NIWALE HUAMBIWA WAACHE KULA CHIPS ANYWAY BIG BIG UP EBITOKE 👏👏👏👏 MIMI MWENYEWE HUONA KILIMANJARO NIKIWA NDANI YA NDEGE NA HATA PICHA HUPIGA NIKIWA NDANI YA NDEGE BUT NIKIJA NIKIPATA CHANCE NITAUPANDA KILAKITU NI KUJIAMINI 🇰🇪🇨🇿
Alafu kuhusu kufika kileleni ebitoke ajafika kileleni amefikia kituo kimoja kabla ya Mlima uhuru akufika kileleni bwana ila nayeye ebitoke amejitaidi sana sana japokuwa akufika kileleni
Kupanda mlima ni kazi sana kuna hitaji stamina sana sasa kama wewe kazi yako ni kujamiiana ndio sifa yako huwezi kufika kilele ki rahisi ndio akasema ana jamiiana kwa ratiba.
ney haongeagi uongo nakukubali sana broo
SIMFATI LII ILA U SUPPORT YOU
NIWALE HUAMBIWA WAACHE KULA CHIPS ANYWAY BIG BIG UP EBITOKE 👏👏👏👏 MIMI MWENYEWE HUONA KILIMANJARO NIKIWA NDANI YA NDEGE NA HATA PICHA HUPIGA NIKIWA NDANI YA NDEGE BUT NIKIJA NIKIPATA CHANCE NITAUPANDA KILAKITU NI KUJIAMINI 🇰🇪🇨🇿
Kujamiana ..kileleni nimeelewa ujinga wa ney😂😂😂😂
Jembe la majembe 💪💪💪
Alafu kuhusu kufika kileleni ebitoke ajafika kileleni amefikia kituo kimoja kabla ya Mlima uhuru akufika kileleni bwana ila nayeye ebitoke amejitaidi sana sana japokuwa akufika kileleni
🤣🤣🤣hili jamaa kumbe mtambo duu kweli Ney umepinda. Hongera ebitoke
nay yupo vizuri naona mikoko ya maana imepark..maisha shikamoo
Yaaah Nyumbani kwake kabiiisa hapo ndugu.
Kimara hiyo
Ney wachane
Ila hii ishu ya kufika kileleni mmh.., imekaa kiwaki sana,. Bint kama Ebitoke amefika kileleni😛😛😛😄
Hajafika
Whorzah good mzee dingii kama mtu hakuelewangi c hatuumizi kichwa kwa wapumbafu 966#
Kupanda mlima ni kazi sana kuna hitaji stamina sana sasa kama wewe kazi yako ni kujamiiana ndio sifa yako huwezi kufika kilele ki rahisi ndio akasema ana jamiiana kwa ratiba.
Ney upo sawa salute
Nakukubali SNA nay
💪ebitoke
Madevu yao na breach zao wameshindwa kufika pale 😂😂😂😂😂😂😂
Kazi nzuri Kama unamkubali zuchu from WCB subscriber my channel
Yaan we unaboaa saan
Bitoke mbio zake zimemsaidia 😂😂😂
Nay,umenichekesha sn
Ebitoke Hongera mamy,Bila Shaka unafikaga sana kileleni kwa bedroom vzr Kama Mie...
😂😂😂😂
@@promonluther7328 katika wanaume wa dar nimegundua mwana f a ndio Mwanaume kwa kufika kileleni na mkewe
@@promonluther7328 nasubiri ebitoke nae,ila amejitahidi sana ebi wangu
Wengine hatutaki kujionesha et 😀😀
@@promonluther7328 hahaahhaha,Hata Jioneshe Tukujue
Ebitoke challenge.......💪💪💪💪
Wanaume wa dar hao
Unafanya makusudi kuchezea simu huku interview inaendelea kuwa na heshima ma boy true Nay Wa mitego
Halafu waandishi mnapenda kuleta chokochoko.hamna ishu za maana mnapenda kuwahoji watu watata.ujinga mtupu.dizzim mnafeli sana .
Ebitoke ajatumika sana
Na madevu yaoo hahahaha😂😂😂😂😂
Mwanahume anasifiwa kazi siyo kukurupuka kama lipumbavu fulani ivi
ebitoke hakufika kileleni she really tried
Ebitoke kafika Kilelen 😂
Wanaume wa dar hawana ubavu huo wakufika kileleni
Nay we n mav
Ney unapenda kujitapa babu
Jamaa fala sana huyu hivi unadhani kufika kule juu sio suala rahisi, bila kujali umaarufu waka nini hata ww hauwezi fika kule juu
Km nah no msenge c uend ww ss
Ratiba ya kujamiana 😂😂😂😂😂😂
Hivi kwanini kila kitu mnafanya kama mashindano
Upuuzi mtupu
Mmmh ney
Nan kaona mark X na mandinga mengine nyumban kwa nay
Hyu mpelken kuongea ma2c 2 point akna xo kma kna mshndno ya m2c mplken
nilitaka kushangaa eti wala chipsi leo nisikie wameweza kupanda mlima kilimanjaro...
chips zege utafikaje kileleni
Wanaume Wa Dar Bilabila Wao Chips 2
Yec
😀😀😃
Hili jamaa ni bogus sana. Linazungumza utumbo.
Ney ww auwezi kunishinda kucheza ps fifa
Ati ninii ☺️☺️☺️☺️
Aongeze sauti
Mbna hukuenda wewe au kama unajua watu hufia uko mbna wabonga pumba😏
Icho ndo alichokuwa anakitaka, atafutwe afanyiwe interview mana alimis sana kufnyiwa interview fala uyo., 😁😁😁😁
😂🤣😂😂😅😅😃😃😃😃
Hahahhaha kweli alikaushiwa sanaa
We ni mjinga mjinga kila siku wewe tu mbona mb dog haongei ovyo kama wewe msengemsenge
Huyu jamaa simwelewagi kabsaa.
😀😀😀😀😀Nay bhana Ebi anaratiba ya kujamiana ndio maana kafika kileleni
Unafki tu una lolote toa nyimbo nzuli
Kwani kufika nilazima uyu ney anaga akili ata kidogo waga anaropoka ropoka ili asifife tu
Dzzm mwmbien hyo afnye mzki mzr xo kuongea shit w2 wnatym table zao
Wanaume Wa Dar Bilabila Wao Chips 2