Pluto look for that lady n we can support her akue na kwake coz she will still go through alot in the name of hana kwa kuenda...jst fix urself in her shoes 😢
Hii ci poa ata kama umeeka huyu Dem kwako surely 😢😢😢hufai kucheat ata kama mimba ci yako 😢,,, babygirl hufai kukaa na huyu msee tena ata cheat sasa zaidi just move on na utoke kwake
You have no right bro. Hiyo mambo ya kusema uko na right achana kabisaaa. If you conversed na mkakubaliana and no one forced you wacha upuzi wa kusema right. Ukileta ugonjwa umpee pia ni right. Unaboo bana we are men but acha tukushoo ukweli
Hii ni noma though i pity them all, hakuna mwenye amedecide to quit the previous relationship, they r living in denial which is very dangerous especially to the girl, having in mind she is expecting a kid.....
@Thee Pluto fuatilia uyu dame atoke kwa huyo boy ,He doesn’t love him ,Kama angekua anampenda hangecheat,,He’s not even sorry for cheating,He’s just taking advantage of this situation
Hii jamaa ni mbwa tena nongwe mkubwa. He is just taking advantage of this girl's situation in the name of nakupatia mahali pa kukaa juu ako na ball. Young boy, man up or stop wasting this girl's time. And I promise you, you will one day pay for your deeds.
Mungu nikiwahi achwa nikiwa na mimba please God give me courage I take it positively na nikipenda according to the situation.Aki huyu demu eti anaambiwa anakaa kwa nyumba kama dawa😂😂😂.
Huyu hata ukimwi hataletea huyu dem ju anamtumia ju hana pa kwenda pluto follow up utupee no ya dem tumtoe kwa huyo jamaa ju this dem atapatwa na depression will kill her we can assist her mapema
Gal jitoe,he has audacity ya kusema he have rights to cheats coz huna choice 🤦♀️boychild you weren’t forced to keep her 🙏he’s taking advantage of your situation
Hii ni mapenzi ya huruma, the girl is desperate ju she has nowhere to go, the guy has no remorse ju anaona he's doing a favor to the girl. Pluto waambie waachane
😭😭😭 be honest huyu dem ajitoe tw life ni ngumu lakin weee mtoto wake mweny ajaona anamuitaji 😢 huku kwa comments wakitoa mchango ya kurent hao dem atafute kitu ya kufany ata km ni kuuza nyanya better than kuforc issue 😢😢
Kijana ni joker mdem ako desperate anabebwa wana juu Hana place ya kuenda!! Anyways weuh utalia kushinda huyo mtoto juu utajifungua na akuache kwa mataa( tafta wasee wa kwenu msichana
Mwanaume ukikosa pesa yako na huna kazi ni kitu mbaya sana unaweza tumiwa kama tissue in my side i will marry not get married akileta upuzi yake ndio atakiona nanimeenda🚶♀️🚶♀️
Pluto let's support this girl ❤
I support
I wish ataona hii comment coz huyu dame hana maisha na huu jamaa haki
Pluto l wish ungeeka phone number yake watu wamrushie kakitu aeke business juu hapa hana maisha na huyu jamaa
Pluto look for that lady n we can support her akue na kwake coz she will still go through alot in the name of hana kwa kuenda...jst fix urself in her shoes 😢
Very true
Ata kaa umepitia mingi bby girl just toka Kwa uyu boy atakutesa in the name of huna place ya kweda
Watch zangu pia pl😢😂
True ajipange kiplan atoke
Dem pia ni mbaya mbona usave number ya x my love aaai wanafanana too mm siezirudi kwa x
@@JaneJanny-m9r alisahau kudelete 😅😅😅
Very true
Hii ci poa ata kama umeeka huyu Dem kwako surely 😢😢😢hufai kucheat ata kama mimba ci yako 😢,,, babygirl hufai kukaa na huyu msee tena ata cheat sasa zaidi just move on na utoke kwake
Nani mwingine anasoma comments
Mimi✋
Mimi@@mungaiann8625
Nipee like zangu mafans wa Pluto😂❤
My fellow lady....never stoop low due to life challenges....love yourself first....that guy is taking advantage of the situation
Exactly
Very true and she'll eventually feel worthless due to how the guy will treat him
It's easy to talk,,,, when it's not you wearing those shoes,,,, but ajikaze aache huyu
@@loreignjoy9919ni juu hana pakwenda haki
@@loreignjoy9919 she should work for an alternative atembezee,for now si rahisi juu dem hana otherwise
You have no right bro. Hiyo mambo ya kusema uko na right achana kabisaaa. If you conversed na mkakubaliana and no one forced you wacha upuzi wa kusema right. Ukileta ugonjwa umpee pia ni right. Unaboo bana we are men but acha tukushoo ukweli
Hapa umenena 💯
Hii jamaa ni mbwa tena nongwe mkubwa. He is just taking advantage of this girl's situation in the name of nakupatia mahali pa kukaa juu ako na ball.
Hii ni noma though i pity them all, hakuna mwenye amedecide to quit the previous relationship, they r living in denial which is very dangerous especially to the girl, having in mind she is expecting a kid.....
Pitia zangu pia please 😂
@@worrylesstv alright
My advice angetoa ball juu hakuwa ready God angeelewa😢😢😢 but thats not the advice wajameni dont get it twisted
Hujakosea kutoa ndio option apa
Very true😹😹😹 aitoe tu afikirie kuanza maisha tena sasa… mistakes happen
Dat not good advice
Huez jua huyo mtoi atakuja kua nani badae amsaidie mam akee
Who told you ati God angeelewa? Two wrongs don’t make a right! You fornicate which is against God’s will and then you kill? Kuwa serious aisee
atleast nimefika mapema leo.. I love these loyalties test.. Kama Ni kukopa bundles ni sawa tu bora niangalie
Power of jaba cheers my guy😂😂😂...kumbe tumebaki wachache kwa hii Dunia...Aluta😂😂
Hapo tu
Huyu jamaa hakai vitu anafanya. Anakaa msee wa keyboard.
😂🤣🤣🤣🤣🤣
Khai😂😂😂😂
Waah😂😂😂 nimenyongwa vile ulikuwa unataka😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂unatuma nicheke why😂😂
Enyewe keyboard si kazi
Pluto nitafutie uyu dame nimsaidie
Team strong nipitieni please 🙏🙏❤❤❤
Nipitie please 😂
Woiye, huyu dame aki... Situations zingine aki humbles msee vibaya but better nifulie watu nguo if I don't have anything else to do.
Aki ukweli mama
I feel for this kagirl ...I wish I could help her
That lady is in a bad situation. Hana place ya kuishia na boy anachukua advantage. Tafadhali be careful out there 🙏
My gal ruunn..hiyo n advantage kwake juu ball c yake
Among the top viewers.Nipe likes
Pitia zangu please 😂
Guys support mama jimmy please 🙏😂
😂pitia , zangu pia please 😂
😂😂😂
@@worrylesstv okay
Aki uyu dame anafeel vibaya TNA sana,just bcz hana place ya kwenda?so sad aliachwa na mimba BT uyu nae atamuacha na virusi pamoja na strong hurt break
Pluto unamsanitize alafu umuache na humsaidii jiekee kwa kiatu ya huyu dem
This guy is really taking advantage of the girl's situation
It is true... I feel like it is my sister I wish I'm leech I could take him away from that boy
Guys tutafte subscribers tufike 1M kwa thee pluto show🎉🎉🎉🎉
Wapi nduru ya thee pluto show 😂😂
Pitia zangu please 😂
Yaani 20mins nathani Mimi ni WA kwanza wapiiii😅😅😅😅😅😅
Iza 😂😂😂😂😂
Inauma lakini😂😂😂😂
😂pitia zangu please 😂
😂😂😂😂
Never take advantage ya msee ju umemueka mazee kuna God uyu boy atakuja kulipia a very big price ya kutreat huyu dem hivi ju hana uwezo
Jamani pluto tueke number tusaidie huyu dem woiyeee
God this not good this gal is going through alot
Nipatie. Huyu dem nikae naye plz hadi ajifungue plz
This gal belongs to the street!!! My love na aliruka mimba???? Yooh
hana akili huyu
Wee
Pluto pliz saidia huyu dame huyu mwanaume anatake advantage
💔aky dem anajifanya tuh Fala coz Hana place ya kuenda 😢it's hurting by the way 💯this guy is taking advantage fr
@Thee Pluto fuatilia uyu dame atoke kwa huyo boy ,He doesn’t love him ,Kama angekua anampenda hangecheat,,He’s not even sorry for cheating,He’s just taking advantage of this situation
according to maisha huyu dame amepitia ..hafai kuaintact na aman apart from huyu boy,😔😔
😂 arudie baba ya watoto
Nipitie please I do comedy 😂
Arudi kwa baba mtoi huyu atamtesa
@@mildredpriscah1069 manzi ni manipulator
Huyu mtu anajipiga kifua ju ameeka dem. Eeh heri tu huyo dem atoke huko ju more is coming for her. God will open a way for her and the baby
Huyu jamaa anaitwa deno awache ufAla hii ni acting 😅😅😅
Pitia zangu pia please 😂
Alaa😂😂😂kairetu
Uko sure si reality
Unashout kwann sasa😹😹
We were in the same college hii ni ufala😅😅
Hii jamaa ni mbwa tena nongwe mkubwa. He is just taking advantage of this girl's situation in the name of nakupatia mahali pa kukaa juu ako na ball. Young boy, man up or stop wasting this girl's time. And I promise you, you will one day pay for your deeds.
huo dada ningekua yeye ningetulia nikalea mwanangu
Baby girl be ready to move out coz any time he will chase you out
Huyu Dem nimjinga kiplan ATI ooh nibeshte yangu alikua ananitaka na mi simtaki , sa nani amekuuluza hio yote unajiseti mwenyewe 😂😂
Kutoa mimba ni shii ngapi niokolee huyu mdada... deputy Jesus hello
Mungu nikiwahi achwa nikiwa na mimba please God give me courage I take it positively na nikipenda according to the situation.Aki huyu demu eti anaambiwa anakaa kwa nyumba kama dawa😂😂😂.
mkuu lakini si ume make it in life,, yani only hours na uko 19,224 views👏👏👏congrats sana
Hata kama amechit he is humble na ako n roho poa kulisha mtu wa boli yenye Di yako
😂😂 Pitieni Videos zangu pia tucheke kwa pamoja 😂😂😂
Huyu hata ukimwi hataletea huyu dem ju anamtumia ju hana pa kwenda pluto follow up utupee no ya dem tumtoe kwa huyo jamaa ju this dem atapatwa na depression will kill her we can assist her mapema
Huyu boy wa jacket ya black na yellow si ashai kuwa kwa loyalty test wadau?? Ile ya dem ameambiwa na maggie anacheat??
Madem mumejionea huyu mwanaume ataishi kukutakia advantage juu ya ball
Hope pluto anasoma hizi chats ..juu uyu dem akh😢
Gal jitoe,he has audacity ya kusema he have rights to cheats coz huna choice 🤦♀️boychild you weren’t forced to keep her 🙏he’s taking advantage of your situation
Nipitieni please 😅😂
Pluto sanitize baddies sasa 😢😂
Mm kuliko nikae n mtu ka uyo better niende niishi kw streets ,,,,uyo dem anatoa wp energy y kumbeg ,,,,,aty atamforgive ,,,,over my dead body
Hii ni mapenzi ya huruma, the girl is desperate ju she has nowhere to go, the guy has no remorse ju anaona he's doing a favor to the girl. Pluto waambie waachane
pluto plese for your kindness sir look for this gal am sure she is going through alot we can support
Design huyu dem atateswa hoooi
indeed he is a gentleman apewe makofi na mungu ambariki
Hey Lady,toka tuuu.Kama mse anadai ataendelea kuhave fun jo
When are you coming to Nyandarua county please
Mwenye hii mimba aongeleshwe😅 huyo mtoi akikuja anaeza pata shida sana
Mm naeza jitoa Idk where I'll start from BT heri kujitoa mapema ajue mtoi hatamshinda apo mbele akue independent
Tumsaidie Thee pluto juu huyo dem atateseka
Waaaah Haina haja ya kutake advantage juu hauna place mama pia wewe unafaa kujipanga aki 😢😢
Mimi boll haitanifanya nikae na mwanaume kama huyu
Pluto mm nikikuona natoka mbio 😂😂😂staki kupigwa mm....#team strong❤❤
#teamstrong 😂😂
Nipitie pia please 😂
Why is the gal still calling him babe 😢🥺
Ako desperate anashidwa aende wapi
@@susanmwangi-v1e Aki
Tupee number ya huyo dem
Wa kwanza hapa joh sijui kama mtaa nisupport 😮
Pitia zangu please 😂
This is craziness
Huyu boy,anatake advantage
Uyu dame akuje nimweke adi azae,uyu boy atamtesa in the name hana kwa kuenda😢
am laughing and crying at the same time Ngai
Wooiye 😭😭😭😭😭😭nimehurumia haka kadame aki...Kako desperate Sana ,,fuck Yani nikae place nikijua mtu ananicheat aki🙆🙆🙆sigweeezi
Uyo dem anatulia ju hana otherwise
Nipitie pia please 😂
STOP ZOOMING IN ON THE WOMEN'S BODIES!!!
We Pluto imenoga kwa kidogo tu.😅
Aki situations can make you suffer,waahh😢
Big up Pluto. Wapi likes za pluto🎉
Huyu dame anajitia kitazi hapa😢
Ataenda kuzaa ajipate n magonjwa🫢🙆
This girl is merely in need not in love with this guy
😢😢huyu dem anaongea na wanaume wengi😂😂
😂pitia zangu pia please 😂
Gaslighting full force
The girl is so desperate woie😢
The girl is so desperate woie😢
sharon anadanganya watu apo the pluto uyu ni my neigbour mwambie akuje nimuinyeshe baba mtoto...uyo kijana asikaliwe
😭😭😭 be honest huyu dem ajitoe tw life ni ngumu lakin weee mtoto wake mweny ajaona anamuitaji 😢 huku kwa comments wakitoa mchango ya kurent hao dem atafute kitu ya kufany ata km ni kuuza nyanya better than kuforc issue 😢😢
Yoh! This mama. If audacity was a person.
Camera man Gotha tena......Alfu kwan dem hana meno😂😂😂😂😂
Kijana ni joker mdem ako desperate anabebwa wana juu Hana place ya kuenda!! Anyways weuh utalia kushinda huyo mtoto juu utajifungua na akuache kwa mataa( tafta wasee wa kwenu msichana
Pluto huyo damu anafa kusadiwa ....huyo boy atamuletea magojwa aki
Huyo dem ajitoe
Road to ONE MILLION SUBS🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
Pitia zangu please 😂
Oooh my God 😢 😢 this gal
Mwanaume ukikosa pesa yako na huna kazi ni kitu mbaya sana unaweza tumiwa kama tissue in my side i will marry not get married akileta upuzi yake ndio atakiona nanimeenda🚶♀️🚶♀️
My baby gal just leave that man ningekuwa wewe ningezunguka nkifulia watu so long as Niko Na mikono Na miguu
Wueeh 😂😂😊
Huyu boy anajiona sana bana aiiiiih😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔