Kama una simulizi/mkasa ungependa kusimulia kwa jamii kwa lengo la kuelimisha na kufundisha, karibu wasiliana nasi kwa namba..#0653127761. kwa mahitaji ya nguo nzuri zenye chapa ya KABUNYAU wasiliana nasi kwa mawasiliano ya,...0764368113/0717066207/ 0653127761...Asante
Mwanangu daz Leo umezingua Yani unakuja na stori za kutunga Tunga asa ndo iweje...si ungetoa tu stori za bongo za ku hustle na vitu ka hizo come on bro...be real my nigga🇺🇲🇺🇲
Kama una simulizi/mkasa ungependa kusimulia kwa jamii kwa lengo la kuelimisha na kufundisha, karibu wasiliana nasi kwa namba..#0653127761.
kwa mahitaji ya nguo nzuri zenye chapa ya KABUNYAU wasiliana nasi kwa mawasiliano ya,...0764368113/0717066207/ 0653127761...Asante
Mtafute Baharia Dr YC hutochoka
@@andrewmziray2233 weka na mawasiliano yake
Fanyeni kwanza assessment ya watu wa kuinterview, otherwise mnapuyanga😂
Wa kwanza Jamani Nipeni like 10 tu😢
Anajieleza sana, we lete story sisi tutajuwa tukuweke wp
Yeah mbanga kwa hewa🔥🔥🔥
Dar 24 hio background music iko juu sana mpaka hatusikii interview vizuri, rekebisheni, inakua kelele😢
Mwendo Mnyooko ndani ya Mdundo❣️
Nimesokil8za dk 3 nimeshondwa endelea shauri ya hiyo background sound inabowa mno
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂maisha ya mungu mwanamalunde daz
Huyu muongo bhna namjua hajawahi kwenda popote ...wameuza nyumba za urisi tu kinondoni...hajawahi kwenda popote...muongo muongo tu teja tu
Banga TV ivi amna mabaria wakuwaoji au bora umtafute ata bariharia mwega brother please
Mshkaj kafanana sana na jimmy chizi mpk kuongea
Mwanangu daz Leo umezingua Yani unakuja na stori za kutunga Tunga asa ndo iweje...si ungetoa tu stori za bongo za ku hustle na vitu ka hizo come on bro...be real my nigga🇺🇲🇺🇲
uyu sio
Oya mbona hatujielewi Hana jipya bwana achana nae
Maneno mengi dupa unamuogopa nn mchane bas soon!!
🔥🔥🔥
Tozi uyo
Depu hpo hamna ktu 🐇
Naona jamaa una mlazimisha kujielezea...achana nae hana story huyo ataturusha rusha tu ..
Mzee dupa umetuchoka kwanza mchizi ni kama hataki kufunguka baharia gani huyo
Dupa mnafk mshkaj wang😅😅 yan unacheka but kisaikolojia apo kwamb unacheka hujategemea story ya mwamba kamba ovyooo😂😂
Malume dazzy lucas
Mi cjaelewa mbona mafumbo mengi
Jamaa amegoma kuwa wazi ila anastori ndefu sana ,pia ataki kuwa wazi
maliza mb zangu bure akuna cha kujifunza apa
Ngoma itambae
Dupa huyu jamaa kakupa pesa ili umhoji au vipi. hakuna chakujifunza hapa
Tafta stor kar bloo tujifinze
Miklziki ina kelele sana
Oooi
🔥🔥
Tozi uyo