UKRAINE IMEYAKANYAGA CHECHNIA, KADYROV AAPA KULIPA KISASI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025
  • Vikosi vya Jeshi la Ukraine vimefanya mashambulizi kwa kutumia droni tatu katika Mji wa Grozny ulioko Jamhuri ya Chechnia nchini Russia siku ya Jumapili Disemba 15,2024.
    Jamhuri ya Chechnia ni eneo la Kiutawala lenye Itikadi ya Kiislamu ambalo limekubali kuwa chini ya mwamvuli wa Russia japo linaongozwa na kiongozi wa Kiroho anayeitwa Ramazan Kadyrov kutoka ukoo wa Kadyrov.
    Chechnia pia inasafika kwa kuwa na idadi kubwa ya vijana wenye nguvu ambao hutumika kwenye Uwanja wa vita hususan pindi vita inaposhindikana vijana hao hukodiwa na Russia kwa ajili ya kwenda kupigana na maadui.
    Shambulizi hilo la jana kutoka Ukraine ni shambulio la pili katika kipindi cha wiki moja katika eneo la Chechnia jambo ambalo kiongozi wa eneo hilo Ramzan Kadyrov amedai halitokubalika na Ukraine ijiandae kupokea mashambulizi ya kulipa kisasi wakati wowote.
    Kwa mujibu wa Kadyrov, mashambulizi hayo hayajaacha madhara kwa binadamu japo yameacha uharibifu wa mali katika maeneo ambayo yamelengwa na mashambulizi hayo.
    Kadyrov amesema moja ya droni hizo zililenga eneo la Kambi ya Polisi wanaokabiliana na ghasia iliyoko chini ya Russia kambi ambayo ipo katika Mji wa Akhmat Grozny.
    “Wakati mwingine mtakapofikiria kuipiga Jamhuri ya Chechen kwa kutumia Droni, wekeni vichwani mwenu kwamba hatuatoacha kuyadhambulia maeneo ya Ukraine ambayo watu na vikosi vyema vinakusanyika,” amesema Kadyrov
    Kadyrov amesema baada ya mashambulizi hayo, alitoa ramani kwa Russia ya vilipo vikosi vya Ukraine kwa lengo la kuvisaidia vikosi vya Russia kuvishambulia vya Ukraine kwa urahisi.
    Kwa mujibu wa Kadyrov, gari Maalum la Iskander lilirusha kombora lililowazuia wanajeshi zaidi ya 200 wa Jeshi la Ukraine waliokuwa wakijaribu kuingia eneo la Chechen, kombora hilo lilurushwa hadi Kharkov nchini Ukraine.
    Ripoti ya vyombo vya habari nchini Ukraine imeeleza kutokea nchini Ukraine zimethibitisha Jeshi hilo la Chechen kurusha kombora hilo nchini Ukraine japo Serikali ya Volodymyr Zelenskyy haijaweka wazi madhara ya kombora hilo.
    Wakati Ukraine ikikaa kimya, Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia nayo imekaa kimya kuhusiana na kurushwa kombora hilo.

ความคิดเห็น • 36

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm หลายเดือนก่อน +2

    Wapigini haoo washenzi wa yukreni wakiongozwa na marekani na uwengreza naawashilika waoo

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 หลายเดือนก่อน +2

    Very good urus

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 หลายเดือนก่อน +3

    Mashoga na wanao sappoti wapigwe kipigo Cha mbwa mwizi Daima Ramzan kadrov Chechen special forces 💯🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺 ✍️🪖🎖️Putin viva Russia

  • @LAZAROBOMANI-ex6bj
    @LAZAROBOMANI-ex6bj หลายเดือนก่อน

    Duuuh!!!!

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze หลายเดือนก่อน

    Mahanisi na magaidiwaangamizwe tuishi Kwa Amani

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod หลายเดือนก่อน +1

    MASHOGA NA HAMU MPENDI URUSSI......KWA SABABU MIKUND YENU IPO WAZI.....INA ZOMEA ....NENDENI MAGHARIBI MKA PANULIWE VIZURI

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 หลายเดือนก่อน +1

    Wote wanapigwa

  • @rachigameni101
    @rachigameni101 หลายเดือนก่อน +3

    Urusi alizoe kila baada ya miaka 10 kwenda na kumega mkoa nchini Ukraine sasa safari hii kimeumana piga no kupige

    • @ramadhanhassan5285
      @ramadhanhassan5285 หลายเดือนก่อน +1

      Hivi wew unaota au kwa mwaka unaangalia TV mara moja?hadi sasa urusi amechukua mikoa mingap ukreni au upo kiushabiki?

    • @EmmanuelKiwia-ss9rw
      @EmmanuelKiwia-ss9rw หลายเดือนก่อน +1

      Na anaendelea kumega zaidi na zaidi

  • @SuolFat
    @SuolFat หลายเดือนก่อน +1

    Piga hao mbwa wote

  • @Rashidkambi-vh6lt
    @Rashidkambi-vh6lt หลายเดือนก่อน +3

    Urusi wanatisha umoja wa ulaya lazima waogope

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 หลายเดือนก่อน +4

    Putin afe

  • @omarimohamed8850
    @omarimohamed8850 หลายเดือนก่อน

    Kwanini.msiifute.yukreni.yote

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 หลายเดือนก่อน +1

    Maeneo anamilik nusu sio yote

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 หลายเดือนก่อน +4

    Urusi zaif

  • @rachigameni101
    @rachigameni101 หลายเดือนก่อน +4

    Hiyo kadrov ambaye ni kiongozi wa chechenia ni takataka Tu Kwa Ukraine, amuulize Urusi kapigana mpaka amekimbilia kuomba silaha na wanajeshi kwa nchi za Iran, North Korea, China, south africa n.k. safari Ukraine sio mchezo

    • @YohanaMasebo
      @YohanaMasebo หลายเดือนก่อน

      Umekuwa mjinga wa kupitiliza kwa Akili yako ndogo unaona Ukraine imesimama pekee yake

    • @SaidiYahya-t1c
      @SaidiYahya-t1c หลายเดือนก่อน +2

      Mmmh Russia inapiga na NATO sio Ukraine

    • @iddykivu050
      @iddykivu050 หลายเดือนก่อน

      Wewe kweli Mpumbavu yani Urusi Amshindwe Ukrain? Waambie Nato Na Marecani Waondoke Abaki pekeake Uone kilichomtoa kanga Manyoya

    • @middlemamba6062
      @middlemamba6062 หลายเดือนก่อน +1

      We tahira kweli

    • @rachigameni101
      @rachigameni101 หลายเดือนก่อน +1

      wwe pinga Kwa hoja si kutukukana "kilaza we"

  • @KenedyThabiti
    @KenedyThabiti หลายเดือนก่อน

    Hakuna jipya baba yako apigika sembuse wewe njoo upigike wakorea wanapigika njoo na wewe

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 หลายเดือนก่อน +3

    Umoja wa ulaya nyie niwaoga sana mmemtelekeza Ukraine ana onewa sana

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 หลายเดือนก่อน

      Duh kweli mazuzu ni mengi Tanzania 😂

    • @michaelsamson9663
      @michaelsamson9663 หลายเดือนก่อน

      @@nizarrama225 sawa mzungu mrusi

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 หลายเดือนก่อน

      ​@@nizarrama225 kiongozi wao ni wewe

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      Nani kakwambia katekelezwa?

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 หลายเดือนก่อน

      @MathewNathan-yb2bz jifunze kusoma na kuandika vizuri 🤣