MIRAJI |TUMEWAKOSEA KMC | SIJAONA UBAYA UBWELA WA VIONGOZI |WAKALA WA NGOMA ATUACHE | ATEBA ASHATUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 103

  • @SANANE862
    @SANANE862 27 วันที่ผ่านมา +44

    Tunaompenda miraji aendelee tujuane hapa kwenye like 👍 👌 ♥️

  • @stephanojulius66
    @stephanojulius66 27 วันที่ผ่านมา +19

    Wa kwanzaaa hapa kumskiliza miraji maramoja

  • @MahamuduHussein-t1o
    @MahamuduHussein-t1o 22 วันที่ผ่านมา

    Nakukubali sna miraji uchambuzi wko siku zote unayooshaga maelezo!! Big up😊😊😊.

  • @veronicangwale7159
    @veronicangwale7159 27 วันที่ผ่านมา +9

    Miraj mara nyingi anaongeaga point 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 27 วันที่ผ่านมา

      Ilimkuta stesheni,hovyo ka zote!

    • @deonatusdaud4640
      @deonatusdaud4640 27 วันที่ผ่านมา

      ​@@errydeo8865so kweli acha chuki kka

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 25 วันที่ผ่านมา

    Mko vzr sana mie mwenyewe niliipenda

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 27 วันที่ผ่านมา +4

    😂😂😂😂kwaiyo miraji mnataka viongozi waanze nao ubaya ubwela nje ya uwanja si ndio🙌

  • @twahamaulid
    @twahamaulid 26 วันที่ผ่านมา +1

    Au MIRAJI anakuwaga amelewa!!!! Maana anampiga sana MAKOFI mabegani CHAGAMBA na ndio maana CHAGAMBA hanenepi😂😂😂😂

  • @BashiluSingano
    @BashiluSingano 27 วันที่ผ่านมา +2

    Fact bro

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 27 วันที่ผ่านมา +3

    Simba bado tunajaribu kwenye ligi bado sana❤❤❤

  • @frankmisana1133
    @frankmisana1133 27 วันที่ผ่านมา +1

    Daah 🎉🎉

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 27 วันที่ผ่านมา +1

    Benchika kipala umetisha sana

  • @AhmedmussaMussa
    @AhmedmussaMussa 27 วันที่ผ่านมา +1

    Nakuelewa sana miraji

  • @user-nm1tq5bx5o
    @user-nm1tq5bx5o 27 วันที่ผ่านมา +3

    Wazee kaeni na timu safar hii wachezaji wote ni wazur

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 26 วันที่ผ่านมา

    Festivu

  • @zidingamontencno9902
    @zidingamontencno9902 26 วันที่ผ่านมา

    Nawaelewa sana miraj na chagamba

  • @michaelwilson679
    @michaelwilson679 27 วันที่ผ่านมา +1

    Miraji ulinikera Sana ulipoenda kufanya vurugu Zanzibar nlishangaa sana

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 27 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂 ....

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 26 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Fredmbawala-hq3pd
    @Fredmbawala-hq3pd 27 วันที่ผ่านมา

    Chagamba anakazi kweli maana Miraji anavyopiga makofi Duuh sio p😂😇😇😂😂😂

  • @DastaniMoro
    @DastaniMoro 27 วันที่ผ่านมา +1

    Simba wanalete usajiri wa kishamba mpira umekua jamani makoro badilikeni😅😅😅

    • @hassanabdala7383
      @hassanabdala7383 26 วันที่ผ่านมา

      Kiswahili chenyewe hujui kakojoe ulale mshamba ww

  • @JumaBagelle
    @JumaBagelle 27 วันที่ผ่านมา

    Asantaa Mirajii Gogoroooshi Simba

  • @LukasiMahobbe
    @LukasiMahobbe 26 วันที่ผ่านมา

    millaji umeanza kuingia kwenye mifumo yawachambuzi

  • @why-ir8zl
    @why-ir8zl 26 วันที่ผ่านมา

    huo ni utaratibu wenu tanzania sio wa fifa! Kumbuka Patay wakati anaondoka atletico aliwalipa saa moja kabla ya dirisha kufungwa na hakukuwa na shida.

  • @JumaBagelle
    @JumaBagelle 27 วันที่ผ่านมา

    Miraji Ubayaa Ubwegeeee

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 27 วันที่ผ่านมา

    Hapo sawa nimekuelewa Miraji hata mm nilishangaa sana kumbe mlikuwa mnafurahisha mashabiki 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @gastonfuraha
    @gastonfuraha 27 วันที่ผ่านมา

    🔥🔥🔥🔥

  • @EvoniSanga
    @EvoniSanga 26 วันที่ผ่านมา

    mm nilijua kuwa mumetengeneza haiwezekani ninyi mgombane

  • @Gabrieljerome-j5v
    @Gabrieljerome-j5v 27 วันที่ผ่านมา

    Miraji mtu na nusu

  • @AnethKauzen-yz1ws
    @AnethKauzen-yz1ws 26 วันที่ผ่านมา

    Bega litakomaa

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 27 วันที่ผ่านมา +1

    Unajua hii Brand ya mackochary na kamakawa record 😂😂😂😂😂 unaipandisha Sana maramoja.

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 27 วันที่ผ่านมา

    Mm nilijua mnagombana kweli asante kwa ufafanuzi😅

  • @Gabrieljerome-j5v
    @Gabrieljerome-j5v 27 วันที่ผ่านมา

    Jamaa huyu mtu wa mpira sanaaaaaaa

  • @ramsonmadodi8095
    @ramsonmadodi8095 27 วันที่ผ่านมา

    Viongoz kwel msilale dah fanyn sapotiiii

  • @SophiaManeno-hc8hl
    @SophiaManeno-hc8hl 27 วันที่ผ่านมา +5

    Kwann chagamba unawahojig watu wengn😢😢 akat miraj anajitosheleza kweny fact ya football tukitak kupngz mawaz yupo mzee said😂😂😂😂 jmn chagamba

    • @marwaisack374
      @marwaisack374 27 วันที่ผ่านมา +2

      Kama yule mzee Masatu sijui huwa anamhoji wa nini maana yule sio mpenzi wa mpira bali ni shabiki lia lia wa timu

    • @roberttagaya9098
      @roberttagaya9098 26 วันที่ผ่านมา

      ​@@marwaisack374Hampendi mzee Masatu kwakua hawasifii nyie Nyani fc.

  • @biswalofamily3694
    @biswalofamily3694 27 วันที่ผ่านมา

    😂Upo xaw uncle miraji

  • @TumaDeo
    @TumaDeo 27 วันที่ผ่านมา

    Miraj uko sahihi sn ila hapo kuna watu watakukataa ila uwo ndio ukwel

  • @musasaguti4760
    @musasaguti4760 27 วันที่ผ่านมา +2

    Miraji, Mchome na Sam simba ni watu wa mpira mara nyingi huzungumza ukweli na si ushabiki km kina G64.
    Zungumza ukweli ht kama ni mchungu

    • @mussangalawa2403
      @mussangalawa2403 26 วันที่ผ่านมา

      Mchome mtoe sio shabiki wa simba

  • @JohnTendwa-gn1nl
    @JohnTendwa-gn1nl 27 วันที่ผ่านมา +1

    Nyie mshanunuliwa na ccm, ndio maana timu hizi ni za ki ccm, hata maendeleo nakuishi kwetu hatutafika, mchawi mpe mtoto alee, ikifa ccm Simba na Yanga zitakuwa kuliko Ahal😮

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 26 วันที่ผ่านมา

    Miraji saingine pia ww unazingua

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 25 วันที่ผ่านมา

      Kazingua wapi sasa

  • @vestinezidi3215
    @vestinezidi3215 26 วันที่ผ่านมา

    Miraji na chagamba Naomba number zenu please

  • @MariaSigan-i6g
    @MariaSigan-i6g 27 วันที่ผ่านมา +1

    Chahamba tuletee mzee said achambue kuhusu weso aweso😂😂😂😂😂😂😂

  • @suleimanlilibemtombo3712
    @suleimanlilibemtombo3712 27 วันที่ผ่านมา

    Miraji chawa uyoo

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 27 วันที่ผ่านมา

    Uyo ateba mhm 🤔 yangu macho nashindwa chakusema🤔

  • @alisalmin512
    @alisalmin512 27 วันที่ผ่านมา

    YANGA BINGWA

  • @hassanchiwambo687
    @hassanchiwambo687 27 วันที่ผ่านมา +5

    Miraji ukiamua kuwa mchambuzi huwa nakukubari sana. Ila siku ukiwa kwenye ushabiki wako daaa! huwa nakosa madini mengi mno ya mpila. Simba wameonyesha uhuni na dharau kwenye sajiri za ndani mbona sajiri za nje zimenyooka.

    • @ernestkamata2555
      @ernestkamata2555 26 วันที่ผ่านมา +1

      Miraji anajitahidi sana kusema ukweli ila wewe sema unapenda Miraji aongelee mapungufu ya Simba tu akigeukia upande mwingine unasema siyo

    • @Dully_star
      @Dully_star 26 วันที่ผ่านมา

      ​@@ernestkamata2555Kweli kabisaa huyo @hassan anajikuta yy yanga lialia

  • @user-td9zr7ur5h
    @user-td9zr7ur5h 27 วันที่ผ่านมา

    Point miraji huo ndyo ni ukweli wenyewe

  • @MichaelChongela-o2l
    @MichaelChongela-o2l 27 วันที่ผ่านมา

    C mlimuiaba uwanja was ndege?

  • @MichaelChongela-o2l
    @MichaelChongela-o2l 27 วันที่ผ่านมา

    Aliibiwa arpot

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 27 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂dah ndo mpka kulia

  • @user-kg7jc8tb1f
    @user-kg7jc8tb1f 27 วันที่ผ่านมา

    Valentin nouma sio streker changamba

  • @Bashirusalum
    @Bashirusalum 27 วันที่ผ่านมา

    Miraji saiv itikeli hauna GSM anatuharibia Mpira wetu Hadi watu wetu

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 27 วันที่ผ่านมา

      Fifa wapo wazi kupokea malalamiko yenu

  • @deonatusdaud4640
    @deonatusdaud4640 27 วันที่ผ่านมา

    point tupu

  • @IbraMwakipesile
    @IbraMwakipesile 27 วันที่ผ่านมา

    Awesu awesu anaga baya Bora aje zake simbaaaaa

  • @michaelwilson679
    @michaelwilson679 27 วันที่ผ่านมา

    Ila Kama ni utani sawa🤣🤣

  • @SamwelLuhasha
    @SamwelLuhasha 27 วันที่ผ่านมา

    MIMI NA MWANAFAMILIA WA FINEST ILA KITENDO CHA MIRAJI NA MZARAMO KUVAMIA MKUTANO WA MWALIMU YANGA SIJAFURAHISHA NAO KWANI MPIRA SIYO UADUI.

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 27 วันที่ผ่านมา +1

      Amekwambia walitengeneza tukio ili kila mtu aelewe tukio linalofuata

  • @amanisebastiani2827
    @amanisebastiani2827 27 วันที่ผ่านมา

    Miraji umekua fala kama ile yajana kweli ni vurugu mlifanya labda iwe kiki

  • @user-gp7es3sg3k
    @user-gp7es3sg3k 27 วันที่ผ่านมา

    Milaji uricho kufanya Jana ni uhuni haukubariki wewe ni kio Cha jamii uricho kufanya Jana ni upumbavu ni utoto sisi hapa rubumbashi hatukufatirii Sana ujinga Kama huwo haukubariki unasema uwongo umetukwaza Sana

  • @kasimuhamidu8467
    @kasimuhamidu8467 27 วันที่ผ่านมา +1

    Milaj uwo ulofa

    • @veronicangwale7159
      @veronicangwale7159 27 วันที่ผ่านมา

      Kakosea wap sasa 😆😆😆😆😆😆😆😆

  • @gastonmbarila9458
    @gastonmbarila9458 27 วันที่ผ่านมา

    Ndo ningeshangaa sana, mbona Miraji afanani ugomvi? 😂 nimeshtuka sana nilipo ona ile clip

  • @VenaceBoniphac
    @VenaceBoniphac 27 วันที่ผ่านมา

    Millaji unazingua huyo Joshua kafanya lip.

  • @SINDAWAWA
    @SINDAWAWA 27 วันที่ผ่านมา

    Sikutegemea ulichokifanya jana

    • @lailatmalik7515
      @lailatmalik7515 27 วันที่ผ่านมา +1

      Ni utani jamani kwani wenzetu mnaangaliaje mambo hamjaona jimmy anavyowaita

  • @hamisimtupa7327
    @hamisimtupa7327 27 วันที่ผ่านมา

    Kmc walikua wanataka m70 simba wakaona nyingi baada ya kesi ndio wakata m200

  • @jumambwambo
    @jumambwambo 27 วันที่ผ่านมา

    Miraji nilijua wewe mtu wa maana sana kitengo mlicho fanya kizimkazi na mzaramo hakileti tija kwa mtu wa heshima kama wewe

    • @lailatmalik7515
      @lailatmalik7515 27 วันที่ผ่านมา

      Hujaona kama ile ni content tu?

    • @EmmanuelMwanza-ef9bf
      @EmmanuelMwanza-ef9bf 27 วันที่ผ่านมา

      Ameshakujibu kuwa hiyo ni content tu waliitengeneza kwa makubaliano Yao wenyewe

  • @GwamakaSamson-pg6bl
    @GwamakaSamson-pg6bl 27 วันที่ผ่านมา

    Saiz milaji hujielew we wabkupigana kipumbavu tutaacha kufatilia kipindi chako

    • @fredrickipembe8188
      @fredrickipembe8188 27 วันที่ผ่านมา

      Nikweri miraji mpumbavu sana sikuhizi

    • @muddyleader4458
      @muddyleader4458 27 วันที่ผ่านมา

      Daaah! Hivi darasana mlikuwa mnasikiliza kweli jamani mwalimu!? Mbona Miraji ameshaeleza! Au bando dogo mmeforward!?

    • @deonatusdaud4640
      @deonatusdaud4640 27 วันที่ผ่านมา

      ​@@muddyleader4458 Kaka hao ni mashabiki sio wapnzi

  • @ndaclolugora4137
    @ndaclolugora4137 27 วันที่ผ่านมา

    Muulize miraji mbona mmbape kwenda Madrid perezi hakuenda kuongea na PSG kuwa wanamuhitaji kuongea na mchezaji lazima ili kuweza kufahamu kuwa mchezaji yupo tyr kuichezea timu husika

    • @muddyleader4458
      @muddyleader4458 27 วันที่ผ่านมา

      Sasa we hujui mkataba wake ulikuwa chini ya miezi sita kuisha!??

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 27 วันที่ผ่านมา

    Miraji uliniangusha sana kuanzisha vurugu umekosea sana

  • @voicdesition897
    @voicdesition897 27 วันที่ผ่านมา

    Mlizingua ule ni upumbavu

  • @laithalfairuz1189
    @laithalfairuz1189 27 วันที่ผ่านมา

    Yani ww kaka napenda unavo ongea uko kwenye ukweli

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 27 วันที่ผ่านมา +1

    Ww ni muislam acha kuhimiza shiriki utapta zambi dogo ww shabikia mpira tu

    • @kakorejrboyz6447
      @kakorejrboyz6447 27 วันที่ผ่านมา

      DINI NI IMANI TU MAISHA YMNI PESA TU

  • @aloycebina8968
    @aloycebina8968 27 วันที่ผ่านมา

    Milaji kwani simba wakisema waliongea na awesu wakijua hana mkataba uliobaki kmc vp hapo kuna kosa

    • @muddyleader4458
      @muddyleader4458 27 วันที่ผ่านมา

      Ndo wamejua sasa ukweli ndo wafuate utaratibu! Mbona rahisi tu!

  • @feetfirsttz
    @feetfirsttz 27 วันที่ผ่านมา +5

    Kuna mda unazingua sana Miraji, ila tunakukaushia tu kwa sabb binadam huwezi patia kila kitu, ila miyeyusho sana sometimes!! Hv Simba wanakosea kwenye usajili wa ndani tu!????

  • @VeronicaNyondo
    @VeronicaNyondo 27 วันที่ผ่านมา

    Kabla huja comment sikiliza content vzuriiiii sio unacoment tu, .....

  • @DenisMalima-cq9hp
    @DenisMalima-cq9hp 27 วันที่ผ่านมา

    YanI Miràji nilikua nakuona mtu wa maana sana kumbe ni hovyo kabisa.kitendo cha kuvamia mkutano wa yanga huo ni ujinga. Na ni ushamba.

    • @LimseyMassawe
      @LimseyMassawe 27 วันที่ผ่านมา

      Ilikuwa ni iigizo....mpate attention ya kizmkazi festival...tumia akili kidogo

    • @RichardMangula
      @RichardMangula 27 วันที่ผ่านมา

      Wanaigiza ww

  • @NeylahMhagama
    @NeylahMhagama 27 วันที่ผ่านมา

    Utangulizi mrefu hauna hata tangazo lenye faida

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 27 วันที่ผ่านมา

    Miraji ushaanza kupotea wewe mambo mengine hujui chawa unajipendekeza sana kwa watu wa yanga iliuonekane kama unajua sana mpira

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 27 วันที่ผ่านมา

      Mtu akiongea ukweli mnampinga kitu gani hujaelewa hpo alichoongea miraji

    • @deonatusdaud4640
      @deonatusdaud4640 27 วันที่ผ่านมา

      ​@@fettiemaganza1484Kaka asiyejua maana usinwambie maana

  • @kasimuhamidu8467
    @kasimuhamidu8467 27 วันที่ผ่านมา

    Milaj unafer

  • @MichaelChongela-o2l
    @MichaelChongela-o2l 27 วันที่ผ่านมา

    C mlimuiaba uwanja was ndege?