Mbunge Shekilindi avunja rekodi ya kutaja vijiji vya jimbo lake Bungeni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @rajabumswaki9292
    @rajabumswaki9292 4 ปีที่แล้ว +1

    Keep going our representative##

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante sanaa mbunge wetu

  • @allyrajabu7596
    @allyrajabu7596 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kaka watu wako wengi wapo gizani umefanya vizuri hata raisi magufuri kasikia hiyo vijiji nivingi san ambavyo havina umeme nishida kwakweli

    • @muddykassim4147
      @muddykassim4147 5 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kaka ila maji ndio tatizo kubwa mno umeme na barabara .

  • @ramadhanimiraji1912
    @ramadhanimiraji1912 5 ปีที่แล้ว +1

    Nikwer sana mbunge wetu bira kutusaha migambo mkuzi

  • @muddykassim4147
    @muddykassim4147 5 ปีที่แล้ว +1

    Kijiji cha bombo kata ya makanya tunaishi kama ng.ombe mpala leo hatuna maji tunategemea mito nyakat za mvua tunapata shida sana ya maji tunahitaj japo visima hali sio nzuri kabisa

  • @johnsingano7988
    @johnsingano7988 4 ปีที่แล้ว

    Ahahha nimeisoma iyo yakujaziza

  • @danielchamoto9376
    @danielchamoto9376 4 ปีที่แล้ว

    Bosnia ndugu yetu tupambanie mkuu usikae kimya tunahitaji maji,umeme na Barabara