DADA WA KAZI 💞 HOUSE GIRL PART 25 | Love Story

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 136

  • @twizydadytv
    @twizydadytv  2 หลายเดือนก่อน +32

    UNAMSHAURI NINI TWIZY?😭😭😭

    • @Phoebenafula
      @Phoebenafula 2 หลายเดือนก่อน +1

      Amtafute Mai amuoe ❤❤🎉🎉

    • @Haleema-dg5bo
      @Haleema-dg5bo 2 หลายเดือนก่อน +2

      Shida ya twizy mgumu wa kuelewa ako na rafiki ,yke mzuri sana hachoki kumshauri lakin ,akili ilingia Madawa ya mamake mkwe 😂😂😂😂

    • @EvalineMollel-py7fc
      @EvalineMollel-py7fc 2 หลายเดือนก่อน +1

      Umuoee Mai ndoo mke boraa kuliko nasraa❤❤❤

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 2 หลายเดือนก่อน +2

      Muowe May ndo mke sahihi Nasra siomuke sahihi anaamuni dawa sana kuliko kujiamini mwenyewe

    • @EvalineMollel-py7fc
      @EvalineMollel-py7fc 2 หลายเดือนก่อน +2

      Nasraa na mama ake ni wachawii😮

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mwisho waubaya niaibuu😂😂😂

  • @dhahabudeche926
    @dhahabudeche926 2 หลายเดือนก่อน +19

    Mm wakwanza leo japo tunahuzuni 😢 kwakumpoteza tessa lakini like mnipee😭😭

  • @BintijumaMwadarashi
    @BintijumaMwadarashi 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mm wa sita like zikuje jmn

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mai mwanamke mzr anafaa kuwa karibu na twizy ❤❤❤❤❤❤ Nasra na mama ako mkalime kijijini

  • @FaridaAly-r5n
    @FaridaAly-r5n 2 หลายเดือนก่อน +4

    Safi Sanaa mai ❤❤❤

  • @SumaiyaIbrahim-wy6ec
    @SumaiyaIbrahim-wy6ec หลายเดือนก่อน

    😂😂😂wachawi hawo jamaniii

  • @SdFft-j5g
    @SdFft-j5g 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mayi usirudii kwa Twizy, utateseka zaidi ya mwanzo, alfu Nasra vipi dawa imekugeuza chizi ww mwenyewe au vipi😂😂😂😂😂

    • @LewisHamiltonGLD
      @LewisHamiltonGLD 2 หลายเดือนก่อน

      Mwana kulitafuta mwana kulipata amekosea masarti 😂😂😂

  • @ChimammyMummy
    @ChimammyMummy 2 หลายเดือนก่อน +4

    🤣🤣🤣dada wa kazi hey , next please hurry up hurry up

  • @AbilahiBandu-i9g
    @AbilahiBandu-i9g 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah kazi mzuri san ❤❤❤

  • @NeemaMbuji-i7s
    @NeemaMbuji-i7s 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mama nasra umeipat hiyo kazi kumwekea midawa tu hiv kwann sisi wanawake ni watekaj pia ni wauwaji Kwan mme Kam kakupend SI atabaki kuwa wako jmn daaa ila kazi zuri ❤❤❤

  • @mwendemutua3063
    @mwendemutua3063 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kweli mwisho WA ubaya n ubaya to,Kula chuma hicho mwezangu,,,😢

  • @salmanadjibu
    @salmanadjibu 2 หลายเดือนก่อน +4

    Timu stronger tujuwane kwalank basi natimu mai

  • @RamtaMpingo
    @RamtaMpingo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Safi wakuu mnajuaaaa

  • @SaraaSaraa-i1j
    @SaraaSaraa-i1j 2 หลายเดือนก่อน +6

    My unajua na unajua tena

  • @safiahignas1553
    @safiahignas1553 2 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂mtakuwa machizi kazi Hawa waganga

    • @dhahabudeche926
      @dhahabudeche926 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂 awe chizi hatahivyo twizy dady amuoe mai😂😂

  • @BijouxMunezero-k3e
    @BijouxMunezero-k3e 2 หลายเดือนก่อน +3

    Maman bona Tanzanie wagizaji wanaisha jaman pole sana wanzani jaman marehem Tessa nilikuwa nikimupenda sana maman yo

  • @AidanMugisha
    @AidanMugisha 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mtie bakora hvo hvo dada wa kazi,,,, jitu zima hovyo🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @WiltherArisa
    @WiltherArisa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mayi kipenzi na Twizy wafaana ❤❤❤kutoka kenya 🇰🇪 Nawapenda sana ❤

  • @NadzuwaKilaga
    @NadzuwaKilaga 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nasrallah 🎉🎉🎉kimekuramba cha makenzi Pole ushirikina simzuri

  • @PerezQuenisha
    @PerezQuenisha 2 หลายเดือนก่อน +4

    Naona dawa imeanza kurudia nasra

  • @miriammuthoka
    @miriammuthoka 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mimi wa tano like zikuje jameni

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu be dada anamoyo wakipekee😭😭😭 kutokea kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪...like na mie wapendwa🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ety twizy unamanisha unampenda my mjibu mwezio ili nas washabiki zako tusikie hilo neno jmn😂😂😂

  • @AltonKijogori
    @AltonKijogori 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe remy mdodowake mai nmependa wanafanana sanaaa❤❤❤

  • @AminaAlo-fq8vt
    @AminaAlo-fq8vt 2 หลายเดือนก่อน +2

    Uchawi umeixha 😂😂😂😂😂😂

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 2 หลายเดือนก่อน +3

    Leo nmekua wa tatu....naona kabisa house girl akifanya matukio Kwa hii episode....atafanikiwa 😅

  • @AltonKijogori
    @AltonKijogori 2 หลายเดือนก่อน +1

    Namkubali remy ❤❤

  • @LilianAchieng-j3x
    @LilianAchieng-j3x 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tamu sana

  • @pendomwaringa7597
    @pendomwaringa7597 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waaa umekosea mashart ama😢😢😢

  • @JohariHasham
    @JohariHasham 2 หลายเดือนก่อน +1

    My Safi sn mpendwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ninamshauri twizy waoane na my wangu

  • @EmmanuelNgengena
    @EmmanuelNgengena 10 วันที่ผ่านมา

    Nzuri sana kazi ❤❤

  • @JoelWafula-in3xh
    @JoelWafula-in3xh 2 หลายเดือนก่อน +1

    KAZi nzuri, ila mnatupimia kuochi Kila cku kamoja kamoja,au bado sinachemshwa,,

  • @RahemhAli
    @RahemhAli 2 หลายเดือนก่อน +2

    Uyo mama na mtoto wake,waendelabisa,hawakufai hao.mai ndio mwanamke bora

  • @AsmaKhamis-y8r
    @AsmaKhamis-y8r 2 หลายเดือนก่อน

    Nenda kamuoqw mayy❤❤🎉🎉🎉😂

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ushirikina ukizidi niasara mm Nasra mwisho utabeba mikono kicwani mwenyewe mucimba kaburi hudumbukiya mwenyewe na mwisho waubaya niaibu

  • @NosiataDfd-k5g
    @NosiataDfd-k5g 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mama Gani huyo jemeni

  • @monicahjoseph2528
    @monicahjoseph2528 2 หลายเดือนก่อน

    Big up mai❤❤❤❤,

  • @rtrw708
    @rtrw708 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hhh muganga ameweka viuungo

  • @AltonKijogori
    @AltonKijogori 2 หลายเดือนก่อน +1

    Namkubali remy

  • @FatumaBakari-c3l
    @FatumaBakari-c3l 2 หลายเดือนก่อน +7

    Umekosea masharti n mganga aliawaambia wapumbavu nyie wingine hawarogeki jmni penI la dhat liko moyo ❤❤❤❤ team twizy

  • @EzekiaMsemwa-sk7ow
    @EzekiaMsemwa-sk7ow 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wahisha mzigo

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx 2 หลายเดือนก่อน

    Mama wa dawa Nasra kitakuramba😂😂😂🎉

  • @PendoJacob-p1y
    @PendoJacob-p1y 2 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwelaaa 😂 we auogop😂😂😂😂

  • @SifaBaranyizigiye
    @SifaBaranyizigiye 2 หลายเดือนก่อน

    Yaan kila mara natiza iyi episode kwa sabab ya iyi nyimbo iliomaliz episode iyi ni nzur kwel😘

  • @DanteSultan-wu7pu
    @DanteSultan-wu7pu 2 หลายเดือนก่อน +3

    twizzy atamuoa maya

  • @MercyCherop-ee5rf
    @MercyCherop-ee5rf 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wakwanzà mimi hapa

  • @sakina5550
    @sakina5550 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mwisho wa ubaya ni aibu

  • @FlorenceWanjala-u9k
    @FlorenceWanjala-u9k 2 หลายเดือนก่อน +2

    We nasra kimemlamba

  • @ErastoMichael-o7h
    @ErastoMichael-o7h 2 หลายเดือนก่อน

    Remy kilasikunakwambh umebadilika unauwasaiv Bo's wako awemakini naww unafanya vzr sana

  • @TimothMwambalange
    @TimothMwambalange 2 หลายเดือนก่อน

    Natamani sana twizy amuoe may anayependa kama mm aseme

  • @Martasullley-g6h
    @Martasullley-g6h 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kaz nzur sanaaaaaaa

  • @CarolineImbwaga
    @CarolineImbwaga 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kimewalamba wenyewe

  • @asiahhassan1539
    @asiahhassan1539 2 หลายเดือนก่อน

    Ila nasir hayo maswali unayomuliz mm yak😂😂😂😂

  • @Annajumwa
    @Annajumwa 2 หลายเดือนก่อน

    Uchawi mwingi mwisho uchizi😂😂😂😂

  • @Leilajepmtu
    @Leilajepmtu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mama dawa itakuramba ongeya to utajua Jiji nyinyi

  • @Nadzuwamangale
    @Nadzuwamangale 2 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Lj_mjanja
    @Lj_mjanja 2 หลายเดือนก่อน +1

    Apo mwishon Nasra kaua sana

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mama nasra kimekulamba mwisho wa mabaya ni aibu

  • @ErastoMsemwa
    @ErastoMsemwa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duhu nimecherewa kwakweli

  • @ajesterkalulu7927
    @ajesterkalulu7927 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mmama mjinga kumbe alitaka kumwua mwanaye

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 2 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi tamu

  • @tommymelodyofficial4844
    @tommymelodyofficial4844 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nasra kimpat nn ten jmn

  • @JumilaMhada
    @JumilaMhada 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman tuleteen mwendelezo bas

  • @BintijumaMwadarashi
    @BintijumaMwadarashi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mtu na mama yake wanakiona ssa

  • @RHeemAuijbe
    @RHeemAuijbe 2 หลายเดือนก่อน

    Dah sikuwahi kufatia move ila move hiii mai apewe maua yake

  • @FurahaChristine-g8w
    @FurahaChristine-g8w 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nasra una penda dawa sana ita kuponza wewe

  • @NosiataDfd-k5g
    @NosiataDfd-k5g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Twizy mbona hujibu hilo swali jemeni

  • @DanteSultan-wu7pu
    @DanteSultan-wu7pu 2 หลายเดือนก่อน

    Dawa itafanya kazi kweli

  • @EzekiaMsemwa-sk7ow
    @EzekiaMsemwa-sk7ow 2 หลายเดือนก่อน +1

    Twizy fukuza huyo mama mkwe

  • @bukuruabduli7813
    @bukuruabduli7813 2 หลายเดือนก่อน

    Usirudi kabisa weye nimjasiri

  • @Nusra-b5c
    @Nusra-b5c 2 หลายเดือนก่อน

    Safi remy

  • @RHeemAuijbe
    @RHeemAuijbe 2 หลายเดือนก่อน +1

    Episode26 bado aijatoka au mbona siipati

    • @twizydadytv
      @twizydadytv  2 หลายเดือนก่อน

      Kesho mapema

  • @delvinmoraa8688
    @delvinmoraa8688 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tukiachana n. Likes hii movie iko ninahelimisha vitu mingi sana thank may kwa kuwasaidia wenzako🎉🎉

  • @HassanAlly-k2p
    @HassanAlly-k2p 2 หลายเดือนก่อน

    Mai awe mke wako afu uyo uamuzi wake abaki afuate maelekezo kutoka kwa mai au asepe mfanya kazi uyo akafanye biashara maana anaiweza

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 2 หลายเดือนก่อน

    Mama imekula kwako hiyo umezidi mnamloga mtoto wa watu amewakosea nini sasa angalia mnavoumbuka...

  • @EsterAman-b3b
    @EsterAman-b3b 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wa nne me leo

  • @SalamaRajabu-c6h
    @SalamaRajabu-c6h 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duh jaman nasra kimempata nn au dawa imemludia mwenyew

  • @ronyalkh
    @ronyalkh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mamamkwe dawa zako zimefika mwisho kitakuramba

  • @RamtaMpingo
    @RamtaMpingo 2 หลายเดือนก่อน

    Remy umepata shem

  • @ZeinabBakar-je4nr
    @ZeinabBakar-je4nr 2 หลายเดือนก่อน

    Weeeee 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ThamimaRajabu-bs2nd
    @ThamimaRajabu-bs2nd 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @MwaJuma-x3t
    @MwaJuma-x3t 2 หลายเดือนก่อน +2

    Leo nimewahi nipeni maua yangu

    • @RoziMika
      @RoziMika 2 หลายเดือนก่อน

      Na wew mama uende kwako udharauliwe sana

  • @saumuchai9620
    @saumuchai9620 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤🎉

  • @zainba7812
    @zainba7812 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤🎉🎉

  • @selinacharo9350
    @selinacharo9350 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mqamamkwe jemeni😢

  • @MarthaFocus-q8u
    @MarthaFocus-q8u 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AgnesSaidi-d9n
    @AgnesSaidi-d9n 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wa 4 jamani

  • @sumaiyaabdallah9520
    @sumaiyaabdallah9520 2 หลายเดือนก่อน

    Mh mama nae

  • @sophianyamvula7080
    @sophianyamvula7080 2 หลายเดือนก่อน

    Chonjo wa2 wangu

  • @RahmaOmary-b7m
    @RahmaOmary-b7m 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman epsod ya 26 inatoka lini

  • @dt_MUSIQTZ-ce3ns
    @dt_MUSIQTZ-ce3ns 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanikumbe mnaundugu Remy na mai mbonaunetesekasana nakumbeunakaka mjini

  • @MerryBufigi
    @MerryBufigi หลายเดือนก่อน

    Jamani mai ka rudi

  • @fatuma6011
    @fatuma6011 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani wwe mma mkwe wafanyaje hapo kwa mwanao

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉❤😢😢😮😮

  • @EzekiaMsemwa-sk7ow
    @EzekiaMsemwa-sk7ow 2 หลายเดือนก่อน

    Twizy uwe unapekua chumbani

  • @Safinamfinanga
    @Safinamfinanga 2 หลายเดือนก่อน

    Ukute Nasra anaigiza ili haongee na mme wake

  • @ZawadiMasha-r9b
    @ZawadiMasha-r9b 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂