"HATUWATISHI TFF, WAKIIFUNGIA YANGA, MPIRA HAKUNA TZ" - MZEE YANGA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 มิ.ย. 2021
  • "HATUWATISHI TFF, WAKIIFUNGIA YANGA, MPIRA HAKUNA TZ" - MZEE YANGA...
    WAZEE wa klabu ya Yanga, leo Juni 14, wametangaza rasmi kwamba hawatacheza mechi ya Debry ya Kariakoo kati ya Simba vs Yanga, iliyopangwa kurudiwa Julai 03, katika dimba la Mkapa jijini Dar.
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 126

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 7 วันที่ผ่านมา +3

    Bismillah katika ujinga! Eti dar ni mali yangu,,,dah!

  • @mpambanajitz7026
    @mpambanajitz7026 11 หลายเดือนก่อน +1

    HUWA wazee hawaonagi vizuri sanaaaa usiku napia Muda huo HUWA wameshalala ,,Hawawezi Mwenda Kwa Lupaso
    Labda kama nimemuelewa,,,,But according to our Technology it's not issue.💪💪💪

  • @user-wb5bh9hy1l
    @user-wb5bh9hy1l 7 วันที่ผ่านมา +1

    WALA HATUWASHANGAI KAMA MTAPINGANA NA TFF KUMBUKENI HATA KILE SIMBA WALIPOBEBE KOMBE MARA NNE TULIWASIKIA WAKISEMA KAMA SIMBA WATACHUKIA TENA KOMBE BASI WATAANDAMANA HADI IKULU. NYIE YANGA MNA MAMBO NYIE YAANI MMEWEKWA KIDOLE CHA NCHANI TU MIKOJO HIYOO POLENI ❤❤❤❤❤

  • @mariamkambuga8647
    @mariamkambuga8647 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏 huyu mzee aliongea maneno mazito kweli,Tff ,hii raana mtatembea nayo mtake,msitake

  • @user-dd8oc6yw9n
    @user-dd8oc6yw9n 6 วันที่ผ่านมา

    Asante Baba💪

  • @titomachitedomtz4593
    @titomachitedomtz4593 ปีที่แล้ว +1

    Sana mzee

  • @samwelmangi843
    @samwelmangi843 3 ปีที่แล้ว +2

    Hivi hii tarehe 3 inaogopwa kwa nn jaman?
    Au ndo ile 3-3-3-3- mpaka tarehe 3????

  • @user-wb5bh9hy1l
    @user-wb5bh9hy1l 7 วันที่ผ่านมา

    SASA MNATAKAJE HAKI IWE BATILI CCM MBELE KWA MBELE SIO KAMA YUPO SAWA APEWE HAKI YAKE ILA KAMA KAKUSUDIA VURUGU BASI MUADABISHENI.❤❤❤❤❤❤

  • @abdullatifushambe4435
    @abdullatifushambe4435 5 วันที่ผ่านมา

    Kwani Mzee kaona Nini hiyo tarehe 3 au ndio wamesha chungulia?

  • @yusuphj2357
    @yusuphj2357 3 ปีที่แล้ว +3

    Kama mpo vzr wazee lipeni mshahar wachezaji

  • @asadally7534
    @asadally7534 3 ปีที่แล้ว +2

    Mzee zama zimebadilika zamani haikuwepo kwa mkapa stadium

  • @mayaally2512
    @mayaally2512 3 ปีที่แล้ว +2

    😀😀😀😀 NIMEGUNDUA UTOPOLO MNA HAKI YA KUKOSA MWELEKEO KAMA WAZEE WENU WENYEWE NDIO BUSARA ZAO HIZO MWAKALEBELA ATAKUAJE 😀😀😀😀

    • @mussampemba1594
      @mussampemba1594 3 ปีที่แล้ว

      Wewe ndo utoporo chenzi chana wewe

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 7 วันที่ผ่านมา

    Huyo ndie Mzee anaejitambua sio kama chuki za leo zimejaa kila pahala kwa mpira

  • @williamgeorge150
    @williamgeorge150 3 ปีที่แล้ว +2

    Sema nini wazee kuwa elewa mpaka uwe na uwezo wa kufikilia kwa kina na akili Sanaa lakini Kuna Jambo naliona

    • @crisndembwele4016
      @crisndembwele4016 3 ปีที่แล้ว

      We mjanja bro chazamani zahabu .... Wazee wanakitu chaziada mjinga hawezi kujua

  • @mohamedpesambili9460
    @mohamedpesambili9460 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah mambo ya wazee ni mambo ya kizamani sana😀😀 enzi zileeeeeeeeeeeee

  • @clotildamndolwa3959
    @clotildamndolwa3959 3 ปีที่แล้ว

    Pole

  • @Gerald-r7f
    @Gerald-r7f 8 วันที่ผ่านมา

    Usually mzzee akapimwe akiĺi Sawa sawa😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @masoudsalim143
    @masoudsalim143 3 ปีที่แล้ว

    Dah! Mzee Utopolo kwa historia sio mchezo

  • @mosquareband8739
    @mosquareband8739 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii mizee ndo inaharibu Mpira wa Tz
    Xx hili zee linaongea utopolo gani xx

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 6 วันที่ผ่านมา

    We mzee acha ubinafsi wa kikabila acha mzee kutishia watu mkienda hovyo mnafungiwa tu

  • @user-br7fz4zd5x
    @user-br7fz4zd5x 6 วันที่ผ่านมา

    Kwani hii niyalini?

  • @petermwacha9909
    @petermwacha9909 7 วันที่ผ่านมา

    Hivi huu mpira unaendeshwaje? Inakuwaje watu wapuuzi wanaingia kwenye football? Kuna haja gani watu kuitishia Taasisi?

  • @lisnalipindo3075
    @lisnalipindo3075 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna la maan hapo ulichokisema zama zimebadilika ndiooooo maan usiforce

  • @mzalihalisi4357
    @mzalihalisi4357 3 ปีที่แล้ว

    mi ni yanga lakini...kama watu wanaotuongoza ndio wanafikiria hivi...there is no hope....ukweli ni kwamba simba wako organized kiuongozi...naona tushushwe tu daraja ndio tutaacha mambo ya kusema ETI hii nchi ni yetu yanga....yaani wanao strategize yanga ni wazee wa yanga duh....

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 3 ปีที่แล้ว

    Yaan haya mazee tatizo yakizamani sana kuchezwa mpira usiku ni technology imekuwa sasa bado mnataka mambo yakizaman

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 3 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo anachosema Mzee wa Yanga hii nchi ni ya kwao kwa hiyo hata wakifanya makosa wasiadhibiwe kwa kuwa nchi yao. Kwani kwenye ligi kuna timu ambayo si ya Tanzania, Timu zote ni za Tanzania na zote zina haki sawa bila kujali ilianza lini na ina washabiki wangapi Wazee wa Yanga acheni mikwara hayo mambo yamepitwa na wakati. Kama unataka raha Sajili wachezaji wazuri na chagua viongozi wazuri hakuna short cut.

  • @muhdsseif9620
    @muhdsseif9620 3 ปีที่แล้ว

    Ukweli makini wazee. Simba ni makatili. Wamekusudia kutufunga mbao nyingi sana. Tusipeleke timu. Watatuuuwa

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 3 ปีที่แล้ว

    Hii mizee haitakiwi kwenye timu Mimi nisimba lakin haya mazee yakitoka kwenye timu ya yanga itafanya vizuri lakini ikibaki miongeaji hivi hakuna yanga

    • @happyshayo372
      @happyshayo372 3 ปีที่แล้ว

      Sasa kama wewe ni simba unatoka wapi humu. Kenge kwenye kundi la mamba.

  • @hashimahashimu7366
    @hashimahashimu7366 ปีที่แล้ว

    Uyu Mzee ana raanah TU ata ivyo n mzalamo

  • @user-sn2wz8zs8y
    @user-sn2wz8zs8y 7 วันที่ผ่านมา

    Mzee anaijua yanga kuliko ata uko wake😅😅

  • @daudsimon5417
    @daudsimon5417 3 ปีที่แล้ว

    Kashaanza kupoteza kumbukumbu wadau tujitahid kujizuia kucoment koment za kibabe ana mpya uyu mzee aliyemtuma kafeli life

  • @SamsonMwambope
    @SamsonMwambope 6 วันที่ผ่านมา

    Manara ajaongopa kwamba yanga wenyeaakili ni wawili tu ajaongopa

  • @nicksonhelman294
    @nicksonhelman294 3 ปีที่แล้ว

    Wasipoangalia mpila watanzania utakuwa kama zanzibari ligi imekosa laza kisa siasa wajiangalie tff

  • @thomasirobert9907
    @thomasirobert9907 3 หลายเดือนก่อน

    kweli

  • @SamsonMwambope
    @SamsonMwambope 6 วันที่ผ่านมา

    We Mzee wakuongozwa tu

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 ปีที่แล้ว

    Karia unachokitafuta utakipata endelea kutumika vibaya mwisho wako utakua mbaya sana

  • @muhamedjaffar8148
    @muhamedjaffar8148 3 ปีที่แล้ว

    Sie wote watanzania atuwez pigana kwa sabab ya mpira,mpira furaha,utani ni asili ,lazima rutii viongozi

  • @josephkalonga550
    @josephkalonga550 3 ปีที่แล้ว

    Waifungie Simba kwa kufika uwanjani saa 7 pm.

  • @elishanziku8725
    @elishanziku8725 3 ปีที่แล้ว

    YANGA kweli kituko. Mnaitisha hadi serikali???? Basi tafuteni wimbo wengu wa Taifa kwa ajili ya mashindano ya kimataifa mtakayoshiriki mwakani.

  • @wairigomsabi9299
    @wairigomsabi9299 3 ปีที่แล้ว

    Simba ni wajanja waliona wazee wa Yanga hamnazo ndo wakaunda timu ya simbaaaaaa

  • @yusuphj2357
    @yusuphj2357 3 ปีที่แล้ว +3

    Mbona hamlipi mshahara wachezaji?

  • @mkeshaally8026
    @mkeshaally8026 3 ปีที่แล้ว

    Ukubwa wote huo mzee wangu mnaokopa nini maneno mengiìi mpaka mnawatisha watu sasa

  • @rwanzukafidel5019
    @rwanzukafidel5019 3 ปีที่แล้ว

    Hapo nimeelewa sisi Kama tuna elimu na akiri tuanzishe vyetu tuwaachie vyao wao

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว +1

    Foreigners! Majambazi! ,,,,,si kauli ya mtu muungwana!!!!

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 3 ปีที่แล้ว +1

    Uwoga ni mzigo

  • @IssackJackson
    @IssackJackson 7 วันที่ผ่านมา

    Huyunae kavulungwa Sasa mambo ya usiku yanini tena kwa magoma

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 3 ปีที่แล้ว

    Hhhhhhhhhh Jamani wazee wapewe timu yao!!! Asiyesikia la mkuu huvunjika guu. Mzee akikuna nazi basi Yanga ushindi sahawanini.

  • @allyjuma3388
    @allyjuma3388 3 ปีที่แล้ว

    Ingizine timu acheni uwoga simba baba laooo

  • @rashidjuma1969
    @rashidjuma1969 3 ปีที่แล้ว

    Hivi kwanini hivi vilabu vya mpira vimekua kama vyama vya siasa

  • @eliashagai7920
    @eliashagai7920 3 ปีที่แล้ว

    Msipeleke team muone moto,kachezeni mnakimbia Nini? Mpira naupwleka wapi yanga

  • @harunijumannebinagi6126
    @harunijumannebinagi6126 3 ปีที่แล้ว

    Nendeni mkacheze huko Zanzibar ,,,mzee kaote moto mpira tuachie simba ,,,simba ndo timu tz inayofahamika kwa sasa tz na east Africa so ninyi kujitoa hamna shifa

  • @SamsonMwambope
    @SamsonMwambope 6 วันที่ผ่านมา

    Ubongo wake ushajaa maji

  • @fabianmbughi-z2m
    @fabianmbughi-z2m 7 วันที่ผ่านมา

    awa ndoo wazee wayanga

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 3 ปีที่แล้ว

    Busara zitumike. Kabla ya mechi kiitishwe kikao cha upatanishi. Hawa wazee waitwe wasikilizwe wana hoja. Kikao kiongozwe kwa hekima jazba ziwekwe pembeni. Mpira Ni burudani, amani na upendo

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 3 ปีที่แล้ว

    Mzee hata kujikuna hamuwezi ,,sijui mnalotaka nini

  • @edenbaraka7533
    @edenbaraka7533 3 ปีที่แล้ว

    Kama timu ya kipuuuz
    Ifungiwe tu timu jinga umbeya kuanzia watoto mpaka vizee

  • @masoudabdoul8447
    @masoudabdoul8447 3 ปีที่แล้ว

    Mizee ya yanga bn

  • @jimmycroud1027
    @jimmycroud1027 3 ปีที่แล้ว

    Yan mukifungiwa UTOPOLO bs mpira usiwepo nyny kama nan na munawatisha wakina nan

  • @sasumaadsaihmayombya8145
    @sasumaadsaihmayombya8145 3 ปีที่แล้ว

    Mawaze ya kizee hayo, ni lazima tukubaliane ukizeeka akili ni lazima yawe hafifu, eti kucheza usiku watu watauana😆😆

  • @neemaraphael764
    @neemaraphael764 ปีที่แล้ว

    Pia Simba ikiwa inacheza uwanjani hasa taifa yanga wasienda nakama yanga wanacheza Simba wasienda sababu baadae hapo Kuna leta shida ombi langu jama ni maana tumekuwa na uhasama sana Simba nayanga

  • @sniper93999
    @sniper93999 3 ปีที่แล้ว

    Duuuuh !

  • @HamadJuma-hr5ij
    @HamadJuma-hr5ij 7 วันที่ผ่านมา

    Wemze umechanganyikiwa

  • @djcharz4522
    @djcharz4522 3 ปีที่แล้ว

    Nyie wenye akili mmeunda nini kimpya 😂😂😂😂😂😂😂babu kanikosha hatar

  • @emmanuelmasse6219
    @emmanuelmasse6219 3 ปีที่แล้ว

    Viongozi wa yanga wakipeleka timu alafu ikafungwa atalogwa mtu hapa

  • @jacksonmtenga1276
    @jacksonmtenga1276 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe Yanga ndio akili Zao!

    • @lutwfiyyahmkonga8093
      @lutwfiyyahmkonga8093 3 ปีที่แล้ว

      ndg yang niwachaw balaa haw wot wa yang nikibok ata simb inapo cheza nje wao ndy uwang wanawafung wachezaji wakifika uwanjan wanakuwag kam mazwomama yan ukiwa na ndg yako mchaw ujuwe umeisha ndiy hay ya simb ndg yake yang myika yote yey ndiy anay mchezea uchafu uyo

  • @rajabukitego1662
    @rajabukitego1662 10 หลายเดือนก่อน

    Kwan,lazima,uongee,

  • @suphiankabiriga8517
    @suphiankabiriga8517 3 ปีที่แล้ว

    Wa sasa wameunda neno buku ni la kisasa

  • @jacksonwantiko6989
    @jacksonwantiko6989 3 ปีที่แล้ว

    Wewe ni mzee lakini hauna maadili mema

  • @zahorsalum663
    @zahorsalum663 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂kwaiyo.wazee yanga ikishinda isirudi hp tn..au.?

  • @edenbaraka7533
    @edenbaraka7533 3 ปีที่แล้ว

    Yote haya yameletwa na tar,3

  • @deogratiashaule5224
    @deogratiashaule5224 3 ปีที่แล้ว

    Hawa ndo wasiotaka mabadiliko,wanadunisha mpira.

  • @issachipeta4527
    @issachipeta4527 3 ปีที่แล้ว

    Njaa.zita.wauwa.wazee..maneno.mengi..mpila..pesa..acheni.uswairi

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib 7 หลายเดือนก่อน

    Wazee mnachelewa mnyakuekaliauyo

  • @AbusamiyaMpangachuma
    @AbusamiyaMpangachuma 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzee katundu funguka Ili tupate historia ya nchi hii maana hatujui chochote juu ya uongozi

  • @akimAkimuWA-m3t
    @akimAkimuWA-m3t 8 วันที่ผ่านมา

    Achazipigweeeeeeeeee

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 7 วันที่ผ่านมา

    Hamfungiwi na Tff mnafungiwa na FIFA. Mzee mzima ovyo mnakosa kuungana mkono na Mzee Magoma kuikomboa timu yenu isiuzwe ninyi mumelemaa mumepumbazwa na gsm. Mtakuja kumkumbuka Mzee Magoma. Anawatetea ninyi hamuelewi.

  • @marwachacha7168
    @marwachacha7168 3 ปีที่แล้ว

    Kwan wazee mjini wanatoka wp babu nenda nyumban ukacheze na wajukuu au huna wajukuu

  • @hashimahashimu7366
    @hashimahashimu7366 ปีที่แล้ว

    Kwanza kavimba uso kama mbulika

  • @andrewizdory2402
    @andrewizdory2402 3 ปีที่แล้ว

    Yanga hamuoni usiku? Mbona hamtaki kucheza usiku

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana mzee, hakuna mechi tarehe 3 ole wake msola ajichanganye atakiona, mikia ni wasengerema sana manunu

    • @tausramadan7024
      @tausramadan7024 3 ปีที่แล้ว

      🤣😂🤣🤣

    • @theodorycharles4959
      @theodorycharles4959 3 ปีที่แล้ว

      Hayo maneno2 ya watoto wakike ndonlivyo unazalishwa lakini ukitokahapo utasikia mwanaumegani wewe lakini unamimba hahahahaha tunakujua wewe mwanamke wapuza ila tem itakuja2 labda usijewewe

    • @theodorycharles4959
      @theodorycharles4959 3 ปีที่แล้ว

      Hayo maneno2 ya watoto wakike ndonlivyo unazalishwa lakini ukitokahapo utasikia mwanaumegani wewe lakini unamimba hahahahaha tunakujua wewe mwanamke wapuza ila tem itakuja2 labda usijewewe

    • @avitusmichael5
      @avitusmichael5 3 ปีที่แล้ว

      @@theodorycharles4959 kakuma kanakuwasha eti

    • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
      @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 9 วันที่ผ่านมา

      Wee muzee Dunia tuliyo nayo siyo hiyo uliyo nayo wwe peleka UZEE wako hukooo

  • @user-ql2cf1to7f
    @user-ql2cf1to7f 7 วันที่ผ่านมา

    We Mzee ujielew au ni mchawi ww

  • @lennykiganga4763
    @lennykiganga4763 3 ปีที่แล้ว

    Gomaneni sn mkuja kuxhituka tutakua tumetwaa taji mara 10 mfululizo

  • @adamchambo12
    @adamchambo12 3 ปีที่แล้ว

    Kila jambo Jambo nawakati wake, kuna wakati kukusanya Mawe na wakati wakutupa Mawe,wakati wa kucheka na wakati wakulia,Hivyo wazee watambue kwamba nyakati na majira zinatulazimisha kubadilika na kwenda katika soka la kisasa.histori hazitusaidii Kwa nyakati hizi,Simba Nguvu moja.

    • @salehtessema5894
      @salehtessema5894 3 ปีที่แล้ว

      Katika watu wapumbavu wajinga hakuna kama wewe. Sijui kama umesoma kila kitu kina historia yake. Wewe mwenyewe una historia yako na family yako. Kama inakuudhi nyamaza wacha watu waseme. Leo waziri mkuu kaingilia mpira pia itaingia kwenye history.History ya hizi timu zitabaki na history zao

  • @hajeemchenga6139
    @hajeemchenga6139 3 ปีที่แล้ว

    Huna jipya we mzee kanywe kahawa uko

  • @lutwfiyyahmkonga8093
    @lutwfiyyahmkonga8093 3 ปีที่แล้ว

    yani mpira wa nyanga ni uchawi tu mpira yanga hawawezi kucheza atakidg bila ndmb yoyooo maan yanga hawawai kufika mbali wala kuiletea tz kitu cha maana kwa vile mpira hawachez kwa kujua ila wanatumua nguv nyiny za uchaw ukweli ndiy uyo wakatey wabishe ila ndiyo ivyo

  • @muhamedjaffar8148
    @muhamedjaffar8148 3 ปีที่แล้ว

    Utoporo waoga.leten timu uwanjan

  • @charlesjoseph1081
    @charlesjoseph1081 ปีที่แล้ว

    Kaloge,usitutishe

  • @philbertmgaza5434
    @philbertmgaza5434 3 ปีที่แล้ว

    Babu umejuaje watu watauwana usiku.

  • @milliamkenga9213
    @milliamkenga9213 3 ปีที่แล้ว

    Nyie Waze musitulete silipendwa

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 7 วันที่ผ่านมา

    Uko sahihi mzee wangu

  • @charlesjoseph1081
    @charlesjoseph1081 ปีที่แล้ว

    Kadogo babu ,acha upambafuuuu

  • @osbornkenedy6927
    @osbornkenedy6927 2 ปีที่แล้ว

    Mh

  • @edenbaraka7533
    @edenbaraka7533 3 ปีที่แล้ว

    Vitu gani vitamu vilivyo tengenezwa na UTOPOLO

  • @JosephLuchonga
    @JosephLuchonga 5 วันที่ผ่านมา

    Hhhh

  • @saimonijonas4356
    @saimonijonas4356 3 ปีที่แล้ว

    Hawa wazee wanaongea vitu vya maana sana.Anaeweza kuwaelewa ni mtu mwenye ufahamu sana.

  • @Nasibuhelemani
    @Nasibuhelemani 7 วันที่ผ่านมา

    Towa uzee wako kalale

  • @mikidadimuhando2315
    @mikidadimuhando2315 3 ปีที่แล้ว +1

    Wazee kama hawana hawafai kupewa long air time wanaturudisha wapi? Wenzake wamtanguliza chambo hana ajualo mbumbumbu wa Mungu, Tz ya Leo wajinaki na Uzaramo na Undengereko kwani twapunga mashetani hapa ,Utopolo tahadharini na vijizee kama hivi

    • @rwanzukafidel5019
      @rwanzukafidel5019 3 ปีที่แล้ว

      Azisha chako wewe wa Tanzania ya Sasa wao walioanzisha vyao wanataka vibaki vyao

  • @aminially4456
    @aminially4456 3 ปีที่แล้ว

    Musiende tupate alama 3 muhim tuombe tukutane kulee azam

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 3 ปีที่แล้ว

    Eti majambazi. Makubwa

  • @josiahobed2414
    @josiahobed2414 3 ปีที่แล้ว

    Mzee kachafukwa sio poa