Hongera baba umewekeza Kwa mwenyezi mungu hata binadamu asiposhukuru kwenye mwenyezi mungu umefanya jambo la kumshukuru mungu hiyo ni sadaka jaria kaka Ang ❤
Asante mheshimiwa mbunge wetu tunakuomba pia uje huku intel barabara ya by pass tunachangamoto yakalavat linatutesa sana msimu huu wa mvua maji yanaingia katika makazi yawananchi eneo husika ni boma kubwa ambapo maji hayo mengi yanatokea kwa diwani julias
Aache upuuzi wa kutuona wananchi ma bwege😢 ' na wanachi tuache kudanganyika Kwa vitu vidogo vidogo' huu ni wakati wa uchaguzi tukumbuke tutapetiwa petiwa Kwa Kila namna 'yeye ndiye aliyeleta ukwamaji wa stendi kujengwa na Sasa Anataka kufanya yale yale😢 .tukipewa Pesa tule ila huyu jamaa ndiye aliye chelewesha maendeleo ya Mkoa wa Arusha 'Hafai kuwa kiongozi wa Mkoa wetu wa Arusha
Kwanini ametumia fedha zake?????alikuwa mkuu wa mkoa hapo uwezo alikuwa nao tu Rushwa ya wengi tu changamoto ni nyingi mno barabara nyingi mbovu kama Olorieni mpka engutoto huko miaka yote
Kwanini serikali history pesa ya kufanya kazi hii. Hii ni moja ya kazi ya serikali. Na yeye kama mbunge kazi yake ni kuwakilisha changamoto zote na kuomba serikali Ifanye kazi hizi.
Hiyo ya maji ni haki,ila kama una akili timamu chimba visima vya kutosha na nunua luku,weka na hizo miundo mbinu. Wewe mbunge sijui una akili gani kwamba hayo masoko ya hapo Arusha bado zina changamoto?. Aibu serikali, yaani hata soko mmoja halijakamilika toka 1961?
Hongera sana mh. Usisikilize mbwa wanaobweka
Hongera baba umewekeza Kwa mwenyezi mungu hata binadamu asiposhukuru kwenye mwenyezi mungu umefanya jambo la kumshukuru mungu hiyo ni sadaka jaria kaka Ang ❤
Asante mheshimiwa mbunge wetu tunakuomba pia uje huku intel barabara ya by pass tunachangamoto yakalavat linatutesa sana msimu huu wa mvua maji yanaingia katika makazi yawananchi eneo husika ni boma kubwa ambapo maji hayo mengi yanatokea kwa diwani julias
safi gambo hongera
Aache upuuzi wa kutuona wananchi ma bwege😢 ' na wanachi tuache kudanganyika Kwa vitu vidogo vidogo' huu ni wakati wa uchaguzi tukumbuke tutapetiwa petiwa Kwa Kila namna 'yeye ndiye aliyeleta ukwamaji wa stendi kujengwa na Sasa Anataka kufanya yale yale😢 .tukipewa Pesa tule ila huyu jamaa ndiye aliye chelewesha maendeleo ya Mkoa wa Arusha 'Hafai kuwa kiongozi wa Mkoa wetu wa Arusha
Kwanini atumie fedha zake 😢😢😢
Wewe inakuuma nini akitoa pesa zake?Wacheni uhasidi.Huu ni msaada kwa wanaohitaji.
Safi San 🎉🎉🎉
Kwanini ametumia fedha zake?????alikuwa mkuu wa mkoa hapo uwezo alikuwa nao tu Rushwa ya wengi tu changamoto ni nyingi mno barabara nyingi mbovu kama Olorieni mpka engutoto huko miaka yote
Kwani inakatazwa.Wacha roho mbaya wewe.
Kampeni😅😂😂😂😂
Kwanini serikali history pesa ya kufanya kazi hii. Hii ni moja ya kazi ya serikali. Na yeye kama mbunge kazi yake ni kuwakilisha changamoto zote na kuomba serikali Ifanye kazi hizi.
Hii nchi ngumu,Kwan mda wote wahusika hawakujua afu Bado mnasm mama anaupg mwng
Hiyo ya maji ni haki,ila kama una akili timamu chimba visima vya kutosha na nunua luku,weka na hizo miundo mbinu.
Wewe mbunge sijui una akili gani kwamba hayo masoko ya hapo Arusha bado zina changamoto?.
Aibu serikali, yaani hata soko mmoja halijakamilika toka 1961?
Huyo muongo hayo maji alituonyesha wakati wa Magufuli
Pesa zaka wapi wakati kodi zetu
Ungefanya kabla yauchaguzi hizo ni ruswa ndogondogo kuelekea uchaguzi mwakani
Angachimba lini, maendeleo ni mchakato na sio tukio..!!
Kwann atumue fedha zake? Kwani anatafuta nn huyu
Huo wajibu wk & serikali kuhakish maji yap +umeme n road wajinga ndo watashangilia but waelewa khs kura nitakufikiria