Kenya wanajua mdomo tu, kutucheka hatujui English mara pesa yetu ina thamani kidogo. kiko wapi sasa. Wakenya hufikiria pesa kubwa ni maendeleo sana kwao badala ya uzalishaji ndo maendeleo kama China na si kuwa thamani kubwa ya mkwanja. Mara ooh Tz hawana umeme wa kutosha train itazima kila siku, sasa tunawauzia umeme😂😂 I love my country Tanzania 🇹🇿 ❤🎉 Na wasisahau sisi Tz uchumi wetu ulitikisika wakatupita ilipotubidi tuingie kwenye vita na Idd Amini Nduli before tulikuwa top 3 Afrika kiuchumi miaka ya 60s mpaka 70s😢😢😅
@@johnkitwima6963 Waache hao, kubishana nao is like banging your head against the wall, not worth the effort they are still stuck on 10 year old statistics!
Samahani, tafadhali nakuomba usimtusi Mtu ambaye haumjui na si vizuri kumtusi mtu hata unayemfahamu, siyo utamaduni wetu, siyo ukarimu wa Watanzania pia na Waafrika wote
Unamtukanaje mtu matusi mazito ya kudharirisha utafikiri kakutendea ubaya,, wewe unaeukosoa uumbaji wa mungu tuoneshe huyo mtu mzuri uliemuumba kutoka mikononi mwako au wewe umejiumba mwenyewe,, acha kuikosoa watu ndugu yangu ukikosa Cha kuandika kaa kmy
Uganda wanavotuuzia umeme haimaanishi kwamba wanao mwingi. Geographia ya eneo inaweza leta ugumu na kufanya uchukue kwa jiran kama ilivo kwa kagea na uganda
Mbona sisi tumewazidi zambia kwa sasa lakini wanatuuzia umeme kule Rukwa......Biashara ya umeme ni Bi-directional and it is realtime business kwahiyo tabia ya mzigo(load) ndio itaamua flow ielekeee wapi.
Hii sio project za white elephant mna uhakika mtawauzia umeme Ethiopia 🇪🇹 mbona wao wanajenga bwawa kubwa kabisa za kutengeneza umeme kuliko hata la Tanzania 🇹🇿
Biashara ya umeme ni Bi-directional....Atauziwa yule mwenye uhitaji kwa muda huo....Ukitaka kutumia kigezo cha umeme wa ziada hadi Tanzania kwasasa tuna umeme wa ziada.....Kwahiyo maswala ya kuuziana umeme ni inategemea na uhitaji wa wakati husika-- it is a real time business Broh.
Muhandisi Tesha umeupiga mwingi🔥🔥
Mhandisi Maiga sema tumeupiga mwingi.
Hakuna kitu mnaeza sema... Tunafaa kuwa one in east africa (kufanya kazi pamoja)
Kuwa one na nchi ya kipumbavu kama Kenya? Endeleeni kuhujumu EACOP!
Walisema pesa Yao inasamani kuliko yetu apa spidi imepungua lakini wasilale 2060 wataisoma vizuri 😊
Kenya wanajua mdomo tu, kutucheka hatujui English mara pesa yetu ina thamani kidogo. kiko wapi sasa. Wakenya hufikiria pesa kubwa ni maendeleo sana kwao badala ya uzalishaji ndo maendeleo kama China na si kuwa thamani kubwa ya mkwanja. Mara ooh Tz hawana umeme wa kutosha train itazima kila siku, sasa tunawauzia umeme😂😂
I love my country Tanzania 🇹🇿 ❤🎉
Na wasisahau sisi Tz uchumi wetu ulitikisika wakatupita ilipotubidi tuingie kwenye vita na Idd Amini Nduli before tulikuwa top 3 Afrika kiuchumi miaka ya 60s mpaka 70s😢😢😅
@@johnkitwima6963 Waache hao, kubishana nao is like banging your head against the wall, not worth the effort they are still stuck on 10 year old statistics!
Your problem is that you are talking about a topic that you do not understand,First, understand the topic you are talking about, stop being rude
Kwasasa tumewazidi sana Kenya kwa vitu vingi sana
@@mwaramoyo7488 Mnachojua nyunyi ni kiingereza na maandamano tu .
@ Kwani wapi amedanganya?
Sasa na hili Jike Dume mmeliokota wapi? 😂
Samahani, tafadhali nakuomba usimtusi Mtu ambaye haumjui na si vizuri kumtusi mtu hata unayemfahamu, siyo utamaduni wetu, siyo ukarimu wa Watanzania pia na Waafrika wote
@@johnkitwima6963 Linaniboa bwana, hili kila siku kuvaa suruali na viguu vyake hivyo ka BATA 🤣 jitu zima hovyoo!!
Acha upumbavu wako. Hebu tuwekee picha ya vimiguu vya mama yako tuone kama ni mizuri😂
@@section8ight174Ile ni protocal za usalama unapokuwa site. Jielimishe kabla hujaanza kutukana bro. Huwezi kuvaa gauni site
Unamtukanaje mtu matusi mazito ya kudharirisha utafikiri kakutendea ubaya,, wewe unaeukosoa uumbaji wa mungu tuoneshe huyo mtu mzuri uliemuumba kutoka mikononi mwako au wewe umejiumba mwenyewe,, acha kuikosoa watu ndugu yangu ukikosa Cha kuandika kaa kmy
Tupeleke umeme Ethiopia ambao wanaumeme mwingi kuzudi sisi 😂😂😂
Uganda wanavotuuzia umeme haimaanishi kwamba wanao mwingi. Geographia ya eneo inaweza leta ugumu na kufanya uchukue kwa jiran kama ilivo kwa kagea na uganda
Mbona sisi tumewazidi zambia kwa sasa lakini wanatuuzia umeme kule Rukwa......Biashara ya umeme ni Bi-directional and it is realtime business kwahiyo tabia ya mzigo(load) ndio itaamua flow ielekeee wapi.
Niwbhatununui ge na umeme kutoka uganda @@mohamedmbalazi748
Hii sio project za white elephant mna uhakika mtawauzia umeme Ethiopia 🇪🇹 mbona wao wanajenga bwawa kubwa kabisa za kutengeneza umeme kuliko hata la Tanzania 🇹🇿
Hata Mimi nashangaa hapo, mhandisi anatudanganya
Biashara ya umeme ni Bi-directional....Atauziwa yule mwenye uhitaji kwa muda huo....Ukitaka kutumia kigezo cha umeme wa ziada hadi Tanzania kwasasa tuna umeme wa ziada.....Kwahiyo maswala ya kuuziana umeme ni inategemea na uhitaji wa wakati husika-- it is a real time business Broh.
Vichwa box sikilizeni kwamakini wahandisi😂