ADVENTURE
ADVENTURE
  • 33
  • 20 408

วีดีโอ

HIVI UNALIJUA JUKWAA LILILO IMARA KWA WATU WA MUNGU #viral #viralvideo #wokovu #injili #choir
มุมมอง 812 หลายเดือนก่อน
HIVI UNALIJUA JUKWAA LILILO IMARA KWA WATU WA MUNGU #viral #viralvideo #wokovu #injili #choir
Mzee wa Upako Mch. Anthony Lusekelo Aungana na Kanisa la Wasabato katika kweli. #viral #jesus
มุมมอง 13K3 หลายเดือนก่อน
Mzee wa Upako Mch. Anthony Lusekelo Aungana na Kanisa la Wasabato katika kweli. #viral #jesus
Pr G. Diop juu ya umoja na jumapili #facts #truth #kweli #mahubiri #mwisowadunia #umojawamakanisa
มุมมอง 6033 หลายเดือนก่อน
Pr G. Diop juu ya umoja na jumapili #facts #truth #kweli #mahubiri #mwisowadunia #umojawamakanisa

ความคิดเห็น

  • @SuleimanmumaniOmar
    @SuleimanmumaniOmar 5 วันที่ผ่านมา

    Imani ya kisabato ni kuamini kwamba yesu ndiye mungu,imani hii mzee wa upako hakubaliani nayo kabisa

  • @samuelinfuriater8512
    @samuelinfuriater8512 7 วันที่ผ่านมา

    Hawezi kuuficha ukweri kwa wakati wote mchungaji Mungu akubariki kwa kukubali kuwa nuru amen

  • @RaphaelTimoth
    @RaphaelTimoth 9 วันที่ผ่านมา

    Roho wa mungu ampe uchaguzi wakweli katika neno amina

  • @nicolasnzema08
    @nicolasnzema08 10 วันที่ผ่านมา

    Ikiwa anasema PASAKA sio SIKU NI MTU Yesu Kristo,iweje aseme sabato ni SIKU si kusoma kwa uataji huko kwanini asiseme Kristo ni SABATO Unasema ilikuwa desturi ndugu destruri sio KUISHIKA Yn 9:16 SUV [16] Basi baadhi ya Mafarisayo wakasema, Mtu huyo hakutoka kwa Mungu, kwa sababu haishiki sabato. Wengine wakasema, Awezaje mtu mwenye dhambi kufanya ishara kama hizo? Kukawa matengano kati yao. Haya myahudi mwenye SABATO YAKE KASEMA "Mtu huyo hakutoka kwa Mungu, kwa sababu haishiki sabato"

  • @nicolasnzema08
    @nicolasnzema08 10 วันที่ผ่านมา

    Ni wazi kabisa ULIYEPOST VIDEO na LUSEKELO mnasoma bibilia kwa utaji mnasoma bibilia kifarisayo mfano UBATIZO anajua ni kutumbukiza na kiyunani chake ni BAPTO neno ubatizo umeanza tangu MUSA 😅😅😅 kama hujui kuwa chini ya wingu ni UBATIZO 1 Kor 10:2 SUV [2] wote wakabatizwa wawe wa Musa katika wingu na katika bahari; Ubatizo katika wingu na katika bahari WAWE WA MUSA Lakini paulo alikwisha sema 1 Kor 1:17 SUV [17] Maana Kristo hakunituma ili nibatize, bali niihubiri Habari Njema; wala si kwa hekima ya maneno, msalaba wa Kristo usije ukabatilika. Ukisoma hili kanisa lilikuwa na ISSUE ZA UBATIZO kama leo ilivyo ila paulo anasema KRISTO HAKUNITUMA NIBATIZE. Leo watu wanabatizwa wametumwa na KRISTO yupi? Au aliyembatiza Yohana Mbatizaji ni nani 😅😅😅😅😅? NI WAZI KUWA HAWAJUI KAMA YESU ALIBATIZWA MARA MBILI kasome Mathayo 3:15-17 (Ubatizo wa Yohana) na Luka 12:50 SUV (Ubatizo wa mauti aka ubatizo wa Kristo) Na yeyote alijua ubatizo wa Yohana anatakiwa kufundishwa Mdo 18:25-26 SUV [25] Mtu huyo alikuwa amefundishwa njia ya Bwana; na kwa kuwa roho yake ilikuwa ikimwaka, alianza kunena na kufundisha kwa usahihi habari za Yesu; naye alijua ubatizo wa Yohana tu. [26] Akaanza kunena kwa ujasiri katika sinagogi; hata Prisila na Akila walipomsikia wakamchukua kwao, wakamweleza njia ya Bwana kwa usahihi zaidi. ANAYEJUA UBATIZO WA YOHANA WA KUTUMBUKIZA PEKE YAKE anahitai kufundishwa kwa USAHIHI ZAID 😅😅😅 ili asibatize watu kwa Maji.

  • @nyandanaftali8014
    @nyandanaftali8014 11 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @futezenganza
    @futezenganza 11 วันที่ผ่านมา

    Mungu ana namna ya pekee kufikisha ujumbe kwa wanadamu

  • @davidkilajaga8842
    @davidkilajaga8842 11 วันที่ผ่านมา

    Sasa nini hamu elewi apo, au ushabiki wa madhehebu ndo unaleta shida? Kwani Wanao Abudu Jumapili c ndo cku ya saba kwako kadhalika kwa wasabato, au?

  • @BoaziMashama
    @BoaziMashama 11 วันที่ผ่านมา

    Ameongozwa naroho yeye amenawa mwenyekuokolewa aokolewe namwenyekupotea amuemwenyewe kupotea

  • @ellychacha2417
    @ellychacha2417 12 วันที่ผ่านมา

    Ukweli ni huo sabato ndio ibada sahihi

  • @HalimaPeter-mb4ei
    @HalimaPeter-mb4ei 12 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee! Mbona yeye anasali jumapili?

  • @JustinchizaBuchumi
    @JustinchizaBuchumi 12 วันที่ผ่านมา

    Wewe u s sha ngae tulishaga ungana

  • @eliariro5514
    @eliariro5514 12 วันที่ผ่านมา

    Ukweli usemwe, na huo ndio ukweli

  • @EmmanuelLucas-of3pc
    @EmmanuelLucas-of3pc 13 วันที่ผ่านมา

    MUNGU ABARIKI WOTE WALIO SIKILIZA HII MPAKA MWISHO NA NA WATAKAO AMUS KUFUATA UKWELI.piga like hapa kama tuko pamoja.

    • @nicolasnzema08
      @nicolasnzema08 10 วันที่ผ่านมา

      Ukweli upi ndugu ukiujua ukweli UTAKATAA.

  • @OdastinaMabiti
    @OdastinaMabiti 13 วันที่ผ่านมา

    huyu mzee MUNGU ambariki sana, aje tuungane kufanya kazi ya " ABA" yaani BABA

  • @bamag-021
    @bamag-021 13 วันที่ผ่านมา

    17 Joka akamkasirikia yule mwanamke, akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu; naye akasimama juu ya mchanga wa bahari. Ufunuo wa Yohana 12:17

  • @ZabronJonathan-b5s
    @ZabronJonathan-b5s 14 วันที่ผ่านมา

    Ulisema ukweli kabisa na uko sahihi ubarukiwe kwa hilo na wewe mwenyewe uchukue hatua .

  • @pathfinder144
    @pathfinder144 15 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @michaelsokoine1760
    @michaelsokoine1760 15 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @spelansiandanzi204
    @spelansiandanzi204 16 วันที่ผ่านมา

    Heheee

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 16 วันที่ผ่านมา

    Hicho analoongea Lusekelo ndicho kinachoitwa "UKWELI MCHUNGU"mtafuta njia tu anaweza kumuelewa.

  • @lusekelomwainyekule-fi4zn
    @lusekelomwainyekule-fi4zn 17 วันที่ผ่านมา

    Huyu ni Jesuiti wa kiroma aliyeingizwa/kujiingiza kwa siri ili kulivuruga Kanisa la MUNGU la SDA.

  • @DotoS12
    @DotoS12 17 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe mzee wa upako kwa kusema ukweli

  • @johnkaliwanje434
    @johnkaliwanje434 17 วันที่ผ่านมา

    yaan huyo (mzee wa upako) hata ukimtupa msitun, ngedele watamtimua kwa mikwaju, amemsapoti kiboko ya wachawi hadharan, na huyo kiboko ya wachawi kafungiwa kwa kutapel waumin wake

  • @johnkaliwanje434
    @johnkaliwanje434 17 วันที่ผ่านมา

    mzee wa upako si wa kumfuata kabisa, anayumba sana, mara kwa kiboko wa wachawi, mara kwa wasabato, haeleweki kabisa

  • @nicolasnzema08
    @nicolasnzema08 17 วันที่ผ่านมา

    Sasa msomaji JIULIZE desturi ni NINI ?

  • @nicolasnzema08
    @nicolasnzema08 17 วันที่ผ่านมา

    MZEE WA UPAKO PAMOJA NA SDA HAWAJUI SABATO.

  • @Enockbeckbrown-hf6xx
    @Enockbeckbrown-hf6xx 18 วันที่ผ่านมา

    Kulingana na Biblia, kusali ni siku zote lakini KUPUMZIKA kwa ajili ya kumbukizi ya uumbaji wa Mungu was kweli YAHWEH ni siku ya Sabato (Jumamosi) peke yake.

  • @majmadramas5726
    @majmadramas5726 18 วันที่ผ่านมา

    Wakristo wanasali jumapili, Wasabato wanasali jumamosi.... Waache Wakristo wasali siku yao, maana Wasabato nao wana siku yao... sababu naona ni makundi mawili 1. Wakristo 2. Wasabato hawawezi kufanana...wakisali wote jumapili basi wote watakuwa Wakristo, na wakisali jumomosi basi wote watakuwa wasabato.

    • @malemiym3942
      @malemiym3942 17 วันที่ผ่านมา

      Msabato sio mkiristo? Au kigezo cha kua mkristo ni nini? Kwan msabato hamuamini Yesu Kristo? Mbona kila siku wanamwabudu Yeye pekee au na wewe umekaririshwa mapokeo. Usiongee jambo usilolijua

    • @Kosokoso8579
      @Kosokoso8579 17 วันที่ผ่านมา

      Aty kuna wakristo na wasabato? Aahh kwa kweli hapo ndugu yangu umepotea kabisaa

    • @WHITEWHITE-fn5ey
      @WHITEWHITE-fn5ey 11 วันที่ผ่านมา

      yeaaaaahp big up ndugu ni vizuri wote tukaitwa WA-KRISTO mambo ya walokole,wasabato yani tuachane nayo na inatakiwa wote tusali siku ya sabato lakini tuitwe wakristo yani MUNGU wetu sio wa Madhehebu bn basi tu yani shetani anatuandama.Na kusali jpili au siku tofauti na ya saba sio mpango wa MUNGU bali ni mpango wa shetani kuliangamiza kanisa,inapaswa wote tuyafuate mapenzi ya MUNGU na amri zote za MUNGU ndipo tutakapokua WAKRISTO na sio WA-sabato,WA-lokole,WA-roma n.k

  • @moriskalegeleshusha2619
    @moriskalegeleshusha2619 19 วันที่ผ่านมา

    Kuhangaika tu

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 20 วันที่ผ่านมา

    Mzee Lusekelo kashapiga hela zake za kutosha, sasa ana usemaukwli halisi

  • @AnthonyKiwango
    @AnthonyKiwango 20 วันที่ผ่านมา

    HUU NDO UKWELI USIOPINGIKA SIKU YA IBADA NI JUMAMOS

  • @EsterElkana-p1r
    @EsterElkana-p1r 20 วันที่ผ่านมา

    Ukweli wa mungu utasimama hatakama ukweli ipindishweje mungu atufunulie macho natuone Asante kwakujua hukweli huu

  • @ABEDINEGOMBELA
    @ABEDINEGOMBELA 20 วันที่ผ่านมา

    Tatizo lasisi wanadamu tunataka MUNGU atusikilize sisi siyo sisi tumusikilize Mungu ukweli matengenezo yote kwa wakiristo yalipaswa kufanyika katika chanzo bola huwez kukamilisha nyumba kwa kuanza kujenga nyumba nyingine yesu anasema musizani nalikuja kutangua tolati Bali kuitimiliza

  • @oscarzacharia6098
    @oscarzacharia6098 20 วันที่ผ่านมา

    BWANA YESU apewe sifa Watoto wa MUNGU. napenda nichukue nafasi hii kushea ujumbe wa Mzee wa upako. Ikiwa yeye anajua kuwa jumamosi ni siku ya ibada mbona anaabudu siku juma pili.unajua ukisema tunafuata mapokeo hata na sio Mungu ni makosa. YESU alimwambia Petro wewe petro ni mwamba najuu ya mwamba huo nitalijenga kanisa langu allkuwa na maana. kabla ya kujua kwa nini ni jumapili unatakiwa ujue kanisa pentekoste baada YESU kuondoka lilianzishwa lini na lilikuwa siku Gani. 2.soma warumi 14:6 omba Roho akifundishe nini maana ya kuiadhimisha siku kwa Bwana 3.soma wakolasai 2:14-16 omba Roho akufundishe . 4.unatakiwa ujue ni maana sabato na sabato ilikuwa ya Mungu au ya mwanadamu . Lamwisho watu wengi hawajui sabato si Dini asanteni.Mungu wa mbinguni awabariki

  • @kumalijaenos7612
    @kumalijaenos7612 21 วันที่ผ่านมา

    Kwani wapi pametajwa jina la siku? Katika biblia wamesema tu siku ya saba lakini haikutajwa kama ni jumamosi au jumapili..... nyakati hizo hakukuwa na majina ya hizi siku

    • @JuliusHatari
      @JuliusHatari 20 วันที่ผ่านมา

      Yesu alifufuka siku ya kwanza ya juma (jumapili)

  • @davidshinje6379
    @davidshinje6379 21 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @JombaTUncleT
    @JombaTUncleT 21 วันที่ผ่านมา

    Hoja za kimaandiko zitashinda. Hata Yesu Alimwambia shetani "IMEANDIKWA"🎉

  • @user-pg3eu5rt7v
    @user-pg3eu5rt7v 21 วันที่ผ่านมา

    SABATO ni agizo la MUNGU kwa wanadamu wote duniani kisha mbinguni soma ISAYA.

  • @user-pg3eu5rt7v
    @user-pg3eu5rt7v 21 วันที่ผ่านมา

    Mwanadamu atapinga SABATO Mdomoni moyoni ukweli unachoma.

  • @user-nt1lf8rr9g
    @user-nt1lf8rr9g 22 วันที่ผ่านมา

    Kwani tukisali jumatano tunasali kwa siku au kwa bwana

  • @charlessheks7166
    @charlessheks7166 22 วันที่ผ่านมา

    Mzeewaupako mlevi...

  • @dottosweetbert8879
    @dottosweetbert8879 22 วันที่ผ่านมา

    Lusekelo yupo sahihi kulingana na Biblia takatifu. Sabato ni moja ya amri kumi za Mungu. Kutoka 20:sura nzima

    • @nicolasnzema08
      @nicolasnzema08 17 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂 Mnakoseaa

  • @ChanceBariziraVital-cv5jx
    @ChanceBariziraVital-cv5jx 24 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @marionoti5760
    @marionoti5760 24 วันที่ผ่านมา

    upeo ni mdogo, uchungaji wa vichochoroni unampa shida Lusekelo.Baba yako alitaka ukasome ili uijue kweli upate kuwa huru, We ukajifanya unaroho mtakatifu huko malangali, Ukamkana baba yako, leo unaropoka bila aibu. hata unaye uliza maswali nawe upo gizani hujielewi, ni mshabiki. Yesu alihukumiwa kwa kuvunja sabato, Mungu alipumzika siku ya saba nani kakuambia kuwa ilikuwa jumamosi ? hakukuwa na watu wa kuzipa majina hizo siku. Pia Jumasi ya Afrika ni ijumaa ya Marekani. Yesu alitupa roho mtakatifu atakaye tufundisha yote, hakutupa Biblia. Mungu hajawahi pumzika la sivyo sayari zingevurugana. ukiwa na elimu ndogo huoni aibu kuropoka uwongo mbele za wenye Ufahamu. Ndio maana wasio na ufahamu wanaulizana na kudanganyana wenyewe ili kujifariji nafsini mwao. Wenye ufahamu wapo, hawaendi huko kwa kuwa wanaogopa kuumbuka.

  • @gililwise
    @gililwise 26 วันที่ผ่านมา

    We hujui maandiko .hatupo chini ya sheria. Kila.aadhimishaye.siku aadhimisha kwa.Bwana kwa.maana hiyo.hakuna tofauti kati ya siku maana.siku zote.kwa Mungu ni.sawaWe rudimisri cc tunaelekea nga'mbo ya mto wa yordan

    • @ADVENTURE-vs1zb
      @ADVENTURE-vs1zb 26 วันที่ผ่านมา

      Ezekieli 20:12 Tena naliwapa sabato zangu, ziwe ishara kati ya mimi na wao, wapate kujua ya kuwa mimi, Bwana, ndimi niwatakasaye. Ezekieli 20:20 zitakaseni sabato zangu; zitakuwa ishara kati ya mimi na ninyi, mpate kujua ya kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wenu. Isaya 66:22-23 22 Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, asema Bwana, ndivyo uzao wenu na jina lenu litakavyokaa. 23 Na itakuwa, mwezi mpya hata mwezi mpya, na sabato hata sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema Bwana. Luka 4:16 Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome. Mathayo 5:17-19 17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. 18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie. 19 Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni. Yohana 14:15 Mkinipenda, mtazishika amri zangu. 1 Yohana 2:4, 6 4 Yeye asemaye, Nimemjua, wala hazishiki amri zake, ni mwongo, wala kweli haimo ndani yake. 6 Yeye asemaye ya kuwa anakaa ndani yake, imempasa kuenenda mwenyewe vile vile kama yeye alivyoenenda.

    • @gililwise
      @gililwise 26 วันที่ผ่านมา

      @@ADVENTURE-vs1zb endelea kubaki misri kwenye nchi ya watumwa.wagalatia anasema nani amewaloga.Mungu aangalii siku.anaangalia moyo wako na matendo Yako maana ndiyo utakayoambatana nayo.usijinadi kuwa sabato ndo itakufanya upate uzima wa milele.mpokee yesu kuwa Bwana na mokozi wa maisha Yako upone .

    • @ckmanga48
      @ckmanga48 25 วันที่ผ่านมา

      Soma maandiko in context ndugu hivyo hata yesu alikuwa chini ya sheria au (luka 4:16) mathayo 12:8 somo la kutokuwa chini ya sheria haimaanishi kutokutii amri za mungu kama ndivyo basi ni rukia siyo (kuuwa,kuiba,kuzini kuwa na miungu mingine nakutamani mali mke wa jirani ) pia mtume Paul huyo unayemtumia vibaya kutwist 😢 mafundisho yapasayo wokovu aliitunza kama maandiko yasemavyo (Matendo 13:42,44 matendo 16:12,13 matendo 17:2 matendo 18:4 Mtume petro alitoa taadhari kwa watu wasomao maandiko ya Paul mtume na kuyapindisha watakavyo 2Petro 3:15 ,pia 2Timotheo 4:3-4 (Mungu akupe neema kuelewa maandiko ukiongozwa na roho wake😢😢.

    • @ckmanga48
      @ckmanga48 25 วันที่ผ่านมา

      Amen mtumishi barikiwa

    • @ckmanga48
      @ckmanga48 25 วันที่ผ่านมา

      ​@@gililwiseKama Mungu mwenyewe alipumzika Siku ya Sabato, Yesu mwenyewe alikuwa na desturi ya kwenda hekaluni siku ya Sabato na Mitume pia, sasa imekuwaje leo sehemu kubwa ya Wakristo wana desturi ya kwenda kanisani Jumapili? “Akawaambia, Isaya alitabiri vema juu yenu ninyi wanafki, kama ilivyoandikwa, Watu hawa huniheshimu kwa midomo, ila mioyo yao iko mbali nami; nao waniabudu bure, wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu. Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu. Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu.” Marko 7:6-9.😮

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 26 วันที่ผ่านมา

    Roho mtakatifu aangaze kwa wanadamu waelewe kweli.Barikiwa Lusekelo ametumiwa na Mungu kuufunua ukweli.

    • @ADVENTURE-vs1zb
      @ADVENTURE-vs1zb 26 วันที่ผ่านมา

      Amina

    • @nicolasnzema08
      @nicolasnzema08 10 วันที่ผ่านมา

      Soma bibilia uonee mzee lusekeloo ANASOMA KWA UTAJI.

  • @ayapoa
    @ayapoa 26 วันที่ผ่านมา

    Mapokeo yananguvu kuliko biblia.

  • @magrethsindabaha1851
    @magrethsindabaha1851 26 วันที่ผ่านมา

    Yuko sawa mno,

  • @user-lb1nb2ls9g
    @user-lb1nb2ls9g 26 วันที่ผ่านมา

    WAKRISTO HAWAJUI BIBLIA, HAPA KWANI WASABATO SIO WAKRISTO? MINADHANI MTUMISHI FUNDISHA VILE UNAVYOELEWA WEWE, UKISEMA TUMFUATE KAMA MSOMI UTAPOTEZA WATU, LUSEKERO ANATAPATAPA, LEO UMESHIKA KAKIPENGELE KANAKOKUBARIANA NA UELEWA WA WASABATO, LAKINI KTK JUMBE ZAKE MSOMI WAKO HUYO KUNAMAMBO YAFUATAYO NAYO MPONGEZE KWA HAYO, KAMA USOMI ULIOMPA SI WAKINAFIKI, 1. DINI YA KWELI NI KATHOLIKI, NAO WALIMPONGEZA KWAKUIJUA KW ELI, 2. POMBE SI DHAMBI, WAKATOLIKI WAKAMPA VEMA TENA, 3. KUOWA WAKE WENGI MUNGU AMERUHUSU WALIOZUWIA NININYI VIONGOZI WA DINI, HAPA WAISLAMU NAO MSOMI WENU AKAWAKUMBUKA NAO WAKAMPA VEMA KUBWA. SISI WAKRISTO KAMA MLIVYO TUITA TUSIOJUA BIBLIA, HATUMUONI LUSEKERO KUWA NIKATI YAWATU WANAOMJUA MUNGU NA NENO LAKE, BALI ANATUMIA AKILI KUTAFUTA SAPOTI KWA WASIOMPINGA, UKIYAKUBARI HAYO NITAAMINI KWAMBA WEWE NAYE HUNA HILA UNAMAANISHA UNACHOKISEMA KUWA NIMSOMI WA BIBLIA,