Zainab Ansell - Mwanamke aliyejitosa kwenye sekta ya Utalii Tanzania

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Zainab Ansell ni miongoni mwa wanawake wanaotajwa kuwa na mafanikio katika sektaya Utalii nchini Tanzania. Aliwekeza katika usafirishaji wa watalii na mahoteli na mwaka huu ametwaa tuzo ya Mtembezaji Bora wa Utalii Tanzania kwa mwaka 2022.
    Chukua dakika moja kuwataja wanawake unaowakubali kuwa ni wapambanaji.
    #Kurunzi

ความคิดเห็น • 3

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 14 วันที่ผ่านมา +1

    Africa likija suala la Utalii Basi lazima Zanzibar itajwe ❤🎉 napenda sana

  • @Moresa196
    @Moresa196 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Dw, Makala Ni Nzuri. Nimefurahi Kumfahamu Zara Tours

  • @ramlamohamed4401
    @ramlamohamed4401 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tumeipenda mama aendeleee kuwa juuuu tena juuu zaidi