NUH MZIWANDA alia kwa uchungu, adai SHILOLE anamfanyia ubaya, BABALEVO ajitosa kumsaidia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 13

  • @contempo_builders
    @contempo_builders 4 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo Shishi mwenyewe mziki wake ume-stuck. Kama angekuwa na uwezo wa kumbania basi angeweza ku-push mziki wake.

  • @PastoryAloyce
    @PastoryAloyce 5 วันที่ผ่านมา

    1 million 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 5 วันที่ผ่านมา +1

    This is very serious shishi if your resposible you have to stop again stop be enemy of progress of mziwanda we are mziwanda support

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mnaongea ukweli

  • @JeminAbraham-f1o
    @JeminAbraham-f1o 4 วันที่ผ่านมา

    Nyie binadamu kiki kivipi miak yote iwe kiki watu wanavumilia mengi lkn mwanaume aongegi sanaa au mnafananisha nuh b baba levo .. mwanaume k. Baba levo ata njwe maskin sitaki mwanaume wa ivyo

  • @pena_tz
    @pena_tz 5 วันที่ผ่านมา

    watu huwa hawaachani , wanavikumbushia 🤣🤣

  • @AlwatanBenaldo
    @AlwatanBenaldo 5 วันที่ผ่านมา +2

    Alichoshindwa kusema nuh kwamba shilole anamroga

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 วันที่ผ่านมา

      Nasikia dada yumo ktk mambo hayo kweli 😂😂😂

    • @chainbre275
      @chainbre275 3 วันที่ผ่านมา

      Na ndiko anako elekea😂😂😂

    • @chainbre275
      @chainbre275 3 วันที่ผ่านมา

      Sasa muna love ndo akamelewa nu💯💯💯💯

  • @chainbre275
    @chainbre275 3 วันที่ผ่านมา

    Lakini why atafute mwijaku?? Ilihali anajua mwijaku lazima hela ndo atoe sauti sijawai sikia mtu akisrma mwijaku alimsaidia bure😂😂 afu nu mwenye nyimbo zake hazitabuliki kwakweli ipo kitu anakitafuta kwa shishi siyo bure

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 5 วันที่ผ่านมา

    Yani hii video ya Uchambuzi pia, imemuacha Kwa views, na ngoma zake zote mbili😂😂 za miezi 6 Huko..
    Daahh, ina maana Shilole anajuana na TH-cam pia, inabdi SnS mumtumie Shilole😄😄
    Jamaa hayuko sawa, itakuwa anapitia mengi sana...