EXCLUSIVE INTERVIEW | HASHEEM THABEET AELEZA 'A TO Z' MAISHA YAKE AKIWA 'NBA' MPAKA KURUDI BONGO.

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น •

  • @PJaofficial
    @PJaofficial 2 หลายเดือนก่อน +7

    Jinsi anavyojibu unaona kabisa yupo dunia ya kwanza, ukishuka wazazi tunapaswa kwasasa kuwajengea future nzuri watoto wetu kwa gharama zote.

  • @NdituTV
    @NdituTV 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yupo humble sana 👏

  • @VitaHamisi-re7cs
    @VitaHamisi-re7cs หลายเดือนก่อน +1

    Hashim anajitahidi na ana hoja nzuri. Nashauri aandike japo kitabu ili uzoefu wake kwenye basketball utufikie wengi zaidi.

    • @markmsisi9736
      @markmsisi9736 หลายเดือนก่อน

      Wakusoma vitabu ndiyo hakuna

  • @giztony2009
    @giztony2009 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu jamaa anajibu kwa akili mingi sana kwa kifupi ni kama anakwepa lawama

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 หลายเดือนก่อน +1

    Oscar akiwa seriously

  • @habibnjowele7751
    @habibnjowele7751 หลายเดือนก่อน

    OSCAR WAKATI MWINGINE ANAKUWA SERIOUS! CONGRATS KWAKE

  • @mandelasamson8401
    @mandelasamson8401 หลายเดือนก่อน +2

    Mama anatoa milioni 5 kila goli,,hivyo michezo haikuwi

  • @TariqAziz-sc1lb
    @TariqAziz-sc1lb หลายเดือนก่อน

    He is very right viongoz wengi wa basketball bongo hawajachez kikapu

  • @fadhilindunguru7946
    @fadhilindunguru7946 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hiki kipindi nakipenda mno. Ila nikiwasha TV,,, wasafi muda wote ni muziki tuu.

  • @habibnjowele7751
    @habibnjowele7751 หลายเดือนก่อน +1

    ANA AKILI HUYU! ANAUNGALIA KAMA MCHEZO NA SIO KISHABIKI!

  • @godfreylyimo4177
    @godfreylyimo4177 หลายเดือนก่อน

    Hashem ni mnyenyekevu snn!! Kujitoa kwake kwa Taifa na vijana wanaopenda basketball ni jambo kubwa

  • @RamadhanMbwana-o1j
    @RamadhanMbwana-o1j หลายเดือนก่อน +1

    Wangekuwa wale , wengine hapo wangeongea Kiingereza mchwara ....

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 หลายเดือนก่อน

      Kiingereza kilikukosea nini Rama ?! Nenda shule ujifunze, ndio lugha ya mapeni hiyo

  • @mandelasamson8401
    @mandelasamson8401 หลายเดือนก่อน

    Kiufupi Simba,kwasababu Yanga kimataifa sio wazuri,,,,vibonde

  • @CharleWong
    @CharleWong 2 หลายเดือนก่อน

    Yaaah true steven curry ni mfupi

    • @chayomgonja3131
      @chayomgonja3131 2 หลายเดือนก่อน +1

      6 feet 2 inches..kwa kawaida ni mtu mrefu lkn kwa basketball ni mfupi specially NBA.. ligi za nje kwa ujumla…

    • @mkomwaadam2645
      @mkomwaadam2645 หลายเดือนก่อน

      Even Calvin Durant is shorter too

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baba levo wewe mpumbavu jina lake sio hasheemu ni hasheem

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 หลายเดือนก่อน

    😂. Oscar mbona unanenepa kiboya? Hivyo

  • @ToivoJase
    @ToivoJase หลายเดือนก่อน

    Huyu BABA LEVO alivyojua kuwa ana interview na HASHEEM akaona ajipachike minyororo kibao ili aonekane nae hayupo nyuma,ila ni UNDEZI tu alionao

    • @Valbuwezo
      @Valbuwezo หลายเดือนก่อน

      🤦‍♂️Hicho pekee ndo ulicho kiona!!!