UTENZI WA MAJIBU WA KISA CHA MAMA ALIEZINI NA MWANAWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ค. 2022
  • Mtunzi Aliy Samson(mtunzi kinda)
    kwaalamsha kidarajani (Zanzibar)
    phone:0655224644

ความคิดเห็น • 7

  • @aliyulukiza8857
    @aliyulukiza8857 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah

  • @hamadkhatibfaki9168
    @hamadkhatibfaki9168 ปีที่แล้ว +3

    Assalaam alaykum, samahani naomba shairi lile la mtu na mke wake waliozini bila kujuana

    • @mashairiyamwambao
      @mashairiyamwambao  ปีที่แล้ว +1

      waalaikum salam mbn kimo ktk akaunti hii andika kisa cha mama aliezini na mwanawe sehemu ya kwanza

    • @hamadkhatibfaki9168
      @hamadkhatibfaki9168 ปีที่แล้ว +1

      "Yule mwanaume alie olewa mke bila kumuona na mwanamke bila kujuana na muumewe, wakati mume ametoka safari yake wakakutana na mke wake bila kujua kwamba ni mkewe, wakaongea mawili matatu mwisho wakafanya mapenzi. Baadae wakaagana, mume anafika kwao anaambiwa mke wako huyo hapo na ndie walikutana kule mjini wakafanya waliyoyafanya, suali likaja je hili lilikua tendo la ndoa au ilikua zinaa?" Utenzi huo ndio ninaouulizia, nitangulize samahani kwa usumbufu

    • @mashairiyamwambao
      @mashairiyamwambao  ปีที่แล้ว

      saw nitajitahid kukutafutia

  • @naahmajengow2826
    @naahmajengow2826 ปีที่แล้ว +2

    Ally Samson........tenz zake zote hunikoshag