KIJANA TAJIRI ALIMKATAA MTOTO MWISHO WAKE UNASIKITISHA | FULL MOVIE | New Bongo Movie 💞

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 160

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 3 หลายเดือนก่อน +7

    James mwisho wa kukimbia ni kusimama bro😂😂😂😂 si ww tu ulisema loveness ananuka maziwa, kimekuramba baba ❤❤ from 🇰🇪

  • @hucky-lh5mr
    @hucky-lh5mr 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ikoo vzr hongera christina James story ni nzurii na inafundishaa🥰🥰

  • @moiseszacariasmoisesmoises
    @moiseszacariasmoisesmoises 3 หลายเดือนก่อน +12

    ni moja ya muv bora yenyekufunza mahadiri ya mwanadamu katika safari yake ya maisha hapa duniana🎉

  • @WitnessMaile
    @WitnessMaile 3 หลายเดือนก่อน +15

    Jaman katka waigzaj wote wa donta tv dada Ang loveness we ni mzur jaman dada sio utani🎉🎉 nakupenda San dada angu kpenz

  • @levistembo5072
    @levistembo5072 3 หลายเดือนก่อน +7

    Ila movie ikawa nzuri lakni Leo brown akawa serious na ukali wenyewe ukazidi kiasi. James bila shaka amepata funzo

  • @fatuma6011
    @fatuma6011 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran sana wana donta kwa mafunzo mazur endeleeni kutufunza mengi zaidi🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Elizabet2694
    @Elizabet2694 3 หลายเดือนก่อน +4

    Loveness ukikasilika unapendaza sana Hadi raha jamn 💕💕💕💕

  • @GloriaMtana
    @GloriaMtana 3 หลายเดือนก่อน +7

    Candy uko smart ukijifunga leso❤❤❤❤❤

  • @TeshmonyAntonio
    @TeshmonyAntonio 3 หลายเดือนก่อน +6

    kazi njema jamani Mungu awabariki hadi mfikie malengo yenu

  • @RehemaSaid-r4h
    @RehemaSaid-r4h 3 หลายเดือนก่อน +43

    Watazamaji wa hii movie weka like apa

  • @rizikimohamed2449
    @rizikimohamed2449 2 หลายเดือนก่อน +1

    Alhmdulillah kweli mungu niwamajabu ulimtia mimba ukamkata jee turuuu mwanaume jamani tizama malipo hayo mume mume mume kiwioooo

  • @jobsimpamba71
    @jobsimpamba71 3 หลายเดือนก่อน +8

    Umeyakanyaga James vizuri sana ❤

  • @salamasalum6956
    @salamasalum6956 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ila love mzuri mashallah nakupenda sana

  • @PrettySalmah-tt8bh
    @PrettySalmah-tt8bh 3 หลายเดือนก่อน +4

    Heeeee si kwa uref huo kunambi 🤣🤣🤣🤣ao tuu candy nd mfupiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Da Vicky onger kw kubeba madhaif ya mumeo

  • @GloriaMtana
    @GloriaMtana 3 หลายเดือนก่อน +12

    Kunambi siku hizi unapendeza kweli❤❤

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu 3 หลายเดือนก่อน +4

    Fukuzeni kabisa hana ata haya 😂😂😂❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @marialumbanga
    @marialumbanga 3 หลายเดือนก่อน +5

    Candy ni mzur na unacheza vizur ila umezid kukaa uchi 😢😢😢

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 3 หลายเดือนก่อน +2

    James.mwana kulipata mwana kulipata haya pambana nahali yako sasa😂😂😂😂😂

  • @SarahJoseph-r1i
    @SarahJoseph-r1i 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hlo shati hasa james mbaaa😂😂😂

  • @rizikimohamed2449
    @rizikimohamed2449 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaha eeeeh huko rafikiako ndio yuwamsumbua dadako na je hio mimba 😂😂

  • @annwairumu588
    @annwairumu588 3 หลายเดือนก่อน +2

    😅😅😅😅sema kufukuzwa kaa mbwa 😅😅😅😅na waede kbs my favorite ♥ movie

  • @veronicahmuricho
    @veronicahmuricho 3 หลายเดือนก่อน +2

    Much love Kendy❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @WILLIAMSYLIVESTERMASAI
    @WILLIAMSYLIVESTERMASAI 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mmetisha tuko pamoja

  • @ReginaDunia
    @ReginaDunia 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wa kwaza mimi laki zenu🎉🎉❤❤❤

  • @MoniqueIrakose
    @MoniqueIrakose 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nzuli sana🎉🎉🎉

  • @NaemaMousa-l4o
    @NaemaMousa-l4o 3 หลายเดือนก่อน +5

    Tobaaa watu mnakalil ad nguo jaman

  • @MarynzaraNyamawi-nz7ve
    @MarynzaraNyamawi-nz7ve 3 หลายเดือนก่อน +2

    James kimemrambaa❤❤❤❤❤❤

  • @AbrahamanMsuya-d4x
    @AbrahamanMsuya-d4x 3 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂 jamaa anakwepa usumbufu

  • @samjabri2611
    @samjabri2611 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atakuonyesha

  • @GhislaniMusumba
    @GhislaniMusumba 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asante kwa mashauri

  • @ZAHARASALUMU-l6m
    @ZAHARASALUMU-l6m 3 หลายเดือนก่อน +7

    James kimekulamba😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @sophianyamvula7080
    @sophianyamvula7080 3 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤nice 🎉🎉

  • @IlhamShaban-vq3kx
    @IlhamShaban-vq3kx 3 หลายเดือนก่อน +3

    Loveness umeua sana pokea maua yako🎉🎉🎉🎉

  • @TinaFrank-o9q
    @TinaFrank-o9q 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hahahhahhaha yani kwa kweli

  • @LinasMwenda
    @LinasMwenda 3 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂😂movie nzuri sana😂

  • @crazykea2032
    @crazykea2032 3 หลายเดือนก่อน +5

    Happy birthday kunambii

  • @AminaMahamudu-z4e
    @AminaMahamudu-z4e 2 หลายเดือนก่อน +2

    James 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 2 หลายเดือนก่อน +2

    Brown mmefanya poa kumfukuza wanaume jifunze hapo😊

  • @BerthaNgonyani
    @BerthaNgonyani 3 หลายเดือนก่อน +3

    Candy kpnz chnguu😍

    • @SalomeKawogo
      @SalomeKawogo หลายเดือนก่อน

      kipnz chetu candy

  • @FatumaBakari-c4m
    @FatumaBakari-c4m 2 หลายเดือนก่อน +1

    Loveness mrembo wwee dada jpo n mwanamke ila kilichon n sifa kipew sifa jmni

  • @ChristopherBonfils-dk1tx
    @ChristopherBonfils-dk1tx 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli iyi ni funzo kbs

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د 3 หลายเดือนก่อน +3

    Na wanaume wengi ss ndivyo walivyo hivyo kukataa mimba mpaka yamkute ndio arudi.x wangu mahal ulipo usithubutu kuja kutaka mtoto ole wako ww nkukate miguu

    • @Zenampande
      @Zenampande 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @nafsajuma6269
      @nafsajuma6269 3 หลายเดือนก่อน

      Duuuh pole kwa hilooo

  • @edwin_wafula
    @edwin_wafula 3 หลายเดือนก่อน +2

    Best one yet

  • @lusamonene5643
    @lusamonene5643 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hurraaaaa!

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 3 หลายเดือนก่อน +2

    good movie

  • @MercyWafula-x1x
    @MercyWafula-x1x 3 หลายเดือนก่อน +6

    James anaruka mimba kama, Brayo na Kevo

  • @ruthgloriaobonyo
    @ruthgloriaobonyo 3 หลายเดือนก่อน +4

    Haya James kavune alichokipanda💔

  • @Florence-hd2sj
    @Florence-hd2sj 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamani love kila movie niwewe wapitia😢😢 ila chukuwa maua mamaa unatupq funzo pia

  • @Jojo-y7k8g
    @Jojo-y7k8g 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uumh nawapenda Sana jamani

  • @RoseChenga
    @RoseChenga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Imenikumbusha yale yaliyonikuta mm ila namshukuru mungu mwanangu mzima ila huyo kunguru sijui kafia wapi jaman

  • @BabyeSaumu
    @BabyeSaumu 3 หลายเดือนก่อน +4

    Movie nzri ila hilo jina jamani..simfupishe tuu majina ya movie jameni

  • @MwanakomboAliKhamis
    @MwanakomboAliKhamis 3 หลายเดือนก่อน +4

    Izo mbio nimezipenda ila muko vizur

  • @agneskemunto2540
    @agneskemunto2540 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sipendi huyu James kwa movie zote 😮

  • @samjabri2611
    @samjabri2611 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ee ujajipanga ivovipi🎉🎉

  • @BetinaMnyanyi-yv7lp
    @BetinaMnyanyi-yv7lp 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman nery amependez alivyokuw dokt had raha

  • @bucumicargele9609
    @bucumicargele9609 3 หลายเดือนก่อน +5

    Leta zinginee

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 3 หลายเดือนก่อน +2

    Na ajari ingewauwa shenzi nyie😂😂😂😂

  • @LILIANIMWASHINANI
    @LILIANIMWASHINANI 3 หลายเดือนก่อน +9

    Nelly kapendezea udaktar

  • @fatumasalim3915
    @fatumasalim3915 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo ndio faida ya bba wazembe

  • @KazeyaJuniour
    @KazeyaJuniour 3 หลายเดือนก่อน +3

    Fire

  • @CarenShapaya
    @CarenShapaya 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yenye yamenipata sai me ni uchungu sana

  • @LeonardMomo
    @LeonardMomo 3 หลายเดือนก่อน +2

    daaah nimempeda hiyo

  • @RehemaMusa-s5x
    @RehemaMusa-s5x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa kazi yenu jmn love nipe namba ako plz

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 3 หลายเดือนก่อน +4

    James ico ni kipigo kukana damu yako

  • @RukiaMazai
    @RukiaMazai 3 หลายเดือนก่อน +1

    Baba huyu mjinga sana

  • @JmeddyTz
    @JmeddyTz 3 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani napenda movie zenu nyie

  • @fatuma46ramadhan18
    @fatuma46ramadhan18 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi muvi zinachanganya juu zina history zinafanana sn

  • @azizaumutoni7773
    @azizaumutoni7773 3 หลายเดือนก่อน +4

    Oooya we wakwanza keo

  • @MalingaMaboko
    @MalingaMaboko 2 หลายเดือนก่อน +1

  • @nafsajuma6269
    @nafsajuma6269 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie hawa wanaume kukataa mimba na kukubali mtoto akiwa amezaliwa kubebesh watu mimba tu kulea aaaaaaaaaaaah 😂😂😂😂 walah wanaume kama hawa watafik mbingun wamechok san mungu awalaan

  • @sophianyambura-ou9kg
    @sophianyambura-ou9kg 3 หลายเดือนก่อน +4

    Loveless 😅😅😅😅😅

  • @LexoG-nf6sx
    @LexoG-nf6sx 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hoyeeee🎉

  • @WelluSifael
    @WelluSifael 3 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤

  • @JanepherBudodi
    @JanepherBudodi 3 หลายเดือนก่อน +18

    Jaman mimu wa kumi leo naombeni like ata kumi

  • @JohnBaluti
    @JohnBaluti 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nzuri

  • @DaudWest
    @DaudWest 3 หลายเดือนก่อน +1

    Baada ya miaka 2 .. CENDY na wigi lile like 😮

    • @MwahijaKhatibu
      @MwahijaKhatibu 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @Marionwanjiru-s8f
    @Marionwanjiru-s8f 3 หลายเดือนก่อน +4

    Team fulus mpo piteni na like

  • @SagandaSamson
    @SagandaSamson 3 หลายเดือนก่อน +2

    Katka hii imenikumbusha mbali

  • @Mariam-u6z6f
    @Mariam-u6z6f 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwan shanaiz alienda wapi jaman nilimmiss

  • @aznatfrida5577
    @aznatfrida5577 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani hongereni sana sana sana movie nzuri imeisha vizuri, nilisha zoea msamaha unakubalika mwishoni lakini imekuwa tofauti keep t up

  • @NeemaDalmass
    @NeemaDalmass 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamn wekeni bs no za sm

  • @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
    @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 3 หลายเดือนก่อน +1

    Lovenees pole katoto kamenasa tumboni 😂😂

  • @MercyWafula-x1x
    @MercyWafula-x1x 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ameyatimba 😂

  • @fellst4159
    @fellst4159 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wanaume kam hawa wapi😂😂😂😂

  • @cartoonpati2914
    @cartoonpati2914 3 หลายเดือนก่อน +2

    James Malaya mkumbwa ww hunastahili kifo

  • @EnesMwasenga-gk2te
    @EnesMwasenga-gk2te หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @STANLEYKINYILI
    @STANLEYKINYILI 3 หลายเดือนก่อน

    Kenya Watching

  • @AdelinaUhinga
    @AdelinaUhinga 3 หลายเดือนก่อน

    Wa kwanza mim

  • @EviathaEdistedius
    @EviathaEdistedius 3 หลายเดือนก่อน

    Mlivo mkatalia mtot utadhan mnatak kumla asa huo ni mama gan😮

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi bhana ningekuwa loveness ningeenda jikoni kuchemsha maji nakuja nayo kumwagia huyo James shenzi kabisaaaaaa 😢

    • @LuganoMwakalo
      @LuganoMwakalo 3 หลายเดือนก่อน

      Muuaji wewe

    • @MariamMariam-h8h
      @MariamMariam-h8h 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @esterkimalio8846
      @esterkimalio8846 3 หลายเดือนก่อน

      @@LuganoMwakalo sasa nifanyeje na alinikataa akamkataa na mtoto leo kapata wapi ujasiri wakuja kudai mtoto,,,we huogopi

  • @MaSuzy-zf8ol
    @MaSuzy-zf8ol 3 หลายเดือนก่อน

    wa kwanza jmn

  • @MbiseElisha90
    @MbiseElisha90 3 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @joycemachibya4380
    @joycemachibya4380 3 หลายเดือนก่อน +4

    Afu nyie mnajua maumivu ya kuachwa na mimba?mm sitaki washauri kwa kwel😂 sitaki ata aje babu mkubwaa aliyekwisha fariki siwezi

  • @SubiraBakari-e2n
    @SubiraBakari-e2n หลายเดือนก่อน

    Tuundeezeeni mtoto waboc jamani

  • @LazarousSimumba
    @LazarousSimumba 3 หลายเดือนก่อน +1

    Lovenes kumbe nawe unavuwa nguo

    • @LatiffahHassan
      @LatiffahHassan 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @RehemaMusa-s5x
      @RehemaMusa-s5x 2 หลายเดือนก่อน

      Jinga ww love asivue nguo hakamilikA

  • @SarahJoseph-r1i
    @SarahJoseph-r1i 3 หลายเดือนก่อน

    Sa love mgeni kaja mbna hujampokea beg mh lait ndo mm ngejcky vby

  • @GOODLUCKKAPINGA-t6b
    @GOODLUCKKAPINGA-t6b หลายเดือนก่อน +1

    Kime mlamba

  • @LuganoMwakalo
    @LuganoMwakalo 3 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anakumbka mimba ya mama mtoto wake baada ya kuambiwa hawez kuzalisha

  • @gracesidika6912
    @gracesidika6912 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni funzo kwa wanaume wanaoruka mimba

  • @MartinmutuaMuthini
    @MartinmutuaMuthini 2 หลายเดือนก่อน

    ʟᴏᴠᴇɴᴇss ɴᴀ ᴋᴜɴᴀᴍʙɪ ᴍᴜᴍᴇɴɪғᴜᴢᴀ ᴋɪᴛᴜ