SAJENT APOTEA AKIWA KOZI KAMBINI, NI UTATA, RAFIKI ABAKI NA KIPOCHI, KAKA AIBUA MAZITO "SIKU YA 24"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 277

  • @johnsonrenatus7772
    @johnsonrenatus7772 2 หลายเดือนก่อน +52

    Hakuna ktu hapa, Serikali inataka tuamin kuna watekaj, hv inawezekana vp askar jesh apotee kilahs hvo tena akiwa kozi? Aya tufanye kapotea, sisi raia itakuwaje?

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt 2 หลายเดือนก่อน +4

      Kweli kabisa tumuombe Mungu atusaidie

    • @gfydfdf8869
      @gfydfdf8869 2 หลายเดือนก่อน +2

      My God Tanzania,machozi ya watanzani,watu wanatekwa wote huo 'wivu,sameona atafika mbari ,

    • @KuluthumuMsuwakollo
      @KuluthumuMsuwakollo 2 หลายเดือนก่อน +2

      Si ndo hapo jmn sikututia hof jmn😂😂

    • @MrHouse-d8b
      @MrHouse-d8b 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisa 🇹🇿 tanzania sijui ni MUNGU au nini hasa kimewakuta viungozi wetu au ubinafsi,nepotism,inasikitisha watoto wa masikini wamekuwa hawana haki kabisa pia taarifa za kijeshi imekuwaje askari apote mtulete mtaani sisi hatutaki siasi za vichwa vya panzi sisi turudishieni deo soka na vijana wakitanganyika

    • @lifeexplorers1
      @lifeexplorers1 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@MrHouse-d8bSasa akipotea mwanajesh wanachi tutabebwa kama vifaranga

  • @MwanaKhamis-u2i
    @MwanaKhamis-u2i 2 หลายเดือนก่อน +29

    Nakuombea usku na mchana kaka angu rafiki yngu jirani yngu mshaur wangu kwa uwezo wa allwah popote ulipo akulinde naamin mungu yupo atatenda maaajabu in shallwah.

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 2 หลายเดือนก่อน +3

    Inafikia Atua Watanzania Kutambua Kwamba Mtu Akiwa Jeshini Ziko Kozi Anaweza Kwenda Kwa Sili Hata Akija Kuludi Amtaeza Kujua Kama Mwenzenu Yuko Na Nini Nyinyi Mtamuona Nimtu Fulani Kumbe Mwenzenu Nimtu Wa Kazi Yeye Ni Asikali Sio Mwana Siasa Mseme Anagombea Cheo Kozi Ziko Za Sili Kubwa Na Ukicheki Ndugu Wa Siku Izi Wachawi Ndio Kabisa

  • @AllyFeruuz
    @AllyFeruuz 2 หลายเดือนก่อน +11

    Yawezekana amebadili masomo TATIZO linaweza kuwa NAMNA ya kuwasilisha KTK familia Nina Imani KIJANA atarudi KUTOKANA na ELIMU yake na ukimya atarudi na cheo kuliko hicho Cha kadet alichokwenda kucheza Imani yangu NAAMINI YUPO salama familia ivumilie .

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nahisi aye ajiteka

  • @allymsafi1716
    @allymsafi1716 2 หลายเดือนก่อน +47

    Sasa kama wanajeshi wana potea sisi raia itakuwaje

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 2 หลายเดือนก่อน +1

      Raia mnashobwa kama mbwa

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 2 หลายเดือนก่อน

      Tukimbie😅😅

    • @nkorankoranigwa4058
      @nkorankoranigwa4058 2 หลายเดือนก่อน

      Tujilinde

    • @mussakahongo6564
      @mussakahongo6564 2 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂😂😂😂mamae nimecheka Kwa sauti😂😂😂

    • @mumyhendry2919
      @mumyhendry2919 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwisha sisi😅😅😅

  • @abdallahomar3268
    @abdallahomar3268 2 หลายเดือนก่อน +2

    he is my best also my teacher

  • @KipembaAli
    @KipembaAli หลายเดือนก่อน

    Alaf askar wenziw ata ushirikiano hawaoneshi me najua chote choyo icho mumeon mwenzen Ana elimu kuwazid😢

  • @joshuakasemelo1675
    @joshuakasemelo1675 2 หลายเดือนก่อน +3

    Poleni sana nainaumiza sana,kwetu huku bara kutekwa,kuuawa,kupotezwa,imekuwa nikama ni sehemu ya maisha yetu ,tunamaumivu,uchungu,na mateso makali sana

  • @Juke995
    @Juke995 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wallet inautata inakuwaje anakuwa na wallet ya mtu aliepotea kawaida hiyo sio handbag kwamba atakupa umshikie 😢😢😢

  • @jumajuma3679
    @jumajuma3679 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi kweli kweli, askari anapotea kazini, jeshi halina maelezo ya kutosha

  • @MussaNsekela
    @MussaNsekela 2 หลายเดือนก่อน +9

    Huyo anakitu cha ziada, kapelekwa taasisi nyingine, (tiss) na hakuna anayeruhusiwa kusema hata yeye mwenyewe hawezi kusema ukweli, cha msingi familia imuombee heri tu, ila mtampata akiwa hai, ipo siku atatunga uongo aje kuwaaminisha mlidhike huku maisha yake yanaenda kichini chini 😊

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 2 หลายเดือนก่อน

      Shida ni uhakika au hisia tuu maana Hali ni mbaya ila km itakua hivyo ni bora

    • @hawaelymaricca7602
      @hawaelymaricca7602 2 หลายเดือนก่อน

      Duuuh

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 2 หลายเดือนก่อน

      Ndugu acha mtindo wa zamani, sikuizi huwa wanaaga tu wamehamishwa mafunzi basi

    • @dreahmed2336
      @dreahmed2336 2 หลายเดือนก่อน

      Kuaga ni lazima ndugu yule ni mwanadamu hahamishwi kama kuku, sasa kama kuondoka kwake kunaleta taharuki katika familia na taifa, huo usiri wa yeye kuwa agent utakua umefikia lengo?!

  • @LeilaKanyinyi
    @LeilaKanyinyi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo ni shemeji yangu kaowa mrangi mwenzangu

  • @EsterMwendawila-wj2ks
    @EsterMwendawila-wj2ks 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo na amini yupo atakua amepelekwa sehemu nyeti tumuombee kwa mwenyez mungu tu amtunze

  • @AllyMohamedy-kf2us
    @AllyMohamedy-kf2us 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwaiyo huyu jamaa anamanisha kama haji asingekua mzanzibar wangepotezea2 mbona wanakua wabaguzi

    • @maridhiaabdallah630
      @maridhiaabdallah630 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hao ndio wazanzibari ukitaka kuwajua vizuri ishi nao au kuwa karibu nao utajua hujuj

    • @hemed4064
      @hemed4064 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@maridhiaabdallah630mnatafta kasoro za watu muanz kuwashambulia sjajua lengo lenu ni nini

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee anaulizia HAKI ZA HADJI kuliko HADJI MWENYEWE ....
    For me,
    Jamaa mwenye KIPOCHI CHA HADJI anaweza kuwa ni chanzo kizuri cha kuanza kumtafuta HADJI .

    • @rabiahajjiali1044
      @rabiahajjiali1044 2 หลายเดือนก่อน

      Hakukusudia Pesa bali Ni namna ya kufanya harakat za kumtafuta

  • @khamisjkrushdiy3193
    @khamisjkrushdiy3193 2 หลายเดือนก่อน

    Ww una master, hapo unaonekana utachukua nafasi za watu

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 2 หลายเดือนก่อน +3

    Serikali ina vituko hii. 😂😂😂😂 Kwahiyo yote hii ni kutaka kutuaminisha wananchi kuwa kama makamanda nao wanatekwa kwahiyo serikali tusiihusishe na utekaji. Jamani nchi yangu😂😂😂

  • @ommyshopangi9543
    @ommyshopangi9543 2 หลายเดือนก่อน +1

    Haya mambo mbona kama yanataka kufanywa ni ya kawaida......hawa watu wanaopotea ni watu na wenye haki ya kuishi....wametokea kwenye familia na familia zinawategemea.....hawa wanaofanya haya mambo wanajua kuna Mungu kweli na siku ya hukumu....au ndio wale waliouza nafsi zao kuzimu na kumsaliti aliyewaumba..... Serikali ichukue hatua haya mambo yasifikie mahali yakaonekana ni ya kawaida.....watu wasisahau kuwa na utu!!!!

  • @zakiakondo2849
    @zakiakondo2849 2 หลายเดือนก่อน

    Atarudi mzima inshaalah

  • @AshaAli-rl5rk
    @AshaAli-rl5rk 2 หลายเดือนก่อน

    Hata mm nimeshangaa kuwa anauliza haki za Haji baada kutaka
    kujuwa Haji yuko wapi.

  • @SudyMohamedy
    @SudyMohamedy 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii nchi tuiangalie hivi hivi make ya ulimwengu ni mengi kikubwa mungu yupo kila mmoja atapata adhabu yake kwa mungu

  • @jamesgasper6764
    @jamesgasper6764 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tumepigwa apo askali hawezi kupotea kambini labda awe amekufa ila sio kupotea, askali wawapo mazoezini kufa au kumia ni kawaida ila siokupotea na Jeshi lisijue maana uwaga wanaforenishwa na kulia namba ili kujua nani hayupo.

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 หลายเดือนก่อน

    Mi naona hii nchi kumeingiliwa na haramia.kama wapo basi mtuambie nchi inaukakasi😢😢😢

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kama askari anapotea jamani sisi raia tuna usalama gani sasa?na najiuliza nani atayefanya uchunguzi huko jeshini sasa?

  • @yusufurhobi9678
    @yusufurhobi9678 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzanzibari mwenzenu alisema watu wanajiteka wenyewe. Kama ndio tabia yenu huenda NDUGU Yako amejiteka wewe tulia hivyohivyo

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid 2 หลายเดือนก่อน

    Yahusiana nani mama samia wacheni kumtulea maneno mzee wa mwezenu mama samia anahusiana nani hapo ujnga tu

  • @tulihamwe24hrs32
    @tulihamwe24hrs32 2 หลายเดือนก่อน

    Tulipofikia ni pabaya sana Mungu atusaidie🙏

  • @salmajuma4300
    @salmajuma4300 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimesikiliza lakini sijaelewa. Naomba atakae elewa anisaidie

  • @RogasianStephen
    @RogasianStephen 2 หลายเดือนก่อน

    Hadi askar mi ni nani sasa tutafte pango raia hali si shwari😢😅😅

  • @KhatibLao
    @KhatibLao 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jeshi anaoteaje jmn😢😢😢

  • @AshaAli-rl5rk
    @AshaAli-rl5rk 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu mjaalie arudi salama.

  • @PeterMagoye
    @PeterMagoye 2 หลายเดือนก่อน

    Jeshini tena kuna kupotea??? waaaaiiiii

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 2 หลายเดือนก่อน

    😳🤔 kweli Dunia Gunia hadi Askari Jeshi nayeye anapotezwa!!!?.. Tumefikia Pabaya sasa Kama Taifa kiukweli Mungu tulinde Raia Watanzani na Majeshi ya Tanzania kiukweli Taifa linatisha sana Kila ukiamka unaskia Jambo jipya lautekaji na upotevu wa Watu sasa tutakimbilia wapi Watanzania!?

  • @youdya
    @youdya 2 หลายเดือนก่อน +1

    hiz kaz nyengn zinakuhij ukiw mzima t ukipata matatizo utajijuwa ww na familia yko😢

    • @eddyderrickmail66
      @eddyderrickmail66 2 หลายเดือนก่อน +1

      (k) kupokea(v) visa vipo( z) una shilingi ngap nikumalizie

    • @eddyderrickmail66
      @eddyderrickmail66 2 หลายเดือนก่อน

      Yani (k) kupotea (v) visa vipo mpka kambini(z) una shilingi ngap nikumalizie?

  • @clevermngao7565
    @clevermngao7565 2 หลายเดือนก่อน

    Uzanzibar unakujaje tena hapo?? 😮

  • @feyxalbarry4595
    @feyxalbarry4595 2 หลายเดือนก่อน

    Apo ulichokosea ni icho haji ni mzanzibar kma mzanzibar mwengine hayo yanatokea wapi tatizo limeshatokea tuone jinsi la kulitatua

  • @malisaemmanuel1373
    @malisaemmanuel1373 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee pumba kweli Amna anacho ongea kujiropokea tu

  • @isaacjaphet1314
    @isaacjaphet1314 2 หลายเดือนก่อน

    Walipoanza kupotea mlisema hao wanatukana, wanasiasa walipoanza kupotea mkasema oooh hizo ni siasa sihusiki... sasa wamefata askari... napo tujitie sio letu sio eeh

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 2 หลายเดือนก่อน

    Nimemsikiliza vizuri hubwana kwanza nampa pole ispokua mtu hajafika siku 21 unakwenda kuuliza haki zake iweje ukaulize haki zake wakati siku 21 hazijafika wafanye subra rabii atajaalia ataonekana

  • @Lolandmwantona
    @Lolandmwantona 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂dah nisiseme neno zaidi ya mungu tulinde

  • @musso238
    @musso238 2 หลายเดือนก่อน

    Kitu kikipotea manake kimefichwa Jamaa kafichwa kwa namna yakupotea Au sio.

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hili mbona kama movie?

    • @AholeLifilima
      @AholeLifilima 2 หลายเดือนก่อน

      Jina la muvi Nyundo

  • @RAPHAELMASUKAMasuka
    @RAPHAELMASUKAMasuka 2 หลายเดือนก่อน

    Mnaposema Mama samia hajiuziru kwa lip? Mama samia yuko zanzibar?

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 2 หลายเดือนก่อน

    Balance mizani hiyo... Mtu anahadithia kama anasimulia filamu ya mkojani 😅

  • @scoutpwanimchangani6711
    @scoutpwanimchangani6711 2 หลายเดือนก่อน +1

    Alieroa taarifa ya kwanza kuwa Haji amepotea anaweza kutoa mashirikiano mazuri.

  • @NapatNapat-x6i
    @NapatNapat-x6i 2 หลายเดือนก่อน

    Aliye na kipochincha hajinakamtwe Huyo anajuwa kila kitu

  • @user13375
    @user13375 2 หลายเดือนก่อน +7

    Ww tulia huyo ni mjshi wacha jwshi litamtafuta😮😮

    • @SarapiaMfoi
      @SarapiaMfoi 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli

    • @CubicTz98
      @CubicTz98 2 หลายเดือนก่อน

      kama ni ndugu yako wewe kapotea ungeweza kutulia?

  • @OmarOthman-w9k
    @OmarOthman-w9k 2 หลายเดือนก่อน

    Brother polesana ilatulia subiri serkal itowetamko

  • @masoudmasoud6458
    @masoudmasoud6458 2 หลายเดือนก่อน

    Watanzania ni waelewa Sana, technic inayotumika hapo tunaielewa, haihitaji elimu kubwa labda kwa mjinga wa kiwango cha flyover.

  • @ManyotaOfficialtz
    @ManyotaOfficialtz 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu nifundishe kunya manza nisije ku coment kitu na mimi ni kapotea kwakweli Tz yangu bhan😀😀👍

  • @saididodi3988
    @saididodi3988 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna nch ya matukio kila kukicha kama tz inafurahisha kwakweli😅😅😅😅

  • @hamidsuleimanali1801
    @hamidsuleimanali1801 2 หลายเดือนก่อน

    Mtihani tu kumuomba Allah

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 หลายเดือนก่อน

    Uyo alokuwa na kipichi akamatwe😢

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni zuga .wanamaanisha kuwa hata wanajeshi wanatekwa kwa hiyo tuchukulie kawaida tu sii rahisi watu kutekwa ichukuliwe kirahisi namna hiyo.

  • @aliharoun6213
    @aliharoun6213 2 หลายเดือนก่อน

    Hatari sana ila hii dah

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 2 หลายเดือนก่อน

    Utaendaje ofisini na kuuliza haki za Haji? Si uulize haji yupo wapi? Afu kwa nini uende madema na jku wakati unajua ni kvz? Ufahamu wa watu wengine sijui vipi tu

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 2 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏🙏 Mungu nyoosha mkono wako🙏🙏🙏

  • @kennethmwakatobe2832
    @kennethmwakatobe2832 2 หลายเดือนก่อน

    Du ? hii noma kama kweli

  • @Rukwembe7712
    @Rukwembe7712 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe afande sele ni mjeshi daah😲nilizan usanii tu

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ni huzuni kwa kupotea kwake tena inasikitisha sana jamani

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 2 หลายเดือนก่อน

    Familia kuweni na subra kwanza huyu ndugu yenu alikua kwenye mikono salama ya serikali tena kwenye jeshi la kuilinda nchi wekeni dhana nzuri kwa jeshi na msiwe na wasi wasi atakua kitengo maalum

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huku bara washapotea sana labda na huko wakipotea tutaungana kuwayafuta

  • @anthonykikoti-q3n
    @anthonykikoti-q3n 2 หลายเดือนก่อน

    nyamaza hujui mambo ya kijeshi huyo ameenda kozi ya ujasusi huwa haitakiwi hata ndugu hawajui

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 2 หลายเดือนก่อน

    Naona labda ni sehemu ya mafunzo.acha tuendelee kusubiri.

  • @MWINJILISTHURU
    @MWINJILISTHURU 2 หลายเดือนก่อน

    Watu wanaitaka hiyo nafasi

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 2 หลายเดือนก่อน

    Umepotea nshahara kwenye kambi Zanzibar kila kisichowezekana huko kinawezekana.

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 2 หลายเดือนก่อน

    Askari wa jeshi, hawezi kupotea hivi hivi na jeshi lijivute katika kumsaka alipo. Mafunzo ya jeshi yana vitengo vingi, si lazima kila kitu kiwe wazi. Akifuzu mafunzo yake atarudi.

  • @Mrmohadi.OFFICIAL
    @Mrmohadi.OFFICIAL 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 bado mnatekana wenyewe kwa wenyew

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o 2 หลายเดือนก่อน +1

    CCM OOYEEHHHHHHH"MAPINDUZI DAIMA. CCM DAIMA😂😂🎉😅🎉🎉

  • @emmanuelwambura9413
    @emmanuelwambura9413 2 หลายเดือนก่อน +1

    Achana na uzanzibari Sema ni binadamu tu inatosha

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani kutaja uzanzibari au utanzania Kuna shida gn? Lkn mbona una shida akilini mwko, mm naona mzanzibar na mtanzania ni sawa tu

  • @cornelsanga287
    @cornelsanga287 2 หลายเดือนก่อน

    Du! hii nihatari 😢😮😢😮

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mmmh mama Samia achia madaraka acha tamaa,Kaz imekushinda😢😢😢

    • @issaYusuf-u7w
      @issaYusuf-u7w 2 หลายเดือนก่อน +2

      Usimsakame samia, acha chuki binafsi, uyo si askari wa muungano. Kama madaraka aache Rais Mwinyi.

    • @hallymahmohamed3516
      @hallymahmohamed3516 2 หลายเดือนก่อน

      Acha kuharisha maneno bila kuwa na uhakika 😂

    • @issaYusuf-u7w
      @issaYusuf-u7w 2 หลายเดือนก่อน

      Na kazi ikimshinda ataacha, lkn kwa sasa bado sana. Kwaio mtulie tu Watanganyika , najua roho zinawauma,lkn Rais samia kachaguliwa na Mungu kwaio acheni chuki binaadam

    • @رقيهالخصيبي
      @رقيهالخصيبي 2 หลายเดือนก่อน

      Samia anahusika vip badala ya kumuombea aliyepotea unataka Samia aachie madaraka tukio kama hili likitokea tuombeane

    • @رقيهالخصيبي
      @رقيهالخصيبي 2 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@issaYusuf-u7wMashaAllah hongera muunguja mwenye roho nzuri badala ya kumuombea aliyepotea mnaingiza ujinga kwenye comment

  • @MandoliiMoshi
    @MandoliiMoshi 2 หลายเดือนก่อน

    kama askari anapotea je cc raiya itakuaje asee nyie cri kali narudia tena nyie cri kali acheni kutuchukulia kuwa cc n mawaki

  • @alitoli8091
    @alitoli8091 2 หลายเดือนก่อน

    Hii niyaupande mjoja tu sasa fanyeni jitihada ya kuwahoji hao kvz maana siamini hicho anacho kiongea naona kama uyu jamaa anapopoa tu ww ayo tv nendeni mkawahoji wengine ili tusiwachafue wengine ukweli ni dawa ya upotoshaji

  • @controlTheoryChamps
    @controlTheoryChamps 2 หลายเดือนก่อน

    Haji ni Mnzanzibari,..........Haji ni Mnzanzibari,................Haji ni Mnzanzibari

    • @MusaNgao
      @MusaNgao 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 nina D mbili nimekuelewa🖐️

  • @DonDallas
    @DonDallas 2 หลายเดือนก่อน

    alishawahi kuuguwa kichaa

  • @RubenIbraim
    @RubenIbraim 2 หลายเดือนก่อน

    Ila tunakoelekea siyo pazur

  • @AmiriSalum-d5c
    @AmiriSalum-d5c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Du ametekwa akiwa kambini wabaneni wenzake ALIO kuwa nao kambini

  • @hassanMahmoud-i4l
    @hassanMahmoud-i4l 2 หลายเดือนก่อน

    hii so kweli acheni uzushi

  • @nicolausminja689
    @nicolausminja689 2 หลายเดือนก่อน

    Siri za jeshi sio za Kupeleka kwenye familia.kama kapewa special assignment.Mnataka nanyie mshirikishwe?mwenyewe ushasema ni msiri.

  • @hebronbichuro8578
    @hebronbichuro8578 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo dogo amechukuliwa na Usalama wa Taifa Na amendakuchukua special course ya Usalama wa Taifa yupo hai wala hajapotea yupohai.

  • @dominicmyumbilwa1657
    @dominicmyumbilwa1657 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka Kafwata Haki za Mdogo Wake, Nikajua Atauliza Mdogo Wake Aliko 😮

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน

      Haki za haji ni pamoja na uhai , kuishi salama, na mengineyo ttzo ni ufaham wko

  • @AngelMazola
    @AngelMazola 2 หลายเดือนก่อน

    NCHI IMESHAANZA KUWA YAMOTO MPAKA WALINDA NCHI WANAPOTEA CJUI TULIOZOEA KULINDWA TUSEME NINI APA, JAMANI TUPMBE SANA MUNGU ATUSIDIE MAANA MAMBO YAMEBADILIKA

  • @ChainesBoufee
    @ChainesBoufee 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kambin pia watu wanatekwa maajab ayo wabananishwe hao hao utasema ukweli.

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 2 หลายเดือนก่อน +2

    Taarifa ya kupotea kwake mmepewa na nani? Kama ni mjeshi kwani mmepewa taarifa rasimi.

  • @DannyGodson-i2b
    @DannyGodson-i2b 2 หลายเดือนก่อน

    bongo ukifa kwa mawazo umejitakia😂😂😂😂

  • @Najim-j6k
    @Najim-j6k 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa wanatudanganya maana ukweli uliokuwepo mwanzo maafisa watarajiwa walitakiwa wakatafute kuni kama kawaida ya askar ndipo haji alitoka na mwanafunzi mwenzake ambae ni rafiki yake walipo fika porini haji akiwa ana panga anataka kukata kuni yupo na rafiki yake haji akaliona pera pamoja na rafiki yake haji akaona achume lile pera ndipo alipo potea haji na panga lake na pera lake ndioapo rafiki yake akakimbilia kambini kusema na ndipo msako ukaanza sasa hii waleti ilikuwaje akawa nayo mwenzake kwa ushauri wangu huyo rafiki yake akamatwe afinywe mpaka aseme ukweli

    • @eddyderrickmail66
      @eddyderrickmail66 2 หลายเดือนก่อน

      Du.nikweli ama una toa simulizi za vtabuni ulijuaje hlo

  • @yousufyousuf5963
    @yousufyousuf5963 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nyinyi nchi ya tz kila siku matokeyo ni huko acheni hizo

  • @justinelukumay5308
    @justinelukumay5308 2 หลายเดือนก่อน +1

    Haingii Akilini hata Kidogo Serikali Mko wapi na IGP Vip nafasi yako ya Ulinzi na Usalama

  • @JenniferTemba-t9i
    @JenniferTemba-t9i 2 หลายเดือนก่อน

    Kama wao tuu wanapotea ,wanatekwaa je sisi raiaa wa uku chini . Ni hatar tupuu😢

  • @SalumNassor-o4i
    @SalumNassor-o4i 2 หลายเดือนก่อน

    Hatari kubwa iyi

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo kauliwa itakuaje apotelee kambini bora uraiyani na sio kambini

  • @PembaOnline
    @PembaOnline 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona anajikanyaga kanyaga hayupo straight.

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน

      Hana confidence ya kuongea lkn hadanganyi anaonesha

  • @SudyMohamedy
    @SudyMohamedy 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nini maana haki ya binadamu viongozi wetu inamana hili hamlioniii ama ni nn

  • @AholeLifilima
    @AholeLifilima 2 หลายเดือนก่อน +1

    Afande sele yupo morogoro au baba tunda😂 Muvi jina la Muvi NYUNDO

  • @faidamuhamed3011
    @faidamuhamed3011 2 หลายเดือนก่อน

    Duh Tanzania yangu

  • @allymsafi1716
    @allymsafi1716 2 หลายเดือนก่อน +8

    Huenda anaenda kuajiriwa na usalama

    • @MohdAli-cx7bc
      @MohdAli-cx7bc 2 หลายเดือนก่อน

      Usalama kwa nn mwanasheria apige simu kwa mkewe kama haji haonekani

    • @elbaricktv1632
      @elbaricktv1632 2 หลายเดือนก่อน +1

      Unataka kusema usalama ni maroboti hayana damu hayana ndugu? Hayawasilian na ndugu zao? Tumia akili wewe

    • @thabitdeco1575
      @thabitdeco1575 2 หลายเดือนก่อน

      Angeenda huko ingejulikana tu ndugu

  • @timothykaiza327
    @timothykaiza327 2 หลายเดือนก่อน

    Afande Sele kumbe aliacha mziki awe mwanajeshi.

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba kujua kirefu cha KVZ ni nini?

  • @GeraldMyuku
    @GeraldMyuku 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi nauliza askari akipotea anatafutwa na ndugu au na jeshi?

    • @sarahkinyashi6213
      @sarahkinyashi6213 2 หลายเดือนก่อน

      Asante sna🙏🙏🙏🙏nawaza mengi majibu cna🙏🙏najisokota ubongo tu,acha tupate majibu