Songs mbele mtumishi wa MUNGU.tunautaka uamusho wa kweli kwa nguvu ya ROHO mtakatikafu.tunakuombea Imani yako katika hili unalopitia isitindike.sisi kanisa la Tanzania tunamtaka Mungu wa kweli na nguvu zake.
Misingi ikiharibika Mwenye haki hatafanya nini? Hii halama ya kujiuliza imeachwa wazi kwenye neno ili tutafakari kwa Roho. Magembe ni Mtumishi wa Mungu kweli na Mimi ni T.A.G nafahamu mengi kuhusu misingi iliyopo inashindwa kwendana na kasi ya uhamusho. Kiukweli kanisa linahitaji mabadliko Sana ila bahati mbaya watumishi wanapigana na adui Katika mifumo wanapotaka uhamusho wa kweli.
Ukweli wako ndio uliokuweka huru mshukuru Mungu anakutoa mahali ili akuinue zaidi kuelekea mahali pengine ..muangalie stephano aliongea maneno yaliyo wachoma mioyo yaoo...na kuwaumiza japo hawakumuacha walimuuuaaa.. hata hivyo limekufa kwan uongo
Kuhama bcz ya uhamisho mmh sio kweli? Mana hata kuiwa ndani ya TAG unaweza kufanya hudumu hiyohiyo co kusema hv mmh mana uko unakokwenda bdo tu n wanadamu wlwle so utahamaa mpka wapi @ Nacho jua kama mtu mmja tuanaweza kubadilisha kanisa why uukimbie tatizo why usi li solve????
Speech nzuri sana ya ukomavu kama mtumishi wa Mungu, umeongea vyema na busara, barikiwa sana, magembe big up ingawa sipendi washirika kutengana
Mungu akulide mzee magebe kwa uwamusi wako wakitoka kwenye matobe
Tutaenda wote babaaa....
Be blessed
Good speech...
Tunakupenda Sana huku Kenya Baba, wewe Chapa injili.. Mungu ndie amekueka muda Huu wote..
Mtumishi wa Mungu umeshasema, sasa Nyamaza wewe piga gombo. Usijibizane nao. Mungu akubariki❤❤
Mimi sio muumini wa kanisa hilo lakini mahubiri yako nilikuwa nayafutilia pole mzeee Umetenda kazi ya Bwana Mungu awe nawe Mtumishi wa Mungu
Milikuwa naulizia Hilo kanisa ambalo upon kama wamekufukuza siji Tena wachungaj wa mshahara wamekuchukia Mungu mwenye nguvu anakuoenda sana
Mungu mwema...
Mzee magembe ameamua vizuri t a g ambayo tunaifamu Sisi sio hii hofu ya mungu imepungua kabisa mambo ya udunia yamelikumba kanisa
Amen..
Usijieleze sana Mungu ndio anaejua kila kitu wewe nyama za mwache Mungu aseme
Pole baba Mungu hatakuacha
Kweli Mtumishi wa Mungu. Piga kelele usiache. Hubiri UTAKATIFU na KWELI YA NENO LA MUNGU.
Kanisa ni la Bwana Yesu haliwezi kufa.
Hujamwelewa kbs
Kanisa ni Nini huzjui laana ya kanisa
Bora umetoka tu ukweli lazima usemwe
Songs mbele mtumishi wa MUNGU.tunautaka uamusho wa kweli kwa nguvu ya ROHO mtakatikafu.tunakuombea Imani yako katika hili unalopitia isitindike.sisi kanisa la Tanzania tunamtaka Mungu wa kweli na nguvu zake.
Mungu akubariki sana. Kazi njema katika bwana
Chapa injili mzee wasikusumbue haupo kwa ajili yao upo kwa ajili yesu ,tupo mzee tunapokea hicho kijiti acha tuone maana kumepambazuka haswaaa
Okay
Piga kazi baba
Hongela kwanzakwauaminifu wako manasikuizi zamwisho wachungaji wengi wanaangalia maslahi lakiniweer umewaludishia kilakitu piga kazi babamungu atakufikisha mbal
Misingi ikiharibika Mwenye haki hatafanya nini? Hii halama ya kujiuliza imeachwa wazi kwenye neno ili tutafakari kwa Roho. Magembe ni Mtumishi wa Mungu kweli na Mimi ni T.A.G nafahamu mengi kuhusu misingi iliyopo inashindwa kwendana na kasi ya uhamusho. Kiukweli kanisa linahitaji mabadliko Sana ila bahati mbaya watumishi wanapigana na adui Katika mifumo wanapotaka uhamusho wa kweli.
Ukweli wako ndio uliokuweka huru mshukuru Mungu anakutoa mahali ili akuinue zaidi kuelekea mahali pengine ..muangalie stephano aliongea maneno yaliyo wachoma mioyo yaoo...na kuwaumiza japo hawakumuacha walimuuuaaa.. hata hivyo limekufa kwan uongo
Kuhama bcz ya uhamisho mmh sio kweli? Mana hata kuiwa ndani ya TAG unaweza kufanya hudumu hiyohiyo co kusema hv mmh mana uko unakokwenda bdo tu n wanadamu wlwle so utahamaa mpka wapi @
Nacho jua kama mtu mmja tuanaweza kubadilisha kanisa why uukimbie tatizo why usi li solve????
Nakuomba kemea Fake miracles.
Ingekuwa bora zaidi kama uwaombe RADHI waumini wako kwa kuwadanganya zaid ya miaka 50, ya kuwaTAG ni mali ya watu siyo mali ya MUNGU.