Ijue Jelly nzur ya kutengenezea Natural Hair na Matumizi yake Mengine

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 31

  • @Mercyachieng-uw7sw
    @Mercyachieng-uw7sw 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asante dadangu🙏❤️😘 Kwa mafunzo yako mazuri ubarikiwe xana....,alfu Nina swali ukitaka kutwist natural hair ni lazima nioshe nywele

  • @MagrethLyoba
    @MagrethLyoba 2 หลายเดือนก่อน

    We dada una moyo mzurii sana na umetusaidia wengi mnoo🙏🥰.. Asante sana kwa upendo wako Nakupenda sana❤ na MUNGU akubariki🥰

  • @kelsonmulaki24
    @kelsonmulaki24 หลายเดือนก่อน

    Ahsnte sana my love nataman sana jmn kujua kusukwa zaid Hivyo naelewa ila naitaji zaid

  • @LucyPaschal-j4d
    @LucyPaschal-j4d หลายเดือนก่อน

    ubarikiwe sana

  • @rosekiondo6965
    @rosekiondo6965 2 หลายเดือนก่อน

    Mambo ni fire

  • @shaddyasalum2369
    @shaddyasalum2369 2 หลายเดือนก่อน

    Fariďa Mungu akubatiki sana

  • @AnnahTwili-y4b
    @AnnahTwili-y4b 2 หลายเดือนก่อน

    Imetokea smart

  • @simphronsamahaba1876
    @simphronsamahaba1876 หลายเดือนก่อน

    Asante dada❤

  • @MagrethLyoba
    @MagrethLyoba 2 หลายเดือนก่อน

  • @NuruMwashilindi
    @NuruMwashilindi 2 หลายเดือนก่อน

    Asante dear

  • @PrettyMarie81
    @PrettyMarie81 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ndo natmia hii pia 🎉

    • @Catherine-fb4it
      @Catherine-fb4it 2 หลายเดือนก่อน

      Alafu ukitaka kuosha unafanyaje na maji baridi au vuguvugu

    • @faridaothman
      @faridaothman  2 หลายเดือนก่อน +1

    • @EvaMkoko
      @EvaMkoko 2 หลายเดือนก่อน

      Asante sana Kwa mafunzo mazuri. Je nywele inadumu mda gani

  • @WitnessSilaa-s2n
    @WitnessSilaa-s2n หลายเดือนก่อน

    🥰🥰

  • @SalahMuhando
    @SalahMuhando 2 หลายเดือนก่อน

    Je ukitumia jeli nyeuc haikai vizuri???

  • @justaemma4222
    @justaemma4222 2 หลายเดือนก่อน

    Naweza kuioga na isitoke

  • @LilianMorewa
    @LilianMorewa หลายเดือนก่อน

    Je nywele inatakiwa kuwa kavu au mbichi

  • @PrettyMarie81
    @PrettyMarie81 2 หลายเดือนก่อน

    Sometimes ili ikaze unaeza anzia uz kwa chin ili iwe straight njia mbil

    • @faridaothman
      @faridaothman  2 หลายเดือนก่อน

      Yes inawezekana

  • @LidiaMwandambo
    @LidiaMwandambo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dada jeli yoyote kikubwa iwe ya movit au kunajina lake pia

    • @DeboraMwasweba-ij4qf
      @DeboraMwasweba-ij4qf 2 หลายเดือนก่อน

      Jeri ambayo haigandi nyeusi haifai

    • @faridaothman
      @faridaothman  2 หลายเดือนก่อน

      Tumia curly activator iyo

  • @HanifaZacharia
    @HanifaZacharia 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba jinsi ya kusuka crochet ya bambucha

  • @jellymagoha
    @jellymagoha 2 หลายเดือนก่อน

    Jeli yoyote iliyo andikwa moviti au kunajinalake lingine

    • @SaphinaMasoud
      @SaphinaMasoud 2 หลายเดือนก่อน

      iandikwe curl activator

  • @AugustinoJoseph-cq4qg
    @AugustinoJoseph-cq4qg 2 หลายเดือนก่อน

    Iyojer madukani nawezakui pats m damu

    • @faridaothman
      @faridaothman  2 หลายเดือนก่อน

      Yes ipo madukani

  • @SophiaSophiaFacksady
    @SophiaSophiaFacksady 2 หลายเดือนก่อน

    Unayopaka apo chini kwenye mistari ni jerry ipi

    • @faridaothman
      @faridaothman  2 หลายเดือนก่อน

      Nimetumia iyo iyo moja

  • @sharonbebile8917
    @sharonbebile8917 หลายเดือนก่อน

    Asante dear