Kama vile nawaona wale jamaa wanaosema, njoo wewe halafu ukimleta mwenzio na mwezio akimleta mwenzake na huyo mwenzake akimleta mwenzake unakuwa bilionea !! Ukimtazama anayekwambia sasa hayo, kapaukaaa kama kagongwa na gari la cement !! 😂😂😂
🤣 🤣 🤣 Eti we nakuona umetoka kisakoni una sh. Ngapi daa 2000 ongeza kidogo Aa Sina haya toa hela. Mboyoyo bwege Sana halafu alipombana jamaa huoni Kapewa sh ngapi kumbe buku 2 tu
Kama unapenda kusikiliza uongo wa huyu mwamba weka like apa 😂
Jamaa ongoo
Sijaona mtu muongo ulimwenguni zaidi ya huyu mwamba 😀😀😀😀🔥🔥🔥
Nimeamua kunyoosha mikono 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 sio kwa kabobo hii
Yaani huyu jamaa anauongo soft😃😃unajua anachokiongea ni uongo lakin unataman aendelee kuongea 😀😀 au ndio kazi ya vijiti vitatu
😃😃😃😃😃Jamaa wanajua hawa hawapoi ni motoooooooo
😊 😊 😃 😀 😄 😁 🤣 😊 😃 daaah alivyo skia mwana jeshi
Akasema kwanini hawavaagi nguo zao 😄😄😄☝️
Aaah huyu mbwa ni muongo sana kudadeq😂😂😂😂
Wallh mm na Cheka xna wallh mtu WA Kwanza wakutengeza betry
Dah! Jamaa kiboko
Mboyoyo waogopa mwanajeshi 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏽
Daah huyu chizi muongo sana 😂😂😂😂 ila anaogopa wanajeshi
Uwarabuni jamani tena
Yani mupo vizuri..eti eeehhh
Ebwanaeeee
We mwenyewe helewa mambo ya kibinadamu, vijiti sikushauri 😅😅😅
Umeticha
This man is talented in comedy
huyu jamaa nomaaaa
Jambo na vijambo idumu milele🤣🤣 wanajuaa
WAKATI nazungumza nilikutajia naishi wap😂😂😂😂
Ila daahh jamani hawa jamaa ni zaidi ya comedy,Tunajifunza mengi na kuburudika nao.Hongereni mwendo huohuo
Absolutely amazing 👏
Nipe mkono, serikali, uchawi huniwezi.
Eti mkiniteka mmevuna mlicho kipanda🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Eti hii dawa haiwezi kupatikanaaa😂😂😂😂 mbiooo
Ila uyu fala anatuchukuliaje😂😂😂😂
Safi uongo
Ukizungumzia watu wenye uongo dunian uy jamaa namba moja hua namkubal kinoma
Eti kwanini hawavai nguo zao!!!
Mkiniteka mmevuna mlchokipanda😅😅😅
Hivi mnajua mimi benki yangu imefungwa sitakiwi kuingiza hela😂😂😂😂😂😂
Nomaah
Play don't worry by hakim sasha
Mboyoyo
Jamaa ni muongo cjawahi ona
Mboyoyo weeeeeee😂😂😂
Kutoka elfu 80 mpaka elfu 2 🤣🤣
Dawa kutoka 80000 mpaka 2000 😂 dah
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂!!! I love him! Certified in comedy
Abunuwasi
Billigate alianza kwa kutengeneza betri za saa ...Nilikuwa italian😂😂😂😂
Mnajua mpaka basi😂😂😂😂
Vitumbua na maharge ni zaidi ya zege 😂
Sio vitumua vya kawaida hvi 😅😅
Oy wadau huyu jamaa hakuna kbs
Uyu jamaa ni muongo dunia nziiima
Jamaa ana jua san🤣
Huyu jamaa izi kamba stak amin amekariri,nahc anatoa hapo hapo
Mboyoyo 😂😂🙌
Nimecheka kifala eti ukinuia mfanya kaz wandan utaenda oman jaman oman tunaona mambo kweli jaman😂😂😂😂😂
Hivi vijiti sikushauri😂😂😂😂😂😂
Nikiwa mkubwa nitakuwa kama mboyoyo
Uongo wa Maneno 10 hauboi, uongo mtamu sana.😂😂
Ety nijifanyeje?!! Hahaha Huyu Jamaa bhn
Kama vile nawaona wale jamaa wanaosema, njoo wewe halafu ukimleta mwenzio na mwezio akimleta mwenzake na huyo mwenzake akimleta mwenzake unakuwa bilionea !! Ukimtazama anayekwambia sasa hayo, kapaukaaa kama kagongwa na gari la cement !! 😂😂😂
😂😂😂😂kachoka balaa
😅😅😅
😂😂😂😂😂
VIDOLE 3👌😂😂😂😂😂😂
Kimeumana
Ila huyu jamaa kwa fix 🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
Tumia akili, hapa mjini😂😂😂😂😂😂😂😂
Namba ya simu nilikutajia????😂😂😂😂
Dah? Uyu jamaa bahna😁😁😁
Uyu mbooyo😁yo
Mwanangu huyu anayo degree ya uongo🤣🤣🤣🤣khaaa
Nipe mkono serikari 🤣🤣🤣🤣
Hahaha eti kwanini hawavaagi nguo zao
The best comedian🤣🤣🤣
Huyu ndio mtu pekee anayemchekesha joti
😢😢😢
Wewe jamaa ni muongo dunia
😁😂🤣 hivi nilikutajia unaoishi ,namba ya sm?😁😂🤣
Embu tusikitike😂😂😂
Hahahahaha mbwa nyie
Nani asiye mjua billgate
Eheeee,weeee kuna kitu utakuwa unakitaka🤣🤣🤣🤣
Mme vuna mlicho kipanda
Eti dollar 5000 Sawa na Shilingi Bilion 18 😂😂
acha tu
Mh
🤣 🤣 🤣 Eti we nakuona umetoka kisakoni una sh. Ngapi daa 2000 ongeza kidogo Aa Sina haya toa hela. Mboyoyo bwege Sana halafu alipombana jamaa huoni Kapewa sh ngapi kumbe buku 2 tu
Matapeli wengi mjn jmn jamaa hadi raha anafungua watu akili
Ety sifichi uongo
Buku 2 😂
🤣🤣🤣🤣mwanamke alkuwa na Sura kagongwa na train 🚆 lkni Kwa vijiti akawa madam wema 🤣🤣🤣
😂😂vitumbua haviliwi supu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂dah mmeua wazeee
Aaaaaah🤣🤣🤣🤣
nyie watu vpi mbona kimya saivi
🤣🤣🤣🤣🤣 heshima kwenu guyz
Yaaani sifichi uwongo wewe c kuli😆 utaapiga kazi mpaka Basi😆😆😆😆😆
Go wash🤣
🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥
Mwanajeshi tena hahahahhahahahahhaha
International liar criminal na hana script hapo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
His name please 🤣
Imagine 😁😁😁
Vijiti vitatu🤣🤣🤣🤣
Du 2000/=.
🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣⛽🤣🤣🔥🔥🔥💥💥
Muongo huyu
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Kuri😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣😂😂🤣😀🤣😀🤣😀🤣😀🤣😀🤣😀🤣😀🤣😀🤣😀🤣😀🤣😀🤣😀🤣😀🤣
kulia alie terere akilia bundi uchuro