Jamani jamni jamani Sai Sai Sai na kundi lako huko mnakoelekea ni kujiharibia ,wanawake wa kiislam mnakubali kuvua ushungi na nguo zenu Kwa ajili ya Sana na naamini hii snaaa ingekamilika na ujumbe ukafika na stara yenu mkavua vilemba maisha mafupi na sisi hatuwaambiii Kwa nia yeyote mbaya nia ni safi tu na ni njema jitafakarini
kazi nzuri ata iwe vp kazi 2me ikubali kinoma yan❤❤❤❤ mungu abariki kazi ya mikono yenu
kaz mzur sana namupa pongez zenu tajir nime mpenda
Big up kazi kubwa sana na nimeipenda sana
Mwalim 🙌🙏
Good work 💝💝💝💝💝💝
Thanks 🤗
😒
Kaz ❤❤
Jamani kwel tunawapenda lkn sio maadili yetu hayo mavazi dada zangu tujirekebishe
Insha Allah
🙏🙏🙏❤️❤️❤️😘
Good creativity
Thanks ❤
Sw
Nipambe hatar my love 💓
❤
Mdogo mdogo tunaendelea wapemba.
Asante ❤
Jamani jamni jamani Sai Sai Sai na kundi lako huko mnakoelekea ni kujiharibia ,wanawake wa kiislam mnakubali kuvua ushungi na nguo zenu Kwa ajili ya Sana na naamini hii snaaa ingekamilika na ujumbe ukafika na stara yenu mkavua vilemba maisha mafupi na sisi hatuwaambiii Kwa nia yeyote mbaya nia ni safi tu na ni njema jitafakarini
Shukran sana tutajitahid inshaallah
😮😮😮poleee kindokiii
Dah mbona mauwa munayaweka nje jamani kama ni watt wa kizanzibari ktk utamaduni huu sio wetu kweli tunatafuta lkn tujitahidini
Mavazi vichwa wazi tunaomba musifanye hivyo vaeni vizuri mukivaa vizuri pia mutakua munatangaza heshma yetu
Insha Allah
❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤😅😅😅😅😅hatariiiii