MZEE MASATU: ATAPIKA NYONGO KWA KOCHA MEXIME | BOKA SIMJUI | SIMBA BINGWA | MAVAMBO NI HATARI SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
    KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.

ความคิดเห็น • 26

  • @barakamusapolekidoti957
    @barakamusapolekidoti957 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Yanga imeanda kuchochora tarehe 19 labda watumie ndumba ila kwa kucheza mpira tunawachapa

  • @renatusmahombwe3093
    @renatusmahombwe3093 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mzee uko sawa
    Rise and fall of yanga
    Chama ni mzuri lakini mkupishana naye kidogo hana hasara anakuharibia mtu Hatari sana.

  • @zephaniaernestmagoma5521
    @zephaniaernestmagoma5521 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Hahaaa,Mzee masatu wa moto

  • @ISAYABUCHINDIKA
    @ISAYABUCHINDIKA 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sahihi kabisa mzee hata huku mikoani simba inapocheza shughuli nyingi zinasimama kwa mda mpaka mpira uishe

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mzee masatu upo vizur sana mzeee wang nitakuja dar kwa ajili yako

  • @joachimerass31579
    @joachimerass31579 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mzee masatu unaongea vizuri sana ila mambo ya ccm hatuitaji humu

    • @samsonsengi7574
      @samsonsengi7574 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwa kweli Rachel mambo ya ccm. Hapa ni mpira tuu.

    • @emmanuelmayunga1518
      @emmanuelmayunga1518 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😅😅

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kipa tunae na tunatamba nae

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa nini msitenganishe mpira na siasa..? samia anatumia pesa za walipa kodi kujipendekeza kwenu eti ananunua magoli .. kwani hizo pesa katoka nazo kizimkazi? Huyo mwanamke anawezaje kuwa kipenzi chenu huku akiuza bandari na maliasili zetu kwa waarabu? Je kama yeye ni kipenzi chenu mligawanaje pesa alizohongwa na waarabu hadi akaua na kuwahamisha wamasai kutoka kwenye ardhi yao..?? Aisee mnaboa sana mnapokuwa mazwazwa mkishangilia mpira huku nchi ikiuzwa na bado mnamuita huyo fisadi eti ni kipenzi chenu?? Kipenzi cha Watanganyika hakiuzi nchi.. eg Mwalimu na Magufuli.. peke yao! Punguzeni umatako aisee!

  • @MonicaModaha
    @MonicaModaha 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu Mzee masatu ninoma aise

  • @elkanangosha9588
    @elkanangosha9588 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yanga hawajakutana na Dodoma kelele za nini,KMC kapigwa 4 na Azam Yanga mdebwedo jana

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Boka angekua p.ddy ungemjua Mzee masatu achaizo

  • @westonyjob1747
    @westonyjob1747 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzeee saidi jamn mbna simsikii saiz

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Masatu ongerea mpira habar zamamako Samia uende huko utapoteza mashabik wanaokufatilia kwajili yahabar zakusema mama hatutak

    • @JosephatMassae
      @JosephatMassae 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wew leta dharau kwa mkuu wa nchi kama hujafichwa dakika sifuri !! Jichekeshe

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzee masatu unatsha sana

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    19 October ndo watajua yanga kuna wazee au akina kapombe , ngoma, wana umri mdogo kuliko akina job, kibabage, max, mzize,boka.

    • @saidbakari7998
      @saidbakari7998 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Mbona unapanic sasa

    • @gabrielnybala2165
      @gabrielnybala2165 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Ndio hadi unataka kulia tulia sio mbali mtatafutana taifa nyie mjidanganye kama hamjamfukuza gamondi😂😂😂😂

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Gemu 4, clean sheet 4, goli 10, point 12, lazima m-panic

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Yaani Utopokwix wanahaha hawana la kusema watulie dawa iwaingie

    • @MohamedRugamana
      @MohamedRugamana 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Kwani vipi mikataba ya Kagoma mmeifungia vitumbua

  • @BinamoIssaMuamede-sb9xd
    @BinamoIssaMuamede-sb9xd 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ubaya Ubwela ❤

  • @Leeeeeeee-96
    @Leeeeeeee-96 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂