ASKOFU BAGONZA AJITOKEZA BAADA YA TUNDU LISSU KUGOMBEA UENYEKITI CHADEMA,,APONDA VIKALI VYAMA VYA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024
- HABARI KIGANJANI, ni channel ya habari zoote, zilizofanyiwa upembuzi yakinifu kabisa kutoka katika vyanzo mbali mbali vya habari ikiwemo MITANDAO YA KIJAMII,MAGAZETI,REDIO NA TV zinazohusu Tanzania na nje ya Tanzania,tunajitahidi sana kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote ule kisiasa.
#habarikiganjani #siasa #vyama #tanzania
Mdhamini
kaka unaunza hii channel , tuoonge biashara?
CHADEMA IACHANE NA LISSU. Katumwa na huyo mama na CCM na kumpa mihela Mungu ili kukiua CHEDEMA halafu arudi zake Ubelgiji kuishi. Lissu atupwe nje na KAPOTEZA LADHA YOOOTE ALIYOWAONJESHA WANACHADEMA. Ndiyo maana hana SERA ZAIDI YA KUTOA HADITHI ZAKE ZILE ZILE ZA KUPIGWA RISASI 100. Mtoeni haraka sana mtupeni NJE kama MBWA MFU.
Na ww ni mjinga usiye na maono una mawzo ya kiccm unataka chadema iwe yamwenyekiti je akifa chadema ife toa ujinga wa ccm hpa 8:06