Nyimbo hii nimeipenda tu mno umeimba na hisia kupitiliza😭😭😭😭🙏kuna baadhi ya wanawake wengi hupitia hizi hali maana ndio maisha sina bahati....hongera imeweza mno
Hongera Anjella…Pongezi kwa Manager @Jembe ni Jembe & @Nicole Joy berry kwa support waliotoa kwa hii ngoma ..hakika kuna message kubwa ndani yake ..Much love straight outta Qatar 🇶🇦
Hii ndo true Definition of #KONDEMUSICWORLDWIDE mziki mzuri mzuri mtamu mziki unaishi. Kaza Buti mpnz huu ni mwanzo tu naona jinsi unavyofika kimataifa... #KONDEBOY Mungu akuweke zaidi Brother. Quine anazidi kuwa wa moto
Wee mtoto mbn una jeuri kiasi iki Anjelaaa umeuwaaaaa. Weee ni fundi wa mafundi. Ujumbe huu umetugusa sana wanawake woteeee. Ebu naombeni like zenu jamani. Mtoto amemalizaaa uyuuu😍
Umetumwaaa Daa Anjelllaaaaa Unatumalizaaaaa.... Nakupenda bureeee... Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 sijui nikupikie pilau😂😂fanya kama unapitia kwa channel yangu tumpikie dada etu.. Tz tu nawapeeeeendaa 😍😍😍😍
Hawa ndo wanamziki sio kwenye sanaa mnatuletea magari sisi yanatusaidia nini vitu kama hivi nivinaingia moyoni #kondegang #sinabahati #anjella #harmonize NGOMA TAMUU KINOMAAAAAAAAAAAAAAAAA
Ahsant my mambo ni moto umeni weza dy kazana hakuna kuregeza dya yaniumeni weza hapa nymbo tamu sana dy one love ❤️Queen anjella mungu awe NA ww daima mashaallah 🙏💪
Kweli kizur Cha jiuza kibaya Cha jitembeza huyu mtt haitaji kabisa promo mziki wake mzur ndiyo unaomuuza Kama unamfili anjela weka like za kutosha konde 4life
Angela if you will ever happen to be in 254, then your number one fan suggests you do something with Jovial she has good vocals too... Ila hapa kwa sina bahati umetisha sana, mbona nimependa
Wallahi usiku wa kuamkia leo i dreamt that nilikutana na Queen na alikuwa kapona kabisa. My prayer that one day you wake up with full healing in Jesus name.🙏🙏. Love you so much Anjella❤. Keep on making Harmonize and team Konde gang proud👸👸.....endless support frm me!!💃💃
Kusema ukwl mm Anjella ni originally kw kuimba bac ndo naingia npeni ata like 10 from Kenya
Yap
Mm ni Team kiba toka Anjella kaimba hii nyimbo tamu sana hii ndio playlist yangu ya tatu baada ya Salute na ndombolo
Hongera Sister Angela like kwake
😍😍😍
Jmn Mimi ndio wa kwanza kucomment nipeni likes zangu kama una mkubali anjella
Dah.........2024 bado ngoma inaita hii❤❤❤
Kitu kizuri Sana
Love from Burundi 🇧🇮
Kali sana jaman bila hiyana kama umeikubali ngoma dondosha like tusikose bahati jaman
Kama kweli unamini mziki mzuli unapatikana konde gang siku izi gonga like apa. Parabéns Anjella 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Daa naangalia maudhui ya wimbo huku nikitoka na machozi mungu atupe wepesi tuishi vizuri na wenzetu.
Poa mwangu naku kubali toka Congo drc wewe ndio queen wa africa de l'est
🔥🔥🔥
Nyie nyie wimbo huuu jmn wimbo huuu mliodanganywa kwa vijineno gonga likes double double hapa ,anjela we ni konyo 🔥
😰😰
Anjela nifund
th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html
Ngoma moto🔥🔥🔥 likes za kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪zi wapi
Huyu dada yuko vizuri sana napenda sana kazi nyimbo zake
Nyimbo hii nimeipenda tu mno umeimba na hisia kupitiliza😭😭😭😭🙏kuna baadhi ya wanawake wengi hupitia hizi hali maana ndio maisha sina bahati....hongera imeweza mno
Jamani sijawahi pata like hata moja naombeni hata 10 tu, tuendelee kumpa love Anjella
Hongera Anjella…Pongezi kwa Manager @Jembe ni Jembe & @Nicole Joy berry kwa support waliotoa kwa hii ngoma ..hakika kuna message kubwa ndani yake ..Much love straight outta Qatar 🇶🇦
1m views in two days?wow! this lady will go far yaani
Yes
I love this angel nakapendaaaaaa eish umeweza Angela from 🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪
Katoto kanapendeza sasa jamaaaaani .......umekuwa mcharoo! This what we call BONGO FLAVA! MUSIC
Wangapi wana mpenda Angella 🇨🇩❤❤❤❤?
Hii nayo ni moto wa kuotea mbali jamani,,,,waaah! Nimeamini hapa kuna talent si kibandiko💥💥💥💥💥💥💥💥
hata kama nimechelewa nahomba ata like 50 twende kazi .
Duuh kumbe uyu sister yuko bomba sana....🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 KONDE GANG...kiboko ya kiboko
Balaa na nusu
Is it Mozambique?!
Umetisha mdada hongeraa yakoo uko vzr anjelaa Love you gonga like hapo chini kumsopport anjelaa.
🔥🔥🔥🔥🙌
Marobot wa Konde gang tujuane ... Hadi zifike milion 10 kwa wiki
Dada ndio unazidi kunoga hasa Kwenye sauti so unajua sana💥💥💥💥
Hiyo sauti yake kinanda ak,I like it😍
Kweli kabisa
Hii ndo true Definition of #KONDEMUSICWORLDWIDE mziki mzuri mzuri mtamu mziki unaishi. Kaza Buti mpnz huu ni mwanzo tu naona jinsi unavyofika kimataifa... #KONDEBOY Mungu akuweke zaidi Brother. Quine anazidi kuwa wa moto
Mungu amubariki sana harmonize jamani
🤲🤲🙏
Asante sister kw kaz njema
th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html
Yeah
Kondegang imewekaza fasi sahihi kabisa....#BlackAngelonFire
Ongera sana kwako Anjella. Wewe ni msani mkali. Nyimbo zako na za konde gang zina fwatwa sana uko DRC. Nina wa shukuru sana
Fire
UKo vzr dada akee anjelaa pambana zaid ufike levels kubwa zAid we support you tunaangalia video yako Mara 3×3 gonga like hapoo chini ndgu 🙏🙏🥰🔥🏃🏃
Uko vizuri Anjela wakimbize
🦅🐘❤️
Mm naangalia kwa kutwa ata mala nane mbaka xaxa yuko namba tano
Hatari San anjela
Bahati ndio sina yaan like za angellah sipati ila sifi moyo nakupenda bure kutoka 254
Kekekeke
Heshima kwako Anjella🙌🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸
Zuchu... Amepata compe..!!! Kaza Dada utafika tuu.... Nimekubali bonge la Master piece!! 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 Motooo...
Kweli qeen 👄wa konde music Ni shidah🔥🔥🔥 anaimba kwa hisia kari like za Anjella jaman sijawai pata lìkes 1000
Wakenya tupo wengi hapa...,tuendelee kumsupport Anjella aaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥
Naam kekeke
Wanaosikiliza ngoma hii zaidiya mara 10 naomba likes zonu please! From USA tunamkubali sana uyu mdada anaweza
Dah sister unajua sana sema ndy huna bahati
Mziki mzur hautaki maneno mengi ANJELLA piga KAZI unajua sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Angela uko juu
🤣🤣🤣💯💯
Haya sasa maroboty ya kond geng tujuwane kwa kwenda mujoni🔥🔥🔥🔥
🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥
Nakupendah anjellah nyimbo Kali video tamu Kama unakubalian na mm like twend sawa
Saana
Kama ivo tunasepa kidogo kidogo, chezea anjela wewe ❤👸
Naaam
Kweli sishindani naupepo kwambio 🔥🔥Congratulation
Kweli nakosa gisi ,ninge kupa like nyinggiiiiii,iyo ngoma ina nikizaaaaa,,ni kaali big up dada
Jamanii nipeni likes za angella from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪ama sina bahati 😢😢
she is a precious species @kondegany tunza vema uyu dada she is a big thing ............big love from +254
Wewe noma mashabiki wako wa damu Tupo kuendelea Kukusapoti Black Angel
Wow The black Angel 👸🏻✨ Oya ma roboti wenzangu twende sote 🔥🤞🏼 enjoy Gud Music
pamoja mpenz. Tupo
@@mahmoodalghefeili5370 one love 🤞🏼✨ KM
😂😂😂maroboti tupo🔥🔥🔥
😹😹😹😹😹😹😹😹😹
Tupo pamoja thus one love
Wee mtoto mbn una jeuri kiasi iki Anjelaaa umeuwaaaaa. Weee ni fundi wa mafundi. Ujumbe huu umetugusa sana wanawake woteeee. Ebu naombeni like zenu jamani. Mtoto amemalizaaa uyuuu😍
🔥🔥🔥
😍😍🙌🙌🙌
Anajua mpaka raha
🤣🤣🤣 unafiki
🔥🔥
Mm nimesharudi imefika 1 milion am so happy for Angela
Hii ni ya team mafisi,, thanks anjela for the song ❤️❤️👌👌
Duuuhhh mamangu we ni noma vbyaaaa,, respct kwk...!!!! Emb usisahau ku like
Nyimbo inachoma hatari
🔥🔥🔥
😍😍🙌
nishaujua uu mchezo wenu mtanikoma sasa.....
I won't stop viewing this song.. lazima tufike millioni usiku wa leo,🔥🔥🔥🔥🔥
Nice song
KM for everybody 🔥
Me too
Up,up sister anjella.will really appreciate en love you....
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nziki nzuri dadangu from🇲🇿🇲🇿🇲🇿 kamba umipenda ngoma drop likes hapa za anjella
Mnipee likes za Anjela ata Leo, kutoka Kenya
Dah huu wimbo mzuri mnooo jaman maana unanigusa kabsaaa naomba like hata 20
Sina bahati mie
Sina bahati 😰
Kwann huna bahat
@@tiffahenlly8871 kivp jaman au ndio kama mm
@@aysharahman3080 kvp Aysha jaman🤦🤦🤦
Kule wasafi wana wa posti ma demu zao... Uku konde gang ni Mizuki tu❤️❤️😂
Hhhhh
✨🔥
Kweli
😂😂😂😂
Jamaani huyu dada ni 💯🔥🔥 👏 big up Sana Angela
Umetumwaaa Daa Anjelllaaaaa Unatumalizaaaaa.... Nakupenda bureeee... Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 sijui nikupikie pilau😂😂fanya kama unapitia kwa channel yangu tumpikie dada etu.. Tz tu nawapeeeeendaa 😍😍😍😍
Lazima tumpike Queen anjella manake anaturidhisha anatupa vitu vilivyobora khadija
😂😂😂
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
🤭🔥👸🏻
kaz nzuli nakuombea kwa Allah Akuzidishie ujuzi zaid ya hapo
Ongera anjela. Wee noaaaaaa. Acha wazalau. Mwsho watakalisha. Makalio
Nimeisubiri saana na nimekua mtu wa kwanza kuitazama jaman hadi raha queen @anjella
Hawa ndo wanamziki sio kwenye sanaa mnatuletea magari sisi yanatusaidia nini vitu kama hivi nivinaingia moyoni #kondegang #sinabahati #anjella #harmonize NGOMA TAMUU KINOMAAAAAAAAAAAAAAAAA
sa gar linaingiaj apa akuna anae penda maisha magum huna ela
@@twalhassaleh8441 Kweli hela hana
Na ww kanunue lako
We sifia mziki sio unaingizia gari
@@kidexmouran7367 akanunue kama make mziki na gar wap na wap familia
Achaneni n Anjella hebu like znu 254🇰🇪🇰🇪maan ana tueka wnye furaha 2kckiza hii song
Uko vizuri dada Anjella.Endelea na moyo huo huo na sisi tutazidi kukusupport tuu..one love kwako...una sauti nzuri ya kuimba aki
Nina imani kwa mtima wangu ;atawafunika wale kina yahe🇰🇪🇰🇪🇰🇪 KONDE MUSIC HOYEEEEE....
Naaam
Ngoma kaliiiiiii sanaaaa kauapenda mzik mzuri gonga like🐘🐘🐘
Mziki Mzuri haihitaji masifa masifa.. hii kali Angella 🔥🔥 We are proud of you Black Angel ♥️
🤣🤣ety masifa masifa
Ngoma kalii sanà achen wivu daaa
Niliwaambia niliwacha masomo yangu Ili niufwatilie mziki wa anjella ❤️❤️❤️❤️
Angela nakuja kutowa mahari nikulete Burundi 🇧🇮. I Love your songs. Afu umenikubalisha sana. Bahati unayo. Njooo BUJUMBURA uone Bahati yako ilipo.
Mahali m 400
Mbona sina bahati ya kupata like za kutosha😭😭
Black Beauty Queen Sauti ya Dhahabu keep up the Fire Burning
Anjell ni mrembo sana nipeni like zake basi😍😍😍😍
Wa kwanza naomba like zangu aisee
Hii storyline nimeipenda sana
Big up 👊🏾👊🏾💯💯🙏🏾🙏🏾
Nimependa Dada angu ajella kwa nyimbo nzuri na tungo Safi big up San umenikosha moyo Wang san
Anjel hii nyimbo umenimbia mm paka umeniliza😭😭😭
Ahsant my mambo ni moto umeni weza dy kazana hakuna kuregeza dya yaniumeni weza hapa nymbo tamu sana dy one love ❤️Queen anjella mungu awe NA ww daima mashaallah 🙏💪
Kwa kweli Una Weza 💪💪Momy Mungu Azidi kuku Ongeza Ujuzi Zaidi 💕💕💕
Anjella Tz nakubali Sanaa ❤️❤️❤️❤️
Video kali sana jamani 🙏💪✍👑👑👑👑
Naombeni tu hata likes kumi jamani much love from 254🔥🔥🔥🔥👍👍👍👇
Nyimbo nzuri Angela 👌
Kalisa nae kafanya vizuri jamani
Nkwer
😍😍🙌
✨👸🏻
Love u angel
If you believe this is a Big Hit like the Queen's Voice twende Sawa🔥⛽
So sweet
✨✨🇨🇩🇨🇩✨✨Nice song anjella
Kweli kizur Cha jiuza kibaya Cha jitembeza huyu mtt haitaji kabisa promo mziki wake mzur ndiyo unaomuuza Kama unamfili anjela weka like za kutosha konde 4life
Sina bahat ya like 🔥🔥🔥
Nyimbo imetulia Sana hongera kwako anjella ,umetisha bi dada🔥🔥🔥
Nyimbo imeendana na video kiufupi umeeleweka 👑💖💖💖❤️
Asante Mungu kuona miguu ya Anjella imeanza kupona kabisa. Big up nyimbo nzuri.🥳🥳
Alaa Miguu ilifanya nini
umeona eee
Wapi.....alifanya nini
😍😍
Mungu amponye kabisa
Shetani haimbiwi pambio 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kabisa
1m Viewers already
Uchi :0%
Matusi : 0%
Mashairi : 100%
Kupendeza :100%
Sauti ,maashallah imeenda shule
Full confidence
.video clear, stor Kali, inaeleweka
The best comment of da year
Tisha sana
👸🏻🔥 Black Angel 👼🏻
Angela if you will ever happen to be in 254, then your number one fan suggests you do something with Jovial she has good vocals too... Ila hapa kwa sina bahati umetisha sana, mbona nimependa
Tulie Na Majonzi Ya Zungu Kuchomwa Moto Na Mpenzi Wake 😭😭😭 Like Hapa Tujiliwaze.
😰😰😔
Wenye tuko naangalia natuko natokwa machozi piga like 👍hapa
Duuh!!! Hii kweli magodoro yamelowekwa maji, Hongera konde gang kwa utunzi mzuri na video kali
Mjeshi endelea na hyo spirit ya kuinua young generation
Proud of you black queen 👑.... U are the best
Haya sasa official imetoka 🔥🔥 naombeni like hata 100k tuvunje record
Ok
Wallahi usiku wa kuamkia leo i dreamt that nilikutana na Queen na alikuwa kapona kabisa. My prayer that one day you wake up with full healing in Jesus name.🙏🙏. Love you so much Anjella❤. Keep on making Harmonize and team Konde gang proud👸👸.....endless support frm me!!💃💃
Kwani what is she suffering from 😭
Amen siz. She's very natural n beautiful. Above all, very gifted with good n the best vocals
@@liliansoinkan5550 she is suffering from leg problem
Dah!!! Nyimbo kali sana nimesikiliza dhaidi ya mala 💯 Ahsante Anjella kwa ujumbe mzito