WAKILI WA CHADEMA (KIBATALA) AFUNGUKA WALIVYOWAGARAGAZA MDEE NA WENZAKE MAHAKAMANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • WAKILI WA CHADEMA (KIBATALA) AFUNGUKA WALIVYOWAGARAGAZA MDEE NA WENZAKE MAHAKAMANI
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 95

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 2 ปีที่แล้ว +13

    Kibatala anafaa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwani Kibatala vita vya Kisheria anaviwezza sana

    • @simongwandu7392
      @simongwandu7392 2 ปีที่แล้ว

      Nampendekeza agombee URAIS kwa tiketi ya upinzani
      Chadema

    • @stephanomoses7694
      @stephanomoses7694 2 ปีที่แล้ว

      Anafaa sana huyu mwamba

    • @dereva0
      @dereva0 2 ปีที่แล้ว

      atakuwa mwasheria mkuu chamachake kikicgukua nchi

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 2 ปีที่แล้ว

      @@dereva0 🤣

  • @petermwanyondo5370
    @petermwanyondo5370 2 ปีที่แล้ว +1

    Kunamwakili walizaliwa dunian kufanya kazi iliyo kweli .nawamebalikiw namungu kibatala hongra mungu akupiganie kila cku nakila saa

  • @giftphilip8357
    @giftphilip8357 2 ปีที่แล้ว +3

    viva mama samia kaz iendelee

  • @akidasalim3859
    @akidasalim3859 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni cadema

  • @mathewyoung2159
    @mathewyoung2159 2 ปีที่แล้ว +3

    Pamoja sana makamanda wetu mungu yupo pamoja nasi

  • @davidsaanane7939
    @davidsaanane7939 2 ปีที่แล้ว +1

    Smart political party

  • @vumilialeonardi109
    @vumilialeonardi109 2 ปีที่แล้ว

    Ninauwakika mahakama hongereni Sana mahakama

  • @emanuelidawite2399
    @emanuelidawite2399 2 ปีที่แล้ว +4

    Warudishe fedha za serikali walizokuwa wanachukua kwa kofia za ubunge wa mchongo

    • @knight6757
      @knight6757 2 ปีที่แล้ว

      Tena wazirudishe haraka mnoo...au wsfunguliwe kesi juu la hilo..!

  • @isayadarabe2337
    @isayadarabe2337 2 ปีที่แล้ว

    Mungu pamoja nasi

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 2 ปีที่แล้ว +2

    Mnyika acha kuongea na kichwa , unaongea unatikisa kichwa ni ukorofi huo, sijui kwa nn chadema huwa wanaongea kwa hasira sana.

  • @samwelimadaha767
    @samwelimadaha767 2 ปีที่แล้ว

    Ndivyo ilivyotakiwa iwe 100% SAHIHI.
    SUALA LILIKUWA MUDA TU 🇹🇿 💘 🌍
    LAZIMA TUJUE NCHI INA UTARATIBU NA SHERIA.
    VIONGOZI WANAONGOZI WANANCHI WALIOELIMIKA NA WANAOELIMIKA.
    Waheshimuni watu na sheria, sisi sio watoto waliopotea na kutojielewa.
    MUNGU IBARIKI TANZANIA, AFRICA NA AMANI DUNIANI

  • @emanuelmichael4290
    @emanuelmichael4290 2 ปีที่แล้ว

    Nivema 2

  • @siminijohnmwakipesile3904
    @siminijohnmwakipesile3904 2 ปีที่แล้ว +1

    mambo si hayo hawana chama watakaaje bungen

  • @abdulkareemchacha2625
    @abdulkareemchacha2625 2 ปีที่แล้ว

    Hii ndiyo siasa na hiyo ndiyo sheria!!!¡

  • @eliahiluka830
    @eliahiluka830 2 ปีที่แล้ว

    Huyu kibatala chadema mkichukua dola anapaswa kuwa mwanasheria Wa serikali

  • @richarddaniel7922
    @richarddaniel7922 2 ปีที่แล้ว

    Mmmm

  • @tariqbutt9516
    @tariqbutt9516 2 ปีที่แล้ว

    Halima mdee na wenzio jipeni moyo vitamin kubwa kwa upande wenu lakini msiogope jipeni moyo mtasimama t mzee magu angekuapo msingetoka au hata mzee Ngungai

  • @maimunashaban9538
    @maimunashaban9538 2 ปีที่แล้ว

    Sawa sawa hao wanafkki

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 2 ปีที่แล้ว

    Kama leo hawafurumishwa Bungeni kuna siri kubwa ndani ya bunge

  • @gililwise
    @gililwise 2 ปีที่แล้ว

    Kibatala jamani sheria unaijua.mi namba Raisi wangu Kibatala awe ndo mwanasheria mkuu wa serikali.

  • @saidiselemani2481
    @saidiselemani2481 2 ปีที่แล้ว +1

    Unaweza kibatata

  • @ibrahimallymohd3645
    @ibrahimallymohd3645 2 ปีที่แล้ว

    Mwisho wa dhulma aibu

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 ปีที่แล้ว

    Jamani Hawa Wah Wabunge wadada kumi na tisa hawakujipeleka bungeni kulikuwa na mchakato. Hatima ya waliousaidia mchakato kina nani?

  • @giftyjackson2461
    @giftyjackson2461 2 ปีที่แล้ว +4

    Kibatala hajawahi feli

    • @salehaliy7198
      @salehaliy7198 2 ปีที่แล้ว

      Mheshimiwa kibatala huwa anapiga kwenye mshono lzm ukae

  • @michaelmizambwa1246
    @michaelmizambwa1246 2 ปีที่แล้ว

    Leo mnasifia katiba,wakati mwingine mnataka ibadilishwe,siasa kweli ina usenge wa kiwango cha lami,...haya tuendelee na maisha

    • @zamdakimaro8040
      @zamdakimaro8040 2 ปีที่แล้ว

      Hawajasifia Bali wamenukuu KUFUNGU kilichoko Sasa unataka watumie Nini wakati NDIO inatumika

    • @ibrahimkanuto3514
      @ibrahimkanuto3514 2 ปีที่แล้ว

      Katiba ina udhaifu unaopaswa ubadilishwe na ina ubora unaopaswa utunzwe

    • @charleslukumai7875
      @charleslukumai7875 2 ปีที่แล้ว

      Pia wameomba katiba iheshimiwe. Kuomba katiba iheshimiwe, siyo kuisifia.

  • @SamsungGalaxy-kx2zj
    @SamsungGalaxy-kx2zj 2 ปีที่แล้ว

    Imeonyesha kutupiliwa mbali ni imejulisha kwa sbb kina halima mdee wameishitaki serikali wajue walio kuwa juu ya viti hawa shitakiwi

  • @zamdakimaro8040
    @zamdakimaro8040 2 ปีที่แล้ว

    BORA NIMEFURAHI SANA ALAFU HALIMA UMETUANGUSHA SANA TULIKUWA TUNAKUAMINI SANA COMANDA ILA PESA ZIMEKUONDOA RELINI ,RUDISHENI HELA ZETU

  • @natayachris2245
    @natayachris2245 2 ปีที่แล้ว

    Yuda mskariot.Vipande vichache vya sarafu vilimtoa relin.Akaukosa ufalme

  • @alexjackson5960
    @alexjackson5960 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbowe ujifunze Hawa vijana mnaoenda kuwaokota vyuoni NI njaanjaa Sana, kanuni hizo zilifaa Sana enzi zile za upigania Uhuru ambapo watu walikuwa na Nia za dhati walipoyaendea Mambo.

    • @charleslukumai7875
      @charleslukumai7875 2 ปีที่แล้ว +1

      Hata wakati ule walikuwepo wasaliti. Hata sasa wapo, na wataendelea kuwepo. Ni hulka yetu sisi binadamu.

  • @piusprospa8832
    @piusprospa8832 2 ปีที่แล้ว

    Nimuda mwafaka sasa Kwa yona kutapikwa kutoka kwenye matumbo ya Akina mdee hawa magaidi

  • @mkijilukali2010
    @mkijilukali2010 2 ปีที่แล้ว

    Ilondilo fundisho kwamalaya wakisiasa

  • @thomasleyan9273
    @thomasleyan9273 2 ปีที่แล้ว

    Wakamanda

  • @brysonkaale3003
    @brysonkaale3003 2 ปีที่แล้ว

    Hukumu hii imewaweka hatarini maana sidhani Kama mawakili wa Chadema wataishia hapo,wakishatimuliwa bungeni kesi ya kughushi nyaraka za chama na za serikali na kumudu kujipatia mamilioni ya pesa kwa njia ya udanganyifu,inawahusu!,lazima Sheria ifuatwe,pesa za Kodi za Watanzania siyo pocket money ya Mamluki!

    • @samwelimadaha767
      @samwelimadaha767 2 ปีที่แล้ว

      💘 ...usitoe siri weweeeee....😄 🤣
      Itabidi tujue Uhalali wao nyaraka zilizoenda na nani aliyesaini kwa mamlaka gani na utaratubu wa chama gani?!
      Wajifunze kuheshimiana.
      Watajua hawajui mengine.
      Chochote unachotaka kutendewa mtendee na mwingine hivyo?!

    • @aminimushi6945
      @aminimushi6945 2 ปีที่แล้ว +1

      Hilo ni sahihi,na siyo akina mdee peke yao,tume na spika wanastahili kushtakiwa pia,walihusika kukubwa katika kugushi na kulidhalilisha taiga,hongera kibatala,hongera mahakama.

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 2 ปีที่แล้ว

    Kesi kesi tu....th-cam.com/video/wr4NLOcRbSc/w-d-xo.html

  • @deokessy6596
    @deokessy6596 2 ปีที่แล้ว

    Warudishe mishahara yoteeee

  • @abubakarshabani6427
    @abubakarshabani6427 2 ปีที่แล้ว

    Uu

  • @mussayasini4130
    @mussayasini4130 2 ปีที่แล้ว

    Shida hapo sio kuvuliwa ubunge ,shida ni Kwa nini wanapata sie tunakosa wanapendeza sie tunalia na ruzuku , shida yote Hapo maslahi Kwa nini wanapata

    • @nsajigwamwakalonge5702
      @nsajigwamwakalonge5702 2 ปีที่แล้ว +1

      mkiambiwa watanzania wengi uelewa wenu ni mdogo sana mnakasirika

    • @shamtenyambega2944
      @shamtenyambega2944 2 ปีที่แล้ว

      MTU a

    • @shamtenyambega2944
      @shamtenyambega2944 2 ปีที่แล้ว

      Tatzo sio kupata ,wanevunja Sheria tangu mwanzo wao kipindi mwendazake akiwepo,wakakingiwa kifua,
      Lakini Chadema hawajawahi kushindwa kwenye kumfukuza MTU uanachama.angalia ZITTO kabwe n.k

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 2 ปีที่แล้ว

      kwan aliyekataa ruzuku ni nan, kwan aliyekataa kupeleka wabunge fake ni nan, kwan aliyekataa matokeo fake ya uchaguz fake ni nan choko wewe jiongeze au nenda kawasaidie hao mikundu malaya na makahaba.

    • @ezekielkiduge8730
      @ezekielkiduge8730 2 ปีที่แล้ว

      Mr Musa. Ni lini utakuwa mzalendo???

  • @jameschristian5876
    @jameschristian5876 2 ปีที่แล้ว

    Hakuna tatizo watarekebisha makosa watafungua Kesi upya vile vile pia wanahaki Yarufaa mahakama yarufani

  • @SamsungGalaxy-kx2zj
    @SamsungGalaxy-kx2zj 2 ปีที่แล้ว

    Mahakama inatupa maombi ya mfungua kesi bila kusikiliza kauli zao yaani ajabu wenye haki huwekwa kwa miaka jela

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 2 ปีที่แล้ว

    Tena ndio nimefurahi kinoma tunawachukuwa sisi Magufuli UMOJA PATI hawa ni majembe kweli kweli tena kwenye kampeni ndio watamu sana 🤣🤣🤣🏃🏃🏃

    • @jafarimadunda5348
      @jafarimadunda5348 2 ปีที่แล้ว

      Magufur c ndy aliyewaingiz bungen au unajisahaulish? Eb acha mam asimamie haki kaz iendelee

    • @sulaymanmohammed6448
      @sulaymanmohammed6448 2 ปีที่แล้ว

      Jee pesa wata zirejesha mishahara walochukua ?

    • @amosmaswega2312
      @amosmaswega2312 2 ปีที่แล้ว +1

      Nimekuelewa wakili msomi uko vzr sana, nimefurah sana hawa mbwa kupigwa chini maana hawafai tena

  • @obedwilliam5906
    @obedwilliam5906 2 ปีที่แล้ว +9

    Safi sana hakimu kwa kutenda haki hao halima na wenzake wapo kimaslai zaidi fukuzeni bungeni mbwa wasaliti wakubwa wanafiki na wazandiki hawafai kuliongoza taifa kwa nafasi yoyote Ile.

  • @enezermwafrica7443
    @enezermwafrica7443 2 ปีที่แล้ว +3

    Warudishe Fedha za Wananchi walizolipwa kwa vipindi vyote! Heko Jaji Mgeta👍👍👍

  • @ndecknassarey7357
    @ndecknassarey7357 2 ปีที่แล้ว +1

    Malaya wakubwa na wahujum uchumi wakatafute biashara nyingine sio bungeni tena.

  • @aishamakala8045
    @aishamakala8045 2 ปีที่แล้ว

    Mbona sijielewi mpaka Sasa wako bungeni wanafanya nn

  • @godfreypaul1997
    @godfreypaul1997 2 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo ndiyo haki tunayotaka mahakama nichombo Hulu mahakimu namajaji endereeni kutenda haki namungu atawapigania

  • @uwezochayonga7142
    @uwezochayonga7142 2 ปีที่แล้ว +1

    Mahakama imetenda haki, jina la Bwana libarikiwe.

  • @mrmhenipm
    @mrmhenipm 2 ปีที่แล้ว

    Kibatala hatatari.....

  • @bunzalisisa6929
    @bunzalisisa6929 2 ปีที่แล้ว +1

    hongera sana kibatara wkiri msomi

  • @barnabasmsagamasi611
    @barnabasmsagamasi611 ปีที่แล้ว

    Hongera msomi Kibatala.Twaungana nawe kwa kazi yako nzuri.

  • @josephsokhia
    @josephsokhia 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU ALISHA MALIZA ''ISHI NA MWANAMKE KWA AKILI''

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 2 ปีที่แล้ว

    Huyu kibatala hakuna mfano wake africa masharika. Yaan tungekuwa na serikali inayojitambua . Huyu alitakiwa awe MWANASHERIA MKUU WA SEREKALI. maana angepambana na hawa waizi wa magharibi wanaoshirikiana na viongoz wetu kuandikishana mikataba feki ya kutuibia madini

    • @bsmonline8482
      @bsmonline8482 2 ปีที่แล้ว

      Huyo Lisu ndio ticha wale. Lisu hatari sana we huoni kipindi cha Kampeni alivyowapa tabu Nec

  • @bunzalisisa6929
    @bunzalisisa6929 2 ปีที่แล้ว

    jaji mugeta yuko sawa

  • @michaelmizambwa1246
    @michaelmizambwa1246 2 ปีที่แล้ว

    Mbona hawa wabunge mliowatoa ndio waliwapa nguvu sana chadema,..huko mnakokwenda mtafika kweli!?

    • @charleslukumai7875
      @charleslukumai7875 2 ปีที่แล้ว

      Hivi wewe unaielewa Katba yetu inasemaje kuhusu moja ya masharti ya kuwa mbunge? Kwa taarifa yako, anatakiwa kuwa mwanachama wa chama cha siasa. Kama siyo mwanachama wa chama cha siasa, hana sifa ya kuwa mbunge.

  • @ignatusjoseph4216
    @ignatusjoseph4216 2 ปีที่แล้ว

    Nawashauri AWA wabunge 19 waombe samahani warudi ktk chama choo

    • @kinkybanjukome217
      @kinkybanjukome217 2 ปีที่แล้ว

      Wasirudi hatuwataki waende CCM huko ndiko walikofadhiliwa na kubaki bungeni kinyume Cha Sheria na baadae warudishe pesa zote walizo kula kinyume na sheria

  • @vumilialeonardi109
    @vumilialeonardi109 2 ปีที่แล้ว

    Chadema muriwai kusema mahakama ya nchi hii aitendi haki Sasa reo mnasemaje

    • @natayachris2245
      @natayachris2245 2 ปีที่แล้ว

      Acha unafik kama huna hoja kaa kimya.

  • @pauloalfayo1868
    @pauloalfayo1868 2 ปีที่แล้ว

    WAmeshindwa mapepo hao

  • @thomasleyan9273
    @thomasleyan9273 2 ปีที่แล้ว

    we are together

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwahiyo mmefurahi mtashindwa TU halima , buraya wako Bomba zaidi yenu