TUMAINI ALIYEPEWA KESI ya MAUAJI BAADA ya MKE WA RAFIKI YAKE KUFIA GETO AMLILIA NABII GEORDAVIE...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • TUMAINI ALIYEPEWA KESI ya MAUAJI BAADA ya MKE WA RAFIKI YAKE KUFIA GETO AMLILIA NABII GEORDAVIE...
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 19

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana😢

  • @Zaburi-
    @Zaburi- ปีที่แล้ว +2

    Ila kwenye interview kama hizi mwandishi akionesha kutokua aware inakua inakata sana, kama mwandishi unachoka si uachie watu wengine kazi

  • @Maryam-yt8lw
    @Maryam-yt8lw ปีที่แล้ว

    Pole sana kijana Allah atakusaidia

  • @reenyaysher7639
    @reenyaysher7639 ปีที่แล้ว +1

    Mwandishi hujielewi 😢😢 sijui umechoka au haufiti Habari sensitive kama hizi

    • @andrewdukho8795
      @andrewdukho8795 ปีที่แล้ว

      Nenda milard

    • @Juliana-fx8tr
      @Juliana-fx8tr ปีที่แล้ว

      Millard alishahojiwa na watu wakamcchangia baadaye akaibuka kwamba ameibiwa

    • @reenyaysher7639
      @reenyaysher7639 ปีที่แล้ว

      @@Juliana-fx8tr eeeh kumbe,😳😳kazi kweli kweli duuuh

  • @damianmalley8675
    @damianmalley8675 ปีที่แล้ว

    Hahaha mwandishi😂😂😂
    Kabaki na nguo za Kumbukumb😂😂😂
    Wala mwandishi hana habari na story😂😂😂

  • @adelicktheonest4262
    @adelicktheonest4262 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mhandish wa habar inabid ajitafte hafiti kwenye mahojiano kama hayo

  • @bakarininga4100
    @bakarininga4100 ปีที่แล้ว

    Mh ndugu mwandishi

  • @dppd4219
    @dppd4219 ปีที่แล้ว

    Taguta kazi ufanye kumbuka wew bado kijana achana na midia utalemaa kiakili shukulu MUNGU umetoka ukiwa bado na nguvu kabebe hata zege kama biashara imekushinda

    • @aishaissa2512
      @aishaissa2512 ปีที่แล้ว

      Huyu anaonekana ni mlevi alisaidiwa pesa asingizia ameibiwa ana mambo mengi sana

  • @damianmalley8675
    @damianmalley8675 ปีที่แล้ว

    Hahahahhahq na Comment tenaa😂😂😂😂
    Mwandishi hana habari na hii story ata kidgoo😂😂😂😂
    Kwanza kachoka pia anavyoskia habari ya kuku anazidi kuchoka😂😂😂😂
    Kapewa habari ya Soda hata hashtuki😂😂

  • @evaakyoo3009
    @evaakyoo3009 ปีที่แล้ว

    Muandishi jijadili kama unafaa

  • @damianmalley8675
    @damianmalley8675 ปีที่แล้ว

    Hahahahhahahahahahahahahahahahahhahahahahaha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Mwandishi kaamua kupeana Mic 😂😂😂😂😂😂
    Hii story haitakiii😂😂😂😂

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 ปีที่แล้ว

    Acha ufala we kaka hebu tafuta kazi ufanye sasa acha kutia huruma mitandaoni ww sio mlemavu unaviungo vyote timamu macho, mikono, miguu fanya kazi.acha.ufalaa😂😂😂

    • @reenyaysher7639
      @reenyaysher7639 ปีที่แล้ว

      Aende Viwandani kuna kibarua kwa siku

    • @tinkiboniface3342
      @tinkiboniface3342 ปีที่แล้ว

      Kwani mpk leo hana cha kufanya alifanya interview na mallard ayo mwaka mmoja ulopita