👏👏👏👏 amin amin mtumishi Mungu amekuwa ameniinuwa kiuduma adui akanishika katika ulimwengu waroho ila kupitia ibada hii nitainuliwa kwajina la yesu kristo
Usinipite eweyesu wangu mwanao nipoapa 🧎♀️ Ninaitaji uponyaji wako baba Unapo waponya wengine uniponye nami pamoja na Familia yangu yote iponywe na kupitia Mazhabau hii ninaimani matatizo yooote yanayo nisumbua Yataenda kwisha In Jesus Christ Name Amen 🙏🙏🙏
Ni nani alikuwa kanisani anielezee jinsi mlivyoelekezwa kuomba...nataka kuomba pamoja nanyi...nimeyasikia tu maneno aliyosema mwisho mwisho alivyoanza hakukuwa na volume.nafuatilia nikiwa kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu wa mtumishi sumbe awe pamoja Nami,na mungu wetu akutiye ngufu na akuongezeye ngufu
Amen 🙏 ulitumwa Kwa ajili yangu Leo asante Sana na yesu atukuzwe 🙏🙌
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu kwa Neno la leo Mungu Akutie nguvu nikiwa south African
Amen and amen in the might name of Jesus christ
Watu wa arusha mko na neema mmepata mtumishi wa kweli Mungu awabariki sana
Mungu wa mtumishi bishop sumbe akuwe mungu wangu kila wakati na kila wakati
Asante Yesu kunikumbuka bariki Mutumishi wako Elibariki
Najiunganisha na mathabau ya vuka yordan in Jesus name 🙏🙏 mungu kutàna na haja ya moyo wangu 🙏
Mungu wangu.wambinguni walinde watumishi kama hawa
Mungu nisaidie nipone nofunguliye vifugo vyote nalahana. zote
Amen ubarikiwe bb
👏👏👏👏 amin amin mtumishi Mungu amekuwa ameniinuwa kiuduma adui akanishika katika ulimwengu waroho ila kupitia ibada hii nitainuliwa kwajina la yesu kristo
Mubarikiwe sana
Amen ɓaba tutafika kwenye destiné yetu
Nafuatilia masomo Mungu nisaidie kuelewa vizuri
Amen and amen 👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏
Asante Bwana Yesu🙏❤️🙏🙏🙏❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Tunakuinwa bwana ni wajabu umestahili yesu Amen Amen 🙏🏿🙏🏿
Mungu awabariki wana wa Vuka Yordani
Amen and amen baba
Amen and amen
Amen asanteYesu
Asante
Tutashinda kwa IMANI MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI AKUTIE NGUVU AMEN UNANIBALIKI NIKIWA saudi arabia
Aaamen.. watching nikiwa Kenya,,
Ooh my God tutie nguvu za kiroho tufungue macho ya Rohoni tukajue mapenzi ya BWANA WETU YESU CHRISTO
Usinipite eweyesu wangu mwanao nipoapa 🧎♀️ Ninaitaji uponyaji wako baba Unapo waponya wengine uniponye nami pamoja na Familia yangu yote iponywe na kupitia Mazhabau hii ninaimani matatizo yooote yanayo nisumbua Yataenda kwisha In Jesus Christ Name Amen 🙏🙏🙏
Amen🙏🙏🙏🙏
Mungu nisaidie niijue njia yako Bwana
Hawawezi kuipinga kazi ya Mungu
Mungu nisaidie
Eee mungu unaye mutumia mutumishi zumbe nipoye masikio nimeteseka kitabo sana
Asantee Yesu 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Amina Amina
Mungu katika mazabaho haya nimenjiunganisha ili unapo bariki namimi nibariki baba
Amin amin mtumishi Mungu azidi kukuinuwa
Amina Baba 👏👏👏
Mungu akutiye nguvu baba
👏👏👏👏amin amin mtumishi wa Mungu
Amen
YESU niponye miguu
Bwana yesu asifiwe sana mungu atusaidie sana 🙏🙏🇨🇩✌️
A men amen amen 🙏🙏🙏👏
Amém, Glória a Deus 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nanjiuganisha na Vuka yordani
Napokea kuinuliwa in jesus name
Maadui wote wakazi yako Mungu wapigwe mapigo saba[7] kwajina la Yesu.
Ameeen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Eee mungu nifungue na mimi
Asante Yesu kwa ibada ya leo
Hakika hii ibada imenigusa sana nabaki naisikiliza marambilimbili
Mungu wambinguni akalinuwe kanisa lake ktk jina la YESU
Ameeeeeen
Amin amin amin napokeya utumishi wangu
Amen 🙏 ndavuka salama katika mapito
Amen Amen hallelujah hallelujah
Yesu ni njia ya kweli
Ameeeeen
Mungu akubariki baba Elibariki sumbe
Nimeelewa najiungamanisha na maombi haya
Tunaomb nn
Ameen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Amina 🙏 Amina 🙏🇰🇪
Najiunganisha na maomba ya kufunga Ee Bwana usinipite.
Tunaombaje sijasikia
Ameen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
❤❤❤❤❤
Oooh hallelujah Asante yesu
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Tutashinda kwajina la yesu kristo nakwaimani
Amina mtumishi wa Mungu Wa kweli
Askofu ameen 🙏
Ameeeeeeen 🙏
Hata Mimi nilitamani c
Kuskia
Amen mutumishi wa mungu
Tuko pamoja kwenye maombi sijui tunafunga siku ngapi
Naharibu maajeti wa sirini
AMEN BWANA YESU ASIFIWE ameniona BWANA
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉
Najiunganisha na hayo maombi
Ni nani alikuwa kanisani anielezee jinsi mlivyoelekezwa kuomba...nataka kuomba pamoja nanyi...nimeyasikia tu maneno aliyosema mwisho mwisho alivyoanza hakukuwa na volume.nafuatilia nikiwa kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ukiambiwa naomba uniambie uniambie walichoambiwa waombe
Mm pia sijajua had leo kwa aliyepata anisaidie@@RachelChisunga-gv8du
Mimi pia sijaelewa tangazo
@@ChristineEketo niliomba tu lakini nashukuru baada ya maombi niliona matokea
Ameen
Ameni
Tangazo la maombi sijasikia vi ur
Bwana asifiwe nafuata kutoka kenya niombee kuna kazi nilitafutiwa nakakosekana
Nashukuru Mungu akubariki Mtumishi wa Bwana Askofu Elibariki Sumbe kwa ibada ya leo
Bwana ananjia yake
Vita vyakiroho nakupokea kile kilicho ibiwa
Sikusikia vizuri maombi tutafungaje?
Huyo ni mimi BISHOP NI MIMI
Amren🙏🙏🙏🙏
Guys kesho tunafunga tuombe kwa ajili ya nini ?
Sijaelewa tangazo?
Tupeni maelekezo Niko musumbiji
Asante YESU
eeeeeeemeeeeeeeeennn
Niko na nyie ktk maombi
eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeennnnn
Amen and amen in the might name of Jesus christ
Amen and amen baba
Amen and amen