STESHENI YAWAKA MOTO NA CHAMA | KISUGU AMKWEPA CHAMA "SIMBA INASAJILI VIJANA WADOGO NA HATARI"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
- JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Kisugu unaongea tukupe usemaji wa simba queens
Aisee hili lisugu anadanganya sana!!
Unyama mwingi sana simba nguvu moja ❤❤❤
Kwanza niheshima wakimtacha chama wataizungumza simba mafanikio yake na vile alivyowatesa wao yanga sina hatumzungumzii tena chama full stop
Mpaka hapo umemtaja chama.unaposema hamu mzungumzii huo uongo
Yanga inavutia ndio maana viongozi wachezaji .washabiki hata wafanya kazi kina senzo walikubali kuajiriwa yanga.
Mutale Osmane Sakho na Mayele
Mutale Okjepha na mukwala ( MOM)
Taja biashara inyo fanyika preseason.? Unabrand nini?
Sasa kama hakuna mtaalamu,mnajadili nini sasa,mnalowesha maiki ya watu mate,mzee mtitu unaongea nin!
Shirikisho 😂😂
Nguvu moja
Kisugu unapwayuka kunakochaa apo nani anasajiri wachezaj inafer Nan anakurazimisha kwenye midia
Nimeamin kweli KISUGU NI POYOYO HAJUI NINI MAANA YA PRE SEASON