Kaka watu ingilia, ila ni ukweli hadi mimi nikifika chooni nishajikojolea, nime zaa mtoto wakwanza mume, na nime muacha mume mwenyewe. Nakunga mkono kaka
Je Kwa mfano nimepewa Jina la F wakati nimezaliwa ila Baadae mama kutoka Hospitalini nikapewa jina la M ambalo ndilo lililonilea, Bibi alitaka niwe na Jina la Asili amabalo ndilo kila mtu analijua nimejaribu kulikwepa lakini imeshindikana
Aiseee umesema ukweli kabisaaaa mimi nimechelewa kushika ujauzito na nimepata kwa tabuu sanaa kwelii
Kwa Kila herufi
Uko sahihi kabisa
Naitanji namimi pia nafanya nje kuweza kupata msahada uyo
Kaka herufu S kwa S zinaendana kimahusiano Mimi na mwenzi wangu herufi zetu ninS
Ni nyota Moja darasa linakuja na hapo kwenye Chanel ipo A mpaka Z . A,M, Y NA G,S
Tumbo nikweli kubana mkojo pia nikweli 😂
Kaka watu ingilia, ila ni ukweli hadi mimi nikifika chooni nishajikojolea, nime zaa mtoto wakwanza mume, na nime muacha mume mwenyewe. Nakunga mkono kaka
Je Kwa mfano nimepewa Jina la F wakati nimezaliwa ila Baadae mama kutoka Hospitalini nikapewa jina la M ambalo ndilo lililonilea, Bibi alitaka niwe na Jina la Asili amabalo ndilo kila mtu analijua nimejaribu kulikwepa lakini imeshindikana
Jina halisi itakuwa f
Naheshi Uganda Kampala
Kwenye mapenzi hapo sasa mmh umenibamba balaa
Mh nikweli
Naomba unisaidie hapo hapo kuufunga moyo au kuwa na furaha ndio kufanikiwa kwangu yani kivipi
Kama najiona mm
Na jekama nishaolewa naiyo herufu ya maji
Imwage😂
Ikiwa mume wangu jina lake linahaza na lette S na mimi pia jina langu lina lette S inakuwa nje
Ninyota moja
Unasema kweli kabisa bwana Alli Mimi ni S naugojwa wa kupenda sanayani