Yanga 4-1 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC Premier League 16/12/2023

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Hapa ilikuwa ni zamu ya Mtibwa Sugar kula kichpo, ikipigwa 4-1 kutoka kwa Yanga, mechi ya Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague ikipigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
    Stephane Aziz Ki ammefunga mawili... moja dakika ya 45 kwa penati na lingine dakika ya 65 huku mengine yakitoka kwa Kennedy Musonda dakika ya 76 na Mahlatse Makudubela 'Skudu' dakika ya 83.

ความคิดเห็น • 80

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 10 หลายเดือนก่อน +9

    Congratulations Kwa Wachezaji Wetu Kwa Kutuheshimish Leo Kwa Ushindi Mnono💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚

  • @SarahSaraphina-x9j
    @SarahSaraphina-x9j 10 หลายเดือนก่อน +2

    I love you yangaaaaaaaaaa

  • @husseinally4932
    @husseinally4932 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana kwa goli kipa wa mtibwa maana kama si Kwa jitihada zake yangekua 10

  • @MohamedyOmary-qd3xx
    @MohamedyOmary-qd3xx 10 หลายเดือนก่อน +31

    Wa kwanza leo naombeni likes🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 10 หลายเดือนก่อน +2

    Seif abdallah karihe fundi wa ball❤❤❤🎉🎉🎉

  • @petrochikawe1797
    @petrochikawe1797 10 หลายเดือนก่อน +5

    Wananchi 4 life

  • @yangacongosupporter6051
    @yangacongosupporter6051 10 หลายเดือนก่อน +4

    Yanga mbele

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 10 หลายเดือนก่อน +6

    Watoto wa jangwani tushapita kwenye bakuli, hio ndio timu ya wananchi

  • @MjiliJames
    @MjiliJames 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mtangazaj acha uyanga mbon goali la mtibwa hujatangaza?

  • @MaryErnest-pm1qz
    @MaryErnest-pm1qz 10 หลายเดือนก่อน +4

    Wangekura nyingi leo😊

  • @LasaroSilasi
    @LasaroSilasi 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @SagataMasesa
    @SagataMasesa 9 หลายเดือนก่อน +2

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mzizee hawezi hapo jmn mmtoeee

  • @producermikmer
    @producermikmer 10 วันที่ผ่านมา

    kwahiyo mtibwa hawakufunga?

  • @Msanii12
    @Msanii12 10 หลายเดือนก่อน +3

    Watani mumepigaje apooo 🔥🔥🔥💪*333#

  • @AhamadiMkwekwele
    @AhamadiMkwekwele 10 หลายเดือนก่อน +6

    Wee musonda humepigaje hapo

  • @Irakozeemile-k5u
    @Irakozeemile-k5u 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mnatupa dakika kidogo sana tunaomba mtuongezeye mdaaaaa Azam tv

  • @hashimuomary7617
    @hashimuomary7617 10 หลายเดือนก่อน +3

    mzize jau Sana

  • @SagataMasesa
    @SagataMasesa 9 หลายเดือนก่อน +3

    Muulizeni simba kama ana hamu tena hata ludia.kucheza na wakubwa

    • @mariamusulemani6226
      @mariamusulemani6226 9 หลายเดือนก่อน

      😊😊ui😊😅ggb😮😢r🎉2❤

  • @herrysonk.edward609
    @herrysonk.edward609 10 หลายเดือนก่อน +2

    Aziz Ki master kakiwasha hatar

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 10 หลายเดือนก่อน +2

    Goli la Msimu, no doubt #kennedymusonda

  • @shaffihsiraji3141
    @shaffihsiraji3141 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mzize hata sio wa kumtegemea

  • @donaldmartin-ps2ig
    @donaldmartin-ps2ig 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona hii post haijalitendea haki goli la mtibwa

  • @SayuniEnock-tu4pf
    @SayuniEnock-tu4pf 10 หลายเดือนก่อน +5

    Ila hizi tobo za jamaa!! Du so poa an

  • @HappyMunisi-ig6he
    @HappyMunisi-ig6he 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hilo goli la mtibwa mtangazaji kafanya huruma tuu kuwapa😢😢

  • @HijaSihaba-k3q
    @HijaSihaba-k3q 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga

  • @davidsalikoki6319
    @davidsalikoki6319 10 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga ni wazuri bongo

  • @EliyaSamakele
    @EliyaSamakele 10 หลายเดือนก่อน +2

    We yàñga hàujui

  • @LabaniAkyoo
    @LabaniAkyoo 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona goli la Mtibwa, mtangazaji ameng'ata ulimi hajalitangaza

    • @josierjosmail4195
      @josierjosmail4195 10 หลายเดือนก่อน +2

      La mchongo

    • @MjiliJames
      @MjiliJames 10 หลายเดือนก่อน

      Mtanagazaj utopolo huyu ndo mana hata mechi na simba wanayanga walifurahia sana atangaze

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 10 หลายเดือนก่อน +2

    Magoli kama wanayofungwa Yanga wayategemee sana maana adui ukishamshamshinda anatumia mbinu za kijanjajanja kama hizi. Hivi Djigui alikuwa anawaza nini kuliacha goli umbali ule? Watu wanakunyanyulia tu. Ni uzembe mkubwa aliofanya Djigui awe makini.

  • @SamiaHassani-lq8lp
    @SamiaHassani-lq8lp 10 หลายเดือนก่อน +2

    Daaah hakun kam mwananch aixee

  • @financemanager1711
    @financemanager1711 10 หลายเดือนก่อน +2

    Bao la mtibwa lilihesabikaje na kulikuwa na faulo?

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 10 หลายเดือนก่อน +1

    Matukio ni mengi ila matokei ni 4 kwa 1

  • @novaelias5010
    @novaelias5010 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa pila hili kocha asiwakalishe tena benchi wachezaji alio wameka leo mchekin mtu kama sure boy

  • @fadhilimutarubukwa3255
    @fadhilimutarubukwa3255 10 หลายเดือนก่อน +3

    Watangazaji wetu wana shida sana. Anatangaza magoli 4 ya Yanga la Mtibwa halitangazi. Mpira hauwezi kukua kwa watangazaji kama hawa

    • @SalimComplex
      @SalimComplex 10 หลายเดือนก่อน +2

      Ila kwenye ukwel uzungumzw yang anaupig mwing san😂😂😂

    • @nyaganyaga3876
      @nyaganyaga3876 10 หลายเดือนก่อน

      Hilo goli hata mtangazaji hakujua limefungwaje hadi replay kama ulitazama mpira kwenye TV tumeona tu mzinze yuko Chini na mpira unapelekwa kati. Mwamzi anakadi mkononi hakieleweki anatoa kadi ama anaandika mfungaji. Huyu anayetangaza ndie anayetanga kwenye radio asipotangaza goli maana yake watu wanausikiliza radio hawatajua matokeo.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 10 หลายเดือนก่อน

      Watanzania timu ni Yanga tu na Simba ndizo wanazizijuwa na zisiguswe.

    • @Erickmjuni-ev6dc
      @Erickmjuni-ev6dc 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kama uliangalia mpira huwezi kumlaumu mtangazaji,ata sisi tulishangaa tu mpira upo kati goli limeisha fungwa,atukujua nini kimetokea hadi pale waliporudia

    • @peterpascal1326
      @peterpascal1326 10 หลายเดือนก่อน +1

      Ukiona hivo goli lilikua na ukakasi😊😊

  • @WilliamAnaklet-t5j
    @WilliamAnaklet-t5j 10 หลายเดือนก่อน

    Mwenzenu sijaiona kitu chochote maana camera nnimeshindwa kuona

  • @mpinno2180
    @mpinno2180 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie siwaelewi natafuta Niobe bao LA mtibwa limefungwaje silioni kwanini hamuoneshi?

  • @Jabalinangae
    @Jabalinangae 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hao nimakolo 2😂😂😂😂😂

  • @harm4lever606
    @harm4lever606 10 หลายเดือนก่อน

    Sema azama wanazinguaaaaaaaa replay hovyoo

    • @roi2554
      @roi2554 10 หลายเดือนก่อน

      Hasaaa

  • @danielhumble4292
    @danielhumble4292 10 หลายเดือนก่อน +4

    Hilo goal la mtibwa sijalielewa limekuaje goal wakati mpira unapigwa kipyenga Cha mwamuzi kilipigwa kuashiria Kuna madhambi??
    Mpira wa bongo mataptap mamaeee unachafua gazeti kwa upuuzi

  • @ezekielalfred763
    @ezekielalfred763 10 หลายเดือนก่อน +3

    We musonda wewee ,, umepigaje apooo

  • @JumaNjouloge
    @JumaNjouloge 9 หลายเดือนก่อน

    juma njouloge

  • @josierjosmail4195
    @josierjosmail4195 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hizo ndogo😂😂😂

  • @KherryPapaa
    @KherryPapaa 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ina maana wameishaga sHau Tobo za huyu jamaa

  • @abelyjoseph3440
    @abelyjoseph3440 10 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂😂 utopolo kweli niutopolo 2 Gori gani lakufungwa namtibwa ilo 😂😂😂😂😂😂

    • @jumamdoka7867
      @jumamdoka7867 10 หลายเดือนก่อน +4

      Walijua n faulo ndio maana kipa alidharau

    • @abelyjoseph3440
      @abelyjoseph3440 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@jumamdoka7867 👍👍👍👍👍

    • @worldhappiness1181
      @worldhappiness1181 10 หลายเดือนก่อน +1

      Ilkua n faulo yamkin

    • @BeatriceSeme
      @BeatriceSeme 10 หลายเดือนก่อน

      Ilikua Ni Kama faulo ndo maana kipa hakuzingatia

  • @hellenimmaculate5953
    @hellenimmaculate5953 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sema diarra ananikwaza. Kwann hapati clean sheet

  • @ibrahimbenedict1513
    @ibrahimbenedict1513 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli mtibwa wamechoka Hadi skudu anawafunga😅😅😅😅

    • @kijanisaini5688
      @kijanisaini5688 10 หลายเดือนก่อน +2

      Wamekaza kuliko kolo

    • @WilliamAnaklet-t5j
      @WilliamAnaklet-t5j 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@kijanisaini5688yaani wewe huwezi kushabikia mpira mpaka uitaje Simba? Duuh kweli NYUMA MWIKO mnamatatizo

    • @roi2554
      @roi2554 10 หลายเดือนก่อน +2

      Bora hawa kuliko nyie mliokula tano😂😂😂😅😅😅

    • @mariamelia8688
      @mariamelia8688 10 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@WilliamAnaklet-t5jkolo ndo simba?😂

    • @MaryStambuli-r4p
      @MaryStambuli-r4p 10 หลายเดือนก่อน

      Ndio a.k.a. mikia fc

  • @mrbio48gamingyt
    @mrbio48gamingyt 10 หลายเดือนก่อน +1

    kolo anatamani kusema nini 🤣🙌

    • @peterpascal1326
      @peterpascal1326 10 หลายเดือนก่อน +1

      Irudiwe asijue anaweza wachoma mtibwa maana watakula seven day😂😂😂

    • @mrbio48gamingyt
      @mrbio48gamingyt 10 หลายเดือนก่อน

      @@peterpascal1326 Hahaha 🤣🙌

  • @shabanisaleeh4541
    @shabanisaleeh4541 10 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @NashackNashack-nc5ni
    @NashackNashack-nc5ni 10 หลายเดือนก่อน

    Mchongoo

    • @Deadskytz
      @Deadskytz 10 หลายเดือนก่อน +2

      Yani hapo bado