- 26
- 125 536
MASHAIRI YA MWAMBAO
เข้าร่วมเมื่อ 29 มี.ค. 2020
🇹🇿Aliy Samson🇹🇿
วีดีโอ
SHAIRI: KINYAGO CHA MPAPURE
มุมมอง 1462 หลายเดือนก่อน
MTUNZI: ALIY SAMSON MGHANI: MARIAM PHONE:0687297267
SHAIRI: KAKATAA KATA KATA KUSWALI RAKAA TENI
มุมมอง 1502 หลายเดือนก่อน
Mtunzi: Aliy Samson Mghani: Hamad Khatib Faki Phone: 0687297267 & 0655224644
SHAIRI, NENDA UKAISHI NAE
มุมมอง 852 หลายเดือนก่อน
mtunzi:Aliy samson(mtunzi kinda) mghani: Maya makame
ZIRO KASOROBO AKIWAPA VIDONGE VYAO MAWIFI
มุมมอง 1292 หลายเดือนก่อน
ukihitaji utenzi au shairi wasiliana na sisi kwa namba zilizopo hapo chini 0687297267
ziro kasorobo akilumbana na mwana kindengereko
มุมมอง 1552 หลายเดือนก่อน
ziro kasorobo akilumbana na mwana kindengereko
Shairi :kijiti mwilini
มุมมอง 1.4Kปีที่แล้ว
Shairi la kijiti mwilini Mtunzi:Aliy Samson(mtunzi kinda) Kwaalamsha kidarajani(Zanzibar) Phone:0655224644
UTENZI WA MAJIBU WA KISA CHA MAMA ALIEZINI NA MWANAWE
มุมมอง 11K2 ปีที่แล้ว
Mtunzi Aliy Samson(mtunzi kinda) kwaalamsha kidarajani (Zanzibar) phone:0655224644
UTENZI WA MAMA ALIEZINI NA MWANAWE SEHEMU YA PILI
มุมมอง 5K2 ปีที่แล้ว
Mtunzi Khamadi Ali Kombo (Dr mshiko) Magomeni Zanzibar 0655224644
UTENZI WA MAMA ALIEZINI NA MWANAWE SEHEMU YA KWANZA
มุมมอง 1.5K2 ปีที่แล้ว
Mtunzi suleiman Amour(Ngozi) Wete mchanga mdogo 0655224644
SHAIRI LA: LAITI
มุมมอง 1.4K2 ปีที่แล้ว
Mtunzi :Aliy Samson(mtunzi kinda) mghani:Maya Baby phone:0655224644
Shairi zuri la mtoto akimlilia mama ake na kumuombea dua baada ya kumzaa na kufariki
มุมมอง 8K2 ปีที่แล้ว
mtunzi Aliy samson(mtunzi kinda) Kwaalimsha kidarajani Unguja Zanzibar phone 0655224644 & 0687297267
SHAIRI LA AMENIHAMA KITANDA SABABU PESA YA DIRA
มุมมอง 8K2 ปีที่แล้ว
SHAIRI LA AMENIHAMA KITANDA SABABU PESA YA DIRA
Maasha allah yatatu pia toa
Mashaallah
Pole
Mashaallah ❤️
Hilo ni fumbo mpeni jibu
SHAIRI TAMU SANA, SAUTI TAMU SANA, HONGERA.
Shukran sana kak
Hongera kijanaa
Nazi uliichaguwa chunguni ukaitowa Kwa yakini ulijuwa hiyo ndo ya kuchukuwa Changa nazi ilikuwa katu haikuwa sawa Kwa zama zetu sasa koroma imekuwa nazi
Zama zinabadilika si hisia wala dhana Mbali masafa hufika Usiku huwa mchana. Wewe utafadhaika ukithubutu kukana Kwa zama zetu za sasa koroma mekuwa nazi
Nazi ilio koleni hupea na kuja chini Waliheshimu wahuni kutosogea pembeni Sasa zote za koleni shida kudondoka chini Kaa ukijitambu koroma sasa ni nazi
Minazi ilinawiri ya miji na vijijini Na wakulima kwa ari hadi nchi za jirani Waliweka tahadhari kwa minazi ya njiani Ishi vyema ukijuwa sasa koroma ndo nazi
Minazi ilijazia nazi na madafu pia Zilipea za Diria na makumbi kupikia Kipande hutozidia chakula kusarifia Kaka is ishi ukijuwa koroma sasa ni nazi
Mruhusu aswali mpaka rakaa 4😂
Subuhana Allah katawaliwa nabilisi
❤❤❤
Sanaa
Nini.?
Kaka ali kongole...mid man kutoka uroa hapa
Asant sana
Shairi shati la kuazima 1:05
Kongole kaka ali
Asante
mashallah ❤
Kitasa kila funguo kinafunguwa wazee wameona
Shairi bomba hiyo
Nazi koroma😂umepata hasara😂
Masha Allah ila naomba mutupe vitu vya Mr ZERO KASOROBO
Mashallah
Assalaam alaykum, samahani naomba shairi lile la mtu na mke wake waliozini bila kujuana
waalaikum salam mbn kimo ktk akaunti hii andika kisa cha mama aliezini na mwanawe sehemu ya kwanza
"Yule mwanaume alie olewa mke bila kumuona na mwanamke bila kujuana na muumewe, wakati mume ametoka safari yake wakakutana na mke wake bila kujua kwamba ni mkewe, wakaongea mawili matatu mwisho wakafanya mapenzi. Baadae wakaagana, mume anafika kwao anaambiwa mke wako huyo hapo na ndie walikutana kule mjini wakafanya waliyoyafanya, suali likaja je hili lilikua tendo la ndoa au ilikua zinaa?" Utenzi huo ndio ninaouulizia, nitangulize samahani kwa usumbufu
saw nitajitahid kukutafutia
shairi nzuri mno!
asant
Maashaallah muendelezo jamani
Ally Samson........tenz zake zote hunikoshag
asante
Kijiti mnh
mhh nin kak mohamed
Mashalah... Pole kwa kununuwa shardufu
Kaka mie nikiyataka mashairi yako yote unitumie nifanye vp mim ni mshabiki wako sana
nitafute kwa namba ya whatssap 0655224644 utayapata
Kiukweli mie nayapenda mashairi yako yote
asant kazi nyengine zipo njiani
Dah ili shairi ni noma Sana🇻🇮💯💯💯💯
shukran kaka
Mashaallah
Maya nitumie mawasiliano yako unaweza fatilia channel ya yangu malenga mtulivu
Mashaallah tabarak rahman
Shairi zuriii
Shairi zuri
Kijiti ichoo
Namuomba allah amrehemu shekhe husen hassan, amin.
Safi sanaa
Dah asee acha tuu🤣🤣
Asant bro
😀😀😀😂😂noma sana
Mashaallah, great job #malenga
Hongera kwashairi
Asante
Shairi zuri
Kazi nzuri
Sauti kinanda yaaa salam 🤣
Dawa yake kumuongezea mke tu huyu
Shairi tamu
Muache tu bana asikuzingueeeee