Wakaazi katika kaunti ya Kilifi waanza kunufaika na faida za mbuyu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
  • Tangu jadi, mti wa mbuyu umekua ukitumika kama sehemu ya kuendeleza maombi na tambiko Kwa jamii za kimijikenda maeneo ya Pwani. Hata hivyo wakazi kutoka msitu wa Kaya kauma eneo la Ganze kaunti ya Kilifi wameanza kutumia sehemu za mti huo kutengeza bidhaa mbali mbali yakiwemo mafuta ya kupikia, kujipaka, sharubati pamoja na kutumia unga wa mabuyu kuoka keki.

ความคิดเห็น • 1