TUNDU LISSU acharuka UCHAGUZI WA TLS Dodoma, asema rais wanaemtaka....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 51

  • @MediatrixNgabona
    @MediatrixNgabona 2 หลายเดือนก่อน

    Eti hoja ya kipumbavu kabisa, 😂😂😂waliosema kazi kwao

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baba uko juu pokes mauwa yako baba🎉

  • @PauloLoota
    @PauloLoota 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mheshimiwa mutuletee mwambukusi ✌🏾 sana sasa

  • @WinfredCharles-ij2ib
    @WinfredCharles-ij2ib 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwaee watanzania wengi hatuna erimu ya sheria ngeumana tunaonewa mawakili huna hela hawana msaada

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ninataka kuwa thibitishia watanzania na hata wapiga kura wenyewe ambao ni Mawakili Bwana amenihakikishia kuwa Mwabukusi ndiye mchaguliwa na ndiye mshindi ktk uchsguzi huo hivyo baada ya uchsguzi Baada ya kutangazwa kwake mnaweza kunipiga simu niwasmbie kwanini Mungu alinihskikishia kuwa Mwabukusi ndiye atakayekuws raisi wa TLS

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 2 หลายเดือนก่อน +1

    Well said Mweshimiwa Lissu

  • @manyorifrancis8348
    @manyorifrancis8348 2 หลายเดือนก่อน +1

    Active - dormant
    Activist - dormantiet

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 2 หลายเดือนก่อน

    Hamuwezi kukwepa siasa ni Kila sehemu Hadi familia,taasisi kama dini campuni isipokuwa majeshi ambayo wanao uwongozi wa commanding yaani amri kutoka juu Hadi chini

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mh.Tundulissu anaongea ukweli, hakika mawakili wa Tanzania wamelala sana na wanatumika na serikali kama toilet papers kukandamiza wananchi kwa sheria na kuacha mambo ya msingi ya kutetea Nchi.Mwabukusi ndiyo chaguo letu kwa sasa.

  • @aristidisamba1573
    @aristidisamba1573 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli nafurahia na kujifunza sana kupitia kauli za Mh.Lissu zimejaa madini kweli kweli.

  • @nestor384
    @nestor384 2 หลายเดือนก่อน

    The general public wants Mwabukusi Boniface

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 2 หลายเดือนก่อน

    EXACTLY ❤

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 2 หลายเดือนก่อน

    💯🙏✔️

  • @RaphaelyKadovela
    @RaphaelyKadovela 2 หลายเดือนก่อน

    Kikubwa tunaomba muwatoe watu walioonewa magereza

  • @ChristinaKilianNyoni-xb7lk
    @ChristinaKilianNyoni-xb7lk 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mwandishi amekula za uso 😂😂😂😂

  • @stevenkajubili
    @stevenkajubili 2 หลายเดือนก่อน

    Upo vizuri

  • @MohamedKaboza
    @MohamedKaboza 2 หลายเดือนก่อน

    Pongezi sana

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 2 หลายเดือนก่อน

    Akili kubwa

  • @amenya-bl5md
    @amenya-bl5md 2 หลายเดือนก่อน

    ,asante lisu

  • @manafrica6968
    @manafrica6968 2 หลายเดือนก่อน

    MUNGU awatangulie wanasheria wetu haswa wale wanao tenda haki katika kutetea uma ...na kuitendea haki taaluma zao

  • @saivellybrutally2994
    @saivellybrutally2994 2 หลายเดือนก่อน

    Sawa

  • @StevenLyimo-u4y
    @StevenLyimo-u4y 2 หลายเดือนก่อน

    Chaguzi za haki na kweli mfano ni huu

  • @omarmussa5130
    @omarmussa5130 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana mjuaji

  • @LamsonMalenga
    @LamsonMalenga 2 หลายเดือนก่อน

    Gud lissu

  • @saidinyoni2463
    @saidinyoni2463 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe lisu mashamba Sana unaga siku ikapite bila kumtaja magufuli pumbavu Sana wewe ulikua una tete wizi Tanzania

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mpumbavu ni mtu yule anaetaka watu wote wawaze na kunena kama yerevan.

    • @FilbertMsongela-xt9tq
      @FilbertMsongela-xt9tq 2 หลายเดือนก่อน

      Anayataja matendo ya magfuli mheshimiwa Wala uskasilike kama magufuli angekufa bila kutenda jambo jema au baya czani kama Kuna mtu angemtaja.

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 2 หลายเดือนก่อน

      Mshamba wewe ambaye hujaenda shule. Tulia jifunze daraja la Lisu huyo siyo2 chawa na hanunuliwi

  • @emmanuelkanyela275
    @emmanuelkanyela275 2 หลายเดือนก่อน

    hatupo kiasa hapa tunaitaji mwabugusi afatilie Sheria na mikataba mibovu ambayo hipo sasa hvi

    • @mangobase
      @mangobase 2 หลายเดือนก่อน

      @@emmanuelkanyela275 nae atapita Tanzania itabaki kuwa ileile..ili Tanzania ibadilike nilazima watanzania nao wabadilike otherwise tutaendelea kumtegemea mwambukusi hamjui nae anamapungufu yake time will tell..mabadiliko yaanze nasisisi wenyewe tunao shabikia mtandaoni

  • @omarmussa5130
    @omarmussa5130 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bwana Lisu huko Chadema uchaguzi wenu ndani ya chama unafanywa kama TLS ?

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa huyu chawa Omar Mussa mambo ya kumuuliza Lissu uchaguzi ndani ya chama chake yanakusika nini na MADA iliyopo ya uchaguzi wa TLS?
      Kwani kuna vyama vingapi? Leo Lissu yuko hapa kama wakili na si vinginevyo, kwani hata ukileta masuala ya chama hukumuona Lissu akikemea aina yoyote ya rushwa uchaguzi wa ndani CDM? unakurupuka kichawa bila tafiti, no research no right to speech

  • @AlsonMoses
    @AlsonMoses 2 หลายเดือนก่อน

    Tunakukubar babaa

  • @MarryCharles-rc6ei
    @MarryCharles-rc6ei 2 หลายเดือนก่อน

    Najaribu kuwaza, ukimchukua Samia Vs lissu afu tukafanya debate kwa kuwahoji maswali magumu unapata picha gan nn kitatokea

  • @Luganoamos-jv5in
    @Luganoamos-jv5in 2 หลายเดือนก่อน

    Tunataka mnyaki hyo mwanukuuuuuu

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 2 หลายเดือนก่อน

    We unaemtukana lisu pumbavu nawewe kama vizuri toaukoma wako mtandao I hujitambui unaemtukana lisu una niini logs wee

  • @mangobase
    @mangobase 2 หลายเดือนก่อน

    Mnakiharubu chama cha mawakili na siasa huku fanya lolote ulipo kuwa Raisi wa tls.. Maneno mengi.... 😅

    • @cletkwai4228
      @cletkwai4228 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe unaishi Tanzania? Tundu alikuwa Raisi wa TLS mwaka gani na alipigwa Risasi mwaka gani?

    • @TwahaShehe
      @TwahaShehe 2 หลายเดือนก่อน

      Aja ujinga wakat n raise mangap yalimsbu nyie ndio wkimbiz mwfos kuish nchin

    • @mangobase
      @mangobase 2 หลายเดือนก่อน

      @@TwahaShehe hata kuandika shida nawewe ndo walewale

    • @felixboniphace
      @felixboniphace 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mbona Lisu Alisha wai kua Rais wa tls wew upo Dunia ya ngapi em Toka kwenye huo usingizi wa pono

    • @alfredcharles8029
      @alfredcharles8029 2 หลายเดือนก่อน

      Mjinga huku hujui alivyohujumiwa hata siku ya uchaguzi ilifanywa mipango kumchelewesha Airport ili asihudhirie lakini mawakili walimchagua bila kuwepo na baade akafika hatua za mwisho,Bado tu baada ya hapo visa vya kumhujumu vikaanza...INA WEWE NI MKIMBIZI HUJUI HILO??

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 2 หลายเดือนก่อน

    Lisu anaongea vizuri tatizo lake ni kufadhiliwa na mabeberu. Alitaka mabehewa ya makenikia wazungu wayachukue bure bure na kuitishia nchi kushitakiwa na hao mabeberu wake kama nchi itazuia hayo mabehewa ya makenikia.
    Kashawishi mabeberu mara nyingi wazikamate ndege zetu.
    Ni ovyo ovyo tu.
    Ni hivyo ndivyo anamchukia Magufuli kwa sababu Magufuli katunga hadi sheria za kulinda rasilimali za Watanzania.

    • @FilbertMsongela-xt9tq
      @FilbertMsongela-xt9tq 2 หลายเดือนก่อน

      Waifahamu vema maana ya beberu kaka?

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 2 หลายเดือนก่อน

      Ninayo hàmfadhiliwi na waarabu na wachina mnaowapa rSilimali za nchi