Earrings zina shida gani? Mwanaume ni mwanaume tu kama anajitambua, anajielewa, anajua wajibu wake na namna gani anapaswa kubehave kiume. Je,wanaume wasiovaa earrings na hawabehave kiume, hawajielewi, na wanafanya vitendo visivyopaswa kiume utasema huo ni nini??.
Kinalimaaa usikionee vileee 😂😂😂🙌🙌
Hawa jamaa wanapatana kinomaaa ndaro ft steve daah mungu awasaidie
😂😂😂😂😂😂 siongei na mbwa naongea na mwenye mbwaa 😂😂😂😂😂😂
Itakuwa amechimba choo kwa mama chuse😂😂😂
😂😂😂😂😂 napendaga ndaro anavoongeaga taratibu bila kutumia nguvu
Ndaro tz vipi mushkaji wangu mimi nipo Congo tuna wapendaka sana uku
Hii combination ya STEVE & NDARO ni balaa sana😂😂😂🙌🙌🇹🇿😂🙏🇩🇿
JEREMI
Nikukopwa tuu kila siku😂😂😂😂😂😂
😅😅😅 nilijuw nitakuwa wa kwnza jmn🙌🙌
Ety shukuru Mungu wewe wa kiume ungekuwa wa kike ukajiuza ungekuwa wa kukopwa😂😂😂😂jamani mtanivunja mbavu 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂nmecheka
HUYU GITWE MWEUSI KAMA PIPA LA MAWESE😅😅😅
Ndaro na Steve nawakubal sana mnafanya kaz nzur sana👏
You crack me up guys!😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Ushauri wa bure huo 😂😂😂
Ndaro msenge sana et kinalima usikione vile😂😂😂😂
Kana lima eka moja
Mwambie huyo huku anaibiwa 😂😂😂😂😂
Kazi nzuri
Pia wenye kutaka kujuwa yalipo ishia mahusiano ya TUNDARO gonga like
😂😂😂😂😂😂😂😂ila weusi mda mwingine
Rafiki yangu anamafua lakini 😂😂😂 tupo nae mwambie anioe mim mchaga 😅😅😅
This is underrated 😅😅😅 Steve ndaro go kill mee
Team inakaha kwa kweli ndaro na Steve
Pamoj san Wang kazenen ndug zang❤❤ mm nip Burundi tunawapenda sana
N kukopwa tu kila siku😂😂😂
superblack amepaka usoni 🤣🤣
haaaa kwamba ungekuwa wa kike kila siku nikukopwa ty haaaa 😂😂😂😂😂
Sura mkunyanzi cheusi ma😅😅
KAMA UMELIPENDA YA LEO ANGUSHA LIKE YAKO HAPA KWA UPENDOO
Stenda....
Steve na Ndaro❤... Mupewe Mauwa yenyu jamaniiih❤❤❤🎉🎉🎉
Ila Steve naomba tu nikwambie ukweli Ndaro ni mnafki 😂😂
Baba ako akipigaa mwambiee niko namtu wamuhimu 😂😂😂 umetishaa
😂😂😂😂😂steve analima heka kwa siku
Ungekuwa wakike alaf ukajiuzaa wew nikukopwa tu kila siku😂😂😂😂😂
😂ata mm ilinifrahisha hawajui ,weusi wanadau kubwa duniani kwenye vitengo ivyo vya kupewa hela kinoma yani
😂😂😂😂😂Stev eti sula yangu mbaya zuri 😂😂😂
Haki kidawa 🎉🎉movie zote mmmmmwahh
steve kweli mchesi, nakupenda toka Kenya
Kikuracho kiko moyoni mwa ndaro😂😂😂🤣🤣👊😘🥰🇸🇦👌🇧🇮
😅😅😅😅😅😅😅yamekukuta ndaro 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮
Baba ako akikupigia sim mwambie upo na mtu muhim😂😂😂😂
Team NDARO and STEVE MWEUSI njoooni Hapa Leo Masela Wametuleteya kitu kipya 😂😂😂
tumesha jongea tartiiiiiibuuu
Dalord
Ten la ushaur wa maan...😅😅😅😅..ila steveeee
nani kaskia Sura yangu nzuri mbaya? 😂😂 nipeni like za iyo sura 😂😂😂
😂😂😂😂😂mitipesaaaaa aaaah
Ndaro anamzunguka sana steve 😢
😂😂😂😂😂 najua siwivu😂😂
Hahahaha cheusi mangalaaa😂😂😂😂
Jamani nawapenda❤ xanaaa🎉
Steve❤Ndaro nawapenda sanaa❤❤❤❤❤❤❤Mungu aendelee kuwaweka pamojaa tunaenjoy sana
Ndaro noma sana kwa plain😂😂😂😂
Kumbe weusi niwakukopwa😂😂
Hhhhhh
Watoto wa kigoma tunuwane ap au family kutoka kigoma ambao tunamkubali mwanetu ndaro tz 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huwa msichelewe kutowa jmn😂😂😂
Daaaah eti kinalima sana😂😂😂😂
Ndaroona stive 🥰🥰🔥🔥🔥
Nakuamini sana Steve. Natamani nikuone siku Mika uso kwa uso hapa kwetu Congo R.D
Kidawa ni unblock kwa tiktok aki ni ronzanze😅😅😅
KAZI NZURI🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Munanivunja mbavu😂😂😂😂❤😘🥰🥰🇸🇦👌🇧🇮
Mitano Tena Mama Not Zinang'aaa😂🙌
haaa sula yangu nzuli mbaya ukipigiwa simu uspokee ahaa😂😂😂
Kwenye mitano tena ndo mtatufukuza wengine
Kabisa😢😢
Yaan kama mnapewa kdogo wasiwe wanasema 5 hatutaki hiyo kauli
Na Mimi sipendi kabisaaa.
Ndaro cheusi mangala 😂😂😂😂
Hatari sana aisee 😂dah😅
nakubali 😂😂😂❤❤❤
hi combination imeweza
Nauliza utatoa utoi😂😂😂😂
😂😂😂😂Utambulishwe online
Eeeeeeeeh aujourd'hui aujourd'hui aussi c'est nôtre jours 😂😂😂piga like apa
Nawakubali sana 😅😅😅
Kwahiyo wanawake weusi wanakopwa😂😂😂😂
Nipeni 1k subscribers wanangu
Kidawa apo umekoseya umesema mimi tena na hela mbele ya hela
😂😂😂, ila nyie majamaa noma bhn😅😅
ELA IMEISHA KAMA AVIATOR 😂😂😂
Ndaro herini za nini tena? Da! Nakukubali sana ila swala la kutoboa sikio umenikera sana. Hereni za nini mwanaume acha ufala
Earrings zina shida gani? Mwanaume ni mwanaume tu kama anajitambua, anajielewa, anajua wajibu wake na namna gani anapaswa kubehave kiume. Je,wanaume wasiovaa earrings na hawabehave kiume, hawajielewi, na wanafanya vitendo visivyopaswa kiume utasema huo ni nini??.
Et kinalima hata ekari kwa siku 😂😂😂😂😂
Tuna hamu ya kumjua Hamadi kijicho😂😂
Nawakubali Steve na Ndaro
TOP FAN KENYA
😂😂😂😂 kazi ipo
hahahaha ndaro bhna😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 et daaah
Hhhhhhh jmn like jpo 1 na mm leo
Mna michongo hatari sana 🤣🤣🤣🤣
akikosa tattoo tunaona 🤣🤣🤣🤣
Kaka natakiwa Hana brich tuletee huyo
nimecheka kwa nguv 😂😂😂
Comedy safi 😅
Ushauri wa maana huo😂😂😂
Ila Hawa masela bana,😃😃😃
Napenda urafiki wenu ndaro na sitive
😂😂😂😂😂uwiiii
Hahaaaa kaka Steve oa lakini napenda KAZI yako
Nawakubali sana🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mr Rama ❤❤❤
Daah mim huwa sicomment ila leo nimecheka had nimepaliwa ila steve😂😅😂😆😆
😂umezitoa wapi. Kz gani umefanya.wenda kulala😢
Hawa watu ni hatari🎉
Team ndaro wapi nduru wewe ❤😂
Unatoaa hutoiii 😅😮😢😂😂😂
Cheusi mangaraa😂😂😂😂😂
Hii mumeweza😂😂😂