Relax mtumishi wa Mungu! Mungu hapiganiwi to that level! Simika hema mahali ulipo sasa na umtumikie Mungu kwa machozi! Mengine haya kwenye hii dunia yanapita tu! Kuna wakati tukubali vote kwa UTUKUFU wa Mungu! Tuwe humble kwa waliotutangulia kwenye huduma hata wanapokosea! Nashauri upunguze ukali wa maneno maana yana defile nafsi yako! Nitamuombea Mzee Magembe awe na mwisho mwema! Relax
Mungu atapigana nao hao hakuna haja ya kujitetea na hakuna sababu ya kumtegemea mwanadamu zaidi ya Mungu. Yeye afunge masikio yeye aingie rohoni kuutfuta uso wa BWANA❤!
Mungu mwaminifu, mchungaji Magembe bahati nzuri amekuwa straight katika mahubiri yake yote, shida ukweli umewachoma mioyo, lakini Mungu yuko pamoja nasi na Atasimama nasi katika vita yoyote kama ambavyo ameendelea kusimama siku zote
Mimi sio muumuni wa TAG lakini huyo mzee maghembe namkubali kwasababu anahubiri kweli ya Mungu nyeupe anasema nyeupe na nyekundu vilevile na ndo inavyotakiwa Kwa uhubiri. hakuna kujidanganya kua tupo safi kitu ambacho sio kweli. Mzee maghembe Mungu atamlinda na kumtunza. labda Cha kumshauri mzee maghembe anatakiwa kujitia moyo Mungu yupo pamoja nae. Asiwaogope wanadamu hao hawana mbingu Wala jehanum ya kuwapeleka.
Viongozi wa dini hawataki kuambiwa ukweli ila Mzee alikuwa mkweli nilimfananisha na Moses kulola kabxaa makanisa yanatetea sana mambo maovu huyu Mzee hakutaka kabxaaa mungu amlinde
Ila ninavyojuwa nanilivyokusikiliza 1.Mungu wa kweli hahitaji kutetewa na mwanadamu hata kama kuna kundi la kumsema vibaya magembe. 2.kama familia ya magembe nafikiri mnaitaji kuwa na kanisa ambalo mzee wakifa mnataka mrithishwe iwe kama kanisa lakifalme😢😢 3.namna mtoto unavyoongea,kama ungekuwa na hekima neno kipumbavu usingeliweza kulitamka hata kidogo 4.mmeamua kutumia upepo wa mchungaji magembe kuomba watu wauchukie uongozi wa kanisa alilotoka 5.tunaomba structure ya uongonzi wa kanisa la pcc😢😢😢naamini...mnataka muwe na kanisa lenye uongozi wa kifalme,baba akiwa kiongozi akifariki mtoto anarithi Nm/Yesu waga hatetewi na binadamu hata siku moja.nasema hata siku moja Yesu hatetewi na binadamu .Mungu asimame na washirika waliobaki alipokuwa anachunga magembe na akawasimamie wale watakaomfuata huko aendako
Acha na wanadamu Mchg wewe piga faya maana Yesu alikaa kimya! Kaa kimya ingia kwenye maombi " Isaya 54:17". Mungu yuko upande wa mzee Moses Magembe, yule aliye muita na kupanda mbegu ndani yake yuko pamoja naye. Yesu alichafuliwa duniani lakini leo hii kila goti litapigwa mbinguni, duniani hata kuzimu kwa sababu ya jina la Yesu. Kwakuwa tayari Mungu ameisha wapatia madhabahu nyie songa mbele maana uzuri hakufukuzwa aliaga kanisa kwa upendo na kwa furaha hayo mengine wala usiwakilize wanadamu zaidi ya Mungu Jehovah!❤
Mimi simsemaji wa coment ila leo nasema hivi baba Yohana Tulia Kwa Mungu Baba Magembe Hatakuwa kitu. Ngumbuka Mungu Alimshindia Mengi Kuliko Hayo Baba Magembe Ni Daudi Goliath Hatamueza. Pia Pole. Kwa Yote Baba ni Giant bwana. Usitishwe na Upepu Utaisha
Watazamaji Wote Clip Hii niilitolewa alhamisi na sio Jana kwa hio jambo limeisha Jana jumapili tuendelee kumuombea Magembe na familia yake katika kipindi hiki kigumu na pia Kuwaombe viongozi wa TAG kwa kipindi hiki kigumu . Amen
Kwa ufahamu wangu Much. Yohana, nimekuwa katibu mkuu kwa zaidi ya miaka 15 usihangaike nao wala msigombane nao. Magembe hahitaji mgogoro kaa kimya chapa kazi
Muache mzee Magembe Mungu amtetee wewe huwezi kumtetea mzee this is more spritual zaidi wewe kijanaa huwezi kumlinda ama kiapo cha damu. Tuamke tuwaombee watumishi. Let Jesus and angels protect and guide him. Damu ya Yesu imlinde mzee. Mungu atamlipa sio mwanadamu.
Pole kijana ila punguza maneno makali.Kumtumikia Mungu kuna misukosuko yake,ila jizuieni sana kuyatoa hadharani,usione hata haya makanisa makongwe ukadhani hakuna migogoro.
Mr Magembe is a strong man and all we can do is to pray for him, this is an attack na silaha za vita twazijua, mi ni mkenya na mzee Magembe nimemfahamu kupitia mtandaoni.
Naomba John ,uache kubeba karibu la baba yako kwa NAMNA hii bali Muombee Mzee mgembe.utajichosha bure.Licha ya upako wa mungu ulioko ndani ya wanadam LAZIMA tupitie majaribu.Amen
Usipende dini mpende Yesu na usiweke dini moyoni muweke.Yesu din iweke akilini hata din y'ako hiyo uliyoianzisha.usiiweke moyoni iweke kichwani dini ni shule jua hivo dini zote duniani ni shule amin hivo
Ungejua mambo yalivyokuwa nyuma ya pazia la wachungaji wewe unaye mlaumu huyu kijana wa mchungaji ungenyamaza kimya Unacoment hujui wanayopitia Kumbuka hapa kuna utumishi wa Mungu na Baba na mtoto usijisahau Yanayoendelea wewe huyajui kaa kimya omba kwa Mungu tu atawasaidia Amen
Maghembe atabaki kuwa maghembe hii vita ataishinda bila shida kona maan huko alikotoka hawataki aseme kweli ya Mungu sababu wao washabadilik ila mzee yuko waziiiiii,Mungu simama na Maghembe we love maghembeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Very good nitafika kwenye maombi hayo hata kama mimi siyo TAG ila huyo mzee nilipenda bure kwa sababu ya kueleza ukweli wa injiri tuelekezeni tufike kwa wakati kumlilia mungu
uyu mzee maghembe anapendwa sana, mimi siyo T.A.G lakini uyu mzee tunampenda sana kwa sababu ya injiri ya ukweli. T.A.G imekuwa kanisa la kidini kiburi majivuno, dharau, na mwisho wa siku limekuwa na upagani wa kupitiliza. udunia umejaa ndani ya kanisa
Eeh,Mungu saidia watoto wako na kanisa lako wape hekima watumishi wako kama tumekosea tunarudi Kwa rehema,maana unaghairi mabaya na kuwa mema,tukumbuke adui asipate nafasi,tuinue Tena Ameni.
Usiogope kutisha kwao Bali mtakase Kristo moyoni mwako. Hata Sasa amejisazia watu 7000 wasiopiga goti Kwa Baali Yohana Mbatizaji alipomkemea Herode juu ya Herodia alikatwa kichwa. Injili ya Kristo ni moto ulao Hao wamisri na Farasi uwaonao hutawaona tena wee Songa mbele Yesu hajakuacha iende mbele injili ya Yesu
Wewe piga kazi nikweli mmeumia ila nyamaza mtandaoni hakuna msaada. Mzee aliandika barua kwa amani na kukabizi vitu kwa amani nyamazeni muachie Mungu ukija kimwili hivyo utaumia sana moyo pigeni kazi Mungu ameruhusu mtoke TAG kazi ienee injili ihubiliwe kwa nguvu
Sidhani kama nisawa kuja kwenye mitandao hiyo ni kazi ya mungu ukiwa na cha mungu vita ni chakula kwako mzee magembe ni jeshi la Bwana ndie tumebaki nae baada ya kolola naomba ninyi mnyamanze mungu ataweka sawa kweli itabaki kweli huwezi kuibadilisha kweli wewe mtumikie bila kinyongo hakuna jipya chini ya jua
Mtumishi Yohana angalia kauli zako unazotumia,wewe bado ni mdogo sana muache Mch asimame kwa ukomavu wake hekima itaamua lakini siyo matusi yako wewe Mtoto
Mimi si mtanzania, lakini nimemuja Mchungaji Magembe mitandaoni na kwangu ni Mutumishi wa Mungu. Na huyo Mungu anayemutumikia atakuwa pamoja naye kokote na katika yote.
Naona ni vema kunyamaza kuliko kulumbana,Fanyeni maombi msimpe ibilisi nafasi,TAG ilishapoteza mwelekeo siku nyingi,ni wakati tu ulikuwa unasubiriwa,Pia kumbuka vita ni vya BWANA na mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe,Acha vita ya kimwili
Ndugu yangu hata usihangaike, injili ya mzee magembe imeenda nje na kupasua miamba ya kanisa la TAG, so anachopitia ni pambano la kiroho la kimfumo, so mtahangaika na watu ila huo ni mfumo wa TAG umekataa ameenda more than, yaan ni kama mbuzi kafungiwa kula mwisho hapa, yeye kwa uongozi wa Roho Mtakatifu amevuka, so mara nyingi huwa ni mpango wa Mungu kumtoa mtumishi wake mahali palipojibana sana, Yesu anataka sasa amtumie apendavyo na si mifumo ipendavyo, shika hili, ni la kiroho
Wewe naomba ukae kimya mpaka sasa magembe kaeleweka zaidi kuliko hio tag kwani nani asiyejua mahubiri ya magembe yamenyooka.alafu na ww unakuja tena kumharibia sijapenda kbs😢😢ukae kimya baba ameshaongea na tumemwelewa Umeharibu kbs kuwajibu wale😡
Ondoeni expectations za kusifiwa au kutendewa mema.. ni kawaida unapoondoka kanisani kupigwa vita badala ya kukushukuru mchango wako so don't panic pastor,, hayo ndo madhaifu ya wanadamu. Dawa ni kupuuuzaaaaaaa
Mhemko! Tafuta namna nyingine ya kusolve brother. Mbona haijafikia huku kijana? Hii inaitwa hatua ya kisiasa. Hapa una -create tatizo lingine. Pole sana . Back to leadership.
Hivi vita ni lazima vitokee maana hayo maombi mnayoomba hapo kanisani ni mwiba kwa shetani mnamtafuta mungu usiku na mchana hapo sasa shetani ana hasila sana na huyo mchungaji magembe kwa kweli kazi anayofanya ni mwiba kwa mapepo yote
Kasome Bibilia vizuri nabii Eliya aliposema amebaki peke yake Mungu alimwambia ana manabii 700 wasiomsujudia baali Mungu sio fukara kiasi hicho ana watumishi wengi wenye nguvu na neno la kweli pia
T A G alikuwa amebak Mzee magembe tu? Lakini wacha mbingu iseme kwaajili yake ,songa mbele Mzee magembe sisi tunakuombea kazi yako na matunda yake tunayaona.
Shetani ameamua kuwashambulia kwa sababu ya huduma nzuri ambayo Maghembe anayo.Bado ana mambo ya kufanya,lakini so far so good.Satan is on the attack.Watu lazima wajue kwamba TAG has been taken over by the Devil,so they can do anything,Maghembe will not be the first.
Mch Magembe kiukweli amenyooka, kauli yake "TAG kanisa lineoza" wa TAG walitakiwa kutafakari maana ya kauli hiyo, kiukweli kanisa lina hali mbaya, kama watumishi viongozi walioitwa hawalioni hilo tatizo basi maandiko yametimia ,"Waacheni wafu wazike wafu wao" magembes fanyeni kazi na utumikieni wito wenu pasipo kuyyumbishwa, now there lot of voice every where, msisikilize maneno yao wala vitisho vyao, songeni mbele na mkono wa Mungu alie hai ukawe juy yenu, I promise kuwaombea always
Acha Mungu apasue vipande vipande haya nasinagogi yanayofuga watoto wa Mungu na kuwamiliki km vile wanewaumba..Mungu pasua vipande kbs hadi kusibaki jiwe juu ya jiwe ili Jina la Kristo likainuliwe.pasua pasuka kbs...inatosha unafiki wa makanisa yanayoongozwa na watu walafi wenye makesi mahakamani..wenye tuhuma, wasiosamehe, looo Mungu pasua pasua vipande vyote ndo trend sasa.we bw mdg dont waste time huu ndo wakati wa Mungu uliotabiriwa
Mchungaji,nani amekutuma kusema haya? Are you sure you're being led by the Spirit of God? Why are you using so much physical energy to fight this battle? The Church belongs to God not to you,or Mch.Magembe or even to TAG!When our Lord Jesus was being accused,He didnt say a word...
Hapana bwana umefika mbali sana, hata kama baba anauma ila msisolvd mambo kwa mwili, mmefika hatua ya kuomba waumini wajiandae kupigana kimwili.. Mambo yanavyokuwa mazito pigeni magoti.. Kaka unasolve hili kimwili!! Inaniuma sana napoona shetani anashinda katikati ya haya yote
Hata watu wasiposimama na yeye Mungu ambaye amemfanyia kazi miaka hii yote kwa uaminifu atasimama na yeye.Tumwachie Mungu yeye ndiye anakisasi cha haki.Mungu awapiganie na ni hakika Mungu atasimama na yeye na atampigania hilo ni hakika.Hakuna mbaya litakalompata Mungu anamlinda mpaka mwisho yeye ndiye mwenye huai wa mtu.
Relax mtumishi wa Mungu! Mungu hapiganiwi to that level! Simika hema mahali ulipo sasa na umtumikie Mungu kwa machozi! Mengine haya kwenye hii dunia yanapita tu! Kuna wakati tukubali vote kwa UTUKUFU wa Mungu! Tuwe humble kwa waliotutangulia kwenye huduma hata wanapokosea! Nashauri upunguze ukali wa maneno maana yana defile nafsi yako!
Nitamuombea Mzee Magembe awe na mwisho mwema! Relax
Mchungaji Maghembe songa mbeleeeeee Yesu Kristo wa Nazareth awe na wewe pia Mchungaji Yohana tunawapenda sanaaaaa
Mungu atapigana nao hao hakuna haja ya kujitetea na hakuna sababu ya kumtegemea mwanadamu zaidi ya Mungu.
Yeye afunge masikio yeye aingie rohoni kuutfuta uso wa BWANA❤!
Mzee magembe amenyooka, Hana uvuguvugu, Mungu amtetee Mzee wetu magembe.
Nam nakubali
Mungu mwaminifu, mchungaji Magembe bahati nzuri amekuwa straight katika mahubiri yake yote, shida ukweli umewachoma mioyo, lakini Mungu yuko pamoja nasi na Atasimama nasi katika vita yoyote kama ambavyo ameendelea kusimama siku zote
Uzur mmoja mzee anamsimamo sana,Mungu atampigania
Simama imara kijana tetea legacy ya Baba ,,, hafu Mzee magembe ni chuma cha pua hawamuwezi. Tuko tunapiga fireeeeeeee
Mimi sio muumuni wa TAG lakini huyo mzee maghembe namkubali kwasababu anahubiri kweli ya Mungu nyeupe anasema nyeupe na nyekundu vilevile na ndo inavyotakiwa Kwa uhubiri. hakuna kujidanganya kua tupo safi kitu ambacho sio kweli. Mzee maghembe Mungu atamlinda na kumtunza. labda Cha kumshauri mzee maghembe anatakiwa kujitia moyo Mungu yupo pamoja nae. Asiwaogope wanadamu hao hawana mbingu Wala jehanum ya kuwapeleka.
Viongozi wa dini hawataki kuambiwa ukweli ila Mzee alikuwa mkweli nilimfananisha na Moses kulola kabxaa makanisa yanatetea sana mambo maovu huyu Mzee hakutaka kabxaaa mungu amlinde
Bwana ndiye Mchungaji wetu, hatutapungukiwa na kitu, Songa mbele Mchungaji Yohana, Mungu amtunze Mchungaji Magembe. Songa mbele tunamwamini Mzee
Poleni, samahani nikuulize.... kati ya baba yako na Yesu unamchagua nani?
😊Tusitegemee sana akili bali Mungu ahusike chini ya uongozi wa Roho wa Bwana.Naomba hasira isitumike.
Ila ninavyojuwa nanilivyokusikiliza 1.Mungu wa kweli hahitaji kutetewa na mwanadamu hata kama kuna kundi la kumsema vibaya magembe.
2.kama familia ya magembe nafikiri mnaitaji kuwa na kanisa ambalo mzee wakifa mnataka mrithishwe iwe kama kanisa lakifalme😢😢
3.namna mtoto unavyoongea,kama ungekuwa na hekima neno kipumbavu usingeliweza kulitamka hata kidogo
4.mmeamua kutumia upepo wa mchungaji magembe kuomba watu wauchukie uongozi wa kanisa alilotoka
5.tunaomba structure ya uongonzi wa kanisa la pcc😢😢😢naamini...mnataka muwe na kanisa lenye uongozi wa kifalme,baba akiwa kiongozi akifariki mtoto anarithi
Nm/Yesu waga hatetewi na binadamu hata siku moja.nasema hata siku moja Yesu hatetewi na binadamu .Mungu asimame na washirika waliobaki alipokuwa anachunga magembe na akawasimamie wale watakaomfuata huko aendako
Acha na wanadamu Mchg wewe piga faya maana Yesu alikaa kimya!
Kaa kimya ingia kwenye maombi " Isaya 54:17".
Mungu yuko upande wa mzee Moses Magembe, yule aliye muita na kupanda mbegu ndani yake yuko pamoja naye.
Yesu alichafuliwa duniani lakini leo hii kila goti litapigwa mbinguni, duniani hata kuzimu kwa sababu ya jina la Yesu.
Kwakuwa tayari Mungu ameisha wapatia madhabahu nyie songa mbele maana uzuri hakufukuzwa aliaga kanisa kwa upendo na kwa furaha hayo mengine wala usiwakilize wanadamu zaidi ya Mungu Jehovah!❤
Tulieni sana mbele za mungu, TaG kaeni kimya mungu yupo na nyinyi sote
Mimi simsemaji wa coment ila leo nasema hivi baba Yohana Tulia Kwa Mungu Baba Magembe Hatakuwa kitu. Ngumbuka Mungu Alimshindia Mengi Kuliko Hayo Baba Magembe Ni Daudi Goliath Hatamueza. Pia Pole. Kwa Yote Baba ni Giant bwana. Usitishwe na Upepu Utaisha
Watazamaji Wote Clip Hii niilitolewa alhamisi na sio Jana kwa hio jambo limeisha Jana jumapili tuendelee kumuombea Magembe na familia yake katika kipindi hiki kigumu na pia Kuwaombe viongozi wa TAG kwa kipindi hiki kigumu . Amen
Mungu yupo pamoja na Mtumishi wake msiogope baba magembe usiogope Mungu alie kuita yuko pamoja nawe
Kwa ufahamu wangu Much. Yohana, nimekuwa katibu mkuu kwa zaidi ya miaka 15 usihangaike nao wala msigombane nao. Magembe hahitaji mgogoro kaa kimya chapa kazi
Kazi ya MUNGU ni Ngumu mubarikiwe wote mlioitwa na mapito mnayopitia❤
Moses magembe tunamuhitaji mungu wetu amlinde
Mungu simama na Magembe afu wachungaji wa saizi wengii wanatumia uchawi hawataki kumtumikia Mungu katika roho na kweli
Kabisa naungana na wewe hasaaa
Uchawi kwa magembe hautoboi
Yesu Kristo awalinde sanaaaaa sio lazima kukaa T.A.G lakini ni lazima kukaa ndani ya Yesu.
Amina happy
Mzee magembe pamoja zaidi toeni maelekezo mpo wapi tupo pamoja kwa hali na mali
Wamehamia kinyerezi mwemben pale.karibu
Muache mzee Magembe Mungu amtetee wewe huwezi kumtetea mzee this is more spritual zaidi wewe kijanaa huwezi kumlinda ama kiapo cha damu. Tuamke tuwaombee watumishi. Let Jesus and angels protect and guide him. Damu ya Yesu imlinde mzee. Mungu atamlipa sio mwanadamu.
Sasa unataka Mungu amtetee kwa njia ipi kama so iyo yakumuinua mtu aseme badala yake??
Mungu yuko upande wako endelea kupiga kazi usiogope... mtumishi wa Mungu
Pole kijana ila punguza maneno makali.Kumtumikia Mungu kuna misukosuko yake,ila jizuieni sana kuyatoa hadharani,usione hata haya makanisa makongwe ukadhani hakuna migogoro.
Mr Magembe is a strong man and all we can do is to pray for him, this is an attack na silaha za vita twazijua, mi ni mkenya na mzee Magembe nimemfahamu kupitia mtandaoni.
Hii migogoro,chuki na mipasuko ya kidini ndiyo inayofanya wale vijana WACHOKONOZI kuonekana wana hoja za msingi.😢
Pole sana kaka angu mwamini mungu ndio jemedari wa vita atawapigania
Naomba John ,uache kubeba karibu la baba yako kwa NAMNA hii bali Muombee Mzee mgembe.utajichosha bure.Licha ya upako wa mungu ulioko ndani ya wanadam LAZIMA tupitie majaribu.Amen
Dah!
Safi sana kijana ❤
Usipende dini mpende Yesu na usiweke dini moyoni muweke.Yesu din iweke akilini hata din y'ako hiyo uliyoianzisha.usiiweke moyoni iweke kichwani dini ni shule jua hivo dini zote duniani ni shule amin hivo
Ase! Sasa Kanisa lina mnyanyasa Mchungaji au Watu wa Kanisa wananyanyasa Mchungaji! Poleni sana kwakweli
Ungejua mambo yalivyokuwa nyuma ya pazia la wachungaji wewe unaye mlaumu huyu kijana wa mchungaji ungenyamaza kimya
Unacoment hujui wanayopitia
Kumbuka hapa kuna utumishi wa Mungu na Baba na mtoto usijisahau
Yanayoendelea wewe huyajui kaa kimya omba kwa Mungu tu atawasaidia Amen
Maghembe atabaki kuwa maghembe hii vita ataishinda bila shida kona maan huko alikotoka hawataki aseme kweli ya Mungu sababu wao washabadilik ila mzee yuko waziiiiii,Mungu simama na Maghembe we love maghembeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ameen, yeye apige kazi hata sasa, kusema hiyo inatosha, tunataka huduma zake mzee
Very good nitafika kwenye maombi hayo hata kama mimi siyo TAG ila huyo mzee nilipenda bure kwa sababu ya kueleza ukweli wa injiri tuelekezeni tufike kwa wakati kumlilia mungu
Bwana ndiye mwamuzi wa Yote, atamtetea mtumishi wake Rev Moses Magembe
Mch. Yohana ana akili nzuri, anaongea ukweli, na umefanya maamuzi sahihi kuwa pcc. Namuomba Mungu akuongeze na kukulinda.
uyu mzee maghembe anapendwa sana, mimi siyo T.A.G lakini uyu mzee tunampenda sana kwa sababu ya injiri ya ukweli. T.A.G imekuwa kanisa la kidini kiburi majivuno, dharau, na mwisho wa siku limekuwa na upagani wa kupitiliza. udunia umejaa ndani ya kanisa
Eeh,Mungu saidia watoto wako na kanisa lako wape hekima watumishi wako kama tumekosea tunarudi Kwa rehema,maana unaghairi mabaya na kuwa mema,tukumbuke adui asipate nafasi,tuinue Tena Ameni.
Kwakuwa ameisha kabidhi mali zao na kwa maandishi yeye aendelee kuisimamia kweli ya Yesu Kristo!
Mimi sio muumini wa TAG ila mchungaji magembe ni mtumishi wa Yesu kweli kweli. Mungu yupo pamoja nae
Usiogope kutisha kwao Bali mtakase Kristo moyoni mwako.
Hata Sasa amejisazia watu 7000 wasiopiga goti Kwa Baali
Yohana Mbatizaji alipomkemea Herode juu ya Herodia alikatwa kichwa.
Injili ya Kristo ni moto ulao
Hao wamisri na Farasi uwaonao hutawaona tena wee Songa mbele Yesu hajakuacha
iende mbele injili ya Yesu
Mungu amsaidie mtumishi wa Mungu mchungaji Moses Maghembe katika hili pamoja na familia yake
Wewe piga kazi nikweli mmeumia ila nyamaza mtandaoni hakuna msaada. Mzee aliandika barua kwa amani na kukabizi vitu kwa amani nyamazeni muachie Mungu ukija kimwili hivyo utaumia sana moyo pigeni kazi Mungu ameruhusu mtoke TAG kazi ienee injili ihubiliwe kwa nguvu
Amen
Kweli mtumishi wa Mungu mwahangila kamanda wa Yesu huduma yako ni nzuri sana mbele za Mungu mzee wa moto 🔥🔥🔥🔥
Ameen
Ameeeeen mch mhangila
Nadhani jambo la busara ni kunyamaza. Huwezi zuia mtu asizungumze
Ifike tu sehemu sasa huyu Yesu arudi tu mambo yameshakuwa mengi duniani.
Mungu yu mwema Saana Songeni mbele tu msiogope
Sidhani kama nisawa kuja kwenye mitandao hiyo ni kazi ya mungu ukiwa na cha mungu vita ni chakula kwako mzee magembe ni jeshi la Bwana ndie tumebaki nae baada ya kolola naomba ninyi mnyamanze mungu ataweka sawa kweli itabaki kweli huwezi kuibadilisha kweli wewe mtumikie bila kinyongo hakuna jipya chini ya jua
Asante tunakuelewa.
Lakini tumia lugha laini
Sio maneno makali.
Mungu aturehemu na hizi huduma za kuchunga roha za watu
Mtumishi Yohana angalia kauli zako unazotumia,wewe bado ni mdogo sana muache Mch asimame kwa ukomavu wake hekima itaamua lakini siyo matusi yako wewe Mtoto
Hajatukana hapo huyo katoa maelezo na maelezo yake yanaeleweka
Kumbe apo ametukana?
Magembe asonge mbele asonge mbele🎉🎉🎉🎉❤❤
Wewe kijana, ingefaa sana ukae kimya, wewe unamharibia, kuna maneno unatumia hayana hekima
Hii ni aibu kwa kanisa. Mungu awatetee na kuwalinda, kazi ya Bwana haihitaji majungu.
Barikiwa mtu wa Mungu
Vita ya dini ni ngumu kweli kweli! Hekima ya Mungu inahitajika sana na ndiyo silaha pekee.
Pastor yohana songa Mbele
Tanzania kuna mambo kweli,mara Martha Mwaipaji mara mzee Magembe
Hahahahaha
Kijana ,mpiganie Kristu acha hasira.
Mzaz anauma akifanyiwa vibaya. Moyo wa mtoto kwa baba. So tuwaombee tu wote
Anaweza kuwa hayuko sahihi lakini damu ni mzito kuliko maji.
Hakuna, ndio kusudi la serikali kuweka katiba ili mgombane mnao jiita wayesu.
Kaka Yohana ungekaa kimya mbona mzee amesema imeisha,,,,
Mchg Magembe ni chuma hunoa chuma ni Mtume Paulo wa pili hapa duniani!
Mimi si mtanzania, lakini nimemuja Mchungaji Magembe mitandaoni na kwangu ni Mutumishi wa Mungu. Na huyo Mungu anayemutumikia atakuwa pamoja naye kokote na katika yote.
Be stronger and stand up acha kuongea sana utakosea na acha hasira Ndugu yangu.Vita ni yakiroho Mungu tuu
Huyu kijana angekaa kimya tu, kuna sehemu anakosa hekima anamuharibia mzee Maghembe.
Ata kama ni wewe ugemtetea babako, amezeeka na atakufa kwa stress tukiona.
@ElizabethMuia-ro9yh hatumii hekima.
Kama hayajakukuta kaa kimya
Aa Sawa nimekuelewa kumbe shida ni maslahi binafsi yesu alisema ukitaka kunifata mm na ujikane mwenyewe.
Kweri ni moto
Pastor Songa Mbele
Wewe siyo Mungu acha Mungu ampiganie acha hivyo vitu unavyofanya kaka.
Magembe mpaka saivi ndo mshindi huyu nae anakuja kuharibu sifa zake dahhh nimechefukwa
Naona ni vema kunyamaza kuliko kulumbana,Fanyeni maombi msimpe ibilisi nafasi,TAG ilishapoteza mwelekeo siku nyingi,ni wakati tu ulikuwa unasubiriwa,Pia kumbuka vita ni vya BWANA na mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe,Acha vita ya kimwili
Mch. Yohana wewe sasa ndio unaharibu kabisaaaa.Kwa nini usinyamaze tu,mumuache Mungu Amsimamie Mch.Maghembe.Unajua ukinyamaza kimya kunasaidia sana.
Kijana we ni pastor Ila uko kimwili Sanaa, tag hatujui dishes hivoo
Baba ameshindwa kuvumili amepitia mangapi?
Ndugu yangu hata usihangaike, injili ya mzee magembe imeenda nje na kupasua miamba ya kanisa la TAG, so anachopitia ni pambano la kiroho la kimfumo, so mtahangaika na watu ila huo ni mfumo wa TAG umekataa ameenda more than, yaan ni kama mbuzi kafungiwa kula mwisho hapa, yeye kwa uongozi wa Roho Mtakatifu amevuka, so mara nyingi huwa ni mpango wa Mungu kumtoa mtumishi wake mahali palipojibana sana, Yesu anataka sasa amtumie apendavyo na si mifumo ipendavyo, shika hili, ni la kiroho
Wewe naomba ukae kimya mpaka sasa magembe kaeleweka zaidi kuliko hio tag kwani nani asiyejua mahubiri ya magembe yamenyooka.alafu na ww unakuja tena kumharibia sijapenda kbs😢😢ukae kimya baba ameshaongea na tumemwelewa
Umeharibu kbs kuwajibu wale😡
Tuko pamoja kumuombea mzee magembe
Vita zetu si za mwili na damu
Ondoeni expectations za kusifiwa au kutendewa mema.. ni kawaida unapoondoka kanisani kupigwa vita badala ya kukushukuru mchango wako so don't panic pastor,, hayo ndo madhaifu ya wanadamu. Dawa ni kupuuuzaaaaaaa
Mhemko!
Tafuta namna nyingine ya kusolve brother. Mbona haijafikia huku kijana?
Hii inaitwa hatua ya kisiasa. Hapa una -create tatizo lingine.
Pole sana .
Back to leadership.
Hivi vita ni lazima vitokee maana hayo maombi mnayoomba hapo kanisani ni mwiba kwa shetani mnamtafuta mungu usiku na mchana hapo sasa shetani ana hasila sana na huyo mchungaji magembe kwa kweli kazi anayofanya ni mwiba kwa mapepo yote
kaka tusonge mbele mungu tunaye muamini hatamuacha baba yetu
Ukinyamaza hautaonekana mjinga ukitulia haina mahana haujuwe sio kila neno nilazima ulijibu ugetulia tu kijana kama kweli unahofu ya mungu
Mzee magembe hata wangemchafuaje, tunamuamini sana. Tag alikua amebaki mzee magembe pekee, ila wengine nimafisadi tu.
Kasome Bibilia vizuri nabii Eliya aliposema amebaki peke yake Mungu alimwambia ana manabii 700 wasiomsujudia baali Mungu sio fukara kiasi hicho ana watumishi wengi wenye nguvu na neno la kweli pia
T A G alikuwa amebak Mzee magembe tu? Lakini wacha mbingu iseme kwaajili yake ,songa mbele Mzee magembe sisi tunakuombea kazi yako na matunda yake tunayaona.
Shetani ameamua kuwashambulia kwa sababu ya huduma nzuri ambayo Maghembe anayo.Bado ana mambo ya kufanya,lakini so far so good.Satan is on the attack.Watu lazima wajue kwamba TAG has been taken over by the Devil,so they can do anything,Maghembe will not be the first.
MUNGU TUNAOMBA UTUREHEMU HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO NYAKATI ZA HATARI YESU KRISTO UTUREHEMU
Nitumie namba rafiki niko songwe
Mbona baba wa watu huwa anapiga injili ya wazi ilonyooka.
MNA LISISHANA UCHUNGAJI CYO
MKUU WA ULIMWENGU ASHAWAKOROGA VIONGOZI WA TAG, WAKUMBUKE NGUVU YA UPENDO.
Mch Magembe kiukweli amenyooka, kauli yake "TAG kanisa lineoza" wa TAG walitakiwa kutafakari maana ya kauli hiyo, kiukweli kanisa lina hali mbaya, kama watumishi viongozi walioitwa hawalioni hilo tatizo basi maandiko yametimia ,"Waacheni wafu wazike wafu wao" magembes fanyeni kazi na utumikieni wito wenu pasipo kuyyumbishwa, now there lot of voice every where, msisikilize maneno yao wala vitisho vyao, songeni mbele na mkono wa Mungu alie hai ukawe juy yenu, I promise kuwaombea always
Bwana mkumbuke mtumishi wako magembe shetani aibike
Fanya kazi ya injili Acha kupambana mwilini
Video ya zamani huyu mzee alishaacha mbona kazi TAG
Wachungaji wengi wa TAG Mungu awasaidie ila TAG kuna shida.
Muachie mungu😢
Acha matusi na vitisho.
Maswala ya T.A.G yabaki huko huko . Sasa hapa unayaleta ya nn??
Acha Mungu apasue vipande vipande haya nasinagogi yanayofuga watoto wa Mungu na kuwamiliki km vile wanewaumba..Mungu pasua vipande kbs hadi kusibaki jiwe juu ya jiwe ili Jina la Kristo likainuliwe.pasua pasuka kbs...inatosha unafiki wa makanisa yanayoongozwa na watu walafi wenye makesi mahakamani..wenye tuhuma, wasiosamehe, looo Mungu pasua pasua vipande vyote ndo trend sasa.we bw mdg dont waste time huu ndo wakati wa Mungu uliotabiriwa
Mchungaji,nani amekutuma kusema haya? Are you sure you're being led by the Spirit of God? Why are you using so much physical energy to fight this battle? The Church belongs to God not to you,or Mch.Magembe or even to TAG!When our Lord Jesus was being accused,He didnt say a word...
Watumishi.wamungu.aliyeitwa.namungu.akaekimya.mungu.eko..mubaya.mungu..eko..atalipakilamutu.namatendoyake..muwache.kusema.mingi.utapoteza.mapezi.yamungu..achakelele.mutoto.wamungu..mungu.atamulipa..kilakitu..usitoshe.kelele.acha.kusema.megi.yesu.eko.munze.fanyakazi.erimwisho.muzuri.basikuchanganye.nipo.apacongo.muji.lumbu.mbashi
Mchangaji Yohana hili jambo ni la Kiroho, msiende kimwili, fanyeni yote kimya kimya, msipigane kimwili piganeni kiroho.
Hapana bwana umefika mbali sana, hata kama baba anauma ila msisolvd mambo kwa mwili, mmefika hatua ya kuomba waumini wajiandae kupigana kimwili.. Mambo yanavyokuwa mazito pigeni magoti.. Kaka unasolve hili kimwili!! Inaniuma sana napoona shetani anashinda katikati ya haya yote
Hata watu wasiposimama na yeye Mungu ambaye amemfanyia kazi miaka hii yote kwa uaminifu atasimama na yeye.Tumwachie Mungu yeye ndiye anakisasi cha haki.Mungu awapiganie na ni hakika Mungu atasimama na yeye na atampigania hilo ni hakika.Hakuna mbaya litakalompata Mungu anamlinda mpaka mwisho yeye ndiye mwenye huai wa mtu.
Huku kwetu walitolewa baruti na wakanyang'anywa kanisa miaka 2005....
Magembe ni mtumishi wa Mungu na Mungu atasimama naye atashugulika na kila anayeleta upinzani juu yake Mungu hatanyamaza kimya