NELEMI MBASANDO BATA BY LWENGE STUDIO ( official Video ) 2020

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 พ.ค. 2020
  • เพลง

ความคิดเห็น • 14

  • @wambalimuss6945
    @wambalimuss6945 2 ปีที่แล้ว

    Ukiona mwanaume mwenzio anagombana na mke wake usi mcheke weka akiba ya maneno usihadaike na kicheko unachopewa na mkeo. Iposiku nawe utachekwa. Mwanamke hatabiliki nisawa na kinyonga tu.

  • @alexselias9420
    @alexselias9420 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi msanii wa Asili kwangu ni Nelemi tuu asee ni best singer in sukuma song,, i miss ma home mwamapuli

  • @emmanuelcharles1442
    @emmanuelcharles1442 3 ปีที่แล้ว +1

    Nouma sana mzee..nelemi

  • @paujohn2193
    @paujohn2193 3 ปีที่แล้ว +1

    Sana nelemi so hao wenye majungu

  • @yusuphgwisuyusuphgwisu2219
    @yusuphgwisuyusuphgwisu2219 3 ปีที่แล้ว +1

    Lwenge studio

  • @kanengojidisha7987
    @kanengojidisha7987 4 ปีที่แล้ว +1

    mim ni kanengo jidisha toka Zanzibar hongera sana kutuletea wimbo mzuro

  • @philiberthoyaclassic2195
    @philiberthoyaclassic2195 4 ปีที่แล้ว +2

    Nelemi naķubali sana kazi zako ngoja nikusaidie kwenye magroup ya watsap uongeze viewers na uzidi kufahamika zaid ngalu

    • @LwengeStudio
      @LwengeStudio  4 ปีที่แล้ว +1

      Pamoja kiongozi tuendelee kuwapa support wasanii wetu kwa kushare kwenye magroup tofauti

    • @philiberthoyaclassic2195
      @philiberthoyaclassic2195 4 ปีที่แล้ว +1

      @@LwengeStudio vyakwetu lazima tuvikubali naona kama wajibu wangu kusuport

    • @jonhngosha2792
      @jonhngosha2792 ปีที่แล้ว

      Uko vizur sana Mzee

  • @philiberthoyaclassic2195
    @philiberthoyaclassic2195 3 ปีที่แล้ว +1

    Lwenge mbna wimbo wa zanzibar nautafuta humu siuoni au mshaufuta maana siuoni tatizo nini

    • @LwengeStudio
      @LwengeStudio  3 ปีที่แล้ว +1

      kulikuwaga na tatizo lakimtandao sach tena utaupata

    • @LwengeStudio
      @LwengeStudio  3 ปีที่แล้ว +1

      Kulikuwa na shida kidogo ila sasa imeshatatuliwa na unapatikana , utafute na ufurahie mziki mzuri

  • @latadotto8923
    @latadotto8923 4 ปีที่แล้ว +2

    Naona kituo Cha mwendo Kasi kwa pemben hapo