Nchi ngumu sana hii maendeleo yatachelewa sana bila kupata katiba mpya, watu wote ni kumsifia mtu mmoja tu hakuna nchi iliwahi kuendelea kwa style hiyo.
Shida vijana wetu hawa wanamadeni makubwa, sasa msaada ni serkali, alikopa pesa kumlipa diamond 400m na kidogo walimpa sasa wadhani atakuwa ACT haiwezekani kabisa
Hayo ndio Mambo serikali inaweza ila kutoa hukumu ya kifo dhidi ya ukatili wa kijinsia wa watoto Aaaaaah. Ku enjoy tu hakuna Amani watoto wana lawitiwa watoto wana potea. Nyie siasa tuu na ufisadi. 😢😢😢
Ikiwa kama viongozi wanafurahia tu vijana wawe washabiki wa misic na mpira? Na kama viongozi hawapendi kuwa chukua vijana kwenye siasa na vijana wanapo toa mawazo yao na ku challenge uongozi wao wanawauwa je? Hii ni nchi au ni empire ya wachache
Konde boy for life ❤❤❤❤ love you from Kenya 🔥🔥🔥🙌🙌
Ayo abari za konde ndo tunataka❤❤❤❤❤❤unatukosha good🎉🎉🎉🎉
Kizimkazi imenogaa na Mama kizimkazi🤔KUMEKUCHAA Wasanii wameliamsha Dude Ndani ya KIZIMKAZI🎉🎉💝
N Chanel namba ngap kweny Azam tv
Shabiki wa JESHIII gonga LIKE ❤
Pamoja familia
Huyu jamaa kwenye kampeni anafaa sana oyaaaaa Jeshi enh mwambie basi mama kukaya kuno nanga barabara nanga medi yaan eenh
Mama samia Jembe Sana ....ITOSHE KUSEMA...KAZI IENDELEEEEE. By Leggy Music Tz mafinga iringa Tanzania
Kabisa jeshiiiiiiiii salute salute ❤❤❤❤
Konde mjesh ni mwamba jmn khaaa nimefurah
❤❤❤❤❤❤ nakupenda sana harmonize
rudi kamsikilize Roma Derby PAKA&PANYA
Jeeeshii
Kuleni nchi vitu vyajabu mama anafanya kunawatu wanakufa madawa hakuna mbwa nyinyi
Pole
Umeuwa mzee wanguuuuu
Nini lengo la hili kongamano
Baada ya kizimkazi kuitika ndo Kongamano kuwepo
Cheki dakika ya 5:10
Shoo za harmonize majukwaa yawekwe vizuli atakuja pita na jukwaa
CR7 OF MUSICS ❤❤❤❤ FROM TZ NANI ANAPINGA MANA ANAUOIGA MWINGI FUNDI
Kuna nini huku mm sijui mnijuze
Kwa macho ya nje na ndani mama samia anampe sana harmonzie
Unataka kuniambia analiwa kipochi manyoya?
@@jamesdismas4884acha usenge huyo ni sawa na mama yako fala wewe, na wewe mama yako analiwa na nani?!
Hata magufuli alikuwa anampenda Sana harmonize alitaka hata ubunge
Mjomba mwenyewe magu alikuwa anampenda hamo
Dogo ameshalipa Bank au vipi😅
Nchi ngumu sana hii maendeleo yatachelewa sana bila kupata katiba mpya, watu wote ni kumsifia mtu mmoja tu hakuna nchi iliwahi kuendelea kwa style hiyo.
It is a rubbish dump
gobbled up by the
tender, innocent village of toads.
wataka usifiwe wwe au mjinga sana usopenda maendeleo ya nchi
Kizimkazi Ina lenga nn Zaid inaongeza nn 🤣😂 February up to April 2024 sukari na nataka zote hazitamtika
@@americanboy148maendeleo ya nchi gani
Weeee bwege katiba ndo inakupa pesa?
Kizimkazi imeitika sana 🔥🔥🔥
Namsubiri mwanangu Roma na Wamitego!
Meshindwa kutunga nyimbo ya kupnga ukatiri yule afanye ariofanya kwa Binti yule wasani hamna uzarendo kabsaaa
Duuuuuh😂😂😂 kweli kulinoga❤❤❤❤❤❤
Bomboklaaa jeshii❤
Uchawa mwingi kazi hakuna kila mwana ccm anafikiria genji tu pesa za bureee
Matapeli wote tena ni usenge tu😭😭
Oya millardayo mwambie harmonize aweanawanunulianguo madancer wake sio kuvaa yanga day na kizmkazi wanavaa izoizo mbona yeye kabafilisha
Shida vijana wetu hawa wanamadeni makubwa, sasa msaada ni serkali, alikopa pesa kumlipa diamond 400m na kidogo walimpa sasa wadhani atakuwa ACT haiwezekani kabisa
Hakuna kama kondee LV u
Kuakiongozi rahaaa. Ona harmonize anavyoo anguka kama limzigooooo😂😂😂
Steve wamichano nanyimbo yamama samia nampenda kwel lakin sijui atanamnayakumfikishia ujumbe au nyimbo mama samia
Mwenye alifunza konde hii style😂
Kwenye Azam TV n channel namba ngapi
Hayo ndio Mambo serikali inaweza ila kutoa hukumu ya kifo dhidi ya ukatili wa kijinsia wa watoto Aaaaaah. Ku enjoy tu hakuna Amani watoto wana lawitiwa watoto wana potea. Nyie siasa tuu na ufisadi. 😢😢😢
Ndo mana nampenda dplatnumz Hana mambo za ktoto
Ngoja niangalie zangu clip za mapishi Tu. Na watu wanaokaa alaska
We shoga hatuna haja ya mungano we mbwa harmonaiz kumbe we shoko
Na bado hatuuvunj na tutawavuna nyie wangese
@@josephosborne3072 we mbwa jua kuandika kwanza kubwa zma school zero jivunze kuandika
@@SuleimanMussa-x5i ahahahah soma tena sms yako,,kumbe wote hatujui kuandika,,,jivunze..sawa nitajivunza
Uchaw
Kipenzi Cha masela
Inaendelea vp asa
Bongo kisingeli 😂😂😂 promotion
Hii nchi bana😂😂
Konde anajitaidi ili apate mpunga kutoka kwa mama akalipe CRDB
Hahah we jamaa😂
Was looking for this comment
😂
akawalipe crdb sasa jamaniiii udugu wangu😂😂😂
Ila harmonizeee
Msimlaulu konde boy mziki ndo kaz yake
JESHIII🔥
Husseni mwinyi akafanye kwao nae mkuranga
Sawa kabisa
Jeshi🔥🔥🔥
Rayvan kampa na kitu kizito
Kule simanjiro wanalia maji huku wanacheza vituko,nchi hii bhana
Maji yatàfika tu
❤❤️❤️❤️❤️❤️❤️
JESHIII🎉🎉
Safi sana
Kwan jaman kunanin uku m sijui nasikia t kizi mkazi
Alipe hela za crdb
Watanzania tumekosa kazi Ni kumburudisha tu mama samia hatujui madeni tulokopa yatatubana baadae tushindwe hata kupumua
Wewe ndo umekosa,usiseme tumekosa wangapi?
Huyo aliye jukwaani msanii hiyo ndo kazi yake so ulitaka afanye nn?
Kweli
❤❤
Ikiwa kama viongozi wanafurahia tu vijana wawe washabiki wa misic na mpira? Na kama viongozi hawapendi kuwa chukua vijana kwenye siasa na vijana wanapo toa mawazo yao na ku challenge uongozi wao wanawauwa je? Hii ni nchi au ni empire ya wachache
Lol.. last
Mimi wakwanda riki zangu hapa ❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Ifike mahali harmonize amalize tofauti zake na hiyo staili 5:10
😂😂😂😂😂 kwakweli
MZOME WA MZOME ANAJUA KUTANGAZA BANA TAZAMA HAPA 🤣🤣🤣🤣🤣
th-cam.com/video/Tg6vzUMW9zw/w-d-xo.html
Wa kwanza kucomment nipen like zangu
Wasanii wa bongo wote chawa wa Rais wao wanasifia tu hawajui kukosoa 😊
Hivi huo wimbo wa taifa si unasheria zake mbona unaimbwa hovyo tu au imekaaje hapo?wadau nisaidieni.
Kama ww ulivochawa toka ww kifua mbele ukakosoe
@@yohanasungo9401tusomee katiba inasemaje
@@yohanasungo9401 2025 campaign hata sheria zinapindishwa tu note: mpka uwe mtu wa system
Yaan huyu mama yuko bize na kampeni wakat nchi inaenda vibaya😢 hana hata aibu
Wamasai wanalalama huko
Safi❤❤❤❤❤
Weka kitu