Hongera review nzuri sana Mr Sabby 👏 Hizi gari za europe (BMW, Mercedes, Audi, Volvo)nk ni gari nzuri na zinahitaji matunzo ipe service inayostahili kwa wakati kama watengenezaji walivyoelekeza itadumu na utaifurahia tatizo watu wengi huwa wanaishi na hizi gari kama toyota ndo maana zinawaletea matatizo kibao mwisho wa siku wanaziita mbovu kumbe sababu ni wao wenyewe.
Hongera review nzuri sana Mr Sabby 👏
Hizi gari za europe (BMW, Mercedes, Audi, Volvo)nk ni gari nzuri na zinahitaji matunzo ipe service inayostahili kwa wakati kama watengenezaji walivyoelekeza itadumu na utaifurahia tatizo watu wengi huwa wanaishi na hizi gari kama toyota ndo maana zinawaletea matatizo kibao mwisho wa siku wanaziita mbovu kumbe sababu ni wao wenyewe.
Umeelezea vzr sana, comment yako itawapa elimu watazamaji wengine… Ubarikiwe 💐💐💐
Nikicoment viibaya kwenye post zako utanilaumu
Maelezo mazuri sana, Brother👏👏👏
Welcome brother 🙏
Mr saby kwa mtu anaetaka gar used tofaut na used toka japan yan used hapahap Tz ila iwe imara mnaweza kumtafutia kwa bei nafuu
Yes boss, naomba Nichek kwenye WhatsApp 0653953900 . Asante
Naomba review ya bmw x3 ya mwaka 2013
Sawa boss itakuja. Review zetu ni za magari ambayo tumeyaagiza hivyo mpk tuagize Ndio tufanye review
Safi sana mr.Sabby🔥🔥🔥
Na je,hili gari linahimili barabara zote au ni lami tu?
Vipindi vyenu viko vizuri 🎉
Mnahitajika katika Jamii ishie huku TH-cam tungependa tupate hii product kwny vtuo vya TV 🎉
Hongereni sana 🎉
Nice one
Thanks 🙏🙏
Ni ya mwaka gani
Hii ya 2010 boss. Kwa maelezo zaidi tumia no yetu 0653953900 Whatsapp
@@MrSABYY 🙏🏽
Safi sana
Asante sana
Shida yetu hatuwekagi bei kila mteja atapigwa bei yake
Hello. Bei zote za magari zinawekwa kwenye ukurasa wetu wa instagram@mr_sabyy | Unaweza follow na kuona bei huko. Asante
Review ime kaaa poa sana
Bei gani inauzwa
Shingapo
@@MbarakSaid-s3l Hello bei ya sasa ni 26Million . Kwa details zaidi karibu WhatsApp 0653953900 . Asante