Mwanamke Bomba | Pauline Mwaka anafanya kazi ya uvuvi kaunti ya Kilifi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024
- Baada ya kujipata na mahitaji mengi ya kimsingi pamoja na ulezi wa watoto wake wawili, alijitosa katika uvuvi pindi fursa ilipojitokeza. Ni shughuli ambayo anasema anajivunia kwani mbali na kumpa kipato imewatia moyo wanawake wengine kujiunga naye ili wajipatie riziki ya kila siku. Namzungumzia Pauline Mwaka Kalu mkaazi wa Kilifi ambaye hii Leo ndiye anayetupambia makala yetu ya mwanamke Bomba.
Not deep sea but ocean.