Nakumbuka mbali sana...Hakika zilikuwa ngoma za taifa Tandika, Yombo, Kwa Aziz Ali, Mtongani, Keko, Kiwalani, Mikoroshini, Chang'ombe....Hakika TMK ni nchi moja na utamaduni mmoja
Yanikumbusha mbali wazazi wangu walizipenda hizi nyimbo za chiriku sana .mungu azipumzishe roho zao mahali pema peponi. Nasikiliza nakuzienzi jamani 😭😭😭😭😭 siamini .

Tamu za kale zinakumbusha mbarii sana dar nyota nawakubari zaidi ya sana hasa raha sana
Jaman unatukumbusha mbali sana endelea kutuletea
Kitamboo sanaa uwiiii nasikiliza nikiwa Oman watandika teme tujuwane
Kitambo Sana,hivi hawajamaa bado wapo hai kweli??
Kweli dunia tutaicha walimwengu tutawaacha
A see nimekumbuka mbali sana
Ni kweli sista. Kitambo mno!
Utatuambia nin watoto atomic jazz
Sasa hv bib sio mwali
Kitambo sanaa dar nyota
Hatari sana kaka!
Long time !! Dah!!
Miaka ya tisini nakitu hii,nakumbuka niko shule ya msingi,dah