Safi sana Mheshimiwa Msukuma hakika umeongea kitu kizuri sana ni kweli mtu unatakiwa kuwa muwazi na sio unaona umeshindwa kitu basi unakimbilia kusingizia vitu Mungu akubariki sana Mh.
@@ahz6907 kuvamiwa kwenye ngazi au sio? Alafu wakutengue kisigino au sio?? Tuliipo dodoma na maeneo aliyotibiwa mbowe tulishangaa maigizo ya kubebwa na ndege et mgonjwa...waliomuudumia na kumpokea tunaishi nao..nimejifunza kuwa lisu anakurupika, chadema ni wahuni, mitandao hupotisha uma.
@@gracesakila4395 acha uongo hyo sheria imetungwa mwaka gani? Wkt hakina diamond mpaka leo wanalinzi kalibu 20, tambua haki ya Mtu kujilinda ipo ndani ya katiba na ndomaana mpaka leo wapo watu mashughuli wengi wanawalinzi
kiongozi mkuu wa chama kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani bunge saa 7 usiku upo bar unalewa wakati unajua unamajukumu ya taifa alafu una report umevamiwa kweli hii aijakaa sawa kabisa ni kuichafua nchi alafu mnyika anapayuka wakati anajua kiongozi wake alikua wapi viongozi wa chadema muwe makini na matamshi yenu ili ni taifa mtu anaumia kwa uzembe waka kavamiwa
Cha msingi hapa ni kwamba msukuma ni mpiga debe kama walivyo wapiga debe wengine kulee kariakooo na kwingineko piga debe baba piiga debe watu wakuone but remember what goes around comes around,,,,
Wale ccm ninaowajua Mimi sijui walipotelea wapi? Hawa kina msukuma kina kujua Kali sirinde waitara. Hadabu na misingi ya chama hawajui lolote bora kumekucha
WANDUGU BOMBADIA HAIJAYENEZWA NA NDEGE IMETENGENEXWA NA WAKEMIA UKIIENDEA PUPA KAMA MBOWE INAKUCHOMOA VISIGINO . WABUNGE TUACHE ULEVI NA KUISINGIZIA SERIKALI KUWA MMETEKWA WAKATI MMEJITEKA NA FARU JOHN ##### PIPOOOOZI🤘✌✌✌🤞🤞🤞🤞🤞
Hivi hata km ukiwa umelewa,does that means huwezi kutambua kama UMEVAMIWA?? Issue ya abdul nondo kutekwa na watu wasiojulikana, baadaye story yote ilibadilishwa ikasemekana "ALIJITEKA".. Issue ya Mohammed Dewji pia,Script yote ilibadilishwa mpk tukaletewa footage za Cctv camera ambazo ziko COLOURED ili kutuaminisha vitu ambavyo kimsingi havikua na MASHIKO. Azory gwanda,Roma,na kuna matukio mengi sanaa ya viongozi wa kisiasa wa CDM kufanyiwa matukio similar kama hayo au zaidi ya hayo.Mawazo mathias n.k Plus mbunge km msukuma to be honestly si reliable source kwa taarifa km hizi based on his background.
Jamani ukabila ni dhambi mbaya sana msukuma ipo siku utakuja jutia maneno yako ya kuleta ukabila Dhambi hii ndo aloiondosha mwalim nyerere ww unaifufua
Tumia akili aisee!! Halaf kiswahili chako jifunze matumizi ya L na R . Araah ni nini????? Halaf acha chuki . Watanzania tunapaswa kuwa na upendo si chuki za kikabila au chuki za kisisa.
Msukuma wewe ni MTU MJINGA SANA tena sana huna shule huna hekima huna hela we we ni masikini sana yaani kwani hizo pombe ni za wanainchi sio na wabunge wewe unaongoza mbulula sio MTU kama Mimi mh waziri mkuu ni MTU safi ni kiongozi bora kama alivyo raid wetu we are human being we also make mistakes stupid arrogant
Kwanini msijadili masuala ya msingi juu ya maendeleo ya Taifa? Hili suala la mbowe viachieni vyombo vya usalama vifanye kazi yake kisha vituletee matokeo ya uchunguzi.Hapo ndo kila mtu atakuwa na la kujadili.
@@andreakundo4241 Hivi unajua kuwa kuna hukumu siku ya mwisho na baada ya kifo?? wewe ni mkristo kweli??? Au ndo wale wakristo jina wa Italy ??? Ole wao wasemao wema ni uovu na uovu ni wema ! Iko siku utakumbuka maneno yangu
Katika wabunge wanafiki Msukuma yumo. Watanzania tusikubali kuburuzwa hawa CCM wana njama gani wanataka kuifanya ndani na nje ya bunge hawataki viongozi wa upinzani tunaowapenda. Hata kama CCM hawataki Lissu awe Rais iweje hata Madiwani na Wabunge wa upinzani hawatakiwi na vipenzi vya watu kwenye maeneo yao. Kama Watanzania wa vyama vyote tunalipa kodi za Serekali kwa nini maendeleo yatolewe kwa upendeleo. Kuna jambo gani limejificha wanataka kutufanyia Watanzania. Tusikubali kuchaguliwa viongozi kabisa. Wanataka Tanzania liwe koloni lao alafu mbaya kabisa Magufuli anatukosanisha na Majirani makusudi wasijue tunachofanyiwa ndani ya Tanzania. (th-cam.com/video/u5pLZk3C4ws/w-d-xo.html). Rais wa kwanza Tanzania kuwa na ubaguzi tumuogope kama UKOMA.
Kalewa hivyo (hence) kateleza....very cheap conclusion....I wish tupate wawakilish wenye upeo zaidi. Ukiachilia mbali mtoa hoja inasikitisha zaidi kuona waliomstar wa mbele kusapot hoja
Acheni dhihaka ndg zangu ,nae ni binadam kaumia fikiria Kama ni ndg yako .weken siasa pembeni tuwe moyo wa upendo na huruma achilia mbali siasa zao. Kwa wakristo someni mithali 17:5
@@bahatiherman339 tatizo anataka kuchafua taswila ya nchi wkt alikua kwenye starehe zake, sasa tusipolikemea hili suala litatuletea athari ktk diplomasia ya kimataifa, angesema ukweli tungemuhulumia
Msukuma kuwa Kama kiongozi maneno yako si ya kujenga et! Wagogo wanachafuliwa na wewe unawachafua wabunge wenzako watu wanaenda kusalimia unawaambia mafail yameisha? si vizur hata Kama kadanganya haipendezi kuongea maneno Kama hayo
Safi sana Mheshimiwa Msukuma hakika umeongea kitu kizuri sana ni kweli mtu unatakiwa kuwa muwazi na sio unaona umeshindwa kitu basi unakimbilia kusingizia vitu Mungu akubariki sana Mh.
Safi sana mh msukuma mbunge
❤❤❤❤❤ msukuma motooo mzurii
Nakukubali sana
Safi Sana msukuma nataman uwe mbunge wetu kilolo maana sio kwa spich hizo
Kilolo tunaye mbunge
Akika mungu anatembea nasisi wa tanzania mungu i linde Tanzania mungu tunaomba umulinde mweshimiwa magufuri
Mungu yupi ???
Kumbe alikua kalewa chakali!!! Alafu huyu si anawalinzi sasa wkt anashambuliwa walinzi wake walikua wapi?
Walinzi wake wameondolewa na kumbuka sheria ishatungwa ya kutokuwa na walinzi
Kwani mtu akilewa chakali hawezi kuvamiwa. Nadhani hapa tunapigwa changa la macho. Walishindwa kuvover lile tukio la lissu kwa aibu wanazusha sasa.
@@ahz6907 kuvamiwa kwenye ngazi au sio? Alafu wakutengue kisigino au sio?? Tuliipo dodoma na maeneo aliyotibiwa mbowe tulishangaa maigizo ya kubebwa na ndege et mgonjwa...waliomuudumia na kumpokea tunaishi nao..nimejifunza kuwa lisu anakurupika, chadema ni wahuni, mitandao hupotisha uma.
@@ototek8037 wapotoshaji ktk mitandao ni kama wewe. Kwanini chadema waigize unadhani? Ile washinde urais? Au?
@@gracesakila4395 acha uongo hyo sheria imetungwa mwaka gani? Wkt hakina diamond mpaka leo wanalinzi kalibu 20, tambua haki ya Mtu kujilinda ipo ndani ya katiba na ndomaana mpaka leo wapo watu mashughuli wengi wanawalinzi
kiongozi mkuu wa chama kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani bunge saa 7 usiku upo bar unalewa wakati unajua unamajukumu ya taifa alafu una report umevamiwa kweli hii aijakaa sawa kabisa ni kuichafua nchi alafu mnyika anapayuka wakati anajua kiongozi wake alikua wapi viongozi wa chadema muwe makini na matamshi yenu ili ni taifa mtu anaumia kwa uzembe waka kavamiwa
Hivi na wewe unasikiliza hizo propaganda z mccm unategemea watasema nini
Uzushi huo bro.
MAANDIKO.YANASEMA TUMIENI.AKILI KAMA IPASAVYO !! WAZA KAMA MSOMI
Mhe Musukuma nitaendelea kukukubali mno. Kongole sana
Cha msingi hapa ni kwamba msukuma ni mpiga debe kama walivyo wapiga debe wengine kulee kariakooo na kwingineko piga debe baba piiga debe watu wakuone but remember what goes around comes around,,,,
Wale ccm ninaowajua Mimi sijui walipotelea wapi? Hawa kina msukuma kina kujua Kali sirinde waitara. Hadabu na misingi ya chama hawajui lolote bora kumekucha
@@azizawadh5973 wee acha2
🤣🤣🤣akipona uyo utasikia serikali aikuwa pamoja na wawo
😀😄😄😂😂 nikweli
@@danieljafari1126 hawana ata shukrani hao
Mungu ni mhukumu wa haki
WANDUGU BOMBADIA HAIJAYENEZWA NA NDEGE IMETENGENEXWA NA WAKEMIA UKIIENDEA PUPA KAMA MBOWE INAKUCHOMOA VISIGINO . WABUNGE TUACHE ULEVI NA KUISINGIZIA SERIKALI KUWA MMETEKWA WAKATI MMEJITEKA NA FARU JOHN ##### PIPOOOOZI🤘✌✌✌🤞🤞🤞🤞🤞
Yajao yanafurahisha binafsi majibu kutoka upande wa chadema
Faru John ndie mwizi aliye mtegua mguu🤣🤣🤣🤣
Noma
Kumbe faru John noma eeeh 🤔🤔🤔🤔🤔
Spika muongo kabisa namsukuma mlevi mfutabangi msukuma sisi watz tunajua yambowe na.lissu msukuma bangi hiyoo
Spika anasimama kutoa taarifa du....alafu huyo jamaa mwingine ni std seven c unajuwa ukizungukwa na madigrii utataka kuwa zaidi...but...
Mimi nilidhani wabunge wasiojielew ni kutoka Zanzibar pekee kumbe hata bara
kusema ukweli nayo sio kujielewa au wewe ndio ujielewi
@@salummtosa3885 ukweli UPI?
Kweli msukuma unaonesha kuwa watanzania tunapendana au mnataka kuchochea chuki.acheni ujinga
Kupendana na ulevi wapi na wapi
Usibishe ndugu...uyo unaemtetea ni mlevi
Duh yetu macho
Mmmmh we msukuma
Wew kiboko
mungu Anakuona
Msukuma nakukubali sana maneno mazuri sana
Kwan wew hz saa Saba ulikuwa wap
Uko saws sana
We ni mbungee au mhuniii hivi ujinga wa wasukuma kumbe hata elimu haisaidii kitu na ubunge wao
Acha usenge msukuma.
Dah Kweli CCM mnakandamiza Wenzenu
Kwani MTU akilewa ndio avamiwe apigwe
Upati point!ulevi wake na kuumia kwake,asisingizie serikali.simple
Anaweza kuwa aligombana na watu
Hivi hata km ukiwa umelewa,does that means huwezi kutambua kama UMEVAMIWA??
Issue ya abdul nondo kutekwa na watu wasiojulikana, baadaye story yote ilibadilishwa ikasemekana "ALIJITEKA"..
Issue ya Mohammed Dewji pia,Script yote ilibadilishwa mpk tukaletewa footage za Cctv camera ambazo ziko COLOURED ili kutuaminisha vitu ambavyo kimsingi havikua na MASHIKO.
Azory gwanda,Roma,na kuna matukio mengi sanaa ya viongozi wa kisiasa wa CDM kufanyiwa matukio similar kama hayo au zaidi ya hayo.Mawazo mathias n.k
Plus mbunge km msukuma to be honestly si reliable source kwa taarifa km hizi based on his background.
Uwe na mawaz kwaiyo unaez ukavamiw kisiasa kam wanavyosema afu wakupapase mguu tu wakuache
Kavamiwa na mtu akavunjwa jicho la mguu? Hana jiraha longine lolote tofauti na jicho la mguu. Acheni pombe na nyie.
Siasa tu hizo let us wait what gonna happen
Mpumbavu kama wewe tena mzurumaji mkubwa wewe kasome tena we ndo karevi kakubwa
Ukweli unauma
u are talking beyound of humanity
Anakolipeleka Taifa huyu jiwe ni kubaya sikio la kufa....na hawa wabunge utadhani ni chekechea
Piga debe siku yakikukuta utajuta kuzaliwa huna akili we msukuma
Hii Tanzania sasa ni ya ukabila,hatari sasa.
Aisee
Kwani mtasemaje, hata msibani alieuwa analia sana kuliko wote hili asijulikane kama ameuwa
Siku hizi Tanzania tunazungumza makabila!!!?
Kumbe alikuwa anamuwinda mbowe huyu jamaaa akatoe maelezo vema huko police yeye SAA saba Usk alikuwa anafanyaje ent huyu msukuma
Huyu jamaa mkabila kumbe?
Bulaya ameisikia hiii
DUNIA HII YA OVYO
kweli siasa mchezo mchafu
Unawe za kufa kisa siasa
DAAAAAAAAAA
Ishu ya ulevi na kutekwa ni Vitu viwili tofauti jmn acha tusubir polis wafanye uchunguzi wao
Utasubiri sana ndugu . We huelewi tu??
Musukuma hauna hoja ujipendekeza tu
Mmmmmmh kalewa chakari?
Hawa ndio viongozi watakaotupeleka kwenye uchumi wa viwanda kweli .tanzania tumelogwa
Inasikitisha sana.. Ila.kwa jina la Yesu Kristo wataanguka na tutasonga mbele
Kumbe wabunge hawalali usku yan msukuma nae yumo
Tz inaelekea kwny ukabila kamili
mwenyekiti wa saccos kalewa chama cha wahuni icho mwenyekiti kalewa
Maandiko yanasema Ole wenu mnaosema wema ni uovu na uovu ndio wema
Hiya ndosiasa yatazania
Unajua ww msukuma unapotoka hicho kielimu chako Cha stnd seven hakisaidii kazidisha utani na cfa
Kumekuchaa bungeni kama watoto
Safi msukuma hii ni kweli jamaa Levi halafu linaamsha taharuki eti limevamiwa punguani
Ole wenu msemao wema ni uovu na uovu ni wema ! Mungu atahukumu kwa haki
Jamani ukabila ni dhambi mbaya sana msukuma ipo siku utakuja jutia maneno yako ya kuleta ukabila
Dhambi hii ndo aloiondosha mwalim nyerere ww unaifufua
Msukuma utasukumiwa ndani itokee mdomoni payuka tu
Msukuma kashamaliza araah
Tumia akili aisee!! Halaf kiswahili chako jifunze matumizi ya L na R . Araah ni nini????? Halaf acha chuki . Watanzania tunapaswa kuwa na upendo si chuki za kikabila au chuki za kisisa.
Utopolo
Kweli huyu mbulula ngoja yamkute mbwa huyu.
Mkar
Msukuma wewe ni MTU MJINGA SANA tena sana huna shule huna hekima huna hela we we ni masikini sana yaani kwani hizo pombe ni za wanainchi sio na wabunge wewe unaongoza mbulula sio MTU kama Mimi mh waziri mkuu ni MTU safi ni kiongozi bora kama alivyo raid wetu we are human being we also make mistakes stupid arrogant
Gift mush wewe unamkuta kwa hela?
Ninazo za kunitosha sina pesa za kulangua madini tena ninazo za kutosha sio za huyo mchunga ngombe mpiga makelele
Tupewe kura ya maoni Watanzania,JPM tumpe miaka 10 au more!TZ itakua Toronto
Umesoma hadi darasa la ngapi ????
Wagogo wanatokea wapi haya Mambo yataleta ukabila nchini
Ulaaniwe
Si tatizo lako....it's a school matter.
Wewe una elimu gani? It’s a school matter! Ulimaanisha it’s a matter of education?
Domokaya
Huyu mpumbavu alishasemaga lowasa kajinyea kwenye kampeni. Simshangai Leo akisema mbowe mlevi.
Mmbunge mchangamshaji unaleta shida xn akili finyu
Kwanini msijadili masuala ya msingi juu ya maendeleo ya Taifa? Hili suala la mbowe viachieni vyombo vya usalama vifanye kazi yake kisha vituletee matokeo ya uchunguzi.Hapo ndo kila mtu atakuwa na la kujadili.
Msukuma wewe ni zeroo
Huyo mlevi he??
Nadhani wewe ndo zero
@@andreakundo4241 Hivi unajua kuwa kuna hukumu siku ya mwisho na baada ya kifo?? wewe ni mkristo kweli??? Au ndo wale wakristo jina wa Italy ??? Ole wao wasemao wema ni uovu na uovu ni wema ! Iko siku utakumbuka maneno yangu
Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho!
Amellewa halafu wanasema umevamiwa
acha kutafuta kiki?
Katika wabunge wanafiki Msukuma yumo. Watanzania tusikubali kuburuzwa hawa CCM wana njama gani wanataka kuifanya ndani na nje ya bunge hawataki viongozi wa upinzani tunaowapenda. Hata kama CCM hawataki Lissu awe Rais iweje hata Madiwani na Wabunge wa upinzani hawatakiwi na vipenzi vya watu kwenye maeneo yao. Kama Watanzania wa vyama vyote tunalipa kodi za Serekali kwa nini maendeleo yatolewe kwa upendeleo. Kuna jambo gani limejificha wanataka kutufanyia Watanzania. Tusikubali kuchaguliwa viongozi kabisa. Wanataka Tanzania liwe koloni lao alafu mbaya kabisa Magufuli anatukosanisha na Majirani makusudi wasijue tunachofanyiwa ndani ya Tanzania. (th-cam.com/video/u5pLZk3C4ws/w-d-xo.html). Rais wa kwanza Tanzania kuwa na ubaguzi tumuogope kama UKOMA.
Kalewa hivyo (hence) kateleza....very cheap conclusion....I wish tupate wawakilish wenye upeo zaidi. Ukiachilia mbali mtoa hoja inasikitisha zaidi kuona waliomstar wa mbele kusapot hoja
kama mbowe alikuwa amelewa alifikaje nyumbani kwake?
Alafu mtu kashambuliwa mtu maarufu kama yeye anapelekwa kituo cha afya wkt hospital kubwa zipo
Acheni dhihaka ndg zangu ,nae ni binadam kaumia fikiria Kama ni ndg yako .weken siasa pembeni tuwe moyo wa upendo na huruma achilia mbali siasa zao. Kwa wakristo someni mithali 17:5
@@bahatiherman339 tatizo anataka kuchafua taswila ya nchi wkt alikua kwenye starehe zake, sasa tusipolikemea hili suala litatuletea athari ktk diplomasia ya kimataifa, angesema ukweli tungemuhulumia
Msukuma kuwa Kama kiongozi maneno yako si ya kujenga et! Wagogo wanachafuliwa na wewe unawachafua wabunge wenzako watu wanaenda kusalimia unawaambia mafail yameisha? si vizur hata Kama kadanganya haipendezi kuongea maneno Kama hayo
@@ramadhansylvestakichele8915 acha ushaabiki wa kishamba
@@magaumniko7609 we ndo mshamba usie taka kukubaliana na ukweli
Watu wajinga kama hawa wanaendaje bungeni?
Nashindwa hata kuelewa !!
Hata Mimi nimeanza kumchoka huyu jamaa ni mpumbavu
Alikuwa amelewa chakar
Domokaya