ðŸ”ī

āđāļŠāļĢāđŒ
āļāļąāļ‡
  • āđ€āļœāļĒāđāļžāļĢāđˆāđ€āļĄāļ·āđˆāļ­ 26 āļ•.āļ„. 2024

āļ„āļ§āļēāļĄāļ„āļīāļ”āđ€āļŦāđ‡āļ™ • 4

  • @dianaleo6067
    @dianaleo6067 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Asanteni Sana Dadaz kwa kuongelea hili suala. Jamani tunataka haki kwa huyu binti. Watu tunaowaamini na kujua watatulinda kumbe ni wahalifu?? Mama Yetu Samia ingilia kati pls say something. Wewe ni amri jeshi mkuu wa nchi. Tuna taka haki!! Wananchi wako tumeumizwa sana na hiki kitendo walichokifanya walinda usalama wakoðŸ˜Ē

  • @NiceMwinamila
    @NiceMwinamila 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Mwanne umeongea vzuri sana dada yangu kwamba baadhi ya vifungu vibadilishwe maana et mtu anakana na sura ni yake!!!

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Hapo sasa kwa Afande mbona haonekani ðŸ˜ŪðŸ˜Ū ?

  • @KatanjeRajabu
    @KatanjeRajabu 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Mtu yoyote yule alie fuzu mafunzo ya kijeshi huitwa afande hata kama mgambo ataitwa afande, polisi ataitwa afande,n.k
    Ila haiwez kuingia akilini kuwa afande(mgambo)anaweza kuwatuma wakubwa wake?