Naomba Dr hili somo rudia ten kwa ufupi san Ukianisha Athari na Faida ntashukuru sana. Piah naomba Kuuliza S na S wanaweza kufumga ndoa au kuwapamoja yaan wanaendana?
Lakini Piah Kuna siku nilienda kuonan na Mchumba anamtoto siku ya kwanza Nakutana na mtot wake alinipa hela 200 ndo ilikuw mar ya kwanz kuonana nae Alitak kit fln hiv niliichukua ile kisha nikatoa yangu nikamnunulia Koni alipokea na alipenda san.
Nilienda sehemu ugenini kwa mwanamke nliepanga kuoa kabla sijaingia ndani Nnje kunawatoto walikuwa wanacheza mmoja akachota mchanga na udongo akanirushia akanichafua ___sikupata majibu hadi leo kwanini aliamua kunirushia
TUNA ITAJI MWENDE LELE ZO🙏🙏🙏🙏
Asante sana mungu akubAriki😊😊😊
Lete vitabu kk❤
Warogii ni wengi jamani punguza kusema ukweli 😂
ASanté mungu akubariki
Asante
Hebu nisaidie ayo ni mimi kweli,adi nachanganyikiwa
Mimi ayo yamenikuta baba mtoto wangu h mi s kaondoka hata hatuamini
G na r wanaweza kuishi pamoja
NIHADUWI
Naomba Dr hili somo rudia ten kwa ufupi san Ukianisha Athari na Faida ntashukuru sana.
Piah naomba Kuuliza S na S wanaweza kufumga ndoa au kuwapamoja yaan wanaendana?
S na k vp kimausiano
Je,s and a sinaendana?
Je kama unaelekea nyumbani ukamwagiwa maji machafu na gari, utachukua hatua gani? Maana huwezi acha kwenda nyumbani
Ni bahati mbaya tu
Sorry ayo mashirikiano ya ndoa au kibiashara?
Na kama umekaa jini ya mti na nyoka ya kichani inaanguka hapo penye umekaa maanake ni nini
Noamba nisaidie mimi niko na mwanaume jina f nikosa kuwa nae
Kwema doct?, je ipo namna mbadala ya kutengana na nyota adui kiusalama ikiwa tayari unaishi nayo ?
Nunua Madungwa
Lakini Piah Kuna siku nilienda kuonan na Mchumba anamtoto siku ya kwanza Nakutana na mtot wake alinipa hela 200 ndo ilikuw mar ya kwanz kuonana nae Alitak kit fln hiv niliichukua ile kisha nikatoa yangu nikamnunulia Koni alipokea na alipenda san.
Darasa linaendelea
S na p wanaendan
Nilienda sehemu ugenini kwa mwanamke nliepanga kuoa kabla sijaingia ndani Nnje kunawatoto walikuwa wanacheza mmoja akachota mchanga na udongo akanirushia akanichafua ___sikupata majibu hadi leo kwanini aliamua kunirushia
Alikukataza
S na j wanaendana
Hawa endani ata kidogo s upepo j maji
S na F vinaendana
S na J tuna bati yakuwa kwenye mausiano sana ila atuendani ndugu yangu 😢
Mm niko na shida kaka nakupataje
Nipo KING'WASA MIKESE MOROGORO TANZANIA
@@allykk1459 sawa kaka asante ntafika kwani niko nashida mm jina ra ni S
@@allykk1459 MIMI NINA SWALI JINA GRACE NI G