Kuna wa2 wanaumia 😂😂😂😂 Hakika engnier kawaingizia selikali pesa unajua xhingapi awo kukaa apa bongo adi waje kuondoka tulio soma chini ya mipela tunajua yanga bingwa adi 230😁🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Yanga Taifa Kubwa Africa utake usitake kiuhalisia tu .tuko mbaaaaaaaaaaaali mungu amueke Eng Her na ampe afya njema kila leo jamaa ni mtu wa mpira .Dar Young Africa wala tusiwe na wasi wasi mambo mazuri yanakuja muhimu ibada na kuishabikia timu yetu kwa upendo.
Sipati picha hii connection ya Hakimi kama angeipata Murtaza Ali Mangungu......Mgogoro na kelele za madunduka zingeisha hiyo ni fursa kubwa mno kwa chairman mangungu
Wako wapi vijakazi wa muhindi sisi yanga mashavu yanazidi tu.Kama hivyo prezoooooondanta anakula furaha na Hakimi ni kuwa ji prezoooondanta linafikiria soka tu utaitaka hiyo wana jangwani kwenye field ji prezooo mtubwa mpira hatuna shaka dalili njema alipiga mbonge moja la bao adi raha ni ishara njema Alhamdulillah. All way from Sweden .plz naomba namba ya Eng Hers plz
Ni zaidi ya uzalendo juzi uliitangaza Serengeti na sass unaendelea kutangaza vivutio vingi vya utalii Kwa kuleta watu maarufu. Big up our President for presenting well mama yetu Pres. Dr. Samia in promoting tourism. Keep it up bro.
kama umegundua kitu,raisi wa yanga anajaribu kuwa karibu na jamaa ila jamaa alichochukizwa ni kumletea kombe yaani kumuhusisha na swala la mpira anali yupo mapumzikoni na familia yake....
Ni kitu kizuri sana kilichofanyika sema huu ni wakati wa wachezaji kusahau mambo ya mpira na ku-refresh mindi,,,,kwenda na makombe mbugani sio brand ila ni ........
نحن أسرة واحدة وإبننا حكيمي يحيي صلة الرحم بارك الله فيك .
MashaAllah Rais wangu mungu akupe umri mrefu uzidi kuiheshimisha club yetu 🙏❤
Amina Inshaallah
Best defender from PSG hopefully one day will part of yanga squad everything is possible under the sun😊😊
Honger Rais wet kwa kazi unayo ifanya maan hutumikii club peke yak unalitumikia taif honger san Allah akuzidishie kila la kheri
Eng.Hersi kipenzi Cha wananchi💛💚💛🙏we love you brother 🥂💐
I❤❤❤❤❤ you yanga from burundi
GOD is good all the time and all the time GOD is good congratulations Engineer good work all the best be blessed all shalom
Sasa Ali umejibu Nini baada ya kuulizwa hilo ni kombe? 😅😅😅 Ila Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 🔰🔰🔰🔰 tunasifa sana ,, Daima mbele nyuma mwiko
Hongera semaji 🎉🎉🎉unawakilisha vema
Yanga oyeeeeeeee raha kama zote alihamundulih mungu awalinde na awajaalie afya njema
Engineer ni Mzalendo, anaipenda timu na nchi yake. Hongera kwa kutangaza utalii wetu.
Wa kwanza leo 😅
Enginia hersi ana akili mingi sana
Fantastic ❤❤❤
Raisi wa Yanga ni Balozi Mzuri TZ anahitaji TUZO
Definitely
Kweli raisi unaonyesha ukubwa wako kua kweli wewe nimwenyekiti wavirabu vyote Africa congratulations❤❤❤
Mbarikiwe san kwa kila hatua viongz wetu na kwa taifa nzur upo vizur eng heris
Kuna wa2 wanaumia 😂😂😂😂 Hakika engnier kawaingizia selikali pesa unajua xhingapi awo kukaa apa bongo adi waje kuondoka tulio soma chini ya mipela tunajua yanga bingwa adi 230😁🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mungu atujalie
Mwenyekiti wa wasemaji Africa❤
We Eng mungu akupe maisha marefu
Anae muona Hersi After 7 years serikalini ❤
Mm namwangalia Kamwe tu😂😂 yaan nacheka sanaaa.maana sipati picha akirud mjini😂😂😂
😂😂😂😂Atasumbua Sana kamwe 😂😂😂
Yanga Taifa Kubwa Africa utake usitake kiuhalisia tu .tuko mbaaaaaaaaaaaali mungu amueke Eng Her na ampe afya njema kila leo jamaa ni mtu wa mpira .Dar Young Africa wala tusiwe na wasi wasi mambo mazuri yanakuja muhimu ibada na kuishabikia timu yetu kwa upendo.
Yanga 🎉🎉
Yanga bingwa
😂😂😂😂 nimecheka kweli eti aly kame anajua kukera hata bado hujasema mpaka mseme
President Hersi 🔥🔥
Asante raisi wa yanga
🔥🔥🔥
Hongereni tunawatamani jamani wengine tunaishia tu kukomenti na kulaiki sijui huko tutafika lini😂😂😂😂😂
Ila yanga...💚💚💛💛
Nani alikuwa kwanza ni ushindi YANGA kombe la CRDB BANK PLC
Sipati picha hii connection ya Hakimi kama angeipata Murtaza Ali Mangungu......Mgogoro na kelele za madunduka zingeisha hiyo ni fursa kubwa mno kwa chairman mangungu
Kwakweli kama D mbili huwezi kutuelewa Yanga piga kazi raisi wa vilabu Africa
Engineer ni zaidi ya rais wa yanga
Ali na kombe lake haliachi😅😅😅😅
My team 🎉🎉🎉🎉
Mashaallah
Nawapenda sana wana yanga
Mm Naomb niulize wanayanga we zangu huyu Ali. Kamwe mbn ppot analichukua hili kombe kuna usir gan na hili kombe😂
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ila yanga ila kamwe
Miaka 100 yanga mbereeeeeeee
Good
Eng. kama vipi ongea na GSM tumsajili Hakimi uyo
Vitu kama hivi huwez vipata sehem nyingine ila nae ally komwe sifa zimekuwa nyingi sana
Alikamwe anajipitisha na Mkombe wake 🤣🤣🤣😁😁😁🤣👍👍👍
Wako wapi vijakazi wa muhindi sisi yanga mashavu yanazidi tu.Kama hivyo prezoooooondanta anakula furaha na Hakimi ni kuwa ji prezoooondanta linafikiria soka tu utaitaka hiyo wana jangwani kwenye field ji prezooo mtubwa mpira hatuna shaka dalili njema alipiga mbonge moja la bao adi raha ni ishara njema Alhamdulillah. All way from Sweden .plz naomba namba ya Eng Hers plz
Ila alikamwa kabeba kombe🎉😂😂❤
DKT Na ENG HERS SAID Unastahili kuitwa Doctor
Rais wa,yanga Kawa tour guider
Wow❤❤❤
Alikamwe 🎉🎉🎉
Injinia na raisi wa wanaume hakimi
Kwahyo hapo ndommetangza time yenuau 😂😂😂😂😂
Sio poa 💚💚💚💛💛💛
Kwan Kuna shiidoo 😢😂😂😢😂😢
Ni zaidi ya uzalendo juzi uliitangaza Serengeti na sass unaendelea kutangaza vivutio vingi vya utalii Kwa kuleta watu maarufu. Big up our President for presenting well mama yetu Pres. Dr. Samia in promoting tourism. Keep it up bro.
wapeleke nyumba kubwa baba home boy nawaangalia hapa @four season safari lodge serengeti national park
Wawooooo
Manara yupo Zurich, president hersi yupo na achrafu hakim bongo yan yanga n lidude likubwa sana
Yanga 🎉🎉🎉
Yanga 😊
🎉🎉
Oya oya oya we mwenye jes nyekund nikilika apo nitakupiga kicha😂😂😂😂😂😂
Mi uwaga nacheka tu
Yanga
Jaribu kuvaa viatu vya charman mangungu na uo ujio wa Ashraf Hakimi ......😂😂😂
Ali komwe na Binti yake mkononi 😊
Anapokwenda anae😅😅😅
Uongozi Bora katika soka la kisasa😄😄😄🙏
💛💛💛💛
Inauma saaaaaana
Kweli yanga tunaishi kauli ya kazi na dawa😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Uyu anafaa kuwa raisi wa nchi
Ila Ally Kamwe hapana anajua kukera sana aisee
❤❤❤💚💚💚💚💚
Naona Yanga imekuwa balozi wa utalii hakika yanga ni kweli ina watu # mzee mswahili aka mzee mpili
Hakimi kusaini yanga
Mbona hata hilo kombe hajataka kuligusa
Nice.
😢
💛💚💛💚
kama umegundua kitu,raisi wa yanga anajaribu kuwa karibu na jamaa ila jamaa alichochukizwa ni kumletea kombe yaani kumuhusisha na swala la mpira anali yupo mapumzikoni na familia yake....
Ila alikamye
,😂😂😂😂😂😂😂 alikamwe na kombe lake sasa aliachi
Haaaaahaaaa ❤❤❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
ROYAL TOURS ❤
allikamwe anajipitisha na kombe lake
We chizi una wivu utakufa sura ka mavi
Anapata hasara SI kamlipia Kila kitu au
Like kama umemuona Nakaaya Sumari🎉
❤❤❤❤❤❤
makolo wanaleta ukolo hapa ila awajui hii ni faida ya tanzania na sio yanga kueni na akil jmn
Yan ww ndio lais wakaza kuleta mushezanji mkubwa hapa tazania
Yanga raha bwana Yanga Bingwa tena
Ni kitu kizuri sana kilichofanyika sema huu ni wakati wa wachezaji kusahau mambo ya mpira na ku-refresh mindi,,,,kwenda na makombe mbugani sio brand ila ni ........
Alikamwe kuna siku atatupotezea kombe letu😂😂😂😂maana kila sehem anaenda nalo 😂😂😂😂😂 my team 🔰🔰🇹🇿
Daima mbele nyuma mwiko
Ila some times huu ushamba, kombe la Nini Sasa?
Waooooo
Ally Kamwe D zako ninyingi sasa eeh
🎉🎉🎉🎉🎉🎉