KIJANA TAJIRI ALIMUUA MKE WAKE SABABU YA MALI KILICHO MKUTA KINASIKITISHA |Love Story 💞DONTA TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 134

  • @HellenWafula-b4x
    @HellenWafula-b4x 2 หลายเดือนก่อน +20

    Tafadhali Kelvin nachoka kungojea episode ya nne kwa penzi la mtoto wa boss na dada wa KAZI please Tu usinikatishe tamaa ni hamu sana❤

  • @GraceKenya-i4j
    @GraceKenya-i4j 23 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani hii part inayochezwa n daa Vick sana sana naomba ipewe tina ama kendy iwapo siku moja tu 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MayengDulu
    @MayengDulu 2 หลายเดือนก่อน +6

    Nyuki umekua mpo mwnmpotevu sana kaka kazi nzuli hiyoo❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @ChepngenohAlice
    @ChepngenohAlice 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kupokea simu mbele ya mwanamke ata kama umpendi iyo ni madharau Sanah

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana afande brown 🎉🎉much love ❤❤ kenya

  • @BintmohamedNasiri
    @BintmohamedNasiri 2 หลายเดือนก่อน +13

    Nyie watu mnatoa wapi ujasiri wa kukubali mwanaume akunyanyase kwenye nyumba yako😂😂😂 mtu asisubutu kuniletea ujinga kwa nyumba yangu nakufurusha kama sikujui nyooooooo

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 2 หลายเดือนก่อน

      Na mimi pia siwezi😂

    • @jacklineteresia2629
      @jacklineteresia2629 2 หลายเดือนก่อน

      apo ndio sipendi kabisaa ataona Moto mbila mosi nyoooo😅😅😅

    • @wiliamkatala6688
      @wiliamkatala6688 2 หลายเดือนก่อน

      Vp kama unaishi kwenye nymb yke.

    • @BintmohamedNasiri
      @BintmohamedNasiri 2 หลายเดือนก่อน

      @@jacklineteresia2629 🤣🤣🤣🤣

    • @BintmohamedNasiri
      @BintmohamedNasiri 2 หลายเดือนก่อน

      @@wiliamkatala6688 hapo sawa ntakua mnyonge

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t 2 หลายเดือนก่อน +2

    Duuu pol dada viki duu unay pitia ni magumu duuu nais kam mm ee mung nisaidie mm na familia yangu

  • @Thuma-tj5rp
    @Thuma-tj5rp 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mambo yakudanga ni ya shanaizer.jamani. Nilimpenda sana yule dada💞😂

  • @StellaKahindi-m8b
    @StellaKahindi-m8b 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hatakama nmechelewa lakini naomba like pia mm hata tano😢

    • @SaraQueen-tm5dr
      @SaraQueen-tm5dr 2 หลายเดือนก่อน

      Unapika 'na nn hizo like

  • @HudhaimaYussuf
    @HudhaimaYussuf 2 หลายเดือนก่อน +16

    Nyinyi waomba like jamen tutawafingia au mnapata pesa na hamsemi🤔😅😅

    • @HusnasaidiIssa
      @HusnasaidiIssa 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kwakwer tushawachoka

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hhhhhhh ni atar kwa kwel hhhhhh

    • @SaraQueen-tm5dr
      @SaraQueen-tm5dr 2 หลายเดือนก่อน

      Unapik 'na nini hizo like

  • @SabitiMwishaa
    @SabitiMwishaa 2 หลายเดือนก่อน +3

    nimeipenda hii

  • @omanruwi5501
    @omanruwi5501 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wake wa Enzi zile😂😂 kwa sasa unatoka namm nafunga mlango na kusafiri mbali😂😂😂

  • @jobsimpamba71
    @jobsimpamba71 2 หลายเดือนก่อน

    Vizuri sana jamani afande umefanya vizuri❤

  • @HellenWafula-b4x
    @HellenWafula-b4x 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mbona anampiga hivo nyuki please si poa

  • @daliahmachendenice8543
    @daliahmachendenice8543 2 หลายเดือนก่อน

    Pole vp mapenzi ya kweli ayavuti kwa gamba

  • @SaraQueen-tm5dr
    @SaraQueen-tm5dr 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna watu wanaomba tu like kusapot movie aaaaah sijui wanapika na nn hizo like

  • @IreneDavid-w2d
    @IreneDavid-w2d 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamnii nyuki hauonekani siku hizi upo wap tumekumisii

  • @a2core-wn2wk
    @a2core-wn2wk 2 หลายเดือนก่อน +1

    Victoria uskubali kummilikisha mali zako mwanamme

  • @Thuma-g8o
    @Thuma-g8o 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nyuki nawe mbona ss hebu tafuta sababu zinazo heleweka bwana ss kuambiwa tu twende ukanywe chai tu upige mtu hapo bado

  • @ashapearubart2624
    @ashapearubart2624 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmmm fuzo zuri ya movie.

  • @RizikiBakari
    @RizikiBakari 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mali zang kupigwa npigwe mie pengine kwa movie tu

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 2 หลายเดือนก่อน

      Umeona ee we subut mm mtu anipig kwenye nyumb yang wal hanites

  • @DoreenKaimenyi-km6ux
    @DoreenKaimenyi-km6ux 2 หลายเดือนก่อน +2

    Unaniwekea mashariti kwa nyumba yangu kama nani😂😂nyuki komaaa manake mm nakuwekea adi sumu 😅😅

  • @سيييققق
    @سيييققق หลายเดือนก่อน

    Vitoria umevaa shart ya Nelly maneno , mbona haija kupendeza😅 mpaka nyuki anakupiga bure😅😅

  • @AsinaMpakilia-zw5wu
    @AsinaMpakilia-zw5wu 2 หลายเดือนก่อน

    Pole Sana ,nimependa Sana ,huo ni uwalisia mwanamke akiwa na Mali tatizo Kwa mumewe,

  • @rosemarenga832
    @rosemarenga832 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤🎉🎉🎉nyuki nilimc San kweny donta

  • @LatifaOmary-uj3zs
    @LatifaOmary-uj3zs 2 หลายเดือนก่อน +6

    Nimewahiiii jamn naombenii like na mim😢

    • @SaraQueen-tm5dr
      @SaraQueen-tm5dr 2 หลายเดือนก่อน

      Unapika 'na nn hizo like

  • @Samia-x3o
    @Samia-x3o 2 หลายเดือนก่อน +1

    Leo sijachelewa sana🇰🇪

  • @mercymulee1948
    @mercymulee1948 2 หลายเดือนก่อน

    Leo nmewahi😅❤🎉🇰🇪🇰🇪kazi nzuri wanadonta💖

  • @Agnes-hy1vk
    @Agnes-hy1vk 2 หลายเดือนก่อน +7

    Naomba like ata moja jamani😂😂

    • @SaraQueen-tm5dr
      @SaraQueen-tm5dr 2 หลายเดือนก่อน

      Unapika 'na nn hizo like

    • @Agnes-hy1vk
      @Agnes-hy1vk 2 หลายเดือนก่อน

      @@SaraQueen-tm5dr 🤣🤣🤣wewe niache baana kama kila mtu huku anaomba like mbona Sio Mimi🤣

    • @SaraQueen-tm5dr
      @SaraQueen-tm5dr 2 หลายเดือนก่อน

      @@Agnes-hy1vk hahaha hayaaa

  • @jacklineteresia2629
    @jacklineteresia2629 2 หลายเดือนก่อน

    team strong 😢utakubali upatane na mme kama uyu..mme mzuri ni wakutafuta kwa jasho sio ya mke..alafu kibaya saindi ameuwa we nyuki roho mbaya nyoooo.

  • @fgfvgggf6993
    @fgfvgggf6993 2 หลายเดือนก่อน

    Ati mungu amekuekea jicho la rohoni kwani mungu anaekea wa2 macho ya rohoni yakuuwa ama kuombea wenzako

  • @AsinaMpakilia-zw5wu
    @AsinaMpakilia-zw5wu 2 หลายเดือนก่อน

    Vick pole Sana ,umeyatimba safari hii

  • @RebeckAunt
    @RebeckAunt 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sana vicky .umehishusha yako yote lakini mume akuona 😢

  • @AsmaRamadhani-ok6iv
    @AsmaRamadhani-ok6iv 2 หลายเดือนก่อน

    Jamn ane jua mshon wa hayo magaun alo vaa viki naomba jina la mshon

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nimeanguka nayo 😂😂😂😂😂😂next episode wapi likes zangu wana donta tv

    • @HafsahAmbogo
      @HafsahAmbogo 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂anguka nayo

    • @MariamRiziki-o8x
      @MariamRiziki-o8x 2 หลายเดือนก่อน

      @@HafsahAmbogo 🤣🤣🤣🤣

  • @johnomoga-x6c
    @johnomoga-x6c 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu amutete

  • @kidevusitu3817
    @kidevusitu3817 2 หลายเดือนก่อน

    Nyuki kavu Kweli duuh .

  • @pendoyohana2399
    @pendoyohana2399 2 หลายเดือนก่อน

    Yaan mtu anipigee awe bora niondoke😢😢

  • @RoselineMwende-p4o
    @RoselineMwende-p4o 2 หลายเดือนก่อน

    Much ❤ guys from 🇰🇪🇰🇪

  • @JeanineJean-w7e
    @JeanineJean-w7e 2 หลายเดือนก่อน

    ndona na semaga mwanaume siyo ndugu ata umfanyiye nini akiamuwa kuku geuka atakugeuka tu

  • @doreenemanuel6024
    @doreenemanuel6024 2 หลายเดือนก่อน

    Kwel.siwez igiza kufa uwiii naogopa

  • @ErodiasEbengela
    @ErodiasEbengela 2 หลายเดือนก่อน

    Nawapendasana❤❤❤❤❤

  • @STANLEYKINYILI
    @STANLEYKINYILI 2 หลายเดือนก่อน

    Kenya Watching

  • @FATUMAPASKAL
    @FATUMAPASKAL 2 หลายเดือนก่อน

    Nyie mnaogiza hivi huwa mnapima afya kupigana mabusu mdomoni kama Amanda Na adamu

  • @salmatuleteesehem71jmnmahm59
    @salmatuleteesehem71jmnmahm59 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu nyuki huwa anatia comed lkn ht hapendezi hlf hii move cjaielewa ht nimepoteza mda wang bure na mnabahat natumia wi_fi bila ivo mgelipa mb zng

  • @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
    @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj 2 หลายเดือนก่อน

    Victoria uskubali ata kidogo kumumpa mali maana ataziidi kukutesa

  • @princekillian3640
    @princekillian3640 2 หลายเดือนก่อน +3

    🇰🇪 ❤

  • @ashakarisa-qi9gx
    @ashakarisa-qi9gx 2 หลายเดือนก่อน

    Mwanaume anipige alafu iweje...acha Mali hata shilingi sikupi Mali yangu wanangu basi 😂

  • @saumuothman3588
    @saumuothman3588 2 หลายเดือนก่อน

    Mbna hii movie cjaipenda cjawah kuckia Wala kuona kuwa mwanaume yupo chini kimaisha Alf akatawala kiasi hichi na dharauf

  • @EvansKipru
    @EvansKipru 2 หลายเดือนก่อน

    Kevin bana nangoja episode ingine

  • @FaisalAlrefai-u2y
    @FaisalAlrefai-u2y 2 หลายเดือนก่อน

    Nyuki umeniudhi sana mke hapigwi jamani 😢😢😢

  • @julienneaboki4105
    @julienneaboki4105 2 หลายเดือนก่อน

    Ongeza ingine endelesha filam

  • @LovenessMollel-g4m
    @LovenessMollel-g4m 2 หลายเดือนก่อน

    Nyuki xjapenda adi nmelia kha mtu wa njian asikufanye umwone aliepo ndan c bora alaaa ingekua me vki ohooo nakupa sumu mbwa we

  • @Saidahkims
    @Saidahkims 2 หลายเดือนก่อน

    Nyuki sijai kuchukia lakini kwa hii walai nimekuchukia

  • @zamaradhassan
    @zamaradhassan 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman ni unahama asubuhi kweupee Weee mibao yote hiyo tatizo kukupenda au ni nini lbda kwamfano😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏

  • @miriamanjema2176
    @miriamanjema2176 2 หลายเดือนก่อน

    Mtu awezi nipigia kwangu mapenzi shika moo

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys 2 หลายเดือนก่อน

    Kama ile siku moja kabla ya ndoa yangu haikumaliza
    Pia na dada wakaz na mtt wa boss haijafikiya kumaliza mnatuleteya nyengine

  • @appsplay4324
    @appsplay4324 2 หลายเดือนก่อน

    Much love ❤❤❤❤

  • @Jojo-y7k8g
    @Jojo-y7k8g 2 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapo kwa asikali pameniwuwa hakiamung

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys 2 หลายเดือนก่อน

    Tatizo lenu nyiy hamufanyi kaz moja ikamaliza mnakuja na mengine

  • @fatuma6011
    @fatuma6011 2 หลายเดือนก่อน

    Nyuki Tamaa mbaya

  • @MarianaMwakatoga
    @MarianaMwakatoga 2 หลายเดือนก่อน

    Naon cend kimeanza kingereza

  • @AnnaMakala-hx3vf
    @AnnaMakala-hx3vf 2 หลายเดือนก่อน

    Kwel mnaigiza mtu yupo kwangu af anipige subutu

  • @BintmohamedNasiri
    @BintmohamedNasiri 2 หลายเดือนก่อน +1

    Team strong hii hali mnaiyonaje 😂😂😂😂 nakutupia mabahasha yako nje uende ukienda😂😂😂😂

    • @DoreenKaimenyi-km6ux
      @DoreenKaimenyi-km6ux 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂sugua hamam kabisa usitharauriwe dada

    • @HafsahAmbogo
      @HafsahAmbogo 2 หลายเดือนก่อน

      Pambana na joto sugua hamam toka hapa😂

  • @shadrackmwangangi-z2h
    @shadrackmwangangi-z2h 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi yenu nizuri lakini mnatuachanga njia panda

  • @HellenaSadock
    @HellenaSadock 2 หลายเดือนก่อน

    Huy nyuki kam ling'ombe

  • @sfiaalanazi5479
    @sfiaalanazi5479 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani jimwanaume😢😢😢

  • @AnnaMakala-hx3vf
    @AnnaMakala-hx3vf 2 หลายเดือนก่อน

    Nzur

  • @rosefredy5398
    @rosefredy5398 2 หลายเดือนก่อน

    Asa mwanaume tajiri kichwa cha habar kumbe mali ni za mwanamke sijaelewa

  • @InezaFainess
    @InezaFainess 2 หลายเดือนก่อน +3

    Watatu Leo naomba ata 20 like

  • @AthumaniHamis-hu2wz
    @AthumaniHamis-hu2wz 10 วันที่ผ่านมา

    Nime ikubalihi

  • @MemoryKamutandi
    @MemoryKamutandi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Acha loho mbaya wewe nyuki mbwana aaaaaaaaa

  • @symonmosess5323
    @symonmosess5323 2 หลายเดือนก่อน

    Unataka tunywe chai😅😅😅

  • @xxlovexxlolxx4247
    @xxlovexxlolxx4247 2 หลายเดือนก่อน

    Jmn tunaomba Victoria akuwe naoneKea huyumume kwajini ndio apatechamtemakuni😢😢😢

  • @SalmaMhando-kz1po
    @SalmaMhando-kz1po 2 หลายเดือนก่อน

    Shikamoo afande

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys 2 หลายเดือนก่อน

    Kuweni na moja imalize mulete nyengine

  • @ayshanani
    @ayshanani 2 หลายเดือนก่อน

    Vicky fukuza huyo jamaa asikutese na nyumba yako

  • @Yunissimon1234
    @Yunissimon1234 2 หลายเดือนก่อน

    Nyuki unaroho mbaya hatar

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 หลายเดือนก่อน

    Unamunyanyasa mali nizake zikiwa zako sindo bala atalua hana akili akikuandika wewe uwe mumiliki😅

  • @RachelPhinias
    @RachelPhinias 2 หลายเดือนก่อน +1

  • @RoseKalebu
    @RoseKalebu 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman mbona penzi la mtoto wa boss na dada wa kazi inachekewa hivyo mpaka inakatisha tamaa

  • @ndabarinzesamuel9333
    @ndabarinzesamuel9333 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe mwanaume unakosea sana, ni ujinga kumpiga mwanamke bila kosa ,mbona unapewa heshima na mkeo lakini malipo ni fimbo? Hata unaonyesha kama uko kwake mbona unanyanyasika kwenye Mali zako? Mwisho wako ni kifo dadaeee.

  • @MemoryKamutandi
    @MemoryKamutandi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona wewe nyuk urikua huonekan sahivi VP

  • @MercyWafula-x1x
    @MercyWafula-x1x 2 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥🥰

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 2 หลายเดือนก่อน

    Vicky pole ila mimi siwezi vumilia mwanaume anipige kwangu sijui kama ni mapenzi ya dawa shaaa

    • @a2core-wn2wk
      @a2core-wn2wk 2 หลายเดือนก่อน +1

      Haki ya Mngu hata mie mwanamme anikoromeea siku moja tu kwenye nyumba yangu ya pili afungashe kilicho chake aende zake

  • @NeemaDainess
    @NeemaDainess 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @PuritySalama-yv6to
    @PuritySalama-yv6to 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi ata kwa ubani siandikishi Jina la mume wangu kisa kanioa akah

  • @johnomoga-x6c
    @johnomoga-x6c 2 หลายเดือนก่อน

    Kila unachopanda indicho utakacho vunan maharipo ni hapa hapa

  • @MwanahijaMwachanga-q3n
    @MwanahijaMwachanga-q3n 2 หลายเดือนก่อน

    Na ibaki kuwa movie tu hawezi mtu àkniendesha na mali ni zangu mpema tu namtimua

  • @AnisaRamadhan-m6g
    @AnisaRamadhan-m6g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naombeni like jamani

  • @GentrixValanzia
    @GentrixValanzia 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwanaume uzur n movie lakn huyu

  • @johanessalvatory-ke6ss
    @johanessalvatory-ke6ss 2 หลายเดือนก่อน

    nyuki anazingua bhn ananong'ona atoi saut

  • @SECILIAEZEKIELMREMA-mu8xl
    @SECILIAEZEKIELMREMA-mu8xl 2 หลายเดือนก่อน

    Hizo dharau anazokuonyesha Bado tu hujiongezi.

  • @AnisaRamadhan-m6g
    @AnisaRamadhan-m6g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba like

  • @agnesaloyce5372
    @agnesaloyce5372 2 หลายเดือนก่อน

    Hata unipe mapenzi kiasi gani siwezi kukupa mali zangu loooh shenzi kabisa

  • @GraceMbulu-rp8ko
    @GraceMbulu-rp8ko 2 หลายเดือนก่อน

    Nyuki roho mbaya tu😏

  • @RukiaKhamis-pu9zv
    @RukiaKhamis-pu9zv 2 หลายเดือนก่อน

    Ningekuwa mim nngemfukuza huyo mwanaume

  • @GentrixValanzia
    @GentrixValanzia 2 หลายเดือนก่อน

    Lakn hata Kaa n ndoa na unanfanyia hvi kwa nyumba yangu s kwa ubaya but ntakutoa kwa life yangu kabsa

  • @idrisadjuma9322
    @idrisadjuma9322 2 หลายเดือนก่อน +1

    Noamba like zangu mahan mimi ndio wakwanza

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮