TAZAMA ASKOFU GWAJIMA ALIVYOTINGA KWA MBWEMBWE KURUDISHA FOMU YA UBUNGE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 61

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 4 ปีที่แล้ว +3

    Gwajima Oyeeeeeeeeee 😀😀😀👍👍👍 Kawe chagua Gwajima kwa maendeleo yetu

  • @hawaamohammed6687
    @hawaamohammed6687 4 ปีที่แล้ว +9

    Halima ndg yangu ktk Imani umekwisha

  • @jonathan39046
    @jonathan39046 4 ปีที่แล้ว +6

    Gwajiboy!!!oyeeeee!

  • @jeffs9017
    @jeffs9017 4 ปีที่แล้ว +9

    Rest in peace halima mdee

  • @emmanuelmlule9101
    @emmanuelmlule9101 4 ปีที่แล้ว +3

    2010 tulimdondosha james mbatia safari hii tuna mdondosha Gwajima mchana kweupe, Khalima mdee the best

    • @highzacknnko4002
      @highzacknnko4002 4 ปีที่แล้ว

      Hata mtumie kitu gani gwajima hawezi kukosa ubunge,kama uamini namba yangu hii hapa,0765188192 ,gwajima akishindwa nikutumie shilingi ngap na wewe mdee akishindwa unitumie shilingi ngap,taja dau, maana tunamwamini Mungu wa majeshi ya Israel Mungu asiyeshindwa

  • @masala8099
    @masala8099 4 ปีที่แล้ว +1

    Cheo cha ubunge Ni kikubwa kuliko uaskofu ni kauli ya 2020

  • @rebeccaagunda1417
    @rebeccaagunda1417 4 ปีที่แล้ว +3

    Mbona mchungaji msigwa hamumsemi? Ni Gwajima tu ndo m7memuona?? Acheni zenu Gwajima atashinda Tena kwa kishindooo halima Alie tuuuu

  • @brillianthalisi2259
    @brillianthalisi2259 4 ปีที่แล้ว

    Kaziiii kumekuchaaa

  • @willyclassic9263
    @willyclassic9263 4 ปีที่แล้ว +6

    Tunapanuaa mipaka semeniii mipaka panukaaa

  • @fridasiame4639
    @fridasiame4639 4 ปีที่แล้ว +6

    Baba ushindi ni wetu CCM% Tanzania mpya inakuja

  • @willyclassic9263
    @willyclassic9263 4 ปีที่แล้ว

    Gwajiboy zee la uno

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 4 ปีที่แล้ว

    Toa Vumbi baba rake ccm kudumu chama cha mapinduzi magufufi hoyeeeeeeee

  • @respiciusndyanabo1309
    @respiciusndyanabo1309 4 ปีที่แล้ว +1

    Naona utumie basara usimjibu Halima wewe tunakutegemea sana kuwa kiongozi wetu kuwa mvumilivu

  • @josephmongi5756
    @josephmongi5756 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnakwama wapi ninyi watu mnaosema nyie ni watumishi wa Mungu

  • @kilangavanamaurus7818
    @kilangavanamaurus7818 4 ปีที่แล้ว

    Imeandikwa mambo ya kidunia hayadumu,ila mambo ya kiroho( ya Mungu) ni ya uzima na hudumu milele.
    Anaye kwenda shamba kulima kisha akageuka nyuma kuangalia alikotoka hafai ktk. Ufalme wa Mbingu.
    Ya Mungu mwachie Mungu,na ya Kaizar mwachie Kaizari.
    Sasa we wewe kikondoo mbona unakwenda kinyume na hayo maandiko matakatifu ?
    Mshika mawili mmoja humpokonyoka.
    Wewe kikondoo lipi litakupokonyoka ? Na mwenye enzi atakupa adhabu ipi kwa kwenda kinyume na maandiko matakatifu ?
    Kila la kheri kwako Mungu wa Mbinguni akutangulie.

    • @furahajimmy4189
      @furahajimmy4189 4 ปีที่แล้ว

      Soma maandiko vizur.
      Soma habari za Daniel aliekua mtumishi wa Mungu wakat huo huo alikua kwenye nafasi kubwa kisiasa katika ufalme mkubwa wa nebokadreza ambae hajatokea mfalme kama yeye aliezaliwa kawaida ya wanadamu ufalme wake kua na nguvu.

  • @jacksoncharls228
    @jacksoncharls228 4 ปีที่แล้ว

    Wafuasi Wa kidude mbona povu linawatoka gwajima noma mtaaibika na demu wenu

  • @papafikiri
    @papafikiri 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama umeongoza maelfu ya watu kanisani huwezi kushindwa Kawe

  • @japhetdeus3464
    @japhetdeus3464 4 ปีที่แล้ว +3

    wewe tayari nimshindi

  • @thadeomathias6056
    @thadeomathias6056 4 ปีที่แล้ว

    Hapo hamuna mchungaji wala askofu tamaa hyo

  • @samelychesham3309
    @samelychesham3309 4 ปีที่แล้ว +2

    Kumekucha kumekucha

  • @thadeomathias6056
    @thadeomathias6056 4 ปีที่แล้ว

    Halima pambana mama ubunge niwako huyo nae eti mchungaji ulishaona mchungaji na chama wapi na wapi

    • @faustinengika1154
      @faustinengika1154 4 ปีที่แล้ว

      Hv unamjua mtu anayeitwa mchungaji Peter msigwa

  • @onesmomaruti5256
    @onesmomaruti5256 4 ปีที่แล้ว +1

    Hafai aende akahubiri enjili

  • @stevenwilibert8094
    @stevenwilibert8094 4 ปีที่แล้ว +1

    Mla kondoo huyo anajifanya mchungaji

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 4 ปีที่แล้ว

    Atu

  • @stevenwilibert8094
    @stevenwilibert8094 4 ปีที่แล้ว +1

    Amelaniwa huyo

    • @eliakimunyama8841
      @eliakimunyama8841 4 ปีที่แล้ว

      mapepo ya bungeni mjengoni makao makui misukule ya makao makubwa yapigweeeeeeeeeeee!!!!

    • @highzacknnko4002
      @highzacknnko4002 4 ปีที่แล้ว

      Yapigweeeeeee,njooooooooooo,wapigweeeeeee

  • @irenemagogo8992
    @irenemagogo8992 4 ปีที่แล้ว

    Utakuta na miislamu ipo hapo inashangilia uyo jamaa Atari kwenye uislamu anaenda kupinga haki za kiislamu bungeni msiwe mabwege waislamu.

    • @kaishozigodfrey3476
      @kaishozigodfrey3476 4 ปีที่แล้ว

      Huo ni mtazamo wako. Pole sana

    • @papafikiri
      @papafikiri 4 ปีที่แล้ว +1

      Udini utatugawa

    • @papafikiri
      @papafikiri 4 ปีที่แล้ว +1

      Yaani mtu mmoja apinge haki za Waislamu na ikubalike wakati Wajerumani na Waingereza na nguvu na fahari zao zote hawakufanya hivyo

    • @danielmoses2244
      @danielmoses2244 4 ปีที่แล้ว +2

      Mshaanza KUWEWESEKA sasa mwatoka na SINGO za UDINI .... ACHENI KUGAWA WATANZANIA WENZENU kwa UZUSHI WENU kikubwa mkamshauri huyo RAIS WENU WA MITANDAON kuwa AACHE KUSAPOTI USHOGA maana ni KINYUME cha UTU na pia MACHUKIZO kwa MUUMBA

  • @tottenhamsande5209
    @tottenhamsande5209 4 ปีที่แล้ว

    Utaaibishwa na kuambia.umeacha ya mungu umefuata ya kidunia.ngoja manake mungu atakuaibisha

    • @mathiaspeter397
      @mathiaspeter397 4 ปีที่แล้ว

      Gwajima hawezi kuaibika! Waaibike wote waliokinyume na Gwajima

    • @madahawilliamtv
      @madahawilliamtv 4 ปีที่แล้ว +2

      Kuongoza watu sio jambo la kidunia,mambo ya kidunia yafatilie vizuri........

  • @elibarikdaniel9809
    @elibarikdaniel9809 4 ปีที่แล้ว

    Mla kondoo wa bwana ...naona kondoo zimeisha unataka kula vya wengine...subiri goli la mkono

  • @neemahezron486
    @neemahezron486 4 ปีที่แล้ว +1

    Mdeeee byebye

    • @nicksongerson6416
      @nicksongerson6416 4 ปีที่แล้ว

      Hayo Ni matumizi mabaya ya dini ..wanatuletea laana duniani hawa

    • @ndiwoimagdalenemasamo309
      @ndiwoimagdalenemasamo309 4 ปีที่แล้ว

      Mungu atusaidie sana sio mkutano wa lnjili ila ni mkutano wa siasa kweli duniani hujafa hujaumbika tusiseme kumaliza

    • @neemahezron486
      @neemahezron486 4 ปีที่แล้ว

      @@ndiwoimagdalenemasamo309 kabsaaaa dear Mungu mwenyewe atuhurumie

  • @khalfansharji9790
    @khalfansharji9790 4 ปีที่แล้ว

    Waisilamu kawe juweni gwajima hafai kwa alivokuwa akitukana uisilamu makanisani mwake na kihalimamdee nacho kilisha asiiii dini yaani kijike dume maana nimwanmke lkn mambo yake yoote ya kiume wote hao pigeninyama shimoni chaguweni vyama vingine CCM nao wanajichanganya wakati mwengine bana.

  • @benjaminiduda1983
    @benjaminiduda1983 4 ปีที่แล้ว +2

    Mimi ni mkristo yangu nampa mdee jaman

    • @mamahustru
      @mamahustru 4 ปีที่แล้ว +4

      Kura yangu ni ya kibinafsi, nampa Gwajima. Miaka 10 sasa wakazi wa Mbweni Mpiji tunahangaika na mafuriko na kuhama nyumba zetu kila mvua ikinyesha. Hakuna kiongozi wa wilaya/mkoa asiyejua hili tatizo. Ukifuatilia kwanini halitatuliwi, majibu yasiyo rasmi ni uhusiano mbaya kati ya mbunge na serikali ya wilaya. Mwanzo nilikuwa napenda jeuri ya Mdee, lakini imenikosti sana, sasa basi. Japo maendeleo hayana chama, lakini hakuna mtu asiyejua siasa inahusika kwenye kutenga vipaumbele.

    • @kuchimillionaire6683
      @kuchimillionaire6683 4 ปีที่แล้ว +1

      Nani alikuuliza dini yako?

    • @lucyalex6943
      @lucyalex6943 4 ปีที่แล้ว +1

      Kunamtu kakuuliza dini we boya kwel

    • @danielmoses2244
      @danielmoses2244 4 ปีที่แล้ว

      #UDINI_TENA .... Dalili za KUTOKUWA na SERA kwa hiyo WANASUKUMWA tu na LOLOTE LIJALO KICHWANI

  • @shomarykhamis9711
    @shomarykhamis9711 4 ปีที่แล้ว

    Mla kondoo wake hahahaaaa,

  • @isaacmafole2136
    @isaacmafole2136 4 ปีที่แล้ว +1

    Kura yangu nampa halima mdee

    • @mamahustru
      @mamahustru 4 ปีที่แล้ว +3

      Kura yangu ni ya kibinafsi, nampa Gwajima. Miaka 10 sasa wakazi wa Mbweni Mpiji tunahangaika na mafuriko na kuhama nyumba zetu kila mvua ikinyesha. Hakuna kiongozi wa wilaya/mkoa asiyejua hili tatizo. Ukifuatilia kwanini halitatuliwi, majibu yasiyo rasmi ni uhusiano mbaya kati ya mbunge na serikali ya wilaya. Mwanzo nilikuwa napenda jeuri ya Mdee, lakini imenikosti sana, sasa basi. Japo maendeleo hayana chama, lakini hakuna mtu asiyejua siasa inahusika kwenye kutenga vipaumbele.

    • @ashurajuma4837
      @ashurajuma4837 4 ปีที่แล้ว

      @@mamahustru sasa halima mdee ndio analeta hayo mafuriko???au yeye ana uwezo wa kuyazuia mafuriko😂

    • @mamahustru
      @mamahustru 4 ปีที่แล้ว +3

      @@ashurajuma4837 Hapana. Ila ameshindwa kushirikiana na wenye mamlaka ya uongozi ya wilaya na jiji kutatua tatizo.

    • @kaishozigodfrey3476
      @kaishozigodfrey3476 4 ปีที่แล้ว

      @@mamahustru Asante majibu mazuri🤛🤛🤛🤛🤛

  • @petermatabwa5085
    @petermatabwa5085 4 ปีที่แล้ว

    mbona walokole wakitaka nafas mnaongea mnataka watenda dhambi ndo waongoze?