Mbarikiwe sana family ila Mungu atusaidie kuishi katika misingi ya Imani yetu ili tufae kuingia kwenye makao ya milele maana tuko nyakati za mwishoni kabisa! Mbarikiwe Sana!
Everything is good kwenye wimbo huu Mungu awabariki zaidi muendelee kubariki wengiñe kupitia vinywa vyenu mpaka YESU ajapo NB: naomba nambà ya mtunzi wa wimbo nimtumie hata Hela ya supu achangamshe ubongo alete kitu kingine kizuri
0:430:46 Nimfululizo wa nyimbo nzuri zenye kugusa maisha yetu wa kristo wa kanisa la leo, hakika Mtunzi wa wimbo huu abarikiwe sana pamoja na waimbaji wooote..na wote tuseme Aamen
Iwapi imani ile tuliokua nayo siku ile ya kuipokea kweli tunahitaji uamsho thabiti na matengenezo ❤
Mungu awabariki sanaa❤❤
Mbarikiwe sana family ila Mungu atusaidie kuishi katika misingi ya Imani yetu ili tufae kuingia kwenye makao ya milele maana tuko nyakati za mwishoni kabisa! Mbarikiwe Sana!
Mungu awabariki sana
Bwana tutetee kwa namna tunavyoishi,mbarikiwa watu wangu wa nguvu❤
🎉🎉🎉Amina sanaa
Amina kwa kazi njema sana
Everything is good kwenye wimbo huu
Mungu awabariki zaidi muendelee kubariki wengiñe kupitia vinywa vyenu mpaka YESU ajapo
NB: naomba nambà ya mtunzi wa wimbo nimtumie hata Hela ya supu achangamshe ubongo alete kitu kingine kizuri
Nambà ya mtunzi ni
+255 759 273 252
hakikaaa huu wimbo tuiishi na sisi pia
ni mzuri sana
mbarikiwe sana Hossana Family
Mungu atusaidie tubadilike namna tunavyoishi, kwani wengi tumepotezwa na ulimwengu huu. Mbarikiwe sana Hosana Family Singers 🎶
Mungu awabariki kwa kazi nzuri ya injili kwa kupitia wimbo huuu!!!!!
Ewaaaaaaaah...! Huu wimbo wa kufunga Mwaka maana unasema ukweli kabisa. Watu wa Laudekia😢😢
Daaahh😂😂😂 nimeunguza chakula kwa sababu ya kuangalia wimbo huu Mala mbilimbili 😊😊
Hakika Hatulingani na zamani tulivyoipokea kweli
Mungu awabariki
Kazi nzuri ujumbe pia mzuri Mungu awabariki wapendwa
Naona watu mkimtumikia Mungu katika ubora ❤
BWANA awabariki sana wapendwa
Na atusaidie kumwamini YEYE
Kazi nzuri sana BWANA awabariki sana
❤❤❤❤❤ Great message
Mbarikiwe Sana wimbo mzuri, Mungu atukuzwe kwa kazi nzuri🙏
Baraka za Bwana ziwe pamoja nanyi katika utumishi
Mbarikiwe kwa ujumbe mzuri na mzito
mbarikiwe saana, Mungu azidi kuwapi ha nia ma kuwalinda
Haleluyah sasa🎉..
Mungu awabariki sana @hossana family singer kwa wimbo mzuri..
Msonge mbele katika kumtumikia Mungu.. Ameeen
Waoooh huwa mnanibariki sana hossana ❤❤
🎉bwana awabariki Sana kwa ujumbe mzuri
🎉🎉🎉🎉🎉❤ barkiwen mno
Ujumbe mzurii🙏
Wimbo mzuri sana 🇰🇪🇰🇪🔥🔥
Hongera mungu awabariki
Amina mbarikiwe sana
The lord is good mbarikiwe sana familia
Amina, mbarikiwe sana
Mbarikiwe kwa wimbo mzuri nawapendaaaaa
Good job
Wa kwanza kucomment, Mungu awabariki
Mbarikiwe
Ameeen,Mbarikiwe sana HFS❤❤
Bwana awabariki sana familia yangi ujumbe mzuri nawapendaaaaaaa mnooo🎉🎉🎉🎉
Mungu awabarikiiii
Glory to God🎉
Am blessed🎉
Be blessed so much 🎉🎉❤
God bless you🎉
Amina
Kazi nzuri sana Mzidi kumtumikia Mungu kupitia uimbaji.
By sir Gracian IT wa kwaya ya Mt.Agustino wa hippo coed
Shukrani sana jirani
Be blessed 😊
mbarikiwe sana Hosana Family ,my Beloved family of Music ,much love for you❤
🙏 Mbarikiwe
God bless
Amen🙏🙏
Amen
Kazi nzuri, msichoke kuifanya kazi ya BWANA
Aminaaa,tuombeane tu,rafk
super
❤❤🔥🔥🔥🔥
0:43 0:46 Nimfululizo wa nyimbo nzuri zenye kugusa maisha yetu wa kristo wa kanisa la leo, hakika Mtunzi wa wimbo huu abarikiwe sana pamoja na waimbaji wooote..na wote tuseme Aamen
Amen
Amen tutembee katka kwel
Barikiwenw❤
Be blessed
Ameeeen
Mzidi kubarikiwa❤
Nc sounds
MUNGU awatangulie katika kazi zenu. Hakika tunabarikiwa
God bless you
Stay blessed
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mbarikiwe sana 🙏
Good song
❤❤
🙏
Amina
Be blessed
Mungu awabariki sana
good song
Amen
Be blessed