SEIF SIMBA: APIGA RISASI ZA MANENO KWA BUNDUKI YA MDOMO KISA MALALAMIKO YA YANGA | SIMBA HII BADO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ย. 2024
- JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Hongera bro una akili nyingi sana za mpira mzee Big up
Huu mwaka watateseka sanaaa😂😂😂
😂😂😂❤❤❤❤ubaya ubwela 🦁🦁🦁💕💕💕💕💪💪💪💪💪❤️❤️❤️❤️🤣🤣🤣🤣🤣
UBAYA WA UTOPOLO FC WATALIPWA UBWELA.
Huyu Seif ni mtu na nusu namkubali sana anajua sana
Kusema ukweli mashabiki wa simba wana akili sana
Asante😂😂😂😂
Kwa hiyo wengine hawana akili
@@EliaMkumbo-wn7bmMashabiki wa Simba SC wana akili nyingi.❤
@@noorbazaar9063 sa mnafungwaje na watu hawana akili nmechi nyingi
NA HII NDO SABABU ILIYONIFANYA NIIPENDE SIMBA MAANA WATU WA SIMBA WANAKUAGA NA UPEO MKUBWA SANA
Huyu jamaa nimemuelewa safi
Ubaya ubwela 😂
wanasimba nawakubali endeleeni kumsaidia semaji la caf kwani kila anayeongea kuna kitu ubayaubwela
Yanga ni wazulumati fc.
KAKA UMEZUNGUMZA MPIRA SANAAAA..... UNAJUA MPIRA KAKA ULITAKIWA UKAE PALE CROWN MEDIA UMWAGE MADINI KAKA
Ubay ubweraa❤
Mtasubiry sana musigeuge mulisema kwa simba aina muwaganiko sasa munasema tuwagaliy zuguko wapili aaaahaa jamani jishikiliyeni bac
Mwaka jana si waliwafanya wale mabinti wasichezeshe.tabia ya mwizi tu
Kweli yanga walazimisha tff waogope na smba waonewe.wajinga sana hawa.
Kwa mtazamo wangu mimi sijaiona kama Simba ni hatari bado mapema sana subiri mzunguko wa pili ndio useme
Acha kuogopa!