,Atlanta, ni majimbo yenye Waafrica Wengi zingne ndio Los Angeles,Miami,Las Vegas,Washington znafuat fuata,Ila sehem kama south and north Dakota and Virginia Waafrica Wa Kutafuta Sana
Those are really big cities so naturally they attract mostly everyone. The other states you mentioned such as North and Sputh Dakota are smaller states and not many people see value in them, but they are wrong. They have a lot of oil and easy jobs.
Mshana unaongea madini sana... unatufungua ubongo watu wengi tunaofuatilia hii chanenel yako na watu wenye ndoto ya kuishi ughaibuni unafanya mtu ajue baadhi ya mambo mengi hata ikitokea mtu ameweza kufika afahamu baadhi ya lifestyle ya huko Hongera sio wote wana huo moyo.......big up
Yes and it does not have to be that way. Take all the wisdom behind the videos and put it into Africa and build a beautiful Africa with plenty of jobs and opportunities and pride in its land. Then more people will come and the world can be mixed and intelligence can be shared❤
Hao wawest africans ulaya sio watu wazuri kabisa nimefanya kazi sehemu moja nikawakuta wengi apo sasa wana tabia mbaya sana dharau nyingi alafu wanachongea kwa boss sio watu
@@jacksonmsendo3478 unachoongea ni kweli mtupu nlikuwa nao Ktk Military Training wanaubinafsi sana, kujiona wao bora hata kukuharibia status yako mbele za watu ili wao waonekane wazuri yaani nlikuwa najitenga nao sana hasa wanaijeria pekee
Uyu jamaa anaongea vitu vya mana sana yeye anasema ni story lakini kwetu is a great international education,I appreciate Army good job 👏
Hilo ndiyo dharau ya wa Africa atupendani ndiyo maana Bara lenyewe limebaki nyuma hatuna ubunifu . Huyo jamaa aliekubaguwa bila Shaka Mr mshanna umeshaelewa kasumba ya mwafrika hata huku bongo ni wabaguzi mtu akifika levo fulani hata kutupa mawazo kama yako ni wachoyo. Mungu akubariki kaka.
Hiyo ni Atlanta Mkuu Kuna Waafrica na black Americans Wengi Sana, kiufupi newyork,Chicago,Atlanta, ni majimbo yenye Waafrica Wengi zingne ndio Los Angeles,Miami,Las Vegas,Washington znafuat fuata,Ila sehem kama south and north Dakota and Virginia Waafrica Wa Kutafuta Sana
Those are really big cities so naturally they attract mostly everyone. The other states you mentioned such as North and Sputh Dakota are smaller states and not many people see value in them, but they are wrong. They have a lot of oil and easy jobs.
Uko poa sana kaka mambo ni mazur na ni fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 tupe madini kaka from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Huu ni Jiji langu zuri! Mimi huendesha gari kila siku ambayo ni I 85 Kaskazini husafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Hartfield.
Kaka mshana one day tupeleke stadium Moja ya mpira tuone live soccer
Kazi nzuri Kaka endelea kutupa elimu Bro Mshana..
So great job mshana.
Let the love lead you guys 🎉
Congratulation...great job
Amin Amin Amin kaka Kwa Dua lako zuri..nikweli mwenyezimungu atatubariki nasisi ..naizo Dola tutaona zakawaida inshallah kaka
Mshana unaongea madini sana... unatufungua ubongo watu wengi tunaofuatilia hii chanenel yako na watu wenye ndoto ya kuishi ughaibuni unafanya mtu ajue baadhi ya mambo mengi hata ikitokea mtu ameweza kufika afahamu baadhi ya lifestyle ya huko Hongera sio wote wana huo moyo.......big up
Son, it’s not your favorite capitol but I guess it’s okay
Sijajua ni aina gani ya simu una tumia lakini itakua ni balaaa hiyo focus yake tu 😅🎉
😂😂😂😂iyo halo ya kutojaliwa na Mnaijaaa walahi nimeelewa, Pole Rafiki yangu 😢😅😅 😂
Big up brother nakubali kazi yako ya kutupa elimu im from Burundi
tutembeze marekani bila visa kaka
Huyo mnaigeria muibukie hapo siku moja ukiwa na magwanda alafu mkumbushie hiyo siku hujapenda.
@@IbrahimKimath-u9z huo mda Sasa wa Kufanya hivyo mkuu ndio haupo Coz Kam una Hela na yeye anategemea tips kuishi Unaachan nae
😂😂😂😂that shit's funny
Hiyo sio tz sheikh kuwatishia watu gwanda wala hawababaiki na Hilo 😅😅
Safi sana keep it up.
Sa mbona shemeji hatujawai kumuona 😂😂
Yaani iyo ni kitu common sana huku US, yaan ata black kwa white American hawafanya izo tabia ati.
Africa mindsets zetu Kila seem tupo nyuma
Yes and it does not have to be that way. Take all the wisdom behind the videos and put it into Africa and build a beautiful Africa with plenty of jobs and opportunities and pride in its land. Then more people will come and the world can be mixed and intelligence can be shared❤
Kazi safi kaka 🇰🇪
Napenda mpangilio wa mazingira hapo
Hapo karibu kuna ofisi za makao makuu ya CNN. Pitia hapo kama ikiwezekana ambiere Mshana.
Nipo Mabibo mzee nakusoma vzur
Mshana we ni mhaya?? japo samahan kwa swali hilo
Yeah ndio
Hiyo treatment lazima ukutane nayo soja haiwezi potea
Safi kk
ALAANA jombaa apo Ndio English yao utashangaa wanaongea lugha gan maana wanamezaa sana
❤❤
''SALUTE SOLDER''👊
Alikua anafukuzia tip huyo.
Kaka vp poa kila la kher
Ila kaka umenikumbusha nilikua New Delh India nikashangaa omba omba wanawakimbilia wafrika wanawaacha wahindi wenzao.da!nilishangaa saana kwakweli.
Hao wawest africans ulaya sio watu wazuri kabisa nimefanya kazi sehemu moja nikawakuta wengi apo sasa wana tabia mbaya sana dharau nyingi alafu wanachongea kwa boss sio watu
@@jacksonmsendo3478 unachoongea ni kweli mtupu nlikuwa nao Ktk Military Training wanaubinafsi sana, kujiona wao bora hata kukuharibia status yako mbele za watu ili wao waonekane wazuri yaani nlikuwa najitenga nao sana hasa wanaijeria pekee
Ninachopenda kutoka kwako bado unaongea Kiswahili kizuri.
Sasa kwani yeye Mzungu!?
Unaenda lini kwenye Apple Store kuangalia iphone 16 ???
@@TerrorTrove-bx4pg Apple Store ni CA nimeshaondoka nipo GA
@@mshanatheblacksmith I mean kwenye stores sio HQ
Unapoishi Na Hapo Atlanta downtown ni Umbali wa Kilometers Ngapi?
@@Mahene-w1l ni masaa 3 na nusu yakuendesha
Unamficha sana shemeji yetu shehe😅😅
Mbona Kuna baazi ya video anaonekana, angalia Ile ya kwenye meli walipoenda kutembea anaonekana
😂