GB 64 AIBUKIA SAKATA LA STRIKER MPYA SIMBA, KUNA WATU WATAKULA MKONO MSIMU HUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • Simba

ความคิดเห็น • 105

  • @manmanonline6394
    @manmanonline6394 หลายเดือนก่อน +7

    Simba nguvu moja ❤❤❤❤❤UBAYA UBWELA.....

    • @vaxminja9053
      @vaxminja9053 หลายเดือนก่อน

      Ubaya ubwege

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u หลายเดือนก่อน +6

    ❤❤❤❤❤Simba nguvu moja

  • @KudraAbdalah-z6z
    @KudraAbdalah-z6z 26 วันที่ผ่านมา

    Naipenda simba nguvu moja

  • @MpembaWeja
    @MpembaWeja 29 วันที่ผ่านมา

    Gb 64 uko vizuli sana nakupogeza kwa mwaka huu Wattisham simba tu guru moja ubaya ubwela mm mpemba nseso weja isengwa moja meatu sina polestar na time yangu mm nimushabiki nawapogeza wachezaj wang😊

  • @AlbertNyemba-r5k
    @AlbertNyemba-r5k หลายเดือนก่อน +1

    Mumshukuru refa

  • @MpembaWeja
    @MpembaWeja 29 วันที่ผ่านมา

    Simba nguvu moja tup

  • @emanuelchizumi
    @emanuelchizumi หลายเดือนก่อน +3

    Big up za kutosha kwa mnyama,👍👍ubaya ubwelaaa

  • @jaydenbedas5729
    @jaydenbedas5729 หลายเดือนก่อน +1

    Mashabiki wa Simba wote wanaamani kasoro mchome

  • @AfrediMalila
    @AfrediMalila 29 วันที่ผ่านมา

    Simba💪

  • @isdorytarimo1913
    @isdorytarimo1913 หลายเดือนก่อน +1

    Upon vzr kaka Simba nguvu moja

  • @frankkitomary3878
    @frankkitomary3878 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-ni5bp5gn8o
    @user-ni5bp5gn8o หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana simba nguvu moja

  • @apostlejacksonkalinga5191
    @apostlejacksonkalinga5191 28 วันที่ผ่านมา

    Mashabiki washazoe kufungwa na Yanga hawashituki maana kufungwa kwao ni jambo la kaida kwao.

  • @BellaTuyi-hd7tw
    @BellaTuyi-hd7tw หลายเดือนก่อน

    UBAYA UBWELA ❤️
    ✍️ Mabetu &Co

  • @ReceptionVoikiwengwa
    @ReceptionVoikiwengwa หลายเดือนก่อน

    Nakubali ,samba ya msimu huu furaha tupu

  • @ErnestJosephat
    @ErnestJosephat หลายเดือนก่อน

    NA TUNAWAWEKA TENA NJOONI TU SIE TUPO TUMAWASUBIRI 19/9 tunaqasubiri tenaaaaaaaaaaaaaa

  • @Steven-pt7me
    @Steven-pt7me หลายเดือนก่อน

    Umekosa vya kuongea saiv bro

  • @duskodalla7117
    @duskodalla7117 29 วันที่ผ่านมา

    Kafunga chenga twawala lkn tumefungwa

  • @geraldbagole4494
    @geraldbagole4494 หลายเดือนก่อน +1

    Kulala chini sio issue GB64!Kwa Yanga Pecome,Azizi,Dube,Zenkeli,Midhae na Mzize wanafunga.Simba Nani anafunga?Halafu haruna central Defender kamili,madefender waliiopo ni wachezaji tu.Huo umri weka pembeni Kwanza.Other wise Simba hii ni nzuri.

  • @user-pn8ux8of7f
    @user-pn8ux8of7f 29 วันที่ผ่านมา

    Tiimu ya kwaza tanzania kwa manen ni simba na yanga inaonngoza kwa kufuna nakwa ubola wa kucheza lpi bola ?

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 หลายเดือนก่อน

    💪👊👏👏👏👏👏GB milion🇫🇯🇫🇯🇫🇯🦁🦁

  • @msurimtenukila6745
    @msurimtenukila6745 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mwamba Gb 64 woyoooo😂😂😂

  • @bonifasdaud3757
    @bonifasdaud3757 หลายเดือนก่อน

    Ila mchezaji mmoja wa yanga anatumia dawa za kusisimua misuli

    • @user-xl4io3or7r
      @user-xl4io3or7r หลายเดือนก่อน

      Sio mmoja, ni timu yote. Kwenye chakula wanachotumia.

  • @henrychaula1174
    @henrychaula1174 หลายเดือนก่อน

    Safi sana GB 64

  • @zakaria924
    @zakaria924 หลายเดือนก่อน

    Hata kama hawatakubali hicho unachosema, cha moto wachezaji wao cha moto wamekipata🙌👏🙏👍🤝👊😅

  • @michaelsokko1090
    @michaelsokko1090 หลายเดือนก่อน

    Kibu Denis hafai kabsa kucheza smba hii

  • @saidkhamismasai1204
    @saidkhamismasai1204 29 วันที่ผ่านมา

    SASA MECHI 4 SI ITAKUWA MSHAACHWA POINT 12 TYR MNA RECOVER VIP

  • @RhsOman
    @RhsOman หลายเดือนก่อน

    Anuna makasiriko. Wana. .simba

  • @user-lm2vo2rt3h
    @user-lm2vo2rt3h หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @AnthonyVitalis-iy5su
    @AnthonyVitalis-iy5su หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye mpira kuanguka jambo la kawaida kama auamini angalia mechi ya vijana wa under 17

  • @user-pj4mx2ro4h
    @user-pj4mx2ro4h หลายเดือนก่อน

    Tupo fit zaid ya jana

  • @SalimRamsei-ok9el
    @SalimRamsei-ok9el หลายเดือนก่อน

    Shabiki lazima mkweli mashabiki wa vyura awataki waambiwe wabovu hata kama wamefanya vibaya

  • @allymchuma
    @allymchuma หลายเดือนก่อน +1

    Chiz ww shabalala kijana huyo

  • @mohameduliza7607
    @mohameduliza7607 หลายเดือนก่อน

    boya ww hujui mpira

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 หลายเดือนก่อน +1

    Mngeweka number za simu za huyo jamaa ili tumsaidie kwa karibu ana tatizo la akili

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 หลายเดือนก่อน

      Kabla ya yeye tukuanze wewe tukakupime corona na kipimo kipya

  • @johannmaloda6027
    @johannmaloda6027 หลายเดือนก่อน

    wameanza...badae utasikia viongozi hawatoki😂😂

  • @MichaelElimaza
    @MichaelElimaza หลายเดือนก่อน

    Kwani ww hukuuona

  • @johntulio2644
    @johntulio2644 หลายเดือนก่อน

    Mchome ni uto Sio Simba

  • @kazyn9554
    @kazyn9554 หลายเดือนก่อน

    Et goli la kichawi ila makolo😂😂💔

  • @user-yw7uu6mc3m
    @user-yw7uu6mc3m หลายเดือนก่อน

    Kutamba lzm atambe,hata mimi mwenyewe nilitamba na hili kombe nbc tunalichukua

  • @ErickJeremiah-ry4pw
    @ErickJeremiah-ry4pw หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji nae sjui kuhoji, hana maswali ya msingi..
    Sjui n shabiki wa GB😂

  • @user-yw7uu6mc3m
    @user-yw7uu6mc3m หลายเดือนก่อน

    Yule mangungu aondoke hana uongozi thabiti,wachezaji hawana nidhamu

  • @RashidiAhmad-ow5fb
    @RashidiAhmad-ow5fb หลายเดือนก่อน

    Kikubwa we umeishiwa chakuongea

  • @WaziriJuma-b8o
    @WaziriJuma-b8o หลายเดือนก่อน

    Kweli ww dunduka

  • @farajasospeter9668
    @farajasospeter9668 หลายเดือนก่อน

    Kumbe hili jinga yaan mtu wamechezea lafu

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 หลายเดือนก่อน

    Labda muwasubiri pamba hzo 5

  • @OmaryAthumani-db3vp
    @OmaryAthumani-db3vp หลายเดือนก่อน

    Wewe ndio maana Mchome Hua ana kuchamba Shut On target Simba mmepiga 1 tu kumbe huna hakili

    • @sera.8bomani502
      @sera.8bomani502 หลายเดือนก่อน

      Mchome is not a Simba fan..

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 หลายเดือนก่อน

      Aisee haya ndo madhara ya kusikiliza mpira kwenye radio hebu muda mwingine muwe mnatumia simu kwa maana ungeangalia highlight kisha uje uandike utopolo wako mtani 😂

  • @jamesenock9439
    @jamesenock9439 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndo hujui mpira trakoo wewe kucheza mpira vizuri sio kupata matokeo kupata matokeo ni swala jingine ……tumia akili zako za kuzaliwa said bichwa wewe

  • @KelvinNchimbi-cz2xn
    @KelvinNchimbi-cz2xn หลายเดือนก่อน

    Waendele kufalijiana ila inabaki utu uzima dawa wamefungwa wakubali

  • @ArnoldRwegasira-hp9gt
    @ArnoldRwegasira-hp9gt หลายเดือนก่อน

    Kweli kolo kashakua mteja anafungwa na haumii tena😂😂

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 หลายเดือนก่อน

      goli ngapi za kutuumiza kina aziz ki walibaki ulimi nje baada ya mechi walikamatwa kweli kweli

  • @SabatoDavid
    @SabatoDavid หลายเดือนก่อน

    Hiki nacho ni kiazi kingine aisee

  • @salehemsumi615
    @salehemsumi615 หลายเดือนก่อน

    Mtaendelea hivyo hivyo,lkn kulambwa mtaendelea kulambwa na Yanga!!

  • @ThePlants-zc3rp
    @ThePlants-zc3rp หลายเดือนก่อน

    naona utopol mapovu yanawatoka manina zenu

  • @AbrahamMwakatumbula
    @AbrahamMwakatumbula หลายเดือนก่อน +2

    Kumbe we kichaa kweli

    • @Mra_brandvevo
      @Mra_brandvevo หลายเดือนก่อน

      Kichaa baba yako Kuma

    • @AbrahamMwakatumbula
      @AbrahamMwakatumbula 22 วันที่ผ่านมา

      @@Mra_brandvevo umegundua Leo Leo sino wewe

  • @kelvinulungi230
    @kelvinulungi230 หลายเดือนก่อน

    Kazi na umrii refa refa refa na Bado msemaa si kazi TU.

  • @eliassumila8173
    @eliassumila8173 หลายเดือนก่อน

    Hivi ni kwanini unaweka heading yenye MANENO ambayo HAYASIKIKI KWENYE STORY YAKO?!!.Huu ni utapeli.sijaipenda.mbona hajaongelea stricker mpya??!!!

  • @saidbakari2408
    @saidbakari2408 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni GB 1935

  • @juliusndule4016
    @juliusndule4016 หลายเดือนก่อน

    Hawa ndo wanaimaliza simba,kwann msiwe wakweli

  • @costantinestephen2594
    @costantinestephen2594 หลายเดือนก่อน

    Sasa hivi mtasema, sana, ndicho tunachotaka hicho. Mmepigwa kaeni kimya, hakuna bahati Wewe Mpira hujui we we.

  • @MarcoStephano-f8w
    @MarcoStephano-f8w หลายเดือนก่อน

    Niswal la mda tuu tutaanza kunyanyua mikono tukishanilia nakufrai

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA หลายเดือนก่อน +1

    GB 64 UKO VIZURI MNO KUONGEA .HONGERA NDUGU .SIMBA TUKO NJEMA SANA

  • @AkidaNzambah
    @AkidaNzambah หลายเดือนก่อน

    HIVI NYNY YANGA HUWA MNAPENDA MSIFIWE TU HATA MKIWA WABOVU?? YANGA YA JUZI ILUKUTANA NA MZIKI WA SIMBA NA UKITAKA KUAMINI,, ANGALIA YANGA ILIVYOCHEZA NA RED ARROWS,,BS KAMA YANGA WAZR SANA KWA NINI YANGA ISINGESHINDA GOLI GOLI NYINGI,,SI MLISEMA SIMBA MTAIFUNFA 8?? ETI NANE NANE???

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 หลายเดือนก่อน

      Mnajitapa tena baada ya huruma ya refa sio!?

  • @Godfrey-z8b
    @Godfrey-z8b หลายเดือนก่อน

    We bwabwa kweli yan kuinuliwa sa c ni fair play wangemuacha sa kama asingeinuka

  • @RashidiAhmad-ow5fb
    @RashidiAhmad-ow5fb หลายเดือนก่อน

    Shida ni akili sasa sabu wewe unawatu wa kuwafanyia sabu uko nje ungefanya si ungekula 5

  • @OmaryAthumani-db3vp
    @OmaryAthumani-db3vp หลายเดือนก่อน

    Utofauti wako wewe na Mchome ndio huo uongo mwingi kuliko ukweli sema ukwel nyinyi ndio badae mnakuja kutukana viongoz wenu Sema bakiza na hakiba ya kesho

    • @iddykivu050
      @iddykivu050 หลายเดือนก่อน

      Kwaiyo kwa Akili yako Yule Choko Mchome ni Simba?

  • @othmanvuai9124
    @othmanvuai9124 หลายเดือนก่อน

    Kumbe huyu jamaa kichaa

    • @Godfrey-z8b
      @Godfrey-z8b หลายเดือนก่อน

      Bwabwa kweli uyoo

  • @ShafiiwilliamWilliam-mk6id
    @ShafiiwilliamWilliam-mk6id หลายเดือนก่อน +2

    Nilikuwa najuwa huyu jipu anajuwa mpira kumbe nimweupe hivi simba alicheza mpira gani kwa yanga nakama wao simba walicheza vizur hivo si wangepata matokeo na utegemee kupigwa hata kwenye ligi

    • @wonderBway9919
      @wonderBway9919 หลายเดือนก่อน +1

      Kwo we hapo unajiona unaujua😅

    • @godphreyjunior6402
      @godphreyjunior6402 หลายเดือนก่อน +2

      Sasa ww matokeo sio kipimo cha kucheza vizuri

    • @FaridaMwamlima
      @FaridaMwamlima หลายเดือนก่อน

      😁😁😁kufaaaaaaa

    • @Yuleyule-u6c
      @Yuleyule-u6c หลายเดือนก่อน +1

      Vumilia na utulie dawa ikuingie. Sasa nyie mmefunga inakuuma nini.

    • @khatibkhatib3417
      @khatibkhatib3417 หลายเดือนก่อน

      Kumbe ww ndio pumber
      Wkt mwingine sikilaza mada halafu kaa kimya

  • @DottoMasanja-o6p
    @DottoMasanja-o6p หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤